MUME WA CHRISTINA SHUSHO AFUNGUKA/SIO KILA KITU CHA KUJIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 87

  • @marthajuma2840
    @marthajuma2840 3 ปีที่แล้ว +18

    Hakuna kitu kama queen of gospel watumishi wote wameteuliwa na Mungu na wanatumika chini ya neema ya Mungu. Wasanii wapo wengi wanaimba vizuri sana na pia wamevuma be humble Guys,. I'm a big fan of Christina lakini Hilo hapana

    • @gracemwaura2648
      @gracemwaura2648 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisaaa. Wengi wanaimba vizuri zaidi. Utukufu ni kwa Mungu, tuwachane na mambo ya kuwa queen na king. Hivyo ndivyo shetani anapata nafasi kupitia majina kama hayo katika Wana muziki.

    • @fridahmasoi6693
      @fridahmasoi6693 ปีที่แล้ว +2

      Tena wajiangalie sana maana shetani alipewa hiyo nafasi ya uimbaji lakini kiburi kikamfanya kutaka kuwa juu ya Mungu ndio kashushwa chini..ndio kinachowapata waimba gospel saivi wanajiinua sana lakini Mungu atawashusha

  • @joycemoses4211
    @joycemoses4211 3 ปีที่แล้ว +18

    Nampenda huyu bishop hekima yake IPO juu Sana👏👏👏

  • @azizamuhali5531
    @azizamuhali5531 3 ปีที่แล้ว +20

    Nmependa bishop alivyoulizwa mchango wake akaiju ni "Maombi" kwakweli watu walioitwa na Mungu utawajua tu. Kila kitu Mungu kwanza ndio maana wanainuliwa juu!

  • @tamkohuru
    @tamkohuru 3 ปีที่แล้ว +7

    Bishop yuko very smart na media, siko kila kitu ujibu. I like it.

  • @everydaylifebyrozy6174
    @everydaylifebyrozy6174 3 ปีที่แล้ว +10

    Amen. Knowing you are together we have been praying for your union. The negative vibes were blow to most of us Christians. The devil is defeated. Much love from Kenya

    • @danielokolo9052
      @danielokolo9052 9 หลายเดือนก่อน

      But when compromise knocks...

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 3 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU AKUPE MEMA ASKOFU
    WANAUME WOTE WANGEKUWA
    KAMA WEWE MBINGU MPYA
    NA NCHIMPYA TUNGEIHITAJI
    BADAYE MNOO, BARIKIWA
    BABA.

  • @cshusho
    @cshusho 2 ปีที่แล้ว +5

    Nina jambo la kusema ila siku yake ikifika nitasema.
    Mengi yanasemwa. Mengi yametokea.
    Kimya changu pia ni jibu

    • @levidavid1156
      @levidavid1156 2 ปีที่แล้ว

      umemukosea saana mumeo nenda kainaame chin yamiguu yake uombe msamaha aachilie baraka zake kwako Ili muwe wamoja
      hata kama amefanya dhambi samehe endelea namaisha yenu coz hata we unamakosa mengi saanaa kutendo chakukaa mbali namumeo mda mrefu unamkosea mume pia unamkosea MUNGU
      but kumbuka hao wanaokutia akili mpya. hawawezi kufanana namtu aliyelea kipawa chako ukiwa hujulikana namtu mpaka wamekujua ukiwa tayari umeibuliwa acha dharau .

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 ปีที่แล้ว

      Sema bhas tunasubiri natamani sana kujua…..

    • @WiseladyBlessedGospelminister
      @WiseladyBlessedGospelminister 5 หลายเดือนก่อน

      Kabbisa mydear 😊😊🎉

    • @WiseladyBlessedGospelminister
      @WiseladyBlessedGospelminister 5 หลายเดือนก่อน

      Missed you mydear 😊

  • @Jenaide_ke
    @Jenaide_ke 3 ปีที่แล้ว +13

    Love for Christina and Bishop all the way from kiambu kenya

  • @IloveJesus-nd7sw
    @IloveJesus-nd7sw 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi wainua mr &mrs Shush. Kazi nzuri sana mnazifanya kupanua Ufalme wa Mungu.
    Utukufu apewe Mungu

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +8

    Sauti ya Mme nzuri....ni ya kiume Kweli.... Hongera Sana Mtumishi wa Mungu....

    • @MJ-ye7dd
      @MJ-ye7dd 3 ปีที่แล้ว

      Stop male masculinity

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 3 ปีที่แล้ว

      Ckuwah kumjua mume wake😘

  • @sophianabintu6666
    @sophianabintu6666 3 ปีที่แล้ว +8

    Asante papa bishop juu ya kumuchukulia muke wako kimaombi mungu akuzidishe na akupe guvu

  • @EmanuelStart-jd1vr
    @EmanuelStart-jd1vr 5 หลายเดือนก่อน

    Ngoja yesu aludi mtaona,aliyetumwa na Mungu ni nani,mtumishi upo vizuri wengine watakuchelewesha mtu utamjua vizuri mwishoni

  • @nguzoyetugirlscentre6270
    @nguzoyetugirlscentre6270 6 หลายเดือนก่อน +1

    I say niliyoyasikia kuhusiano na ndoa ya Christina nimeamini sio kweli. Jinsi nili vyompata huyu B shop, mume wa Christina, najifunza zaidi watu. Wanaongea saana mambo wasiyoyajua na tuepuke kushiriki dhambi za wengine uongo ni dhambi inayotawala duniani tumuogope Mungu. Hongera watumishi wa Mungu, nawaombea mtimize kusudi la Mungu alililowekea duniani. Muda wa hapa duniani ni mfupi sana mbinguni ni milele. Mbarkiwe sana.

  • @mwirichiac.2354
    @mwirichiac.2354 3 ปีที่แล้ว +7

    Loads of Wisdom from the Bishop. Blessings to You Sir and your wife. Much love from Kenya

  • @hellenismail4351
    @hellenismail4351 3 ปีที่แล้ว +4

    The best presenter wa viwango vya kimataifaaaaa....Suzzet😍😍

    • @baabajosh
      @baabajosh 3 ปีที่แล้ว +1

      I agree.

  • @claudinemaxime936
    @claudinemaxime936 3 ปีที่แล้ว +6

    You will always be the Queen of the Gospel, Christina! Barikiwa!

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 5 หลายเดือนก่อน

      Christina akiwa Queen Rose Muhando atakuwa nani?

  • @erickgodwin3148
    @erickgodwin3148 3 ปีที่แล้ว +11

    "Mchango wa Kwanza no maombi" jamaa Makini Sana..shusho alipojichanganya jamaa alitulia Tu..shusho akasema "amekaa pembeni nae coz eti ni assignment maalum" jamaa anendelea kusema kua ninkumsaidia kumjua mungu zaidi..wanawake waimba injili wengi wanarubuniwa na hao wanaowaita mameneja wasio na hofu ya mungu ndio wanaosababisha kudharau Waume zao..top 5 ya waimba injili wote wamekimbia ndoa zao..it's weird..huyu jamaa nilijua Tu kua no mchungaji wa ukweli sio kamawale wa mafuta na maji ya elfu kumi Lita moja..ngoja nikatazame nyimbo ya shusho inaitwa "NI KWA NEEMA" nimkumbuke hyu Baba mchungaji...

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 ปีที่แล้ว

      Aiseee uliandika….nimekuelewa umeniongezea kufahamu zaidi

    • @Kakwasi
      @Kakwasi 9 หลายเดือนก่อน

      Ndoa isiyofanya vizuri unastahili kutorokwa. Ndoa isilazimishwe. Maana sio lazima. Mtu yeyote awe mwimbaji, siasa wakili, ikiwa ngumu wacha

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 ปีที่แล้ว +14

    Qeen of Gospo is Rose Muhando

    • @dignanyanana3295
      @dignanyanana3295 3 ปีที่แล้ว +1

      So,.Both of them are stop differentiating Gospel singers,

    • @africanqueenmo
      @africanqueenmo 3 ปีที่แล้ว +2

      Muhando is queen of kurukaruka na kupiga kelele na sauti kubwa.

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 3 ปีที่แล้ว +1

      @@africanqueenmo acha wivu

    • @presseg.6362
      @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว

      Rose jembe

    • @saraenock7600
      @saraenock7600 3 ปีที่แล้ว +1

      Mmmh yaani mwashindanisha watumishi mmepungukiwa kila kitu

  • @rehemakaijage1364
    @rehemakaijage1364 5 หลายเดือนก่อน

    Wow Bishop for your lovely God's wisdom.

  • @lightrich790
    @lightrich790 3 ปีที่แล้ว +9

    Napenda busara zako baba barikiwa sana

  • @barakaroman4325
    @barakaroman4325 5 หลายเดือนก่อน

    Wanazingua sana Mungu anaangalia mwisho na siyo mwanzo anamaliza vibaya

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 3 ปีที่แล้ว +4

    Napenda ville wahoji..also hongera Bishop.🙏🙏

  • @dicksonwanyama1689
    @dicksonwanyama1689 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Bishop

  • @sherahm.inspires9969
    @sherahm.inspires9969 3 ปีที่แล้ว +1

    Bishop humble. Power couple. Mbarikiwe maadui washangae

  • @upendodavid3949
    @upendodavid3949 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu alikupa mume mama jivunie

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 2 หลายเดือนก่อน

    Sio Kila kitu ukijibu utachelewa katika safari yako❤

  • @pameladaniel3150
    @pameladaniel3150 3 ปีที่แล้ว +5

    🙏hongera Sana baba kwa busara zako ubarikiwe

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa Sana Baba unahekima Sana hongera Sana

  • @rehemakaijage1364
    @rehemakaijage1364 5 หลายเดือนก่อน

    More grace to you Bishop

  • @claudinemaxime936
    @claudinemaxime936 3 ปีที่แล้ว +3

    The blessed couple of Shusho! Love you! 🌻💐🌻💐🌻💐🌻💐

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 5 หลายเดือนก่อน

    BABA SIKILIA MSIMAMO YAKO USIYUMBE MZEE UPO VIZURI MUNGU.ATAMSHUGULIKIA MKEO

  • @esthergloria
    @esthergloria 3 ปีที่แล้ว +2

    Rose Muhando ndo queen of gospel

    • @emmanuelyambo4143
      @emmanuelyambo4143 3 ปีที่แล้ว +1

      Both of them are vessels used by God that’s what is important.

  • @monalisalebasoto2538
    @monalisalebasoto2538 3 ปีที่แล้ว

    Presenter anakipaji Cha kuzaliwa amazing!

  • @WiseladyBlessedGospelminister
    @WiseladyBlessedGospelminister 5 หลายเดือนก่อน

    But huyu .ni mzee saaana waaa😢

  • @clarenangila9806
    @clarenangila9806 2 ปีที่แล้ว

    Blessing's baba pishop

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 3 ปีที่แล้ว

    Mungu hawatie Nguvu Sana Maana Neno linasema hatukufika Bali tunakaza Mwendo Jina la Bwana libarikiwe kwa kuwa pamoja

  • @peterkemei7168
    @peterkemei7168 3 ปีที่แล้ว

    Kumjua mungu saidi

  • @mosesngatiah6365
    @mosesngatiah6365 3 ปีที่แล้ว +4

    Wa TZ mkijua kizungu kidongo lazima mkifinye ndani ya sentesi.. haha..

    • @filbertleonoratv1304
      @filbertleonoratv1304 3 ปีที่แล้ว +1

      Kuto kusoma pia ni mzigo pole sana.

    • @mosesngatiah6365
      @mosesngatiah6365 3 ปีที่แล้ว +2

      @@filbertleonoratv1304 mm kujua kizungu ni ishara ya kusoma. 🤣🤣. Kutosoma kweli ni mzigo!

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

    Pastor anakuambia poa😀😀😀

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 3 ปีที่แล้ว +9

    Use your hands less beautiful presenter

  • @Augustinojohn-pf3pg
    @Augustinojohn-pf3pg 8 หลายเดือนก่อน

    Mwanaume ni mwanaume tu lakini Shusho yeye karopoka huko htr

  • @nasralema7400
    @nasralema7400 3 ปีที่แล้ว

    Kiswakingi, tusojua hiyo lugha tukaishi wapi

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee

  • @samuelibky8989
    @samuelibky8989 3 ปีที่แล้ว +2

    😍

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dongospel907
    @dongospel907 2 ปีที่แล้ว

    Nisaidieyeko

  • @sokoinemallya1272
    @sokoinemallya1272 3 ปีที่แล้ว

    Kalowa na mzee sana

  • @Miriam84Akizimana
    @Miriam84Akizimana 3 ปีที่แล้ว +1

    Blessed

  • @Nancy-kr6to
    @Nancy-kr6to ปีที่แล้ว

    🤔if you use a language use it properly - no sense in mixing why the
    Fake accent??? from the lady🤨

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahili pls

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee ndo anamiliki zigo, mmh shikamo pesa

    • @edwardkasubi1332
      @edwardkasubi1332 3 ปีที่แล้ว

      Jamaaaani yaani wewe unaonaga zigo tu pale

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 2 ปีที่แล้ว +1

      Wameona kitambo Sana wakiwa vijana kama ni pesa wametafuta wote uyo shusho akiwa ajui ata kuoga akiwa ajui ata kupaka kichwa ragi au mafuta kama ni pesa wametafuta wote kawaida ya mwanaume uzeheka araka kuliko mwanamke Mtoto wao wakwaza ana zaidi ya Mika 25 SASA jiulize kama divio sushi alikua zamani wacha kierehere

  • @beversentertainment1106
    @beversentertainment1106 3 ปีที่แล้ว

    Baraka tele

  • @judithadede3394
    @judithadede3394 3 ปีที่แล้ว

    🌟🌟🌟🌟🌟

  • @gresitimoth4142
    @gresitimoth4142 3 ปีที่แล้ว

    E