MSWATI,mfalme mwenye WAKE 15 alienunua BMW 125,Rolls Roys 19 kwa PAMOJA katika nchi MASIKINI.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 297

  • @johnmwidete5499
    @johnmwidete5499 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu n kiongoz mzr hafichi kitu kuna viongoz wachafu kuliko huyo ila wamejificha kwa sura ya upole AMIN

  • @hasanissantambarasamata3419
    @hasanissantambarasamata3419 2 ปีที่แล้ว +6

    Daaah msenge ana pc kariii yan🔥🔥🔥

  • @allexlunny7795
    @allexlunny7795 2 ปีที่แล้ว +11

    Izi ndio nchi zinazoitaji mapinduzi zenye viongozi washenzi

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 ปีที่แล้ว

      kabisa mwanangu nchi km hizi za kisenge ni mwendo wa kuingia porini na kuana hakuna namna.

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 ปีที่แล้ว +20

    Swahiba wa kikwete , tabia zao zoote zimefanana mwenyezi Mungu awaangamize viongozi woote wanafanya wananchi waish maisha magum

    • @nancykalimba6967
      @nancykalimba6967 2 ปีที่แล้ว +1

      Si alipewaga binti kule

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu atasaidiwa tu kupeleka moto.wanawake wote hao atawaweza wapi haya ni matumizi mabaya ya wanawake,hawezi kuwapa dozi siku akienda kwa huyu wahuni wanachapa wengine.atawatia wote kwa siku moja?

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 2 ปีที่แล้ว +18

    Yani huyu mtu vyenye nilikua nikimsoma kwenye HISTORY nikidhani n mtu wa maana .Duuh !🇰🇪🇰🇪

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 2 ปีที่แล้ว +9

    Thank you somach kwa kutuletea ilimu tusio fahamu

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 2 ปีที่แล้ว +16

    Mungu awapumzishe waswati na huyu kimungu mtu,awashushie mwokozi atakaelinda Mali zao zirejee kwao,silipendi Kama nn mnyonyaji mdhalilifu huyu, haliendi na nyakati kabis

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 2 ปีที่แล้ว +17

    Bila kusahau Eswatin ndio nchi inayoongoza kwa kilimo cha bangi barani Africa

    • @gracemuthoni1876
      @gracemuthoni1876 2 ปีที่แล้ว +1

      😲

    • @arafakiloli749
      @arafakiloli749 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha 🤣🤣🤣

    • @Ibrah287
      @Ibrah287 2 ปีที่แล้ว +1

      Obviously Mswati ni mdau mzuri wa jani

    • @AsmaFaki-gu9sy
      @AsmaFaki-gu9sy ปีที่แล้ว

      Na hicho ndio ulichokijuwa Ata kukifata unaweza 😂😂😂

  • @haidarykufakunoga5973
    @haidarykufakunoga5973 ปีที่แล้ว

    Mhh! Kula Bata MFALME. Ongeza Wanawake MPAKA hicho kitendea kazi kiseme PO!! 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @mauricemaungu8390
    @mauricemaungu8390 2 ปีที่แล้ว +11

    Tunakuja duniani bila kitu, na tutaondoka kwa mtindo uo huo ~ bila kitu. Ole wake aliyeabudu mali, siku ya hukumu yaja.

  • @edmundrusseta7408
    @edmundrusseta7408 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu waonekanie wa Swati.🙌🙌

  • @mkunenge0makune619
    @mkunenge0makune619 2 ปีที่แล้ว

    Sauti ipo chini sana story ipo vizuri

  • @dikodikson559
    @dikodikson559 2 ปีที่แล้ว +8

    Afrika tajiri Waafrika tunaishi Maisha ya kimaskini sababu ya viongozi kama hawa

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 2 ปีที่แล้ว +2

    Video iko trending....!!! Big up to BF

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 2 ปีที่แล้ว

    Tunaenda ad uraha kusoma Ila tukirud roho n utashii ule ule. Kasoro Seretse Khama,Nyerere n Lumumba

  • @allyzillahi8315
    @allyzillahi8315 2 ปีที่แล้ว +5

    Nahisi engebadilika ingekuwa vizuri sana

  • @nengabablizer333
    @nengabablizer333 2 ปีที่แล้ว +10

    UYOOO ndio anafaa kuwe mume wa samia

  • @mamumiyaskitchenvlogs5858
    @mamumiyaskitchenvlogs5858 2 ปีที่แล้ว +37

    Mbwembwe tu za duniani tunatambiana. Itafika siku yake vyote ataviacha!!

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 ปีที่แล้ว +3

      Hao wanawake wote anawaweza wapi kuwatia huyo anasaidiwa tu.hizi sifa za wafalme wengine ni za kijinga tu

    • @munnahsaid7329
      @munnahsaid7329 2 ปีที่แล้ว

      Kabsa siz...🥰🥰🥰

    • @munnahsaid7329
      @munnahsaid7329 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Pedeshee01 🤣🤣🤣

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 ปีที่แล้ว +1

      @@munnahsaid7329 kweli nani atawatia wote na wao wanahitaji kupewa dozi huyo anawaolea walinzi wake na mawaziri tu wamsaidie

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 ปีที่แล้ว +1

      @@munnahsaid7329 ni matumizi mabaya kwa wanawake huyo anayoyafanya

  • @Life10061
    @Life10061 ปีที่แล้ว

    mimi ni mkristo ..kwa upende wake mfalume yupo sawa tu kuwa na wanawake wengi ,,lakini tatizo ni kuwataka wanawake ki nguvu ndiyo makosa hayo

  • @abdulhamidmusa8962
    @abdulhamidmusa8962 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani sana ila yana MWISHO TU..

  • @saidmuhsin2446
    @saidmuhsin2446 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wana.

  • @amanitanzar
    @amanitanzar 2 ปีที่แล้ว +4

    Nguvu ya bangi io😂😂 ...kama jamaa anauza bangi adi uku UK mnategemea nin!!

  • @dangking934
    @dangking934 2 ปีที่แล้ว +2

    Brother Justin shed mimi nakukubali sana. na kazi yako naipenda endelea kufanya kazi kwa bidii kwani kazi yako inaonekana bro tupo pamoja... Oky sasa twende kazi.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว +6

    Si kuoa ni uzinif wallah kingn wananch wanatesek yy anajilimbikizia Mali huy Hamz angefaa aondk naye kabis

  • @saidmuhsin2446
    @saidmuhsin2446 2 ปีที่แล้ว +1

    Wananchi kutokana na hali zenu....hapa ndipo wazungu wanapotushangaa sisi waafrica...

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiv ana wake 19
    Nimeenda kule mara. Kadhaa
    Aliwah owa mwanafunz akamkimbia pia kuna mwanamke wake alijiua
    Pia watu wake wa karibu humsisiitiza aoe ili nao wapatemo kwenye ile sherehe
    Maana huenda kwenye gwaride llitwalo saghaluga(Reed dance)
    Ardhi yote kule mkiuziana kuna percent ya mfalme
    Mwanzon kabla ya watetea haki wanaharakat wa jinsia hawajampigia kelele ilikuwa.anawatest mabint wote kuona kama wanabikira

  • @cleophaxgeremy2148
    @cleophaxgeremy2148 8 หลายเดือนก่อน

    hao😢wananchi pia nao wako na mchezooo,,kwani hawawezi fanya maandamano,,kwa akika hio sio haki kabisa kujilimbikizia mali ya umma utakavyo mwenyewe 🙆🏾‍♂️🤔😭🙆🏾‍♂️😭🙆🏾‍♂️

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakubaliiii

  • @ayubukhamis8673
    @ayubukhamis8673 2 ปีที่แล้ว +2

    Anh hao wananchi wanayo kazi.🙏

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 2 ปีที่แล้ว

    Hii hutokea kwa mtu yeyote asiekuwa na hofu ya M/mungu. Hawez kuhic ubaya wa ayatendayo.

  • @eliamwasomola578
    @eliamwasomola578 2 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo ni sawa na viongozi wa ccm tanzania

  • @mohamedleli9928
    @mohamedleli9928 2 ปีที่แล้ว +1

    I'm a true African but with the greedy we have especially the majority of the leaders, Africa would never prosper unless through divine intervention

  • @shabandamas1759
    @shabandamas1759 2 ปีที่แล้ว

    Daaah Ase Ama kweli komaa kimaisha ktk japo umiliki hata mkokoteni

  • @jeremiapeter683
    @jeremiapeter683 2 ปีที่แล้ว +10

    Mbona hapinduliwi?
    .😭😭RIP JPM..

  • @Ibrah287
    @Ibrah287 2 ปีที่แล้ว

    Mmh! Huyu ni mwizii lakini malipo atayakuta kwa Mungu.

  • @samaboy2592
    @samaboy2592 2 ปีที่แล้ว +2

    Africa na maajabu yake

  • @amirikoshuma3039
    @amirikoshuma3039 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndiyo maana halisi ya muafrca sawa mabepari. Wanatutumia vibaya lakini mswati 3 ni ujinga

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 2 ปีที่แล้ว

    Laana hiyo mungu anamuona

  • @rehema2018
    @rehema2018 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni tabia ya kiafrika imeanza zamani sana

  • @angeldejoice3202
    @angeldejoice3202 ปีที่แล้ว

    Utawala utaanguka tuu, one day is one day .

  • @ramazanzibar8264
    @ramazanzibar8264 2 ปีที่แล้ว +7

    Tuchambulie utajir wa maraisi wa Tanzania m1 baadae mwengine

    • @joelkipenyozimwi1625
      @joelkipenyozimwi1625 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo tawala za ki Afrika katiba ndiyo tatizo. Uongozi bila kubanwa na katiba, ufujaji wa .mali za umma utaendelea tu.

  • @michaelmwangosi9953
    @michaelmwangosi9953 2 ปีที่แล้ว

    Sio hak hio maan yy anajiona kama mungu au

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu ni tajiri kuliko mfalme wa huku Sweden

  • @justinwilliam4697
    @justinwilliam4697 2 ปีที่แล้ว +2

    Alaaniwe kwa madhambi yake anayo yatenda kwa wana nchi wake.

  • @wizzylavampole8247
    @wizzylavampole8247 2 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀 mswat achan bae kaka

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 ปีที่แล้ว +1

    aje tz wamnyooshee vizur mbwa huyo 😏😏😏

  • @mr.atsonalinanuswe9977
    @mr.atsonalinanuswe9977 2 ปีที่แล้ว +8

    Basi jeshi la marekani lije uku kukiwasha waachane na Taliban

    • @kanalmohammedgaddafi2390
      @kanalmohammedgaddafi2390 2 ปีที่แล้ว

      Taliban gani wakati wamesanda kwa wataliban wenyewe .....🎯

    • @salmadhiab2693
      @salmadhiab2693 2 ปีที่แล้ว

      Jeshi la marekani lije lifanye nini huko

  • @manenokawawa5708
    @manenokawawa5708 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ata mukumu tu kwa kuwanyanya wanamchi wke

  • @fatmaahamad633
    @fatmaahamad633 2 ปีที่แล้ว +4

    Pepo ya dunia asubili moto wa akhera kwa kuwadhurumu wanainchi wake

  • @malk8152
    @malk8152 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wapiganie waswati

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah1623 2 ปีที่แล้ว +3

    Abuse of power and public funds embezzlement, where is Amnesty International, feminists, Interpol

  • @farajajoseph2971
    @farajajoseph2971 2 ปีที่แล้ว

    Sasa twende kazi

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 ปีที่แล้ว

    Huu ni ukiritimba na ufisadi,sidhani kama wananchi wake wanaridhika na utawala huu wenye elements za kidikteta!!!

  • @salumsalum5712
    @salumsalum5712 2 ปีที่แล้ว

    Mimi n Albert Einstein Sasa twende kazi

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 2 ปีที่แล้ว +3

    Harafu marekani wapo na wa talbani tu badala waende kumtwanga huyo kiande 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @happinessmrema7719
    @happinessmrema7719 2 ปีที่แล้ว

    Ashindwe kwa jina la YESU huyo mwizi

  • @serenamakena
    @serenamakena ปีที่แล้ว +1

    YesHi

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 2 ปีที่แล้ว

    Uzuzu wa kiwango cha juu kabisa.

  • @islamnashir9750
    @islamnashir9750 2 ปีที่แล้ว

    ubinafsi si nzuri

  • @simonyohana7150
    @simonyohana7150 2 ปีที่แล้ว +4

    Kama hakuna tozo na malipo ya kod ikiwemo upandaji wa mafuta na gas wao waishi nae tyuu ama tubadilishane waje kuishi bongo land kama hawatakaa cku4 na kuanzisha vita ya kudai nchi yao

    • @mr-option7751
      @mr-option7751 2 ปีที่แล้ว

      Uketisha bro

    • @jemedarikalimas7788
      @jemedarikalimas7788 2 ปีที่แล้ว

      Mungu atakuja kumuhukumu, kwani mungu hapendi kabisa dhuruma

  • @ramadhanimkude5744
    @ramadhanimkude5744 2 ปีที่แล้ว +1

    Changamoto atakiona kwa mungu

  • @fantsonmpango7502
    @fantsonmpango7502 2 ปีที่แล้ว

    Kiburi kama jong un wa Korea yani

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 2 ปีที่แล้ว

    Khatariiii

  • @elizabethsanga9184
    @elizabethsanga9184 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii sio sawa kabisa anawaumiza wananchi wa chini

    • @salmadhiab2693
      @salmadhiab2693 2 ปีที่แล้ว

      Lakini nisawa anavyofanya sinimwaafrika bana

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 2 ปีที่แล้ว

    Hajafa tu Mpaka sasa au Kasha Kufa tayari

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 2 ปีที่แล้ว

    Sio uyo tu kuna kibibi kimoja kule uingeleza kinaitwa elizabeth vile vile kinawaburuza mabebelu wenzake pia

  • @wilsonokwiri9655
    @wilsonokwiri9655 2 ปีที่แล้ว

    Napenda

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 2 ปีที่แล้ว

    Sitaki hata kumsikia hasmina llah wa nemal wakil amkeni wana uswati

  • @cesskemush8635
    @cesskemush8635 2 ปีที่แล้ว

    Ishindwe in the name of Jesus christ our Lord

  • @samsonkitainge8268
    @samsonkitainge8268 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimekaa Eswatini kwa miaka miwili watu wanaishi maisha mabovu sana

  • @hasanissantambarasamata3419
    @hasanissantambarasamata3419 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ambae hapendi maisha mazur achen jamaa ale bata

  • @kavoomshana7289
    @kavoomshana7289 2 ปีที่แล้ว

    Kwangu Mimi naona ni upuuz tu huo wa huyu mfalme haina maana,ni Bora Kama pesa zimezid asaidie zaidi na zaidi hata Kama anatoa,kwa wasiojiweza..na wapo wengi sana masikini,ila anachofanya sioni maana kwangu Mimi..

  • @annakyogolo3182
    @annakyogolo3182 2 ปีที่แล้ว

    Ni mmimi sana.hapendi watu uchoyo umemzidi.

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hata hapa Tz viongoz wengi ni mafisadi tu! Hakuna jipya!

  • @lilianambokile7795
    @lilianambokile7795 2 ปีที่แล้ว

    Mmm! Magali yote hay yann huku kuna nchi wako wanateseka

  • @dominickndomba4474
    @dominickndomba4474 2 ปีที่แล้ว

    Dah!!!!!

  • @forexforlife2619
    @forexforlife2619 2 ปีที่แล้ว +1

    huyu jamaa ni hatari aisee, ila tunakoelea hiyo iko siku itapata democracy

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 2 ปีที่แล้ว +1

    natamani kina hamza wangeishi huku.kwani huyu mfalme anatawala wanyama sio binadamu.anawachuna wananchi anajitarisha yeye tu

  • @mickytv1863
    @mickytv1863 ปีที่แล้ว

    We shared the same birthday19april

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 2 ปีที่แล้ว

    Mfalme mwenyew hawez kuwapiga show likitambi Hilo

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 2 ปีที่แล้ว

    Mh... Ndio definition halisi ya nch kuliwa. Tz wanadokoa tu!!

  • @samaboy2592
    @samaboy2592 2 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @maikojonso8927
    @maikojonso8927 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanahitajika mapinduz hapo tena ya kijeshi

  • @luluathumani1893
    @luluathumani1893 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbinafsi sana

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 2 ปีที่แล้ว

    Mmh sii kuoa ni uzinifu

  • @AsmaFaki-gu9sy
    @AsmaFaki-gu9sy ปีที่แล้ว

    Hii ni kawaida ya mtu asiepata akipata anakuwa limbukeni kabisa wa maisha

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 2 ปีที่แล้ว

    Ana muda mchache tu ulio baki wazungu watamrukia fasta

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 2 ปีที่แล้ว

    Is very painful

  • @anganilekajigilikajigili2641
    @anganilekajigilikajigili2641 2 ปีที่แล้ว

    Hizo hela angewapa maskini abarikiwe zaidi hili ufalme wa Mungu awe naye

  • @achiadennis8056
    @achiadennis8056 2 ปีที่แล้ว

    Still on

  • @kajezejuma8043
    @kajezejuma8043 2 ปีที่แล้ว +1

    I like him😚💛

  • @omahmoses9710
    @omahmoses9710 2 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @isackmagaya7088
    @isackmagaya7088 2 ปีที่แล้ว +4

    Anafaa apinduliwe madalaka hayawezi ana jinufaisha mwenyewe

    • @ericksagara1719
      @ericksagara1719 2 ปีที่แล้ว +1

      Wasfrica ndivyo tulivyo.
      Ya kwetu yanatushinda, tukiambiwa katiba mpya tunaleta usiasa tunaanza shadadia ya wenzetu.😂😂

  • @abdallakhamis5402
    @abdallakhamis5402 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyumfleme hafai kuongoza nchi

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 2 ปีที่แล้ว

    Mswati walinzi wake wanamgongea kinoma wake zake

  • @kusemawarrakah9973
    @kusemawarrakah9973 2 หลายเดือนก่อน

    Traditional African kingdoms tend to be more compassionate toward its citizens than Western/European or Eastern/Asian ones to have been always brutal to their members (please see Game of thrones, etc.). Maybe that’s because traditional African kingdoms (e.g.Eswatini, hopefully!) have historically been usually “tribal” Kingdoms consisting of one culture one language one territory one belief system, etc., where the land and all assets belong to the kingdom under the care of the royal family and all members of the kingdom are somehow blood relatives of the royal family (and vice versa) largely due to the existence of the extensive polygamous practices. Modern African leaders are often erroneously attempting to turn democratic African countries into traditional African kingdoms thus disregarding the fact that as products modern African territories/countries are composed of diverse cultures, languages, races, belief systems, etc.

  • @mwailubikamongo9774
    @mwailubikamongo9774 2 ปีที่แล้ว

    Ndomaana kuongozwa kifalme nihatari sana kwa nchi za afrika

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiongozi Mpumbavu huyu yani ndomana nasema Africa tume laaniwa 🤣

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 ปีที่แล้ว

    Hili halizuiliki kwa tawala za kiafrica ni mila na destuli

  • @justinemollel5038
    @justinemollel5038 2 ปีที่แล้ว

    Pole