Nakupenda sana baba yangu cassian nyimbo zako zinanibariki sana 😭😭😭 namuomba MUNGU WANGU WA MBINGUNI AKUTETEE NA AKUPE MAISHA MAREFU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
hakika kamanda wa jehova mungu akupe maisha marefu sana siku zote mbeba maono hafi kizembe Mungu wa mbingun azid kuku2mia sawa sawa na kusud lake barikiwa sana kwa nyimbo zako binafs nazipenda na nazikubali sana zina ujumbe mkubwa sana nataman siku siku moja niimbe kama wewe barikiwa sana shujaa wa iman 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Woooow! So Amazing mtumishi. It doesn't matter what but let always keep our trust and hope to our God. He is capable of removing every mountains in our lives and calm every storms we go through. Thank you for the teaching through the song. Good work.
napend kusikia nyimbo zako kila kuitwapo leo maana nyimbo zako ndizo zinaonekana za tofauti zaidi kuliko za wasanii wengine wa sasa. Mungu akuinue uwe na maisha mema yenye baraka, usikate tamaa kwa vitisho vya maadui wako kwani aliye kuinua ndie huyo atajua namana gani ya kukulinda baba yangu ubalikiwe sana
Ni nani atakae simama TANZANIA hii na kuisema kweli ili aipoteze nafsi yake ,na panda iliapo basi awe yuko hai hata milele. Mtumishi nakuombea Mungu akutie nguvu pale unapopitia changamoto. Maana wengi watumishi wameikataa iliyokweli na wakiitukana iliyo kweli lakini Mungu ni wa huruma anawaita warejee watu kabla rehema haijafungu pamoja na utumishi wao wasije kufungiwa nje❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏
Sijawahi kuona unanianguka katika utungaji wako najuwa kuwa huu wimbo utabariki wengi, watumaniawo BWANA wetu YESU KRISTO 🙏 @Evangelistejohnzakaria toka 🇨🇩
Wangapi wanamkubari huyu mtumishi paschal cassian kama mm gonga like
Siyaona tanzania kama pascal cassian, nyimbo nzuri sana,kila asubuyi naomba nayi nyimbo 🙏🇨🇩😭
Imani mbele hofu nyuma🔥🔥 nyimbo ni fire!
Ujawahi kosea paschal nyimbo zako nikali sana nazipenda
Mungu ni mkubwa💖💖💖
Mungu akuinue zaidi na akupe Kibari kila umtukuzapo, utukufu udhihilike pote kama alivyo kukusudia barikiwa sana mtumishi mwema unanena vyema
God bless you man of god🇨🇩🙏
Mungu ni mwaminifu kila wakati 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤neema izidi kukubeba mtumishi wa Mungu kutoka Kenya 🇰🇪 twapenda kazi
Mtu wa maana kabisa huyu Mtumishi, Ubarikiwe Sana na Mimi kama msikilizaji Namuamini atajibu kwa wakati🙏🙏🙏🙏
Nakupenda sana baba yangu cassian nyimbo zako zinanibariki sana 😭😭😭 namuomba MUNGU WANGU WA MBINGUNI AKUTETEE NA AKUPE MAISHA MAREFU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hallelujah hallelujah, naomba neema yakushinda ya ulimwengu MUNGU wangu
Merci Seigneur Jésus-Christ car tu es fidèle et tu es le seul Dieu tout-puissant .
Nous t'adorons le roi de roi .
Uko vizuri mtumishi wa mungu ubarikiwe sana utafika mbali
hakika kamanda wa jehova mungu akupe maisha marefu sana siku zote mbeba maono hafi kizembe Mungu wa mbingun azid kuku2mia sawa sawa na kusud lake barikiwa sana kwa nyimbo zako binafs nazipenda na nazikubali sana zina ujumbe mkubwa sana nataman siku siku moja niimbe kama wewe barikiwa sana shujaa wa iman 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Woooow! So Amazing mtumishi. It doesn't matter what but let always keep our trust and hope to our God.
He is capable of removing every mountains in our lives and calm every storms we go through. Thank you for the teaching through the song. Good work.
❤❤❤
Huu wimbo umenibariki siku ya leo God bless you brother in Christ
Amen Hallelujah MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU kwa wimbo mzuri
Japo tunaona tunachelewa kujibiwa imetupasa kuendelea kumuamini YESU yeye anafanya kwa wakati wake❤❤❤
Huu wimbo unapasua mpaka anga za USA 🇺🇸 hapa mtumishi.❤❤
Amen and amen, glory be to God in heaven... Am confident with you lord in every thing I do and expect
napend kusikia nyimbo zako kila kuitwapo leo maana nyimbo zako ndizo zinaonekana za tofauti zaidi kuliko za wasanii wengine wa sasa. Mungu akuinue uwe na maisha mema yenye baraka, usikate tamaa kwa vitisho vya maadui wako kwani aliye kuinua ndie huyo atajua namana gani ya kukulinda baba yangu ubalikiwe sana
Ni nani atakae simama TANZANIA hii na kuisema kweli ili aipoteze nafsi yake ,na panda iliapo basi awe yuko hai hata milele. Mtumishi nakuombea Mungu akutie nguvu pale unapopitia changamoto. Maana wengi watumishi wameikataa iliyokweli na wakiitukana iliyo kweli lakini Mungu ni wa huruma anawaita warejee watu kabla rehema haijafungu pamoja na utumishi wao wasije kufungiwa nje❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana kwa nyimbo za baraka kwetu hapa saudia
Barikiwa SANA MTUMISHI WA MUNGU Kwa wimbo MZULI!
Asante Bwana Yesu Kristo kwa sababu wewe ni mwaminifu na wewe ni Mungu pekee mwenyezi.
Tunakuabudu wewe mfalme wa wafalme.
Mungu asidi kukujaza roho mtakatifu na akulinnde kwa neema zake ubarikiwe sana mtumishi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hakika uwe na maisha marefu Cassian nyimbo zako twazipenda sana kila la heri katika utumishi wako
The song this difficult moment into my family..God I trust You
Mungu akubaliki sana kaka yote tukamlaki yesu mawinguni
❤❤❤❤❤Amina, Amina Mungu akubariki sana❤❤
Amen 🙏
Barikiwa sana🎉
Saruti kwako Kaka unanipa nguvu ya kusonga mbele katika safari ya mbinguni nyimbo zako ni mahubiri tosha
Kazi safi mtumishii.., naomba Mungu akufunulie uimbe kuhusu ufasidi cku moja❤❤❤
Perfect my dear brother much love from your sister in Christ from Kenya, may our father Yahweh lift you to a higher level
Mwamba kabisaaaa
very powerful song God bless you mtumishi
Pourquoi les chansons comme celle-ci n'ont pas des vues.? 🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🔥🔥🔥🔥hongera kamanda
❤❤
Nakuaamini hutoniacha Mungu,nakuaamini🙏🙏🙏🙌 Barikiwa Mtumishi
Nyimbo zako huwa zina ni bariki
Mungu tufunike kwa damu ya Yesu kristo
awuna mbaya mutu mishi wa mungu mungu akupe kibali🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉
Barikiwa mtumishi🙏
Amen 🙏🙏🙏 Amen
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mungu akubariki
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu cassian nakukubali sana, good song. ❤❤❤🎉🎉🎉👍👍🙏🙏
Nyimbo zako zinautukufu mtumishi
Huyu ndiye pascal ninae mjua
Haijalishi mapito tunayopitia Yesu alisema hatatuacha hadi mwisho wa dahari tuzidi kuamini wimbo mzuri saaaana mtumishi barikiwa saaaana ❤❤❤
Sijawahi kuona unanianguka katika utungaji wako najuwa kuwa huu wimbo utabariki wengi, watumaniawo BWANA wetu YESU KRISTO 🙏 @Evangelistejohnzakaria toka 🇨🇩
Nyimbo mpya
Hee Kuna Jambo MUNGU anatenda
Nakuamini BWANA hutoniacha, hallelujah
Munguakulinde❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe Sana Mtumishi Kwa Gospels 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nice song mutumishi we are praying for you man of God mungu hakuachi anatengeneza njia be blessed
Jikaze mungu anakupenda uzirudi nyuma walio wake lazma tuyapitie 🙏🙏
Mchungaji napenda sana ujumbe wako Asante Mungu kwa mjumbe wako huyu anatufungua macho ya kiroho na kimwili..Uinuliwe Mungu uliyejuu
Amen na ubarikiwe
Barikiwa
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Great 🙏🙏🎉
Nakuamini mungu wangu Amen
Amina mtumishi wa Bwana.
Que Dieu soit loué et remercié 🙏
Endelea na uimbaji acha tu kutukana wapakwa mafuta.
C'EST bon 🙏
Nakukubali mtumishi wa Mungu. Mungu akuepeshe na wote wanaokuwazia mabaya.
❤❤ameeni baba amen🙏🙏🇹🇿🇹🇿
God is good all the time❤
Hongera mapema kweli
Ubarikiwe mutumishi wa christu 🇨🇩🇨🇩
Oooh Amen amen Nakuamini mungu wangu 🙏🙏
Good song
Njema sana hii 😊
Kazi njema sana
Amen amen 🙏🙏🙏
Kweli mungu akupe nguvu mutumishi
Trou^ bien, merci beaucoup
Nice song mutumishi wa mungu mungu akupe tu nguvu
Amina ❤
Wimbo huu umegusa maisha yangu
Much appreciation on you
Amin
Amina
Sauti ya mtu aliae nyikani
Kabisaa
Mshindi ni Mungu
Nice song pascal be blassed
Amen 🙏 pastor cassian amini
AMINAAA
I really appreciate you at all.
So touching
Amen
Nakuamini MUNGU 🙏🏻
God bless you 🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🙌
🙏🙏🙏
God bless you!
🙏🙏