Aliye kuja kusikiliza huu wimbo Baada yakujulishwa kuwa BABA YETU J P M Amefariki Dunia Gonga like twet sawa huu wimbo ni wafaraja kwa Watanzania kipindi hiki kigumu
Naona kupona yako mtumishi wa Mungu, Nilipo kuwa nasikia huu wimbo hakika moyo wangu umejaa machozi Hivo bas Yesu mweny miujiza amenihakikishia kupona kwako. Nakuandika kutoka Canada
Kiukweli nakupenda sana kaka yangu Paschal Cassian . Nashukuru Mungu kwaajili ya utumishi wako, unanibariki na kunifunza mengi pia namrudia Mungu Kila nikisikia huu wimbo na nyimbo zako zingine. Mungu akusimamieeee
Hakika,Mungu wetu ni mkuu ndiye awezaye kuponya na kuokoa .Asante Mungu kwa kunyosha mkono wako wa uponyaji kwa kiumbe huyu uliyemuumba hakika wewe ni Mungu usiyeshindwa na kitu chochote.
Eeeeeeh Mungu wangu Uko wapi Tenda Miujiza katk maisha Yangu Yesu Naiua macho yangu Natizam Mulima Msaada wangu Utakotak wapi Amn Niguse Mungu Niguse Mungu
This song is directly speaking to my country Kenya 😢😢😢God is communicating,it’s high time we go back to our knees and ask God for mercy upon our country 😭🙏it is too much.
Napenda sana nyimbo sak kaka maan nikisikiliza kunakitu kinaingiya moyon.ata.kama nilikuwa nina mawaz yanatoka mungu akulinde na akupe afya uendelee kumtumikiya yey
Hakika mungu ni mwema in wachahe sana wenye ujasiri kama wako kuna wengine wanapopitia haya wanasahau kma Luna mungu yupo ,,, ubarikiwe sana zidi kupokea uponyaji mtumishi was mungu,,
Ameeen hij ni kweli kabisa mimi nlimjua Mungu zaidi wakati wa kifo cha mamangu, ndipo Mungu aliniubiyia injili ya kweli nikajikuya kumbe nlikuwa mkristo jina tu bila kujua
tambua kaka kuna wakati matatizo huja kwetu tunaomwamin bwana ili kupima imani yetu tumuchae,hivo kwa hili shetani kajutia kukujaribu mana nia na Leo lake ili umukane Mungu,lakini kwa apo naamin amejionea vile Mwenyez Mungu alivo na nafasi kubwa katka akili yako na maisha yako naamini hakika atakuponya ili haya yote uje kuyasimulia,,Mungu wetu ni mkuu siku zote kwa wale wamwaminio na kumcha katika mapenzi yao ya dhati,hakika bwana ni mwema siku zote,,ameeen🙏🙏🙏🙏
Hakika tunapaswa kuutafuta uso wa Bwana kwa nguvu zote lazima tumrudie Mungu na tujue ni wapi tulipo kwama maana Mungu abatafuta mtu wa kusimama mahari palipo bomoka
Hata mimi nimeiwekea "repeat" mara kazaa. Ni nyimbo nzuri ya toba. Tangu miaka kazaa, nyimbo hii imekaa kwenye Flash disc yangu. Kabla kulala, tunafata hii nyimbo, mimi na jamaa yangu
miungu inaweza kuleta maumivu lakini Mungu anatatua ila miungu haiwezi kuitatua maumivu au ghadhabu yake Mungu ikiwa si mapenzi yake Mungu uwe katika hali hii; ila iwapo ni mapenzi yake basi nayatimizwe kwako mpendwa kupitia uponyaji kamili,wimbo huo unaguza mioyo.Tunakusikiliza toka Kenya,barikiwa sana ndugu.
Je suis sénégalaise mais j'adore pascal kassian, un vrai artiste!!!! Son morceau Chuki y'a Nini je l'écoute sans cesse! Une pluie de grâces sur lui💞🙏🏽🙏🏽✌👌🤝🏽
Ça signifie «la haine pourquoi ? » ou encore «pourquoi de la haine » et cette chanson signifie «retourne » dans le royaume de Dieu , je suis congolaise et le swahili est une langue courante ici
Wimbo huu umenigusa sana hasa wakati huu ambao Dunia imekumbwa na janga hatari la Corona,,,watu wanapoteza wapendwa wao kila siku kwa Corona,,wamekosa pa kukimbilia lakini wimbo huu unatuimiza kumrudia Mungu wetu kwa toba ya kweli kwakuwa kwake hakuna linaloshindika🙏🙏 Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu👏
Daaah nilipokumbuka huu wimbo nimecompare na hizi ajali , maporomoko ya magorofa kariakoo, vifo vya Wasanii , na Viongozi wa Nchi ,,,,.Turudi kwa Mungu wetu
Tears can't stop coming from my eyes while listening to this song turudi 😭😭😭 be blessed my brother and you have really touched me with the song though i just heard it some few days ago
Kweli umechagua fungu lililojema kipaj kinatoka moyoni kwakweli japo bado haujapona vizur lakini unawaza kumtumikia mungu japo u mgonjwa pole kakaangu... Naimani wengi tutapona kupitia ww naimani tunarud 🙏
Pascal cassian kaza kaka mungu anakutegemea kuwafungua katika njia ambayo hawakutegemea kama watatoka ila kwa nyimbo zako zinatupa nguvu respert nyingi kwako maana naweza hisi majaribu yangu makubwa kumbe kinawengine makubwa zaidi yangu Mungu yu upande wako na upitapo kwenye magumu sana neema ipo karibu sana vumilia na maliza mtihani huu ulio nao
Kama na wewe ulipousikia wimbo huu kwa mara ya kwanza umeuwekea 'repeat' zaidi ya mara zote kama chaguo lako la siku.....tupia like yako hapa!
Mmm
Bnppppppp99ooo
Hjuuiuu7uuurfcççcgfyyy go e me
🙏🙏🙏
So emotional song
Mimi kila siku
Nimeupenda
😊❤
Huo
Wimbo
Malayangu yakwanza kuhangalia,huu wimbo lakini machozi yatililika,basi nipeni likes zenu ingawa siko mutanzania all the way from USA
Bravo mon chéri
Kusema kweli wimbo unaliza
Kama unaamini huu wimbo unatushuhudisha kwa sasa katika nchi yetu nipe like yako, barikiwa kaka Paschal
Sauti ya huruma.... God bless you. Wapi likes za 254
Kenya tunapenda sana Pascal anavyio tubariki na nyimbo zake
Mungu akuponye kwa gafla
Abarikiwe sana huyu ndugu yetu
Life
wimbo hu ni wamachozi sana ujumbe unao ukweli ni kwamba tuombe sana mungu tu ndio anabeba uhai wetu
Wapi like za wakenya tunaumia kwa sahi inchi yetu ina shida mingi, majoonzi tele kenya tumrudie mungu gonga like Kama unakubaliana 👇
Aliye kuja kusikiliza huu wimbo Baada yakujulishwa kuwa BABA YETU J P M Amefariki Dunia Gonga like twet sawa huu wimbo ni wafaraja kwa Watanzania kipindi hiki kigumu
Mungu atutie nguvu kwa wimbo huu. Kaka mungu akubiki kwa wimbo huu.
Ubarikiwe Mtumishi!
Tanzania is A GOSPEL POWER HOUSE. Huu wimbo wa upako kwa kweli . Sauti ina bembeleza ukweli
Walio kuja hapa baada ya Mungu kumchukua Jembe President like hapa Mungu atabaki kuwa Mungu tu
Tupo😭😭
Sijachelewa hapa
Tupo
😭😭😭
Kuna watu ni manabii i say
Hakika kwa sasa tanzania huu wimbo unahusika sana😭😭😭be blessed pascal
Hakika
Wee ndo muimbaji wainjili Bora Kwangu na itaendelea kuwa ivyo kwakua unaimbia rohoni napenda Sana
MUNGU WANGU KATIKA JINA LA YESU NAOMBA UNIPE MWISHO MWEMA😢😢😢
Hadi nimelia jaman
Amen
pole enyewe n uchungu
Ubarikiwe mungu mwema Sana kweli tumrudie yeye
Asant mungu
Pascal umeniliza kwa hisia ....daaaah basi tu....kweli mungu hueza kuhubir katk matatzo
Nimekuja hapa baada ya kupata taarifa za kifo cha mh. Rais mpenzi na kipenzi cha watanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Ee Mungu tunusuru
Kaka ww ni fundi binafsi nakukubar sn hata nilivyo sikia umepata ajar nilihuzunika sn nakupenda kaka yangu
Jaman
Kayanda Mungu akubariki
Naona kupona yako mtumishi wa Mungu,
Nilipo kuwa nasikia huu wimbo hakika moyo wangu umejaa machozi
Hivo bas Yesu mweny miujiza amenihakikishia kupona kwako.
Nakuandika kutoka Canada
Dunia ya mambo na mambo yake, hakika yatakwisha tu turudi tu
Kaka kweli hayo yote ni kweli manabii waiongo niwengi Sana mungu akupe welesi was.afya yako
Mungu akutie nguvu kaka ujumbe umefika
I think am a number 1 fan of this song here in Kenya...i love and love this song,... likes za +254
Tuko wengi akiiik😢
Tuko wengi 254
Wee ni Shujaa piga kazi ya Mungu kwani amekuokoa na kifo. Barikiwa mno
Ww nixhujaaa hakeka bwana hatakuacha
R.I.P wahanga waliofariki kwenye ajari ya gari ya mafuta Morogoro,hakika Mungu anasema nasi kupitia huu msiba kwa taifa letu pendwa la Tanzania
Kiukweli nakupenda sana kaka yangu Paschal Cassian . Nashukuru Mungu kwaajili ya utumishi wako, unanibariki na kunifunza mengi pia namrudia Mungu Kila nikisikia huu wimbo na nyimbo zako zingine. Mungu akusimamieeee
Turudi sauti inabembereza mungu atakusaidia kaka angu
Mungu anatafuta wa kujenga palipo bomoka ni mim na we mpendwa
mungu mwema
Polesana munguwetu siokiziwi asikusikie
Amina
Umeonyesha Mungu amekuita kumtumikia, kwani japo uko ktk maumivu lakini bado unamtumikia Mungu
Kweli KBS huyu kiukweli anampenda Mungu toka moyoni. Mungu atamponya kbs
Mungu akuponye ubarikiwe sana shetani hana nafasi katika bwana vita tumevishinda na tutashinda vita.
Nice and encouraging gospel, kongole wa tz
Amen Amen mtumishi wa mungu am blessed glory to God
Michael Nkonyoka kabisaaa
2023 still listening to the voice of God through this wonderful servant
Fellow Kenyans, come here and listen to this beautiful message that will give us courage and consolation
Wimbo wenye mafundisho mazuri 🇰🇪
Hakika,Mungu wetu ni mkuu ndiye awezaye kuponya na kuokoa .Asante Mungu kwa kunyosha mkono wako wa uponyaji kwa kiumbe huyu uliyemuumba hakika wewe ni Mungu usiyeshindwa na kitu chochote.
Amen
Amina kubwa
Ameni mtumishi wa mungu
Eeeeeeh Mungu wangu Uko wapi Tenda Miujiza katk maisha Yangu Yesu Naiua macho yangu Natizam Mulima Msaada wangu Utakotak wapi Amn Niguse Mungu Niguse Mungu
Inaguza sana!
This song is directly speaking to my country Kenya 😢😢😢God is communicating,it’s high time we go back to our knees and ask God for mercy upon our country 😭🙏it is too much.
So true
❤ 0:53
VERY true 😢😢😢😢
Napenda sana nyimbo sak kaka maan nikisikiliza kunakitu kinaingiya moyon.ata.kama nilikuwa nina mawaz yanatoka mungu akulinde na akupe afya uendelee kumtumikiya yey
Nani anasikia wimbo huu hasa ktk kipindi hiki kigumu kwa taifa letu la Tanzania
Asante Mungu 😊 kwa upendo wa Sauti ❤
Unae angalia wimbo huu mwaka 2020 gonga like yako hapa
😭😭Mungu akusaidie upone urudi kwenye majukumu yako kama zaman 🙏🙏
Nimeona ameshikilia catheter mkononi!
Mungu amponye Kwa kweli
Amin.nawe upokea uponyaji Kwa jina la yesu. Kwa mungu yote yawezekani maana hakuna limshindalo huyu baba yetu.be blessed
Hongera sana Kaka,nakupenda sana kweli Mungu amekuita una huduma ndani yako Mungu hawez kukuacha milele
Hakika turudi Mungu atuhudumie
🇲🇿 ibarikiwe msumbiji yetu tuishi kuaimani amina
Hakika mungu ni mwema in wachahe sana wenye ujasiri kama wako kuna wengine wanapopitia haya wanasahau kma Luna mungu yupo ,,, ubarikiwe sana zidi kupokea uponyaji mtumishi was mungu,,
kaka CD za nyimbo zako nitazipataje
@@halmamagege7466 safi saana kaka mungu akuponye kwa kwli
Mungu naakuponye kakaangu ww tu ndio pacha wangu nakupenda sana kaka
Mungu atamponya from 254
mngu nimwema akuponye mtumishi wamngu
Nakukubali sana Paschal Cassian, mtoto wa mwanza
Daaa inauma sana aiseee mungu akuponye urd kama zaman
Mungu akubariki
Turudi!!! Ujumbe mzuri sana. Pokea uponyaji mtumishi
Wimbo mzuri Mungu aendelee kukuponya kaka
Mungu akulinde pole sana brow uwo ndoo ukweli kabisa
Gonga like kama unasoma huku unasikiliza
JPN Tv Mimi tena niko nasoma huku nalia kabisa wimbo unaujumbe mzuri pia namuonea huruma kweli maumivu anayopita nisile yake tu mangu amsaidie apone
Mungu akutetee mtumishi
Mungu akusaidie kaka katika mapito ya kuumwa unayoyapitia.
Barikiwa kaka
Nabarikiwa sana kwakweli,,,,Mungu azidi kukutumia kama chombo
Ameeen hij ni kweli kabisa mimi nlimjua Mungu zaidi wakati wa kifo cha mamangu, ndipo Mungu aliniubiyia injili ya kweli nikajikuya kumbe nlikuwa mkristo jina tu bila kujua
Uonapo misiba inatawala katika taifa letu,
Nisauti ya Mungu inaita.
Rest in peace Magufuli 😭😭😭
Barikiwa sana Mtumishi
tambua kaka kuna wakati matatizo huja kwetu tunaomwamin bwana ili kupima imani yetu tumuchae,hivo kwa hili shetani kajutia kukujaribu mana nia na Leo lake ili umukane Mungu,lakini kwa apo naamin amejionea vile Mwenyez Mungu alivo na nafasi kubwa katka akili yako na maisha yako naamini hakika atakuponya ili haya yote uje kuyasimulia,,Mungu wetu ni mkuu siku zote kwa wale wamwaminio na kumcha katika mapenzi yao ya dhati,hakika bwana ni mwema siku zote,,ameeen🙏🙏🙏🙏
bwana apewe sifa dadi, hii ngomma imefaya nimekumbuka mba wakati babaangu aalifariki.. pia mimi nafanya gospel bt niko kenya, good work
Hakika ni SAUTI ya Mungu inatuhubiria...May the almight God blec you my brother
Mwana mwanza mwenzangu mpka sasa wewe Ndiye Mchungaji 🙏 WANGU mpka sasa Mungu akutie guvu katika maisha yako
Mungu akuponye uzidi kumtumikia kakangu Ameeeeen🙌🙌
Kwa anae elewa wimbo huu kiundan kuna har katika nafs yako imekugusa ebu turud saut inabembelezaaa kama umenielewa Sena amina
Kwa anae elewa wimbo huu kiundan kuna har katika nafs yako imekugusa ebu turud saut inabembelezaaa kama umenielewa Sena amina
Barikiwa sanaaa
Ndo hali iliyopo Tanzania February 2021,,, TURUDI
kweli kabisa
Mungu wangu naomba unipe mwisho mwema
Mungu akulinde na majaribu yote
Mwenyezi mungu hamtupi mja wake get well soon pascal
Kaka ubarikiwe sana nyimbo zako zinanifariji sana ninapopitia magumu Mungu akujaze nguvu za kunena zaidi ya hapa
Hakika tunapaswa kuutafuta uso wa Bwana kwa nguvu zote lazima tumrudie Mungu na tujue ni wapi tulipo kwama maana Mungu abatafuta mtu wa kusimama mahari palipo bomoka
Kbs nikweri
@@gfhffgfhfftfyuf4353 penda sana
kaz ya mungu tutalipwa na mungTutenden
Mungu akuponye Paschal. Wimbo Mzuri sana, turudi sauti inabemveleza.
Hata mimi nimeiwekea "repeat" mara kazaa. Ni nyimbo nzuri ya toba. Tangu miaka kazaa, nyimbo hii imekaa kwenye Flash disc yangu. Kabla kulala, tunafata hii nyimbo, mimi na jamaa yangu
Yan ww nakukubali sana haswa nyimbo zako umetufumbua macho weng Mungu akutie nguvu yan umenifanya nisiamini hawa manabii wa uongo
miungu inaweza kuleta maumivu lakini Mungu anatatua ila miungu haiwezi kuitatua maumivu au ghadhabu yake Mungu ikiwa si mapenzi yake Mungu uwe katika hali hii; ila iwapo ni mapenzi yake basi nayatimizwe kwako mpendwa kupitia uponyaji kamili,wimbo huo unaguza mioyo.Tunakusikiliza toka Kenya,barikiwa sana ndugu.
Oooooh thanks Jesus.... Pascal Mungu azidi kukubariki Sana Kaka yangu na akupe afya njema oooooh my God thanks Jesus
Barikiwa Baba amen
Mungu akutie nguvu kaka Story yako ilinitoa machozi😭
stephen kasolo a seq we
stephen kasolo wrqe
As Nation this song is preaching to us ..GOD have mercy in our country Kenya
Mungu ana jambo nawe ,kazi nzuri
Balikiwa mtumish
Unanbariki sana mtumishi Mungu akuinue kwa viwango vya ju sana
Je suis sénégalaise mais j'adore pascal kassian, un vrai artiste!!!!
Son morceau Chuki y'a Nini je l'écoute sans cesse! Une pluie de grâces sur lui💞🙏🏽🙏🏽✌👌🤝🏽
mungu yupamoja nawe endelea endelea kulisongesha gurumu la maombi na kumtumikia bila kuchoka
Ça signifie «la haine pourquoi ? » ou encore «pourquoi de la haine » et cette chanson signifie «retourne » dans le royaume de Dieu , je suis congolaise et le swahili est une langue courante ici
Mungu azidi kupigania
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwakweli Mungu ni mwema
Amen glory
Umejua kuniliza hasa katika msiba wa magufuli nimelia mim jamn _😭😭😫😫asnte Pascal🙏🙏
Mungu anyooshe mapito yko mtumishi
Inanifundisha sna hii nyimbo barikiwa sana mtumishi
Thank you Jesus kwa kua mtumishi wako anaendelea vizuri
Wimbo huu umenigusa sana hasa wakati huu ambao Dunia imekumbwa na janga hatari la Corona,,,watu wanapoteza wapendwa wao kila siku kwa Corona,,wamekosa pa kukimbilia lakini wimbo huu unatuimiza kumrudia Mungu wetu kwa toba ya kweli kwakuwa kwake hakuna linaloshindika🙏🙏 Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu👏
Asante kwa ujumbe la kusongesha mbele. Uzidi kubarikiwa, uzidi kupokea uponyaji uje mnyooshe shetani. Upward and forward forever
Amen wimbo huu unitoa machozi kila mara
Amen
This
Song
Remove
Me
😢😢😢❤
Amen michugaji ,yesu kristo anaweza barikiwa sana
Daaah nilipokumbuka huu wimbo nimecompare na hizi ajali , maporomoko ya magorofa kariakoo, vifo vya Wasanii , na Viongozi wa Nchi ,,,,.Turudi kwa Mungu wetu
ubarikiwe sana hakika tubadilike tumludie mungu
Ahsante kaka Mungu azidi kukutumia japo unapita katika Magumu .......... Unanipa ushuda Mungu akutunze
Mungu niwa maajabu kweli😍 pona zaidi uwekwe kando hizo vyuma
Na mm nataman apone,,kuumwa kwake pia Ni sauti ya Mungu inazungumza ndani yake
Huu wimbo umenigusa mpka vitu vya dunian naona havina maana 😥😥
Kabisa umeongea vyema
Recommended by Mobifix.This one of the greatest songs I have heard since we opened this year! #Turudi
Amina mtumishi
Tears can't stop coming from my eyes while listening to this song turudi 😭😭😭 be blessed my brother and you have really touched me with the song though i just heard it some few days ago
Same here I can't hold it 😭😭😭😭turudi sauti ya Mungu yatuita
AMEN UBARIKIWE
Barikiwa mtumishi haipiti siku sijaisikiliza hii nyimbo🙏
Ashukuriwe mungu kwakuwa bado unamsifu yy haijalishi Hali yako iko hivyo hakika utapona
Mungu akakukumbuke mara ktk mtihani aliouachia mwenyewe ultimate.
Huu wimbo aki umenifariji sana has a wakati huu niko na msiba .Ndugu yangu amepoteza binti wake ambaye ni candidate this year a form four.
Pole sana
Poleni sana...MUNGU awafariji
Mungu azidi kukupa afya nzema maana hakika ww mungu amekuita umtumikie
RIPORITY BATHOLOMEW . Tumekubali yote na tukafarijika bado Mungu ni mwema
Sarah Wawuda .Ahsante
Asante mungu,Kwa kufungwa watu kama Hawa wa saidie Dunia,,,mungu mzingire Kwa uwezi wako❤❤❤❤
Amen mtumishi wa Mungu, get well soon pascal
Jan best yng aliweka clip fup ya huu wimbo Leo nikaon nikutafute mwenyew 😪😪😪🙏🙏
Kweli umechagua fungu lililojema kipaj kinatoka moyoni kwakweli japo bado haujapona vizur lakini unawaza kumtumikia mungu japo u mgonjwa pole kakaangu... Naimani wengi tutapona kupitia ww naimani tunarud 🙏
Hongeraaaa mtumishi
I love this song! It makes me very strong in Jesus!
Amina mwinjilisti mungu akulinde Aminaaaa
Only his voice
For the grace of God only
I'm before a member number 1 to this beautiful gospel song. Congratulations to my lovely musician Paschal Cassian, a son of God.
Piga kazi Mtumishi wa Mungu paschal. Na chetani akitaka ajinyonge tuuuu
Pascal cassian kaza kaka mungu anakutegemea kuwafungua katika njia ambayo hawakutegemea kama watatoka ila kwa nyimbo zako zinatupa nguvu respert nyingi kwako maana naweza hisi majaribu yangu makubwa kumbe kinawengine makubwa zaidi yangu Mungu yu upande wako na upitapo kwenye magumu sana neema ipo karibu sana vumilia na maliza mtihani huu ulio nao
Mungu akubariki sana na abaeiki huduma yako
Mungu atakuponya paschal name of my dady Cassian this is my name .........Cassian paschal buwa
Kweli mungu yu mwema. Let's acknowledge God as our Lord and saviour. Congrats servant of God