Rafiki ni Sanda au Chanda |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2024
  • KIPINDI: MSETO
    MUONGOZAJI: Khatib Salim Omari
    MGENI: Mwanasaikolojia Bi Leyla Abubakar (‪@MadamLeilaAbubakar‬)
    MADA: Rafiki ni Chanda au Sanda
    94.5 𝙛𝙢 𝙏𝙖𝙣𝙜𝙖
    𝙆𝙞𝙩𝙪𝙤 𝙘𝙝𝙖 𝙃𝙞𝙠𝙢𝙖
    𝐓𝐔𝐅𝐔𝐀𝐓𝐈𝐋𝐈𝐄 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀𝐎 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐉𝐀𝐌𝐈𝐈
    𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺: / radionuurfm
    𝗙𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸: / radionuurfm
    𝗧𝗶𝗸𝘁𝗼𝗸: / radionuurfm
    𝗧𝗵𝗿𝗲𝗮𝗱𝘀: www.threads.net/@radionuurfm
    𝗧𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿: / radionuurfm

ความคิดเห็น • 11

  • @MuniraJadeed
    @MuniraJadeed 5 หลายเดือนก่อน

    BarakaAllah fiykum.maneno kuntu haya

  • @SaladciiseAdam
    @SaladciiseAdam 5 หลายเดือนก่อน

    Dada nakupenda🎉🎉

  • @swalharajab8365
    @swalharajab8365 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mash Allah ..Barakllah madam leylah Allah akuhifadhi ..uendelee kutupa elimu hii tena bure kabisa .....
    mimi shule ya msingi nilikuaga na marafiki wawili tu😅mmoja akawa ana mambo ya ajabu nikaachana nae nikabakiw na mmoja...sec school sikujaaliwa mtaan sikuwah kuwa na marafiki mara nyingi ilikuwaga nashind na bibi angu Allah amuhifadhi ilikuw nikirudi madrasa nakaa omh kama hamn kazi basi nakuwa na bibi....ukubwan nilikutana na bint mmoja tena alikuaga ni dad wa kazi kwa mama angu mdogo ..nilikutan nae tuu omh kwa mama..so huyo hadi sas ni rafiki yangu mpole mwenyewe ila ana challege ukimwambia kitu lazim akupime kwaza ...alipatag kazi nchi za kiarabu ..akakaa mwaka mmoja then akanitafutia na mimi ..tuliend ishi sehem moja yaan happ tukawa ndugu kabisa ...Alhamdulillah mpak sas sina rafiki mwingine zaid yake😂😂...tunakopeshan pesa na tunarudishiana yaan nampenda saana kapole kenyewe Mash Allah❤siri yake siri yangu ...Allah atudumishe ....wish tuolewe na mme mmoja😜😜😜

  • @MahmudOmar-gx2ok
    @MahmudOmar-gx2ok หลายเดือนก่อน

    hata mimi wali maragwe usisseme

  • @mohamedabdalla8402
    @mohamedabdalla8402 5 หลายเดือนก่อน

    Jazaka'Allah Madam Leilah , Nafaidika na kupata mazingatio makubwa hukiwa radioni zaidi , May Allah grant you Shifaa

  • @user-yt3nb3uc9i
    @user-yt3nb3uc9i 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Yaani Madam Leila unavosema ni kweli Chanda ni Yule ambae hawezi kusema vibaya Mimi nasema Kwa kweli sina rafiki Kwa kweli ni wenzangu Tu wakaribu Kwa sababu kumpata Chanda Kwa sasa hv ni tabu kweli wengi tulionao ni sanda na sio Chanda asante Sana Madam Leila napenda mazungumzo yako Allah atulinde Kwa sote na atuweke mbali na Shari zote Amiin Yaaraby 🙏

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 5 หลายเดือนก่อน

    Hili darsa ni zur sana linatupa nguvu ya maisha leyla una akili nyingi mashallah

  • @a.856
    @a.856 5 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah khayran

  • @talkhshukry8308
    @talkhshukry8308 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah madam unatufunza jinsi ya kuishi na watu madam nna rafiki angu tulikua tunapanga namshauri namsaidia kupata kazi Tu kaanza kunikatia simu so sad😢

  • @yusuframadhan5642
    @yusuframadhan5642 5 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @tumainselestine3398
    @tumainselestine3398 5 หลายเดือนก่อน

    Midomo ya maarifa ni kito cha thamani