Chaguo (The Choice) Dr Ellie Wa Minian No 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @edgeranacret5455
    @edgeranacret5455 3 ปีที่แล้ว +3

    Thank you Dr.Elie,Baba yetu aliye mbinguni akubariki na uangaze vema duniani,Thank you we love you

  • @denniskapella.3345
    @denniskapella.3345 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimeanza kuyaona maisha tofauti toka nianze kumsikiliza dokta eli!

  • @Laizer3
    @Laizer3 9 หลายเดือนก่อน +5

    Watu wanafagilia picha za uchi lakini mafundisho kama haya hawazioni😢

  • @jehoshaphatmollah9424
    @jehoshaphatmollah9424 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka ellie watu kama wewe ni adimu sana so uwepo wako ni lulu sana katika jamii na maana jumla ya maisha.

  • @macklugatta6033
    @macklugatta6033 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa Somo zuri....hili nitawatumia familia yangu na marafiki zangu nao wajifunze na nina ahidi kulifuatilia mpaka mwisho Mungu awabariki chomoza na Dr Elly

  • @hearlychunga545
    @hearlychunga545 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheeeeesshh !!! Munga tehnan borned again

  • @felixlamar9196
    @felixlamar9196 3 ปีที่แล้ว +16

    Kwani akuna uwezekano Dr awe mshauri wa president? Tunawatu wangapi kama Dr Elie?. Sijuwi nimpate njia gani nimshukuru ata kwakazawadi kangu kadogo

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 2 ปีที่แล้ว

      Kama uko mbali tft namba yk ya cm, km uko jirani nenda crauds utapewa njia ya kumpata.

    • @anesiusbyarugaba9575
      @anesiusbyarugaba9575 2 ปีที่แล้ว

      imeongea kwewli

  • @mjroyaltz8322
    @mjroyaltz8322 2 ปีที่แล้ว

    Hatunaga cha kusema zaid ya kuwashukulu tram chomoza na Dr Elie mwenyez mungu awabariki xanaaa🙏🙏🙏

  • @ngolobulugu9525
    @ngolobulugu9525 4 หลายเดือนก่อน

    😭😭 glory to God❤

  • @EvelnLaison
    @EvelnLaison 10 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana nimetoka sehemu kwenda sehemu

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 2 ปีที่แล้ว +1

    Chaguo "Nguvu ya kuamua" These are spiritual revelations woooow

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 2 ปีที่แล้ว

    nakuombea sana mzee wangu, nataka nikuzidi hili ndo chaguo langu

  • @marrykundya5629
    @marrykundya5629 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanx so much brothers,Dr Elie Mungu akutunze tuonane next Sunday kujifunza zaid

  • @christinen8291
    @christinen8291 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba Dr Elie barikiwa sana. Ungefafanua zaidi .kama itawezekana next week uendeleye na somo hili ya uchaguzi

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr waminian hongera

  • @nyategregory7852
    @nyategregory7852 3 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu kwa ajili yenu timu chomoza.dr eli nashukuru sana

  • @aristidessaristarck3494
    @aristidessaristarck3494 3 ปีที่แล้ว +2

    Asantee sana doctor.. Soko la leo hata uncle Jimmy hajakumbuka muda

  • @eliasisack2310
    @eliasisack2310 3 ปีที่แล้ว +4

    Neno bahati dr lipo kwenye bible mhubiri 9:11

  • @vivianamani2310
    @vivianamani2310 2 ปีที่แล้ว

    This is more than powerful.
    Love it😘👍
    God bless you for this great teaching 🙏

  • @kamorikamoris7765
    @kamorikamoris7765 3 ปีที่แล้ว

    Vitu vigumu katika urahisi wake. Ahsante kwa utangulizi mzito

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki wote Amen.

  • @anesiusbyarugaba9575
    @anesiusbyarugaba9575 2 ปีที่แล้ว

    naitwa anesius nabarikiwa sana na masomo yako

  • @steveshark2217
    @steveshark2217 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks Dr Ellie, God bless you Dr!

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 3 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana kwa somo hili. Limenifungua macho. God bless you.

  • @hearlychunga545
    @hearlychunga545 2 ปีที่แล้ว +1

    I want this clip 🙌🙌

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana Doctor 👨‍⚕️ Ellie na Chomoza ☝️🙏

  • @shukrangejeje331
    @shukrangejeje331 3 ปีที่แล้ว

    My the Almighty God bless you Dr! I Love You!

  • @christiansylvester6901
    @christiansylvester6901 3 ปีที่แล้ว +6

    Help me from Dr Ellie,, psychologically, why do people crying when saying goodbye to their friends?

  • @anithamuvurwaneza1621
    @anithamuvurwaneza1621 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi asante kutuelewesha labisa barikiwa

  • @safimusa1011
    @safimusa1011 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina team chomoza mbalikiwe

  • @rogathemaimu1195
    @rogathemaimu1195 3 ปีที่แล้ว +1

    wow!!,(ety bahat mbaya)

  • @jeniphermbakile8274
    @jeniphermbakile8274 3 ปีที่แล้ว +1

    Thank you for the englightements

  • @the_white_43.
    @the_white_43. 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante... Mungu atuongezee maarifa...

  • @hellenwillium6568
    @hellenwillium6568 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana babà

  • @zachariajonas2407
    @zachariajonas2407 3 ปีที่แล้ว +1

    Dr Eliya nakutafuta unifundishe neno la Mungu....nakupateje?

  • @tumainistanley637
    @tumainistanley637 2 ปีที่แล้ว +1

    I love you🤝

  • @McKajuna
    @McKajuna 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi Dr. Elie ana vipindi anafundisha vya Psychology, Philosophy au Theology?

  • @jasperjackson8871
    @jasperjackson8871 3 ปีที่แล้ว

    I'm proud of you pastor Elie🙏🙏🙏

  • @meshackallyson7418
    @meshackallyson7418 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kwa kazi njema 👏

  • @kevinmtei1457
    @kevinmtei1457 3 ปีที่แล้ว

    One day I will be like you.May God give u long life..

  • @bestshine6273
    @bestshine6273 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏

  • @liberatuceboniphace4004
    @liberatuceboniphace4004 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mwalimu.

  • @princeeliyamhina
    @princeeliyamhina 3 ปีที่แล้ว +5

    HUYU MTU NIKIMTAFAKARI SIMMALIZI.
    SIJUI IFANYIKE NINI HUYU MTU TUHAKIKISHE KILA ALICHONACHO ANAKIWEKEZA KWA KIZAZI KIPYA.
    MADINI NI MENGI MNO

  • @rajetjohn7517
    @rajetjohn7517 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu na atunze akili yako

  • @officialsaitoti492
    @officialsaitoti492 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless you Dr

  • @geoffreyluvanda7801
    @geoffreyluvanda7801 3 ปีที่แล้ว +2

    Genius Man

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 3 ปีที่แล้ว +2

    Blessed

  • @tinahngole5456
    @tinahngole5456 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless u

  • @humphreypeter5641
    @humphreypeter5641 2 ปีที่แล้ว +1

    Kabla hujaongea kuwa na uhakika neno bahati lipo mhubiri 9:11 wakati na bahati huwapata wote

  • @stargloria7106
    @stargloria7106 3 ปีที่แล้ว +7

    Hivi ni mimi nakua mzito kuelewa au nahitaji muda kurudia na kutafakari🤦‍♀️dr anaongea kiswahili tena chepesi ila kigumu kuelewa🙌

    • @aristidessaristarck3494
      @aristidessaristarck3494 3 ปีที่แล้ว +1

      Hujachagua kuelewa

    • @jonasedson5024
      @jonasedson5024 3 ปีที่แล้ว

      @@aristidessaristarck3494 ,😅😅et hajachagua duh

    • @MaryMbwilo
      @MaryMbwilo 4 หลายเดือนก่อน

      Pole ndugu unatakiwa uwe makin kumsikiliza utaelewa

  • @bestshine6273
    @bestshine6273 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni Zaidi ya Mwalimu Kwangu na Ninaangalia Kipindi hichi bila Kukosa , Na ninaandika

  • @shegashega2421
    @shegashega2421 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akutunze Baba

  • @bestshine6273
    @bestshine6273 2 ปีที่แล้ว +1

    HIGH IQ

  • @stephenmgaya9836
    @stephenmgaya9836 3 ปีที่แล้ว +1

    Deep staffs indeed..

  • @marthanakhungu8370
    @marthanakhungu8370 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen.

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 3 ปีที่แล้ว

    Mmmmh so powerful ☺️🤦‍♀️

  • @michaelmmbaga4350
    @michaelmmbaga4350 2 ปีที่แล้ว +1

    be bleased dr

  • @josephstanslaus82
    @josephstanslaus82 3 ปีที่แล้ว +1

    kipindi kizuri, tukipata marejeo itakuwa vema zaidi(references)

  • @leytcastle9402
    @leytcastle9402 3 ปีที่แล้ว +1

    nachagua kusikiliza tena😂😂😂

  • @pearl3696
    @pearl3696 3 ปีที่แล้ว +1

    Jimmy😆

  • @daudipeter2115
    @daudipeter2115 2 ปีที่แล้ว +1

    Ortrr54o

  • @georgekweyamba5569
    @georgekweyamba5569 3 ปีที่แล้ว +2

    Blessed