Mambo kama ULAYA! MWIJAKU awapiga Dongo majirani kisa TRENI za UMEME Bongo, Tazama UZURI wake, noma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @MgasaEmanoeli
    @MgasaEmanoeli 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mwijaku nimekukubali kuonyesha respect picha ya Magufuli 🙏

  • @Esquire266
    @Esquire266 2 หลายเดือนก่อน +3

    Alhaji, Bilionea DC Mwijaku kipenzi cha watanzania 🔥🔥😂😂

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama hana deni , hahahhhaha

  • @kadito-kenya
    @kadito-kenya 2 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wa maana kabisa pamoja na mama yao❤

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nawapenda Hawa vijana wamejua namna ya kuchapa pesa

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mkiona mnapambana kukuza uchumi wa inchi yenu, ndo mnakua mko kwenye mlengo wa kweli.

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mama anafanya kazi ma Rais wengine bahazi yao maneno mengi hakuna vitendo Angela sna mama yangu

  • @RaphaelJickson-t7u
    @RaphaelJickson-t7u 2 หลายเดือนก่อน +8

    Magufuri kajenga anasifiwa mama kumamake uchawa bhana

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hata wewe ukifa, watakukumbuka kwa yale ulioyatenda. Muendelezaji angeamua kuacha kuviendeleza hasa kwenye katiba ya Tanzania. Rais anafanya anavyotaka

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani mashoga hayo

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli majilani yunu atuna iyo miladi.

  • @skteller5039
    @skteller5039 2 หลายเดือนก่อน +4

    Magufuli projects heko anapewa mama
    Kweli marehemu hana chake

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 2 หลายเดือนก่อน +1

      Marehemu hana chake, kufa Leo uone kama Kuna mtu ataongelea kuhusu wewe, mtu husahauliwa na mtoto wake aliyemzaa
      Na if kama rais aliepo madarakani pia hakusimamia project je ingelinalizia

    • @aby.beka1630
      @aby.beka1630 2 หลายเดือนก่อน

      kweli Tz wanafik sn~

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wa maana kabisa

  • @NoName-pp4lo
    @NoName-pp4lo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania hawana deni jmn wako vizuri

    • @mwalimunyerere
      @mwalimunyerere 2 หลายเดือนก่อน

      haha. penda kusoma. hakuna nchi ya EA haina deni.

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nalo ni dongo kweli

  • @dunstunnchimbi7994
    @dunstunnchimbi7994 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 Baba levo na Mwijaku kama nawaona hivi wajukuu zangu watakavokuwa wanaangalia video zenu mwaka 2090

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama mlea wezi atoke huko

  • @Moseskoome-l1t
    @Moseskoome-l1t 2 หลายเดือนก่อน +2

    dongo kwa uganda😅😅

  • @prospermbwambo2265
    @prospermbwambo2265 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo amehamia crown mana kashika mike za crown

  • @JumaSaid-g5u
    @JumaSaid-g5u 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa uchawa huu Tanzania itaendelea kutawaliwa na CCM hakuna

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 2 หลายเดือนก่อน

    Hayati Magufuli na Mama Samia watakumbukwa.

  • @kalumunakadhim4686
    @kalumunakadhim4686 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku umepooaaa😂😂😂

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 หลายเดือนก่อน

    Hayo yoke ni JPM.

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Eti jirani mwambieni huyo mwijaku asitutafute sisi wakenya hamtuwezi vita vyetu!!!!! Sai tuko busy na GenZ

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂❤❤❤🇰🇪🇹🇿🇹🇿

    • @khamissalim5160
      @khamissalim5160 2 หลายเดือนก่อน

      Usishindane na mashoga bro,we are busy wit zakao

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 หลายเดือนก่อน

    Nawaona hawa vijana kwenye

  • @Moseskoome-l1t
    @Moseskoome-l1t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania walivyo wapuuzi wataamini hawana ndeni kweli😅😅

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 2 หลายเดือนก่อน

      Wanamaanisha kwamba mama hana deni kwa kukamilisha mradi na sio deni la pesa

  • @Entertainmen_tv2024
    @Entertainmen_tv2024 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya magu anasifiwa bibi wajuuku tunawazoom tu

  • @khamissalim5160
    @khamissalim5160 2 หลายเดือนก่อน

    Samia kafanya nini pumbavu ww,mshukuruni magufuli kawapa sgr na barabara ya juu ya kwanza,mama ana madeni mpaka tozo zawashinda

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂 kwahiyo aliyemalizia project ni magu au Samia. Hakuna rais ambae hajawahi kuwa na madeni, watch out

  • @RoseeyRoseey
    @RoseeyRoseey 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya wenzenu wanatafuta haki zao nyie mnasifia vitu vya kijinga shame on you!

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kenya sio Tanzania

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 หลายเดือนก่อน +1

      Waache waitafute wataipata wakiwa wamechoka sana au wamekufa sana yote yana wezekana hayo

  • @HAMSOOMAR-q9i
    @HAMSOOMAR-q9i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko busy tunaandamana kumpinga adui wa inch y KENYA ruto anataka kueka rahani KENYA AIRWAYS kwa miaka 30 ✈️

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mwenyezi Mungu ni mwema sana mtafanikiwa na malengo yenu yatatimia - Inshaallah🤲🤲🤲🙏🙏🙏

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 2 หลายเดือนก่อน

      Mlishauzwa tayari mnajipiga ngumu usoni tu hata aje nani Kenya mtamwona mbaya tu​@@aminasittusaid3830

  • @CrissManda
    @CrissManda 2 หลายเดือนก่อน

    SASA MBONA HILO TOBO HALIZIBWI? AIBUUUUUU

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🇹🇿🫡

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 หลายเดือนก่อน

    Nchi IMEUZWA kila kona, mashoga nyie

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 หลายเดือนก่อน

    #NONSENSE

  • @RaphaelJickson-t7u
    @RaphaelJickson-t7u 2 หลายเดือนก่อน

    Semeni watanzania atuna deni kwani analipa Hela Toka mfukoni mwake

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 2 หลายเดือนก่อน

    shida sio tren ya umeme ina beba nini inaingiza shilingi ngapi ndege zimekuja hapa kubwa kwandogo hatuambiwi kwamba ndege zimetuonua kiuchumi kivipi nawapi tunaenda kimyaa inasubiri yanga au simba iwe na mechiu iwabebe

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 2 หลายเดือนก่อน

    Ikifikia deni latakikana kulipwa msije kulaumu serikali mbwa nyie😂

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 2 หลายเดือนก่อน

      Mwanaume ambaye hana deni ndo boya. Marekani inadaiwa dollar trillion 32. Zihesanu kwa tsh

    • @salimjumaa8180
      @salimjumaa8180 2 หลายเดือนก่อน

      @@barrynzeyimana6270 U.S inadaiwa kumbe af nayo inaidai serikali😂. Patamu hpo! Flota.

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nalo ni dongo kweli