Hallelujah❤ hallelujah❤ hallelujah❤,nimepitilia mangumu Sana baada ya kuoa,watoto wangu wawili kufa,na kukaliwa na wazazi wangu,Hadi katika haya yote,sijakufa moyo.hata Kama napitilia mangumu kwa wakati huu najua,sijachelewa mungu yupo wa kuheshimiwa mtu❤
Nkiwa na we NDAni ntapona na kupata watoto wengine.licha ya kuwa nmekuwa nilipata wanakufa.yesu ntie nguvu na najua tuko wingi tunakuhitaji hututendee Kwa mambo mengi.
Amina wimbo huu umenitia nguvu na ufariji mkuu .hii ni baada ya kuachwa na mwenzangu wa ndoa na kuona malengo yetu tuliokua tumepanga mapema 2024 kwamba yamefika kikomo lakini kumbe sijachelewa bado itatimia kwa mapenzi ya Mungu
Bwana yesu najua kila kitu kinafanyika ndani ya maisha yangu naona kama nimechelewa lkn iyo ni kwa macho ya mwanadamu tu Bali wewe yesu umenipangia mazuri kuliko vile nafikiria ❤
Hakika yenye napitia Kwa Sasa ni wewe Mungu wajua ila sitafa moyo kwa kua nikiwa nawe sijachelewa
Indeed God's time is the best time🎉🎉🎉
❤
Nikiwa na wew ndani yangu sijachelew eebwana naomba ujibu haja ya moyo wangu❤️❤️❤️❤️❤️
God is our trust
Nikiwa nawe bwana sijachelewa, najua utanitimizia mahitaji yangu bwana, Ameni🙏🙏
Indeed Amina 🙏 God is our trust.
🙏@@polycarpkinanga6839
Venye nimepiti kwa maisha watoto wangu wote kufa badye niko like sina mtu yeyote kumbe mungu cjajelewa my father
My sister there's this one story that gives me hope and faith in my great God,,, Job lost everything BUT God restored even better 👈
God will give you hope,,,Kama mti uliokatwa unaweza kujipuka tena
Ulisoma story ya Jemimah..isome tena na ukee hiyo spirit
Indeed sister❤
Ni kitabu gani ,if I may asked please
Am not late with you my father najua utajibu maombi yangu my lord
God will do in his time
Very touching songs holy spirit of God take over in my life and in my children 🙏🙏🙏
Take over God🎉🎉🎉
Amen thanks to the lord am so blessed..may the Lord Almighty bless you
Amina🎉🎉🎉
Nikiwa nawe sijachelewa bwana Kwa hili ninalo pitia kwa Sasa 😢😢😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏
Indeed He is our trust🎉🎉🎉
Baba naomba unikumbuke maana sijachelewa nikiwa na wewe ❤
Amina He is always our trust🎉🎉🎉
Nikiwa nawee mumgu wangu.sijajelewa kupata babyboy
Amina 🙏 God is our trust.
Hii Wimbo yanipea amani n matumaini katika maisha be blessed
Amina 🙏 barikiwa Sana kwa Jina la yesu.
Nikiwa na Bwana sijachelewa
Good message🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hallelujah❤ hallelujah❤ hallelujah❤,nimepitilia mangumu Sana baada ya kuoa,watoto wangu wawili kufa,na kukaliwa na wazazi wangu,Hadi katika haya yote,sijakufa moyo.hata Kama napitilia mangumu kwa wakati huu najua,sijachelewa mungu yupo wa kuheshimiwa mtu❤
Indeed don't give up God will make it for the better tomorrow❤❤❤
Mungu ni mwema nahitaji bwana unitimiye kama chombo Chalo eeemungu wangu sikia kilio changu
@MarylineMaryline-qx5qw may God answer you my sister 🙏
@MarylineMaryline-qx5qw indeed He will
Amen
🙏🙏🙏Amina mtumishi ubarikiwe na Bwana wetu Yesu Kristo 🙏🙏🙏
You too Amina🎉🎉🎉
Hakika yale nimepitia ni mungu tu naamini nkiwa na mungu bado sijachelewa
Indeed God our trust🎉🎉🎉
Nkiwa na we NDAni ntapona na kupata watoto wengine.licha ya kuwa nmekuwa nilipata wanakufa.yesu ntie nguvu na najua tuko wingi tunakuhitaji hututendee Kwa mambo mengi.
God see us through 🙏
thank you Jesus
Amina🎉🎉🎉
Hata mm sijakata tamaa bado❤❤
Indeed God's time is the best time🎉🎉🎉
Thankyu lord amblessed
Mungu ni mwanzo na mwisho bwana yesu aendee nasi
Amina may God go with us in this new year 2025🎉🎉🎉
Najua sijachelewa bwana ingawa nasemwa sana nimechelewa kuolewa ila kwa mungu bado sijachelewa
God's time is the best time🎉🎉🎉
To God, it has never been early or late but He is always on time.
Indeed🎉🎉🎉
Am encouraged to know that am not late so long as I remain in Christ JESUS.His timing is the best and most convenient.AMEN
Indeed Amina🎉🎉🎉
Amen Mungu kwa nafasi nyingine ya pili
Amina🎉🎉🎉
O lord hakika ni.ebarikiwa kupitia huu wimbo Amen and Amen
Amina 🎉🎉🎉
Amen mungu Nina atakupa nafasi ya piri
Indeed Amina🎉🎉🎉
Amen Amen Bwana yesu asifiwe sana mtumishi WA mungú nilifikiria Kwa Yale nilipitia sitasimama Tena kumbe sijelewa
God has good plans for each of us Amina🎉🎉🎉
Indeed nikiwa na Mungu ndani yangu sichalewa🎉
@@victorkibet7765 indeed is our trust 🙏🙏🙏
Very touching song..
Let the power of GOD guide you through the name of Jesus
Indeed Amina🎉🎉🎉
Glory to God in his presence nothing is impossible good song 🙏🙏❤️
Indeed❤
@@SalmaKokha Amen 🙏
Inspired by the song God bless
Amina 🙏
Amen roho wa bwana tawala SASA maishani mwangu.
Amina🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉be blessed 🙏🙏
Amina 🙏🙏🙏
Nyimbo zizuri❤ mwenyezi Mungu akuzidisie kipaji ubarikiwe 🙏
Amina🎉🎉🎉
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 ❤❤❤❤
Amina🎉🎉🎉
Roho roho wa bwana tawala tupone tupone Yesu ❤❤❤ asante Masia wangu
Amina🎉🎉🎉
Mungu unapo bariki wengi usinisahau nami🙏
Amina
Powerful worship ❤
Amina🎉🎉🎉🎉
Amina🎉🎉🎉
There is still a hope🙏🙏
Indeed Amina
Amen mungu unapobariki wengine naomba usinipite
Amina
Baba yangu naomba nikumbuke
Amina🎉🎉🎉
Mungu pia mmcjachelewa naomba2 unitimizie hitaji langu
Eeeh my God
Truly He is our trust🎉🎉🎉
Wamebarikiwa wanaomtumainia Mungu❤
Thank you God 🙏🙏🙏 niliona kila mtu aliniaja kumbe kuondoka kwao ukabaki na Mimi sichachelewa
God will not leave you🎉🎉🎉
Amina wimbo huu umenitia nguvu na ufariji mkuu .hii ni baada ya kuachwa na mwenzangu wa ndoa na kuona malengo yetu tuliokua tumepanga mapema 2024 kwamba yamefika kikomo lakini kumbe sijachelewa bado itatimia kwa mapenzi ya Mungu
God of all possiblity and good plans that we all trust
God let your will be done 💕.
Amen.baba.amina.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Indeed Amina🎉🎉🎉
It's true, with GOD sawa
Indeed we're not late🎉🎉🎉
Amen barikiwa sana hii nyimbo imefanya nimelia mungu tawala maisha yangu
Holy Spirit in control🎉🎉🎉
Amen kumbe cjachelewa
Indeed my sister wote walio na yes hawajelewi kamwe🎉🎉🎉
@polycarpkinanga6839 Amen 🙏
Glory be to Jesus's
Amen🎉🎉🎉
Let God be with you man of God
Amina🎉🎉🎉
Hakika nikiwa nawe ndani yangu sijachalewa wacha mungu atukuzwe
Amina🎉🎉🎉
Amen 🙏 barikiwa bro
Amina🎉🎉🎉
Amen,,,,,Hakika sijachewa
Indeed Amina🎉🎉🎉
It's a touching song,be blessed
Amina🎉🎉🎉
Am so blessed 🙌
Glory to Almighty God🎉🎉🎉
Powerful worshiper be blessed bro
❤❤❤ welcome my sister in Christ🎉🎉
Remember me Lord 🙏
Is our time🎉🎉🎉
May God bless you 🙏
Amina🎉🎉🎉
Amen🙏🙏
🙏🙏🙏
Glory to God
Amina
Glory be to God ❤❤❤❤so much power full bro be blessed
Indeed Amina🎉🎉🎉
Mungu wa Israel atusamehe na aenende nasi kutoka sasa , a blessing song
Amina❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen Amen Amen
Amina🎉🎉🎉
Jeremiah 29:11 for 0:06 i know the plans i have for you,,, ❤❤❤❤
Glory be to God through this worship 🙏
Indeed Amina🎉
Hakika mungu achelewl walae
Indeed Amina🎉🎉🎉
Am so blessed by this worship,,nikiwa nawe sijachelewa:
Abraham and Sarah were blessed with a child kwa uzee.
Hannah akampata Samuel
Amina❤❤❤
Indeed Mungu hajelewi,,, God's time is the best time❤❤❤
Hey good song God bless you.
Amina🎉🎉🎉
Bwana yesu najua kila kitu kinafanyika ndani ya maisha yangu naona kama nimechelewa lkn iyo ni kwa macho ya mwanadamu tu Bali wewe yesu umenipangia mazuri kuliko vile nafikiria ❤
Indeed Amina 🙏
Amen 🙏 🙏 barikiwa sana
Amina
Wonderful ❤❤🎉🎉
❤❤❤
Amen God bless 🙏
Amina❤
Nice song brother God bless you more
Amina🎉🎉🎉
Nahisi ujazo spiritually through this worship for really 🙌
Amina ,,, indeed it carries really power of God🙏
Oh God fight for me it in this season am going betrayal ...am looking for my daughter Justice. In stead Agent is against it.
May God interview,,,, is our trust❤❤❤
Glory to God.
Indeed Amina ❤ ❤❤
Am blessed,to God be the glory 🙌
Indeed my sister in Christ 🙏
God bless you brother
Amina🎉🎉🎉
Glory be to God ❤❤❤❤
Amina🎉🎉🎉
Glory to God nikiwa Nawe bado sijachelewa
God has good plans for you
very powerful.be blessed
@@marsianamsunza8172 Amina thanks 🙏
Powerful be bless
Amina 🙏
Powerful song naishikia nainuliwa
Amina❤❤❤
Indeed when have him in your life you'r not late😂😂😂😂😂
Indeed Amina❤
Be blessed
Amina
More grace upon you
Amina🎉🎉🎉
Ubarikiwe bro
Amina🎉🎉🎉
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
🎉🎉🎉❤
Amen sure
Amina
Glory be unto God
Indeed Amina🎉🎉🎉
Glory be to God ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Amina🎉🎉🎉
@ ❤️🔥❤️🔥❤️
Indeed my sister in Christ🎉
@@polycarpkinanga6839 I thank God I have a worship which I listen almost 10times a day,May God continue blessing you abundantly
Indeed more grace🎉🎉🎉
Powerful 🙏
Indeed Amina ❤❤❤
🙏🙏🙏🔥🔥
Amina🎉🎉🎉
Naipenda ❤
Thanks brother🎉
Amen amen
Indeed Amina🎉🎉
Ubarikiwe sana ulienda wapi
Mwinjilist ni mtembezi,,,Amina🎉
Iko vitii brother
Sana
God is good
Indeed in all times
nimeskiza hii wimbo ad nitaadika yangu plz pray for me on Monday niko studio,,
Amina🎉🎉🎉
Hapa Kisumu bodaboda hii ndo song naona kila mmoja wetu naona anaweka akijukuwa wateja😂😂😂
Amina 🙏