Dunia tu hii, huyo Kuna siku atasafiri peke yake na atakua na nguo ya bei ya chini hata ugaiwe Bure hutaki na atalala kitika nyumba mbovu kuliko zote duniani, jua, mvua na joto vitahamia, atasahau starehe zote hizo muda wa sekunde tu.....
Huyo mze ndo salman mwenyewe,,, baba yake salman alionyeshwa huko mwanzo Suud,,, afu akaja akamzungumzia na mwana wa salman muhammad bn salman,, umekhafilika kidogo.
Ampindue nani? Utasubiri sana apinduliwe, hili ndio Familia ya kifalme iliyounda Hilo Taifa mpka ikawa Saudi Arabia, aliyebarikiwa ameshabarikiwa tu no way
huyo sio muislam haiwezekani waislamu wanapata shida ktk nchi za somalia, yemen,sudan, Libya yakula angalau mlo mmoja kwa siku yeye anafanya israfu ya pesa lakini Allah anamsubiri huko tunakoenda
Daaaaah!!! Binadamu bwanaaa!!!! UKIWA NA HELA WATAKUSEMA!!! USIPOKUWA NA HELA WANAKUSEMA!!! SIJUI HATA WANATAKA NN!!!!
Kuwa nazo sio shida au kuokuwa nazo,ukiwa mazo tumia kama mungu anavotaka usitanue sana wala usijinyime,,
Africa ndio largest producers of Gold alafu Waarabu ndio largest consumers wa Gold
Jamani Allah tujalie heri kenya nyetu tuwe kama hao wezetu umasikini umetuchokesha
Allah is really king
Allahu akbar
Ni kweli yeye ni mfalme Kati ya wafalme
Naomba ukimaliza tupe na historia ya mfalme mzee Yusuph
Nimecheka tz Raha mnamaneno
Hahahaaa na king kiba tunataka historia yake
@@tittoskeysproject1967 🤣🤣🤣
Watching form Kenya
🤣🤣🤣 Nimependa pale Booking zao zimefutwaa... Hahahaha Pesa Sio mchezo mzee wangu
U
Naomba utulete historia ya Mfalme Feisal wa Saud arabia
Following from Saudi Arabia
Kwl allh awajalie naawaepushie na corona pia allh a2jalie kheri na mwisho mwema kwa sote
Iko siku atakufa.Naisraf ya pesa zake hazita mfaa mbele Ya ALLAH.
Acha husda we inakuuma nini
A lot of people r suffering out there
Hawa jamaa shida hawazijui
Mm nakuelewa sana mkui
Justin shed nakukubali sana naomba utupe history ya nguva tujue hivi kweli walikuwepo hapa duniani au ni story tu za watu!?
Nguva wapo KilA nchi usibishe endelea kufatilia youtube utapnayote ya dunia
Wapo ila sio wale wanaosuka nywele
Keep going ...🤗 nmeipenda
Nicheck 0719042007
Tuandalie stori na visa vya adolf hitra
Dah sisi huku kwetu kazi fitina tuu na tunakufa na njaaa haya bwana acha tusindikize maisha ya watu
Wacha wee,hii kali kabisa
Tuletee historia ya raisi SHA wa Iran
Pompeii brother we still
Prince Mohammad Salman pia anataka kuinunua club ya Manchester United kwa dola billion 3
Boss nimekuomba uniandalie video ya ukweli kuhusu mieleka, je tunachokiona ni kweli au nimaigizo tu?
Maigizoo
Haina haja ya video Boss ni maigizo tu yale 😄😄😅😅
Nimaigizo mzee kama fatilia behind the scenes za martial arts muvi utakachokiona ndo hicho
Aise ata mm pia 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Scripted
Haiya
Kwa Mungu Ataenda Peke Yake
we utaenda na nan
Sote pekeyetu
YA DUNIA TU AYO,
Ahaha ndo maana yanaangaliwa na walioko duniani 🙄
Nice
Atakufa tu
Sasa twende kazi.......🤣🤣🤣
Si ndiyo alikuwa anataka kununua Newcastle United
Dunia tu hii, huyo Kuna siku atasafiri peke yake na atakua na nguo ya bei ya chini hata ugaiwe Bure hutaki na atalala kitika nyumba mbovu kuliko zote duniani, jua, mvua na joto vitahamia, atasahau starehe zote hizo muda wa sekunde tu.....
Mtangojamilele Tena mtakufabilakelele kamawalivyokufa wafuasi wakibwetele
Hadi hiyo cku itakapofika but 4now his living his life
First
Am the second to comment🙈🙈
Hivi mwenye akili nyingi na mwenye hela nyingi mjanja nani
Duuuh kweli hela sio poa
VEMA
Sawa,,,,,
Kifo inamusubiria
siyo yeye tuu, ni kila kiumbe....usiashirie kwa wengine tuu
So what? I would like to be rich too.
Ww hutokufa
Amemrithi mfalme slemani kwa jeshi
du ni billionea nmb ngap huyo kwa dunia
Anasafiri na watu 1500 anakodi vyumba vya hotel 1200 je watu 300 wanalala wapi?? Acaneni na hizo habar
Wewe kweli ni mjinga ,kwani hakuna wanalala wawili kwa room moja?Think twice b4 commenting
Mbwa kala mbwa
Kuna pia walinzi na askar hawalali hawa
🤣🤣🤣
Iyo hotel ya marekani hukuna makapet mpk yatoke Saudia
Huyo unaemuonesha ni babake salman usiwe mjinga wewe kuonesha usivovijua kwanini unapotosha
Huyo mze ndo salman mwenyewe,,, baba yake salman alionyeshwa huko mwanzo Suud,,, afu akaja akamzungumzia na mwana wa salman muhammad bn salman,, umekhafilika kidogo.
Ashrita Abdallah Tupe wewe picha yake.
BIg up
Heri yake ila awakumbuke wananchi wake
Vanity apon vanity
Type historian ya ufalme wa saudia Arabia ulianzaje
Ni ujinga na sio uislam hii hela waka watu yemen syria wanateseka
Hyu balaaa
Kibaraka was marekani
Masikini tuna shida 😅😅😅😅tunadiss huku tunatamani kuwa hata na robo ya maisha yake
NOW FUNZA WASHAMMALIZA CHINI YA ARDHI.HAKI NI KIFO TU
Nimeamini wanapesa ndio hawafungui usafiri mpka next year
😁😁😁2022
Duuuuh
Alafu mnadai daimond anahela
Diamond anahela tz hatujakosea
Kafiri huyu na vibaraka wake karibuni atapinduliwa
Ampindue nani? Utasubiri sana apinduliwe, hili ndio Familia ya kifalme iliyounda Hilo Taifa mpka ikawa Saudi Arabia, aliyebarikiwa ameshabarikiwa tu no way
Mwisho ni kaburi kafiri mkubwa huyu
Kaka ungeanza kueka sup title kwenye video za internatinal kama ivi ili iingie 1trending.
Jifunze kuandika kwanza
@@paulsamuel4488 mama ako anajua kuandika?
Mh!
huyo sio muislam haiwezekani waislamu wanapata shida ktk nchi za somalia, yemen,sudan, Libya yakula angalau mlo mmoja kwa siku yeye anafanya israfu ya pesa lakini Allah anamsubiri huko tunakoenda
@@saidhg483 Duh, mbona unajisahau na wewe au hausubiriwi? usizungumze usichokijua
anajua allah
Mjanja mwenye akili
Wauwaji wakubwa tu hawa ALLAH anawasubiri tu akhera.
Kwaivo unahisi utajiri huo hawajapewa na Allah?
@@BigZhumbe wamepewa na ALLAH na sio hoja kabisa awo wanauwa ndugu zao wa YEMEN kwa mabomu kila siku ety waisilamu awo.
@@mahamoudduchi3318 Uislamu mumeuelewa vibaya nyinyi.... Uislamu ni survival of the fittest.... angalia Somalia wsnavyotafunana
@@mahamoudduchi3318 muogope Mungu na uchunge unachoandika utakuja ulizwa
@@mahamoudduchi3318 ww usijisemee mambo ambayo huyajui
6 . comment
Oyo Justin vip
Naona wamarekani wame dis like
Na kaburini utasindikizwa hivyohivyo na magari 500 na wapishi
Wa nne leo lakin sitaki like zenu