MKE KUKATAA TENDO LA NDOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 288

  • @IzudinAlwyDin
    @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว +40

    Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia;
    Maandishi :
    drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI-
    Sauti :
    drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie

    • @basumhabibi9918
      @basumhabibi9918 6 ปีที่แล้ว

      Izudin Alwy Din sheikh samahani mm nina shida na ww naomba namba zako ili nikuelezee vizur

    • @talibhassan8299
      @talibhassan8299 6 ปีที่แล้ว

      Izudin Alwy Din uradu wa jini mahaba

    • @abasiathumani7489
      @abasiathumani7489 6 ปีที่แล้ว

      Dawa zamoyoo

    • @abasiathumani7489
      @abasiathumani7489 6 ปีที่แล้ว

      Tuitaji elimuzenu ilitufanye ibads

    • @maflee_bin_fiq5017
      @maflee_bin_fiq5017 5 ปีที่แล้ว

      Assalam alaikum Sheikh naomba kujua mwanamke akiolea na mume hakuwahi kufanya nae tendo la ndoa akafariki jee yafaa mwanamke huyo kurithi kwa mume huyo na kukaa eda.

  • @aishuumademu8837
    @aishuumademu8837 4 ปีที่แล้ว +18

    Napnda xna mawadha yko Allah akujalie kila la kheri

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah Shkh Allah akupe umri wa afya

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 4 ปีที่แล้ว +8

    Toba Allah atulinde na hali hiyo,allahumma amiin,Allah akulipe sheikh

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 ปีที่แล้ว

    Shukraan Sana sheikh wangu tunamuomba huo uradi nasi utusaidie sheikh.tutaupataje hutaupataje sheikh Allah akuhifadhi sheikh jazaka Allahu khaira

  • @uniqueboykamaria1374
    @uniqueboykamaria1374 6 ปีที่แล้ว +7

    mungu akupe wepesi uzidi kufikisha ujumbe wa Allah

  • @kassimmohammed4949
    @kassimmohammed4949 4 ปีที่แล้ว +2

    Sio kweli kabisa kabisa jini hafanyi mapenzi NA Binaadamu abadan

  • @tamthiliazapwaniofficial4361
    @tamthiliazapwaniofficial4361 5 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allaah swahihi mola akubariki sheikh izzudin

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulipe kila lakhery kwa dawa hii yakututib nyoyo zetu

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaallh mungu akuezeshe uzid kutufundisha

  • @fawziaabdurrahman2251
    @fawziaabdurrahman2251 6 ปีที่แล้ว +9

    Assalaam Aleykum Sheikh. Tafadhal tufafanulie huo uradi wa Imam Nawawi nasi tufaidike. Allah atakulipa jazaa yako na wewe Allah atakufungulia njia kwa mahita yako. tafadhal
    Ni kweli watapeli wamekuwa wengi, bora mtu ajisomee ruqya mwenyewe usiende ukaongezea shida ukidhani ndo watibu. Wapata faida ya kusoma Qur'an na pia ya kujitibu. NA kwa vile wasoma mara nyingi pia wahifadhi Qur'an humohumo. faida juu ya faida.
    Kwa wale ambao hawajui aya zipi za ruqya...
    --------------------------------------------------------------------
    Jambo la kwanza la kujikinga na Shaytaan ni
    - kufuata maamrisho ya Allah na kuachana na makatazo yake. kwa hio kama unahusika na madhambi jaribu uache. hasa shirki, zina na miziki ya midundo.
    - Muhimu sana Swala za faradhi ziswali kwa wakati wake. na usome Qur'an kwa wingi.
    - hakikisha kuwa wala halali, wafanya kazi ya halali na nyumba yako haina masanamu na mapicha ya viumbe walio hai (wanyama na wanadamu) kwenye kuta. malaika hawaingii nyumba yeneye vitu hivyo.
    kisha ondoa majibwa kwenye nyumba ikiwa una majibwa (dog pets)
    - pia zaidi na hizi ayat, tafuta kitabu kinachouzwa madukani (Hisnul Muslim) kina dua tele humo ndani za asubuhi, maghrib, wakato wa kulala na kadhalika. zinafaa sana
    surah na ayat za ruqya ni hizi (kuzisoma ni vizuri kuliko kusikiliza tu)
    -----------------------------------------------
    Surah AlFatiha.
    Suratul Baqarah 1-5
    Suratul baqarah 255 (ayatul Kursi)
    Suratul Baqarah ayat 256 & 257
    Suratul Baqarah Ayat 285 & 286
    hizi aya 10 za suratul Baqarah wafaa uzisome asubuhi baada ya fardh ya alfajr na kila baada ya fardh ya maghrib. ni kinga dhidi ya shaytaan.
    Suratul 59 Al Hashr aya 22 23 na 24
    surat Kaafirun 109
    suratul Ikhlaas, Suratul Falaq na suratuN Naas (112 113 na 114)
    ni zizuri usome hizi aya kila baada ya swala ya fardh. hasa baada ya swala ya alfajr na swala ya maghrib
    wakati wa kulala usome ayatul kursi (2:255) na (2:285 & 286)
    [[[wakati wa kulala pia ufuate sunna ya Mtume (s.a.w) unaweka mikono kama vile ukisoma dua, soma suratul Ikhlaas, Falaq na Naas mara 3 puliza kwa mikono kisha futa mwili wako mzima kama vile wapaka mafuta.
    rudia hizi mara 3.]]]
    kwa hio utakuwa umesoma ikhlaas mara 3, falaq mara 3 na Naas mara 3
    sunna nyengine ya mtume (s.a.w) inayosaidia sama kujikinga na shaytaan ni
    Ulale na wudhu
    ulale kwa ubavu wa kulia
    na usome ayatul kursi ukijilaza.
    kisha kila baada ya siku 3 usome suratul baqarah yote kwa nyumba yako. Shaytaan haingii nyumba ambayo imesomewa suratul baqarah kwa muda wa masaa 72.
    jambi lingine ni utangulize mambo yako kwa kutaja jina la Allah Bismillah.
    ukiingia nyumbani kwako sema bismillah na utoe salamu (asalaam aleykum)
    ukianza kula sema bismillah
    ukiingia chooni sema dua ya kuingia chooni Allahumma inni audhu bika minal Khubthi wal Khaba'ith (ya Allah mimi najilinda kwako kutokana na mashetwani wanaoishi chooni wa kike na wa kiume)
    na kama umeoa ukifanya kitendo cha ndo useme dua - “Bismillahi, Allahumma jannibnaa ash-shaitaan, wa jannib ash-shaitaan maa razaqtanna”
    “In the name of Allah, O Allah, keeps us away from the devil, and keep the devil away from that which You may grant us (ie. offspring).”
    samahani hio maana yake naijua kwa kiswahili lakini nafikiri ni Bismillah Ya Allah tuepushane na Shaytaan na kizazi utakacho turuzuku uwaepushane na shaytaan.
    huo uradi tuupate tafadhal. watu wengi wana haya matatizo

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia;
      Maandishi :
      drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI-
      Sauti :
      drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie

  • @nyinawumuntuzenaaliciaalic2015
    @nyinawumuntuzenaaliciaalic2015 5 ปีที่แล้ว +4

    Man sha Allah
    Allah akujaliye kila la kheiri
    Akuzidishiye ilmu

  • @abdillahishaban913
    @abdillahishaban913 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni uradi ngani sheikh na mm nimzungue mke wangu

  • @majaliwaabdalla5844
    @majaliwaabdalla5844 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah napenda elmu yako yanisaidia sana mie

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 ปีที่แล้ว

      MashaAllah

    • @mariamchonde9364
      @mariamchonde9364 4 ปีที่แล้ว

      Sheghe naomba kuuliz mm nimeolew natun miaka 6 lkn sin furh na ndoa yang mwanaum ananipenda lkn mm simpend na sin hisia nae kbis nilikuw naish nae bs lkn hisia nae sina kba nasitak kumuumiz sabab mda mwingin ananihitj mm simhtaj kabs huwa natoa sababu yoyt tu ila asingus naomb unisaidia nitafanyaj

  • @adamhaji4263
    @adamhaji4263 4 ปีที่แล้ว +4

    Ikiwa mume kamuingilia mkewe kinyume cha maumbile je huyu make atakuwa kachika au haja achika

  • @nahimanaqueen4942
    @nahimanaqueen4942 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 Allah anijaliye adi Mwisho wauza nikimpa hakiyake

  • @datiabdallah6012
    @datiabdallah6012 4 ปีที่แล้ว +3

    Haya mawaidha yamenigusa Sana ninahilo tatizo

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 ปีที่แล้ว

      Allah akujaalie wepesi

  • @fadhilkhamis1004
    @fadhilkhamis1004 ปีที่แล้ว

    Sheikh wangu Tunaomba huo Uradi au hiyo Dua tujifanyie.

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka llahu lkhair 🍇

  • @aishuumademu8837
    @aishuumademu8837 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kupata huwo mradi coz matatizo yao pia mm ninayo naomba usadizi sheikh

  • @tcgmchurchtanzania8051
    @tcgmchurchtanzania8051 5 ปีที่แล้ว

    Tumsifu YESU KRISTO je mnautambua umuhimu Wa YESU KRISTO masihi akuna awezaekutoa pepo wachafu osipokuwa kwajina lake injili ilionukuliwa marko 16:14.....utaona Kwa nini tunakemea mapepo waganga wakienyeji washirikina kwajina LA MASIHI YESU sio venginevo nikujijazia mzigo Wa mashetani muaminini YESU enyi mafarisayo mnaovaa kanzu ndefu mkizunguka mijini kujionyesha mnamcha MUNGU kumbe YESU MASIHI hamumtaki

    • @suleimanizahor4284
      @suleimanizahor4284 5 ปีที่แล้ว

      hatuwezi kumsifu mwanaume mwenzetu

    • @halimajuma5515
      @halimajuma5515 5 ปีที่แล้ว

      hahahah

    • @halimajuma5515
      @halimajuma5515 5 ปีที่แล้ว

      Tcgm Tanzania atasifiwa kama tunavyowasifu mitume wengine tyu...
      lkn abadan hawez kuwa mtoto w mungu....
      laa ilaaha illa llah muhammadun rrasuulullah.

    • @muanaeidimdonge3700
      @muanaeidimdonge3700 5 ปีที่แล้ว

      Suleyman zahor hee mbavu zangu jamaniiiii

    • @zamizozamy5528
      @zamizozamy5528 5 ปีที่แล้ว

      bashite mwingine huyu

  • @aishabwaza7324
    @aishabwaza7324 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa napitia haya matatizo tena naeza kataa na kulia juu

  • @salihjuma4053
    @salihjuma4053 4 ปีที่แล้ว +1

    Shehh yafaa kumbonyeza mke ikiwa anamimba

  • @jumahajijuma2447
    @jumahajijuma2447 ปีที่แล้ว

    Tunaomba hiyo Dua

  • @gakougakou8445
    @gakougakou8445 4 ปีที่แล้ว

    Alafu mume mwenye mchepuko sana mpaka wanamfata nyumbani utaichinaye dje

  • @ndalushabani2859
    @ndalushabani2859 4 ปีที่แล้ว +10

    Mbona ikiwa hutba ya mambo ya ndoa, like na comment zinakuwa nyingi ?

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @abullahkabaka8774
      @abullahkabaka8774 4 ปีที่แล้ว

      Na wote ni wanawake tu. Kubonyeza

  • @bintiali4609
    @bintiali4609 2 ปีที่แล้ว

    Shek naomba huo uradi utusomee

  • @ummumoha2665
    @ummumoha2665 4 ปีที่แล้ว

    Aslamu alikum sheikh izudin kuna wanadoa wameowana juzi wana mwezi na siku kumi shida nikwamba mume asema mke haswali vile invotakekana mume asema hana makini na swala huyo msichana sikwakua haswali kabisa nivile tu hana makini na swala sasa mume amemkasirikia hakuna imani tena kwenye nyumba wala kufanya tendo la ndoa mume hataki ana hasira na mke wake naomba majibu yako shekhe

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 4 ปีที่แล้ว +1

    Twambie sheikh tuelekeze,Allah akbar

  • @FREENETNAME
    @FREENETNAME 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni sunnah mume kuowa mke zaidi miaka kama vile alivyo fanya Mtume Mohammed s.a.w sijuwi kwa nini wanaume wa kislamu hawafuati sunnah hii allahu akbar!!

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 3 ปีที่แล้ว

      Wanafata sunna ya kuongeza wake2

  • @yahayazedy9779
    @yahayazedy9779 4 ปีที่แล้ว +1

    Naam

  • @theatremovies7585
    @theatremovies7585 5 ปีที่แล้ว +2

    Maustadh sahii imekua too much waiteni ama wahamasisheni vijana kuswali jambo muhimu,kuacha zina ndio mambo mnafaa kila siku muongelee nyinyi wengiweni mmekua makungwi mnaongelea mambo ya uke na mume sjui tendo landoa haya muhimu mumeyasahau kueni makini

    • @zamizozamy5528
      @zamizozamy5528 5 ปีที่แล้ว

      tafuta mawaidha ya sheikh anazungumzia mada zote.

    • @zamizozamy5528
      @zamizozamy5528 5 ปีที่แล้ว

      somo la tawheed by ist izudin alwy ahmed th-cam.com/video/zC3nHizFdIY/w-d-xo.html

  • @ibrahimmchaulo2716
    @ibrahimmchaulo2716 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni changamoto cnaa

  • @ishaqissmail2692
    @ishaqissmail2692 3 ปีที่แล้ว

    Jazakullahul kheir

  • @nurdinkhalfan79
    @nurdinkhalfan79 4 ปีที่แล้ว +1

    mtihani

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 ปีที่แล้ว +2

    MASHALLAH ALEIK

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 ปีที่แล้ว

      MashaAllah

  • @fauziamwakunena549
    @fauziamwakunena549 6 ปีที่แล้ว +4

    Yaweza kutoka inshaAllah mungu atuepushie

    • @zainabumpita5160
      @zainabumpita5160 5 ปีที่แล้ว

      A.alayum shekhe nitajie huo uradi ili niusome

  • @fatmanassormohd8071
    @fatmanassormohd8071 3 ปีที่แล้ว

    Sheh mdog wng ana ttz ilo nakuomb msaada from zanzibar

  • @mansourahtwaha7663
    @mansourahtwaha7663 3 ปีที่แล้ว

    Assalam allaykum sheikhy izudin..naomba tuelekeze huo huradi maana tupo wengi haswa wenye matatizo km hayo ya subiani

  • @hamdukhamis5153
    @hamdukhamis5153 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @oyay2821
    @oyay2821 6 ปีที่แล้ว +2

    Kali hii

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 5 ปีที่แล้ว +6

    Zama hizi Hao wanawake wanaobonyezwa ni wengi mno kila umuonae akwambia hataki mume akaolewa na ukimuangalia Ana sifa zote
    Allah Atustiri

    • @galayagalaya48
      @galayagalaya48 5 ปีที่แล้ว +2

      Ali Dingongo kweli hta mm ctaki kuolewa na bdo mdg

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 5 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂😂

    • @galayagalaya48
      @galayagalaya48 5 ปีที่แล้ว

      Lightness Kweka 😃😃😃

  • @deedeejameel6028
    @deedeejameel6028 3 ปีที่แล้ว

    Je mume kama yeye anataka kuja kufuata kama mbuzi. Yaani anakuja apande amalize tu na juu ya hayo mlevi na Hana Muda wote Hana upendo.
    Je hapo????

  • @sadajuma6349
    @sadajuma6349 3 ปีที่แล้ว

    Nifurahishwa mawaitha yako mashaarwa

    • @sadajuma6349
      @sadajuma6349 3 ปีที่แล้ว

      MM nnatatz ninaependa simpat ilamwanaume nisiompend ndioanaangaika sananamm nam natakakuifata namfiyangu naisinntainjoimapenz rakinisinabahat ndionateseka

  • @tauhidakhamis4240
    @tauhidakhamis4240 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @a.856
    @a.856 6 ปีที่แล้ว +2

    Shukran shekh

  • @ayubuzulu8119
    @ayubuzulu8119 6 ปีที่แล้ว +1

    thanks for beautiful darasa

  • @omarymgaya8398
    @omarymgaya8398 5 ปีที่แล้ว +1

    Jaman huyu sheh anaitwa nani nisaidien jinalake

  • @zainbaubashiryzainabubashi4060
    @zainbaubashiryzainabubashi4060 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhuhana allah

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 ปีที่แล้ว

      Allah atulinde

  • @tariq_move_points7988
    @tariq_move_points7988 4 ปีที่แล้ว

    Shekh hicho kisomo ni kipi

  • @farajimwaitege3501
    @farajimwaitege3501 6 ปีที่แล้ว +6

    hatujapata kukusikia ukizumzia tawheed akhy... au mimi ndo cjaipata iyo mada

  • @maryuabdallah7345
    @maryuabdallah7345 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @khamismbarouk8242
    @khamismbarouk8242 3 ปีที่แล้ว

    Shehe tutajie iyo rukya

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 4 ปีที่แล้ว

    Urad... Niko na hiyo shida.......

  • @mzx_6bbf821
    @mzx_6bbf821 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh uradi wa Imam Nawawi tunauomba mie ninayo hayo matatizo

  • @ilhamprecious8816
    @ilhamprecious8816 5 ปีที่แล้ว +2

    Bonyeza maandishi ya blue hayo

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulilah, MaashAllah, InshAllah heri,

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 ปีที่แล้ว

      MashaAllah

  • @umiy1971
    @umiy1971 6 ปีที่แล้ว +7

    Na ampeleke hosp kabla hajaanza kushiriki majini,sisemi majini hakuna au hawafanyi lakini pia nimeona wanawake wanapata matatizo ya homonzi na yanahitajia kuonana na mtaalamu wa kihosp mengi tu hassa mama anapotoka kuzaa au akiwa ananyonyesha na asipojiangalia huyu mwanamke utakuwa ni ulemavu wa kudumu

    • @AzainTv
      @AzainTv 6 ปีที่แล้ว

      tafadhali bonyeza linki HIIth-cam.com/video/uceGUuJGnvc/w-d-xo.html

    • @ilhamprecious8816
      @ilhamprecious8816 6 ปีที่แล้ว

      umiy1971
      Help me

    • @umiy1971
      @umiy1971 6 ปีที่แล้ว

      what kind of help you need ?

    • @ilhamprecious8816
      @ilhamprecious8816 6 ปีที่แล้ว +1

      umiy19
      Nataka kulithibiti asemalo shekh nini tiba yake

    • @umiy1971
      @umiy1971 6 ปีที่แล้ว

      Tia rukya kila siku mara mbili siku za mwanzo utaona kama haifanyi lolote lakini hakika ni dawa pekee iliyonisaidia mie na wengine wengi niwajuao, ziko nyingi kwenye you tube . mimi ilinichukua wiki saba kupona lakini kuna watu walipata nafuu mapema zaidi au kuchelewa zaidi yangu

  • @swabrinamarjan1974
    @swabrinamarjan1974 6 ปีที่แล้ว +3

    Assalam aleikum basi tutumie huo uradi

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia;
      Maandishi :
      drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI-
      Sauti :
      drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie

  • @sabyharikesh2578
    @sabyharikesh2578 2 ปีที่แล้ว

    kama mume ndo hatak je

  • @neymarsuleyman8602
    @neymarsuleyman8602 6 ปีที่แล้ว

    Jazakallah kheir,
    Nawezapata huo uradi wa annawawi??

  • @kijolysahaly1323
    @kijolysahaly1323 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nikiwa nahamu namumewangu namuota mwanaume mwengine nahuwasimtamani Tena mumewangu.

    • @iddihussein3897
      @iddihussein3897 3 ปีที่แล้ว

      Una jini mahba wee

    • @djdondullah8215
      @djdondullah8215 3 ปีที่แล้ว

      Subiani huyo, tafuta sheikh mzuri akufanyie rukia

  • @saedbare8733
    @saedbare8733 5 ปีที่แล้ว

    As naomba huo uradi plz me pia nina hio shida plzzzz

  • @thesonstv786
    @thesonstv786 6 ปีที่แล้ว +3

    Niamsikiliza kwa umakini huyu mwalimu na kwa ungalifu sana asije akawa Mshia maana waislam wengi hawajui Dini yao hivyo huchukua kwa kila mtu anaejiita shekhe

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 ปีที่แล้ว +4

    Kuna swali nauliza kwa wale wanaofaham naomba wanijibu, mm hua napenda sana kuota ndoto nalala na mwanamume je huenda ikawa ndio huyo subiani au ni ndoto tu, na alafu kama nimeota ivyo nafanyiwa tendo la ndoa yan mapenz je inatakiwa nioge janaba pia au laah.

    • @Wildlife.23
      @Wildlife.23 6 ปีที่แล้ว +1

      Nafisa Mohamad dada yangu,sio kila ndoto ni una subiani laaahasha, ni ndoto to ila kuwa na mazoea ya kulala na udhu,yaani unatawadha kabla ya kulala na ukiota umefanyiwa tendo la ndoa lazima uoge janaba kwa maana umefajichafua.

    • @nafisamohamad3182
      @nafisamohamad3182 6 ปีที่แล้ว +1

      Yaseeng Nkumua ok shukraan kwa kunifahamisha mungu akujaze imani inshallah

    • @Wildlife.23
      @Wildlife.23 6 ปีที่แล้ว

      Nafisa Mohamad ameen

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 ปีที่แล้ว

      Group ya Sheikh Izuddin Uliza ujibiwe ya whatsap +254 701 662152

    • @ferousjuma1160
      @ferousjuma1160 6 ปีที่แล้ว

      As'salaam upo utaratibu wa kulala kisheria na kabla hujalala kuna dua maalum na kabla kuna udhu pia ...ukizingatia huwezi kuchezewa na sheitwani usingizini.in short majambo mengi yanautaratibu wake!!!

  • @zwinsalhabsu264
    @zwinsalhabsu264 5 ปีที่แล้ว

    Asallam alaykum shekhe twaomba utufahamishe hizo dua

  • @yusuphharuna6736
    @yusuphharuna6736 4 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Izudin Alwy salaam aleykum,Mimi nimeoa mke wa pili tatizo hili limenitokea mke wa kwanza sina hamu nae nifanyeje?

  • @jemedaryakida5477
    @jemedaryakida5477 6 ปีที่แล้ว

    mawaitha ya mashallah

  • @abuibra
    @abuibra 6 ปีที่แล้ว +3

    HAKUNA JINI ANAWEZA KUTJAMAA NA BINADAMU WALA BIN’ADAMU KUT’JAMAA NA JINI SAHAU KWA HILO,NIMCHEZO TU WASHETANI AUFANYAO KWA BIN’ADAM,KWA UFUPI NI HIVYO.

    • @zuwenasabra6622
      @zuwenasabra6622 6 ปีที่แล้ว

      ABU IBRA nifunze zaidi, kwanini unakataa jambo ambalo linaonekana kwa matukio ya kila leo?
      Kwanini jini hawezi?

    • @abuibra
      @abuibra 6 ปีที่แล้ว

      Zuwena Sabra :JINI KAUMBWA NA MOTO BIN’ADAM NA UDONGO KUNA MAMBO YANGINE UNAWEZA KUSHIRIKIANA NA JINI LAKINI SIYO KATIKA TENDO LA NDOA 1,KUNA BAADHI YA WANAWAKE HUSEMA ANA MME JINI AU MWANAUME HUSEMA ANA MKE WA KIJINI,SIYO KWELI,KWANZA NANI KAWAFUNGISHA NDOA,PILI KWANINI IWE SIRI IWAPO KUNA MAJINI PIA WAISLAMU .3,MAUMBILE YAO TOFAUTI NA BIN’ADAMU NA HAKUNA KATIKA MANABII AU MITUME ALIYE OWA JINI.WAPI ULIONA WATOTO WA KIJINI WALIO ZA NA BIN’ADAMU,(JINI WA KIKE AU WA KIUME ANAWEZA KUPATA HISIA IKIWA ATAINGIA KATIKA MWILI WA BIN’ADAMU IKIWA HUKU TANGULIZA JINA LA ALLAH NA NDIO MCHEZO WAO WANAO UFANYA,NA PIA TUSINGIWEZA KUSALI MAANA MAKAFIR WA KIJINI WANGEKUWA WANATUTENGUA UDHUU .IKIWA BI ZUWENA SABRA HUJA FAHAMU NIKO TAYARI KUKUJIBU HOJA ZAKO ZOTE UTAZO ZITOA BILA KUCHOKA NA WALA USISITE KUNIULIZA.

    • @ibrahimbalhawasel5458
      @ibrahimbalhawasel5458 6 ปีที่แล้ว

      Zuwena Sabra:PIA WASHIRIKINA HUTUMIA MBINU ZA KUWADANGANYA WATU WASIOKUA NA ELIMU YA MAJINI KUPATA RIZIKI ZAO,NA WALA USIFIKIRI SHAIKH YOYOTE WA KIDINI ANAWEZA KUA NA ELIMU YA MAJINI,NA UKIMSIKIA SHAIKH YOYOTE ANAKUULIZA JINA LA BABA AU MAMA YAKO BASI HAFAI AU UKIENDA TIBIWA KWA MGANGA AU SHEIKH ALAFU ANAMUULIZA HUYO JINI JINA LAKE NANI BASI ACHANA NAE HUWA MUONGO AU UKISIKIA SHAIKH YOYOTE AU MAALIM YOYOTE ANAJITAPA KWAMBA ATASOMA ALBADIR,BASI HUYO MSHIRIKINA MNAFIQ.HAKUNA MPAKA SASA KUTOKEA JINI KUMUOA AU KUOLEWA NA BIN'ADAM NAWALA HAITATOKEA KWANI ALLAH KATOKA MFANO WAKE WA KIMAISHA KWA MITUME NA MANABII KWA HIYO HAKUNA NI MCHEZO TU WA SHAITANI.

    • @crasher6468
      @crasher6468 5 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimbalhawasel5458 wako hao nimeshuhudia na tukamsomea na hilo dudu baya likaondoka sass kama ni jini no shetani anaejuwa zaidi no Allah maana tulimsomea mara mbili ya tatu subhanallah nilikuwa siiamini lakini baada ya kuyashuhudia subhanallah khatari na wala hatukumpeleka kwa mganga ni Rukiya na majina ya MMungu kwa siku tatu ya tatu aaa niliyoyaona haa kuna mtu akisema kama hivyo wewe alipopata mwanawe alipiga goti na MMungu asituoneshe

    • @jumashebby1666
      @jumashebby1666 4 ปีที่แล้ว

      Kusema hakuna jini anaweza kujimai na binadamu kwa sababu binadamu kaumbwa kwa udongo na jini kaumbwa kwa moto si hoja ya kukinaisha. Hayo ni mambo yapo kwa wenye kuendekeza vitu hivyo. Cha kuzingatia ni kwamba lazima tutambue atakayeendekeza mambo hayo ameingia makosani, ama yule aliyesibiwa na kutenzwa nguvu huyo ni mgonjwa anahitaji kufanyiwa ruqya ya kisheria ili Allah amuepushe na vitimbi vya viumbe hao. Allah anasema ktk suratil jinn:
      وأنه كان رجال من الإنس يعوذون برجال من الجن فزادوهم رهقا
      Na hali ilivyo ni kwamba kuna wanaume miongoni mwa watu wanajikinga kwa wanaume miongoni mwa majini na wakawazidishia taklifu.
      Miongoni mwa taklifu ni hizo jini kukuhitaji na kukutumia kwa uzinzi. Au wewe kumuhitaji jini na kumtumia kwa uzinzi. Baadhi ya banii Israil kabla ya kushushiwa Taurati walikuwa na utaratibu wa kuzini na majini wazi wazi, mwanaume alikuwa anachukua kondoo jike anaenda naye porini anaweka manuizo yake ya kutaka kuzini na jini wa kike kisha anamchinja kondoo na jini anatokea wanafanya zinaa, na mwanamke alikuwa anachukua kondoo dume naye hivyohivyo. Taurati iliposhuka ikawakataza mambo hayo.
      Kwenye majini kuna wanaume na wanawake kama ilivyo kwa wanadamu, kwa hiyo mambo yote ya kimatamanio yawezekana kuwepo baina yao. Hasa majini kuwatamani binadamu ndio zaidi kwa kuwa wanawaona hali ya kuwa binadamu hawawaoni. Halafu jini kajaliwa uwezo wa kujidhihirisha kwa wanadamu kwa umbo la kibinadamu ila Allah kawanyima uwezo wa kujimithilisha na sura za mitume tu kwa hekima yake. Na majini wanaokusudiwa hapo wanajihusisha na kuwafanyia vitimbi wanadamu ni majini waovu.
      وأنا منا الصالحون ومنا القاسطون
      Kwa hali ilivyo ni kwamba miongoni mwetu kuna wema na miongoni mwetu kuna waovu.
      Hiyo ni nukuu ya Allah kupitia kitabu chake majini wakijieleza.
      Pia majini wamegawanyika makundi mbalimbali ya kiitikadi kama ilivyonukuliwa tena kwenye kitabu kitukufu:
      وأنا منا المسلمون ومنا دون ذلك كنا طرائق قددا
      Kwa jinsi hali ilivyo ni kwamba miongoni mwetu kuna waislamu na miongoni mwetu ni kinyume cha hivyo, tupo mapote mbalimbali.
      Kwa hiyo ni mambo yapo wala hakuna sababu ya kupinga.

  • @mwanaidimohamed6835
    @mwanaidimohamed6835 3 ปีที่แล้ว

    Tusaidie hayo matatizo tunayo katika familia yetu

  • @mohamedsaid5949
    @mohamedsaid5949 6 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi nnamtoto mmoja tu ila sitamani kabsa mume wala kushiriki tendo

  • @ummuhjabbir4613
    @ummuhjabbir4613 5 ปีที่แล้ว +3

    Asalam alykum uradi upi shekh someone please help

  • @nuraabdulkadir9098
    @nuraabdulkadir9098 4 ปีที่แล้ว

    Kukataa tendo la ndoa kwakua mume amekuudhi hamuna maelewano nini hukmu yake sheikh kama sababu si subiani

  • @omarymgaya8398
    @omarymgaya8398 5 ปีที่แล้ว

    Naomba man saidie jinala huyu dheh

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 5 ปีที่แล้ว +1

    Shee 😆😆😆😆😆😆😆 balaa

  • @abdallahkhator4878
    @abdallahkhator4878 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona nafungua hii haikubal

  • @mbossowcb1915
    @mbossowcb1915 4 ปีที่แล้ว +1

    Ilim hauna ww

    • @ramadhanwilbard4685
      @ramadhanwilbard4685 4 ปีที่แล้ว

      Tusaidie wewe sisi umati Mohammed kama huyu shekh hajui akiongeacho!

    • @Sayyid110
      @Sayyid110 3 ปีที่แล้ว

      Ww mwny elmu tusomeshe

  • @zulfasaidii3691
    @zulfasaidii3691 6 ปีที่แล้ว

    Mashaalla

  • @neilahomar2307
    @neilahomar2307 6 ปีที่แล้ว

    Asalaam aleikhum bc mm namtaka huyo sheikh anisomee pia

  • @firdausjaffer7811
    @firdausjaffer7811 5 ปีที่แล้ว

    Aa naomba mume kuwa bahili

  • @tameemashaa5234
    @tameemashaa5234 5 ปีที่แล้ว

    Insha Allaah

  • @najimbakari3887
    @najimbakari3887 4 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako sheikh

  • @fauziamwakunena549
    @fauziamwakunena549 6 ปีที่แล้ว

    Hapo penye mtu wa mwilini ni kweli

  • @abdulhamidy8920
    @abdulhamidy8920 5 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh A.alaykum
    Swali langu nihili. Mke wangu ameshika ujauzito lakini tangia aliponambia ana ujauzito bas amekua hataki ata kualala nami karbu ahataki ata kumgusa leo ni cku ya 5 ata khabari namimi hana je nihaki hii kwake kufanya?

    • @zaitunabdul2007
      @zaitunabdul2007 5 ปีที่แล้ว +1

      Ongeza Mahaba zaidi ya Yale ya mwanzo, uweze mlainisha moyo wake

    • @muanaeidimdonge3700
      @muanaeidimdonge3700 5 ปีที่แล้ว

      Hehee mambo ya mahaba hayo

    • @abdulhamidy8920
      @abdulhamidy8920 5 ปีที่แล้ว

      Muana acha ukorofi wee

    • @zamizozamy5528
      @zamizozamy5528 5 ปีที่แล้ว

      ni kawaida ongeza mahaba. kila ujauzito una tabia zake.

    • @hamzamagoti5374
      @hamzamagoti5374 4 ปีที่แล้ว

      masha Allah ya shee

  • @jacklinemutua416
    @jacklinemutua416 5 ปีที่แล้ว

    ni kweli

  • @mariamkalinga2628
    @mariamkalinga2628 6 ปีที่แล้ว +1

    darasa zur sn

  • @aishaabdalla4208
    @aishaabdalla4208 4 ปีที่แล้ว

    Mimnamaswali

  • @myrafarijallah8927
    @myrafarijallah8927 5 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum....Mimi niko naye...nifanye nini..plz nisaidie..tena hunijia sura za family yangu

    • @zamizozamy5528
      @zamizozamy5528 5 ปีที่แล้ว

      ndo umeshauriwa usome huo uradi. utafute kwenye TH-cam

  • @samirahassan8387
    @samirahassan8387 6 ปีที่แล้ว

    darasa nzuri sana 😂

  • @theatremovies7585
    @theatremovies7585 5 ปีที่แล้ว +1

    Vijana wamezidi usinzi uzinifu ,vijana hawaswali ,,,vijana wamezidi kuingia kwenye uhuni hususan wakislam kuna mambo muhimu sana yakuongelea ilikuwaelekeza viajana na umma wote hizi mada za skuizi zimekua nikama mashindano kwamaustadh.

    • @zamizozamy5528
      @zamizozamy5528 5 ปีที่แล้ว

      tafuta mawaidha ya sheikh anaizungumzia mada zote.

  • @sombimussa1476
    @sombimussa1476 6 ปีที่แล้ว

    du umettisha

  • @panuasoko9098
    @panuasoko9098 6 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Uradi wa Imam Nawawi nitaupata kwenye kitabu gani?

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia;
      Maandishi :
      drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI-
      Sauti :
      drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie

  • @hafizanajma8380
    @hafizanajma8380 6 ปีที่แล้ว +7

    Asalam aleykum,ningeomba hizo dua ambazo mtu yuajisomea,ili kufukuza

    • @fawziaabdurrahman2251
      @fawziaabdurrahman2251 6 ปีที่แล้ว

      Assalaam Alaykum
      Aya za Qur'an za ruqya ni hizo amabazo nimeandika hapo juu kwa jibi la Mserajlive.
      hio dua ya Imama Nawawi na mimi pia naingoja. siijui

    • @hafizanajma8380
      @hafizanajma8380 6 ปีที่แล้ว

      Waaleykum salaam,twaomba atusaidie na hizo dua

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว

      Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia;
      Maandishi :
      drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI-
      Sauti :
      drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว

      Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia;
      Maandishi :
      drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI-
      Sauti :
      drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว

      Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia;
      Maandishi :
      drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI-
      Sauti :
      drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie

  • @tumahmoha3478
    @tumahmoha3478 5 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @Donitaltd
    @Donitaltd 5 ปีที่แล้ว

    Jamani hayo matatizo ndio niko nayo mm, mwenye ushauri tafadhali +255 676 747 784 naomba ushauri wenu.

  • @asedtembo4742
    @asedtembo4742 5 ปีที่แล้ว

    Huo uradi sheikh waeza unaniambia nisome?

  • @hudaythaaliy8747
    @hudaythaaliy8747 5 ปีที่แล้ว +1

    Salam nlkwa naomba email yako

  • @priscillakasoha4863
    @priscillakasoha4863 5 ปีที่แล้ว

    jameni Nina shida hii nifanye aje nipe kitambu cha kusoma bibilia Mimi ni mchristo

    • @halimajuma5515
      @halimajuma5515 5 ปีที่แล้ว

      priscilla kasoha kwanza uslim!!!
      mengine yatafatia baadae

  • @mserajlive
    @mserajlive 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante lakini ni sura gani asome manake unasema qura'n

    • @fawziaabdurrahman2251
      @fawziaabdurrahman2251 6 ปีที่แล้ว +1

      Assalaam aleykum.
      Jambo la kwanza la kujikinga na Shaytaan ni kufuata maamrisho ya Allh na kuachana na makatazo yake. kwa hio kama unahusika na madhambi jaribu uache. hasa shirki, zina na miziki ya midundo.
      pia hakikisha kuwa wala halali, wafanya kazi ya halali na nyumba yako haina masanamu na mapicha ya viumbe walio hai (wanyama na wanadamu) kwenye kuta. malaika hawaingii nyumba yeneye vitu hivyo.
      kisha ondoa majibwa kwenye nyumba ikiwa una majibwa (dog pets)
      surah na ayat za ruqya ni hizi
      Surah huwa ni AlFatiha.
      Suratul Baqarah 1-5
      Suratul baqarah 255 (ayatul Kursi)
      Suratul Baqarah ayat 256 & 257
      Suratul Baqarah Ayat 285 & 286
      hizi aya 10 za suratul Baqarah wafaa uzisome asubuhi baada ya fardh ya alfajr na kila baada ya fardh ya maghrib. ni kinga dhidi ya shaytaan.
      Suratul 59 Al Hashr aya 22 23 na 24
      surat Kaafirun 109
      suratul Ikhlaas, Suratul Falaq na suratuN Naas (112 113 na 114)
      ni zizuri usome hizi aya kila baada ya swala ya fardh. hasa baada ya swala ya alfajr na swala ya maghrib
      wakati wa kulala usome ayatul kursi (2:255) na (2:285 & 286)
      [[[wakati wa kulala pia ufuate sunna ya Mtume (s.a.w) unaweka mikono kama vile ukisoma dua, soma suratul Ikhlaas, Falaq na Naas mara 3 puliza kwa mikono kisha futa mwili wako mzima kama vile wapaka mafuta.
      rudia hizi mara 3.]]]
      kwa hio utakuwa umesoma ikhlaas mara 3, falaq mara 3 na Naas mara 3
      sunna nyengine ya mtume (s.a.w) inayosaidia sama kujikinga na shaytaan ni
      Ulale na wudhu
      ulale kwa ubavu wa kulia
      na usome ayatul kursi ukijilaza.
      kisha kila baada ya siku 3 usome suratul baqarah yote kwa nyumba yako. Shaytaan haingii nyumba ambayo imesomewa suratul baqarah kwa muda wa masaa 72.
      jambi lingine ni utangulize mambo yako kwa kutaja jina la Allah Bismillah.
      ukiingia nyumbani kwako sema bismillah na utoe salamu (asalaam aleykum)
      ukianza kula sema bismillah
      ukiingia chooni sema dua ya kuingia chooni Allahumma inni audhu bika minal Khubthi wal Khaba'ith (ya Allah mimi najilinda kwako kutokana na mashetwani wanaoishi chooni wa kike na wa kiume)
      na kama umeoa ukifanya kitendo cha ndo useme dua - “Bismillahi, Allahumma jannibnaa ash-shaitaan, wa jannib ash-shaitaan maa razaqtanna”
      “In the name of Allah, O Allah, keeps us away from the devil, and keep the devil away from that which You may grant us (ie. offspring).”
      samahani hio maana yake naijua kwa kiswahili lakini nafikiri ni Bismillah Ya Allah tuepushane na Shaytaan na kizazi utakacho turuzuku uwaepushane na shaytaan.
      hilo alilo sema la Uradi wa Imama Nawawi na mimi pia nalitaka maana silijui na sijawahi kuliskia. kwa hio tutafaidika sote

    • @alirajab3882
      @alirajab3882 6 ปีที่แล้ว

      Ahsante shehe

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว

      Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia;
      Maandishi :
      drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI-
      Sauti :
      drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie

    • @nyinawumuntuzenaaliciaalic2015
      @nyinawumuntuzenaaliciaalic2015 5 ปีที่แล้ว

      Aya zote za ruqia

    • @seifvuai360
      @seifvuai360 5 ปีที่แล้ว

      Jamani hilo tatizo nnalo

  • @anselmoonolius8362
    @anselmoonolius8362 5 ปีที่แล้ว +2

    Amnaga point nyingne nyie ni wale tuu badiliken mumupokee Yesu

    • @santodelove4351
      @santodelove4351 5 ปีที่แล้ว +3

      Hatuwezi kuja kumuabudu binadamu

    • @anselmoonolius8362
      @anselmoonolius8362 5 ปีที่แล้ว

      Hausomagi maandiko ww unaweza ukanipa aya ijayosema Yesu ni binadam?

    • @anselmoonolius8362
      @anselmoonolius8362 5 ปีที่แล้ว

      Mathayo l:23 Tazama, bikira atachukua mimba,
      Naye atazaa mwana;
      Nao watamwita jina lake Imanueli;
      Yaani, Mungu pamoja nasi.
      Hapo umeelewa nn?

    • @anselmoonolius8362
      @anselmoonolius8362 5 ปีที่แล้ว

      Muwage mnasoma maandiko msiwe mnapelekwa pelekwa tu kama vipofu

    • @santodelove4351
      @santodelove4351 5 ปีที่แล้ว

      @@anselmoonolius8362 malaika alitumwa na nani???