Mhu!! Nahofia kuwa Kama grace ulivyo sema mpaka huruma na osinachi wa ekueme alikuwa hivyo sababu ya mapambo mwilini wataishia kuzimu 😭 hivi ninyi waimbaji mbona hamsikii hayo mahelen wigi nywele bandia mnazani zitawaokoa? Au mtaambiwa ondoken kwangu sikuwajua ninyi tubuni na kuacha mapambo Mali za Malkia wa kuzimu Yezeberi mtamfata huko achen kabla ya hatari ya kifo mtakuja kukumbu comment hizi mkiwa mmechelewa pole 😭😭😭 jifunzen Kwa walio watangulia wameishia wap
Kazi nzuri Dada ujumbe umefika
Ubarikuwe Sana mama ujembe mzur
Ubarikiwe san kwa wimbo wako muzur sana mung akutunze dada yang
Mungu Akubariki Kwanyimbo Nzuru yene Mafundisho kwetusisi vijana Asante.❤❤
Umenikumbusha Mbali mungu Akubarik SAMA🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana nabarikiwa toka Njombe TZ
Wimbo mzuri sana nakuaminia Dada ifanyie na muvi yake
Wow😊, now we're waiting for the full movie of this song to show up on TH-cam video, please. I always like to watch your movies😍😍 Be blessed.
Asante, twabarikiwa. Niko na familia yangu twaenjoy mama.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana j
Nyimbo zuri fanya mvi yake itanoga
Hapo sasa, base iko Jonjo
Ubarikiwe sana .kwa nyimbo zuri
Amen 🙏 amen 🙏 ubalikiwe sana mutumishi nyimbo nzuli saana 👍👏💕
Kazi nzuri dada barikiwa sana
Ameen barikiwa sana🙏
Ninabarikiwa sana kwa utumishi wako kwa njia ya uimbaji dada yangu Mungu akuzidishie Mambo makubwa ya baraka tele.Kutoka Kenya mombasa
Mungu akubariki kwa kazi nzuri dada
0:35 0:38 0:38
Wimbo mzuri Sana,Mungu alinde kipaji hiki kidumu,ubarikiwe sana
Yes I love 💕 all song
Mungu aendelee kukuinua kwa nyimbo zako
Mama barikiwa Kwa nyimbo zako,nazipenda sana
Ubarikiwe sana dada Jeny nyimbo nzuri sana
Nyimbo nzuri Sana video ya movie unatoa lini
Hongera sana dada Jennifer Mgendi Mwimbaji kwa wimbo mzuri sana.
Wow I love and I like it.
I waiting full video please l like this song ❤
Nine song dada yangu mungu akubariki
Barikiwa sana dada jenie lakini achana na mapambo Bwana Yesu hapendi mapambo bandia
Barikiwa sanaa Mom wangu Mzuri
Hukoseagi yan toka enzi za lini litafika 🙌🙌🙌❤️
Hii wimbo unanikumbuza maisha ya watoto wangu
Barikiwa sana Jennifa
Iyo ni mupya kwetu Burundi
Nyimbo nzuri yenye ujumbe
Ubarikiwe mtumishi Jennifer
Mungu akubariki dada nyimbo nzuri sana
Mungu Azidi kukuinua kila iitwapo leo
Amina huu wimbo umenikumbusha maisha yangu
Unanibariki sana mama Jennifer, Mungu akutunze kwa ajili yetu 🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️
Nabarikiwa saan na hii nyimbo Mungu akuzidishie ulipopunguzaa😘😘
Kazi nzuri mtumishi
Wimbo mzuri mtumishi.
Nyimbo nzuri sana, ina mafundisho mengi ❤❤
Emen and emen ubarikiwe sana mama mungu akulinde 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
You made me cry like mm nalea pekee yangu aniulize 😭😭😭😭😭😭
Amen barikiwa waji
Amina mama ubarikiwe sanaaa kwa wimbo mzuri Mungu azidi kukuinua
Wimbo unamafundisho ubarikiwe dada
Amina dada jeni mungu akulinde dada
Hongera mamy kazi mzur
Wimbo mzuri sana wenye mafunzo, barkiwa sana dada
Mungu akupandishe viwango vyajuu zaid
Amen 🙏🙏🙏
Tunaomba movie yake jaman
Amen Amen
Thanks my lovely mommy ,,,nakutakia mwisho mwema usiwemiongoni mwa atakaowaambia siwajui mtokako.😍😍
Mhu!! Nahofia kuwa Kama grace ulivyo sema mpaka huruma na osinachi wa ekueme alikuwa hivyo sababu ya mapambo mwilini wataishia kuzimu 😭 hivi ninyi waimbaji mbona hamsikii hayo mahelen wigi nywele bandia mnazani zitawaokoa? Au mtaambiwa ondoken kwangu sikuwajua ninyi tubuni na kuacha mapambo Mali za Malkia wa kuzimu Yezeberi mtamfata huko achen kabla ya hatari ya kifo mtakuja kukumbu comment hizi mkiwa mmechelewa pole 😭😭😭 jifunzen Kwa walio watangulia wameishia wap
@@nestorygilbert6170 ni kweli kaka Ang Mungu atujalie kujitambua kuwa cc ni WA kupita tu
@@gracemahushi9654 Amen 🙏
Amen 🙏🏻 ❤❤❤💃💃
Ameneeeee🙏🙏🙏❤️❤️❤️🥰💃💃
Wimbo Mzuri Sana
Nasikiza tu kiwa hapa🇰🇪🇰🇪
Iwe muvi tuu duu ni tamu
Jamani Dada umeniliza Sana nahiii nyimbo yako
Ameeeeeen
Ubarikiwe San ukifika hp tunapitia kipind kigum
Amen
Ameeen
😭😭😭😭😭😭Asent
Nihatari
nyimbo ipo pw
Video
🙏🙏🤝
❤❤❤❤
A we some
Mungu hakubariki
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Merci
Kazi nzuri Dada ujumbe umefika
Amen 🙏🙏🙏
❤❤❤