Kwaani kuwakemea wezi wa raslimali za taifa kunahitaji uwe mwanasiasa.Mara ngapi wakina askofu shayo,na wengine wengi wamewakemea wanasiasa,ila mbarikiwa mwakipesile kwasababu siyo mwizi mwenzenu ndiyo maana mmenfunga
MCHUNGAJI NINAKUKUBALI SANA JAMANI KAZI YAKO NI NJEMA MUNGU AKUINUE PASTOR , HAKIKA WEWE NI MCHUNGAJI UNAEIMBA KWA KUMAANISHA KILE UNACHOKIIMBA, TUZIDI KUOMBEANA
Ameen Ameen BWANA NISAIDIE NISIKOSE KULE BANDARINI. ,, 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
kazi njema sana
Yesu awabariki 🙏🙏💪💪❤️🌹👍🙋♀️🌂
Ameen
Always blessed with your devotion to God 🙏
Barikiwa sana mtumishi
Mwenye Alienware aliua Malaika wa mungu.
Mbarikiwa pole sana karma kwa walewauaji ziko.....
Twonane milele tuoname bandarini kule usipange kukosekana pale amina
Mubarikiwe. Waimbaji. Bwana awezidishiye❤
Yaani sipati picha mbele za mwana wa Adamu itakuwaje!! Barikiwa Santa Shujaa na Mch Mbarikiwa
Unanibaliki sana mtumishi
MUNGU akubariki San 👏👏👏👏👏👏👏 kwa Kazi unayofanya
Amen Sana mtumishi
Just keep the spirit.
Really blessed by your worship
Yaan nawapenda SANA, mbarikiwe!
Na Mungu akawe na ww
Mungu yu pamoja nawe
mungu akutunze
Amen 🙏
Natamani niwenakiwango chaimani kamachako mtumishi
MUNGU AKUTUNZE MUNGU akukumbuke uliko gerezan Baba yangu HAKIKA nakosa NENO MUNGU awabariki nyote
Amen
Baba Mtumishi Mungu ana mpango na wewe🙏
Mama angu nitakuona tena kwel??? Hakika ni pengo kubwa umetuachia mama yetu
Mama yenu aliyewaachia pengo🙄🙄, mama yetu Salome bado yupo hai na anaendelea kuimba kama kawaida yake.
Ameeen
Nawapenda najifunza mengi kwenu
Ungeendelea kumsifu tu mungu ila hayo mambo ya siasa ndio yamekuharibia maisha pole
Kwaani kuwakemea wezi wa raslimali za taifa kunahitaji uwe mwanasiasa.Mara ngapi wakina askofu shayo,na wengine wengi wamewakemea wanasiasa,ila mbarikiwa mwakipesile kwasababu siyo mwizi mwenzenu ndiyo maana mmenfunga
Tuonane milele
Amen
Wimbo mziri sana ila studio haukuutendea haki
MCHUNGAJI NINAKUKUBALI SANA JAMANI KAZI YAKO NI NJEMA MUNGU AKUINUE PASTOR , HAKIKA WEWE NI MCHUNGAJI UNAEIMBA KWA KUMAANISHA KILE UNACHOKIIMBA, TUZIDI KUOMBEANA
Tuonane milele
Amina
Ameni barikiwa sana mtumishi
Barikiwa mtumishi ameen
Kwanini umefunga wimbo atuwenzi download
Haujafungwa huo ni wewe na simu yako
Muguakutuze mutumishiwa mugu hukouliko gerezani huoniushuhuda baba muguakulide
Ameen