huu wimbo ni mzuri Sana kwa Mara ya kwanza nilivyousikia nilihisi kufarijika Sana mungu akujalie maisha marefu yenye baraka tele ili uendelee kumtumikia mungu
Nafurahi kuona umefikia hatua kubwa kabisa kama hii ya kumtukuza na kumwabudu MUNGU Mkuu aliye hai, nakuombea uzidi kubarikiwa na kuinuliwa juu zaidi, in JESUS NAME I PRAY...!!!!
Ninaposikia nyimbo hizi ninafarijika kuwa na ndugu wengi kiroho! Ubarikiwe! usizimie Roho siku moja uimbe mbele ya kiti cha enzi cha Mungu na Mwana wa Adam!
So blessing song .Congrants mtumishi wa MUNGU. Ubarikiwe Sana kwa sauti nzuri.Hakka Bwana amekupaka mafuta umsifu.Mungu akuinue katika viwango vingine. God glory will reign forever.
Very blessing songs with sweet voices may the Lord raise u from one level to another and stablelise u n ua ministry to spread the gospel to all the world and make many know the Lord as Christ and saviour.Amen.
Jina la BWANA libarikiwe ulimwengun pote, kila mwenye pumzi na a amin kua MUNGU yupo na a naishi hivo kila mmoja atengeneze njia yake ili tuonane milele
yani huwa nabarikiwa sana hata hapa ofisini nausikiliza tuonane milele tuonane bandarini huu wimbo umeimbwa na wengi lakini nikisikiliza huu unanipa uponyaji wa nafsi

+Dinu Zeno mungu akupe haja za moyo wako
Amen na Bwana anisaidie
@@marylumambo330 Amen asante ssana mtu wa Mungu Mary.
barkiwa sana tukiwa nach tunakupta mungu akuinue zaid
nafarijika na huu wimbo! Mungu akubariki
hongera ndugu mungu akuinue
Barikiwa mtumishi wa Mungu,Baba wa Mbinguni akutendee mema!Tuonane milele
This song touches my heart. It is simple but with tremendous anointing. God bless you
Ubarikiwe sana mtumishi
Have cried a lot when listening to this song after my uncle's death 😭😭😭😭😭😭😭
Very sory
Bwana Yesu azidi kukuinua kwa kazi zako
Mungu wa mbinguni azidi sana kukutunza katika maisha haya na mwisho ufike kule bandarini..... nimebarikiwa mno mno
Kwel kazi nzur kak mungu akufukuzae kule kunako stail kuimba milele mungu akufikishe bandalin nyimbo imenigusa San kak ang abalikiwe
Sauti zetu tuinue kumsifu mwokozi yule....Amen Amen Hallelujah!
Amen
Ivy S Mtua
So touching,barikiweni sana
wow this song is so blessing to me,God bless u brother
Uko vzur kk nimebalkiwa sna Mungu aendelee kukutumia ili nas tubadlike
nimebarikiwa Sana..... Mungu akubariki
Aaaaameeeeeen! Hasante sana mtumishi Mbarikiwa Mwakipesile kwa ujumbe mzuri!
Bala Ngoi Solomon. Cairo, Misri.
Jina langu ninaitwa Dinu Zeno na siyo mbarikiwa mwakipesile
This song is so touching ❤❤
kaka dino ongera sana kwa kipaji yapaswa kubariwa
tuonane milele tuonane bandarini kule💃💃💃
Kaka kaka Mung azidi kukuinua. Nyimbo nzuri sauti nzuri hakika kibarikiwe kipaji chako.
Amina
So blessing song .Congrants mtumishi wa MUNGU. Ubarikiwe Sana kwa sauti nzuri.Hakka Bwana amekupaka mafuta umsifu.Mungu akuinue katika viwango vingine. God glory will reign forever.
Tutakukumbuka Sana Rais wetu 😭 Magufuliii
Mungu azidi kukubariki mtumishi endelea kuvipiga vita utashinda
My favourite song, God bless you brother
jamani Mungu ni mwema yaani ukisikiliza tu ni upako tosha ubarikiwe kaka
God bless n lift you higher bro. Am being lifted by your songs
Hallelujah my heart break to believe in God Amen
AMEN BRO UKO KENYA AMA
Huu wimbo unanifanya nikaze mwendo maana wakati na muda umekwisha
tuonane milele, tutatawala nae milele, ameeen
Very blessing songs with sweet voices may the Lord raise u from one level to another and stablelise u n ua ministry to spread the gospel to all the world and make many know the Lord as Christ and saviour.Amen.
Amen
Nyimbo za Yesu na tuziimbe milele amina
U r great men of of God! May God bless you.
mungu akutie nguvu
nimefurai kupata nyimbo za tenzi
amen Mungu atutie nguvu ili tusildi nyuma ili tuweze kuifkia bandari salaama....
Mungu akubariki sana
Amen
napenda sn nyimbo hii barikiwa kaka
tuonane milele × 2 tuonane bandarini kule.nice song be blessed brother
mungu akubariki
God bless you brother, your songs are so touching to my soul.
Mungu ametusaidia
Thank U lord be blessed mtumishi
Tuonane bandarini Kule,, tukimsifu mwokozi
mbalikiweeeee watu wawatu
UMENIBARIKI MNO!!
Amen hakikika Mimi natamani kufika bandarini kule napokea kwa jina Mungu alie hai, Barikiwa sana kaka.
Hizi nyimbo zinanibariki zinanipa tumaini jipya
Bwana atusaidie
Bwana awainue nakuwakumbuka ktk huduma
@@peacemanpeace1571 Amen asante sana
@@DinuZeno asante bro Mimi naishi Kenya karibu nampakawa Tanzania tarakea
Naamini siku moja tutakutana tusalimiane unaniinua sana bro
Barikiwa Sana mtumishi
Naependa hii nyimbo kama bado mtoto
Amen
Simeon Deche
Asante yesu
by his mercy we will meet there. ,,,,, be blessed Mr n Mrs zeno
Amen amen Amen
Dorah Baraka
Ubarikiwe na Bwana
Asante sana kaka Dinu. Tenzi, tenzi tenzi...milele na milele Amen
Amina amina hakika mimi natamani kufika kuleeee bandarin" safi sana ndugu"" ubarikiwe mpaka ushangae
Mungu awabari sana nyote waimbaji wa nyimbonza dini endeleeni kudumu mnatuokoa wengi kwa njianya kusikiliza nyimbo tunabarikiwa na kubadili tabia
what good song ilove it
Glory to God almight.
maurice ekai
love this song
love your song inspiration
mungu akubarki
inapendeza sana
Hi songs iko poa
great song. two people dislike the song I think they are cowards. they are afraid to die 😁😁
Sir god akubariki
Amen
Michael Siwingwa
Haleluya Dismas Chukilizo
tuonane bandarini kule unanikuna sana mtumishi ebu tengenezea video uwone nini Mungu atafanya juu yako@
daaa wimbo unanipein sana jmn
Dinu Zeno yyuu
.you 3u
Clara Levilaly 9uu
Cletus Majasho barikiwa
Hallelujah 🙏🙏🙏🙏
naburudika Mtumishi
Barikiwa mtumishiii
ubalikiwe mtuwamungu
Ubarikiwee San lkn nao.b uwek vidio yake
Dinu Zeno ok brothr
nice song, may God bless you! I need audio na kitabu cha Tenzi! how i can get them?
Jina la BWANA libarikiwe ulimwengun pote, kila mwenye pumzi na a amin kua MUNGU yupo na a naishi hivo kila mmoja atengeneze njia yake ili tuonane milele
Nimebarikiwa san
Amen
Barikiwa sana
Amen amen.
stela Mdepa
HALELLUYA
vip
thanks bro, Lango ni lile tu.
Dah! Nimebarikiwa Sana na huu wimbo ooooh hallelujah glory to God
Hakika
@@evarynedeus8426 Ameeen
kazi nzuri video mbona sioni
kaka kazi yako nzuri audio inapatikana wapi nipo makambako
Hatuja sambaza bado lakini bado tupo Dodoma
yani huwa nabarikiwa sana hata hapa ofisini nausikiliza tuonane milele tuonane bandarini huu wimbo umeimbwa na wengi lakini nikisikiliza huu unanipa uponyaji wa nafsi
Duuuh wimbo mzuri sana
Barikiwa mtumishi wa mungu
Nabarikiwa na nyimbo hizi ubarikiwe mjoli wa Mungu
sweet melodies!! God bless... in loving Memory of Beloved Rodah Kilesi and Zipporah Lemein.
amen
Thanks for yua songs , iam an artist too how can i join you
Barikiwa xana
Amen na utukufu kwa Bwana
Amen
Doreen daud kapenj nimefalijik San
Amn
barikiwa
nice song👏👏👏👏
Dinu Zeno Amen.nice job.
Amen
MKIFIKA HUKO MNITAFUTE NA MIMI BANDARINI 0768322941 NITAKAA KARIBU NA YESU
Maomba hiyo ktk 0714085555 tenzi pls
Bwana Yesu azidi kukuinua kwa kazi zako
tuonane milele, tutatawala nae milele, ameeen
Hakika
Barikiwa sana
Amen amen.
Teddy Donatus
Amen
Bwana Yesu azidi kukuinua kwa kazi zako
Glory Ndakidemi tuonane milele I love this song
Amen
Amen