HAJI MANARA ASIMULIA ALIVYOMPELEKA SHEHE HOSPITALI / ALIKUWA ANATUMIA DAWA ZA KULEVYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2022
  • HAJI MANARA ASIMULIA ALIVYOMPELEKA SHEHE HOSPITALI / ALIKUWA ANATUMIA DAWA ZA KULEVYA
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 11

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 ปีที่แล้ว +1

    Muda mwingine ni ugumu wa maisha wawezeshwe ili wakitoka huko wawe na kazi za kufanya watakuwa poa tuuu

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว +2

    Haji Umesema Kweli. Umesema Vizuri. Na MOLA Atusaidie.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Ikiwa wewe kwako Kariakoo, Kwa wale ambao kwao ni London, Los Angeles, Paris, New York watasemaje?

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 2 ปีที่แล้ว

      Haji anazungumzia uzoefu wake na watumiaji wa madawa ya kulevya.
      Darsalaam ni moja kati ya miji mikubwa barani Afrika na duniani,hivyo kuna matukio mengi hususan ya uraibu yanayofanana na miji hiyo uliyoitaja.

    • @yourboyayyad3197
      @yourboyayyad3197 2 ปีที่แล้ว

      @@jumbeojaso5767 hujafaham wewe swali la jamaa kasema ikiwa Haji kwao kariakoo mana haji kasema kariakoo ndo kumeharibika kwa utumiaji wa dawa za kulevya je walioko london na Los Angeles watasemaje mana Uko ndo kumeharibika zaidi na madawa 😂i hope umefaham swali la Juma Kapilima👍🏼

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 ปีที่แล้ว

      @@yourboyayyad3197 ndugu yangu huyo jamaa hapo amemponda Hajji wala hakumaanisha hivyo ulivyosema, laiti angekuwa anamaanisha hivyo angeeleza kama ulivyoelezea. Hiyo ni staili ya wachunga ng'ombe wanaokuja mjini wakiwatusi kilejaleja wenyeji zao waliowakaribisha mjini. Hapo huyo jamaa kamaanisha kuwa mkazi au mzawa wa Dar si lolote si chochote kuna miji mizuri zaidi ya Dar kama yeye mwenyewe alivyoitaja hapo, kwa hiyo hapo kamaanisha Dar ni sawa na takataka tu mbele ya hiyo miji. Huyo jamaa anasumbuliwa na chuki tu hana lolote!! Hao jamaa wa sampuli hiyo wakiwa mjini ndiyo wanabadilisha maana za majina mazuri na kuyasilibia ubaya, utasikia wanaita wenzao waswahili waswahili (yani wachawi) au wazaramo wazaramo (wakimaanisha hawakustaarabika) hata kama wewe utakuwa mchaga au mnyakyusa au kabila lolote lile kwa kuwa wewe ni mwana Dar es Salaam na wamekukuta ndani ya jiji hili basi watakuita hivyo. Wanajitoa ufaham kule porini walipotoka walikuwa wanakula nyamafu tena mbichi na midamudamu yake, wanalalia ngozi za ng'ombe, nyumba zao wamekandika kwa kinyesi cha mifugo, kunguni viroboto kama wote. Siku mbili wakija Dar na kuoga maji ya DAWASCO na kupata nuru kidogo basi kila mtu wanamuita mshenzi... Ndugu haya majamaa ni tabu sana!!

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      @@rayisadesigns2646 Aisee ukweli mputu huyo mtu ni mshamba na ana roho ya umasikini ana mchukia mwenzake kisa tu kazaliwa kariakoo mshenzi sana wapo wengi sana watu wa hivi always wanakandia mjini kwasababu wao wamekulia maporini,

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      @@rayisadesigns2646 hahahaha,,,,nimefurahi sana kuwa umenielewa, Kwa maelezo yako marefu inaonyesha ni jinsi gani ujumbe wangu ulivyokuingia vizuri,, na iko wazi kuwa umejidhihirisha kuwa kwako wewe na huyo mbuzi wako Kariakoo ndio kila kitu, ni ushamba uliopitiliza,,, yaani Kwa Hilo nimefurahi zaidi,,,,