Asante mtumishi. Injili ya kweli lazima ihubiriwe. Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya huduma hii na tunamshukuru Mungu na sisi wa mbali inatufikia. Mbarikiwe sana. Limekuwa neno langu siku ya leo
A right sermon in a right time, the same way we defeated the first wave, we shall defeat whatsoever number of corona wave in the SAME and POWERFUL name of JESUS, Ameen!! God Bless you more Man of God.
Mtumishi Apostle Mtalemwa Mwenyez Mungu akupe Neema ya ushindi katika utumishi wako ubarikiwe sana mafundisho yako yananibariki na kunifundisha sana naamin ujumbe uwako umewafikia wengi na umewagusa
Mungu atusaidie tutegemee maandiko ktk biblia na sio media, kama mfalme wa shamu alikuja tena mwezi wa kwanza baada ya kushindwa mwaka jana Asante Apostle
MUNGU akubariki Sana mtumishi wa MUNGU unaponya mioyo ya wengi Sana ,hakika wewe ni mtu tunapaswa kujivunia na kukuombea Sana ktk kipindi hiki Cha siku za mwisho.....wewe ni hazina 🙏🙏🙏🙏MUNGU akutunze....
Ahsante Mtumishi wa Mungu. Ukweli ndio huo, tuache unafiki, ugonjwa wa korona upo nasi tuendelee kutumia silaha tulizonazo kama mwanzo pamoja na kuzidi kumwomba Mungu Muweza yote. Kwa jina la Yesu Kristo tutashinda
Shalom shalom mtumishi haya mafundisho ndiyo tuna yatafuta wengine hatujui mpangilio wa Bible unakuta unafatilia maombi yako ya kukimbiza mapepo Kisha unabakia ujui kujipangilia ni neno gani la kusoma ili tatizo likiisha lisiludi au asiwe anakukalibia kwasababu pepo akukalibii kama ukiwa na neno la mungu kila siku na Imani ukiwa nayo pia tumishi
Jamani huwa nabarikiwa tu na masomo yako cjawahi kujuta Mana huwa napata nguvu mpyaaaaa kila ninaposkia,,,,,,,,MUNGU akubariki Sana mtumishi uzidi kuinuliwa na kufunuliwa zaidi
Wanefili wanafili Nuhu alitengeneza SAFINA kama Mungu alivyomwagiza, na kweli waliangamizwa na Mungu,.shida ni pale hatujui historia ikoje,.kanisa la Mungu likisimama kama Joshua na Kalebu walivyojipanga wakiwa na Mungu mwenyewe basi waiingia nchi ya Ahadi. EEEH Mungu nisaidie nisonge mbele..
Mbona tumefundishwa kwa wakati ule waliomwabudu mungu waliwaita Wana wa mungu na wake uzao wa kaini (wapagani)wakaoleana ndipo ghadhabu ya mungu ikawaka halafu Wana wamungu ni wale ambao ktk uumbaji Bwana akasema na tumfanye mtu kwa sura yetu hao ndio Wana wa mungu yaani wanadamu malaika siyo Wana wa mungu huwezi kuniambia malaika ni Wana wamungu malaika hajawekewa mbegu za kuzaa watu hiyo ni wanadamu tu ndio walioambiwa wakazaane na kuongezrka kutosha malaika hawezi kuzaa!!!!
Pastor nilianza kukuelewa sana tangu kwenye ule wimbo wa Muzina nakupenda sana Mungu akuinue zaidi na zaidi
Amen mtume wa yesu nambarikiwa na maumbiri yako,,,, i'm watching from saudia i'm blessed🙏🙏🙏
Waoooooh. What a powerful teachings? Asante mtumishi wa Mungu. Nimekuelewa sanaaaa. Hili somo ni applicable sector zote za maisha. Asante mlezi wetu
Ubarikiwe sana Apostle,mahubiri haya nizaidi ya mwaka nimeyafuatilia leo,kweli yamenivusha ninako pita, Haleluuuuya 💪🙏
Asante mtumishi. Injili ya kweli lazima ihubiriwe. Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya huduma hii na tunamshukuru Mungu na sisi wa mbali inatufikia.
Mbarikiwe sana. Limekuwa neno langu siku ya leo
A right sermon in a right time, the same way we defeated the first wave, we shall defeat whatsoever number of corona wave in the SAME and POWERFUL name of JESUS, Ameen!!
God Bless you more Man of God.
Asante sana Mtumishi wa MUNGU umenifundisha jambo sana hakika sitajisahau tena, Barikiwa sana Chief.
Apostle ni mtu wa wap
Mtumishi Apostle Mtalemwa Mwenyez Mungu akupe Neema ya ushindi katika utumishi wako ubarikiwe sana mafundisho yako yananibariki na kunifundisha sana naamin ujumbe uwako umewafikia wengi na umewagusa
Amen Apostle Mtalemwa
Mtumishi nimesoma ujumbe wako nakuuelewa lakin nataman kukutana na wewe nijue zaidi sijui unanisaidiaje kwa hili maana Naona moyon sijakaa swa
Naweza kukupataje kesho nikuone maan ujumbe wako nimeusoma lkn bado ninayo ya kukuliza uweze kunisaidia Mtumishi naomba msaada wako
Huyu mchungaji anapatikana wap
Napenda sana Mafundisho ya huyu Pastor. I always listen to your teachings 🙏🙏
я
pro tip : watch series at Flixzone. Been using it for watching loads of movies these days.
@Ahmad Ronald Yup, been using flixzone for years myself =)
@Ahmad Ronald yea, I've been using flixzone for since december myself :)
@Ahmad Ronald Yup, I have been watching on Flixzone for years myself =)
Mwanangu atapona kwa Jina la Yesu
Mungu atusaidie tutegemee maandiko ktk biblia na sio media, kama mfalme wa shamu alikuja tena mwezi wa kwanza baada ya kushindwa mwaka jana
Asante Apostle
Na Ahimidiwe Mungu wetu kwa ajili ya mtumishi wake Apostle Mtalemwa.
Hakika nimekukubari mtumishi was Mungu, karne hii inatakiwa iwe na mashujaa kama wewe. Barikiwa.
Amina
Ninabarkiwa sanaàa namafundisho yako lkn naomba namm uniombee mtumishi Niko nachangamoto nying bwanaaa akuinue sana mtumishi
Asante sana Apostle nina barikiwa na neno lako nikiwa nchini Brazil
AMEN..huu ujumbe umenibariki
asante mtumishi nabarikiwa nkiwa apa🇰🇪
MUNGU akubariki Sana mtumishi wa MUNGU unaponya mioyo ya wengi Sana ,hakika wewe ni mtu tunapaswa kujivunia na kukuombea Sana ktk kipindi hiki Cha siku za mwisho.....wewe ni hazina 🙏🙏🙏🙏MUNGU akutunze....
Sure Ameen
Thanx. Coz of the revelation man of God.Nkr city Kenya
Ahsante Mtumishi wa Mungu. Ukweli ndio huo, tuache unafiki, ugonjwa wa korona upo nasi tuendelee kutumia silaha tulizonazo kama mwanzo pamoja na kuzidi kumwomba Mungu Muweza yote. Kwa jina la Yesu Kristo tutashinda
Mtumishi wa Mungu wanibariki Sana. Nakuru_Kenya
Powerful teaching, Asante mtumishi
Eye opener. Be blessed man of great God. Am watching from Kenya.
Mungu akuongezee miaka ya kuishi mtumishi wa bwana
Barikiwa mtumishi kweli IPO tuombe Mungu Sana tuchukue tahathari pia
Powerful teaching thanks may God bless you 🔥🔥🔥🔥
Nimejazwa na mafundisho yako Mungu akuinue
Amen amen mutumishi Mungu akuzidishiye
Umenifanya nijue mengi juu ya Maisha yangu na napona na nitaendelea kupona .barikiwa Sana mtumishi wa Mungu.
815
Very powerful teachings
Bravo! Pastor
Ameni
Ameeen barikiwe sana mtumishi
Shalom shalom mtumishi haya mafundisho ndiyo tuna yatafuta wengine hatujui mpangilio wa Bible unakuta unafatilia maombi yako ya kukimbiza mapepo Kisha unabakia ujui kujipangilia ni neno gani la kusoma ili tatizo likiisha lisiludi au asiwe anakukalibia kwasababu pepo akukalibii kama ukiwa na neno la mungu kila siku na Imani ukiwa nayo pia tumishi
Powerful teaching Apostle
Asante kwa mafundisho
Shalom shalom chief Apostle 10G
Am blessed so much pst be blessed.
.
one ofe postler that never listen before, 💪💪
Thank you so much apostle Mtalemwa God bless you so much my apostle
Msumari wa inchi nane unaumaaa lakini tumepona,meseji sent,hata Roho mtakatifu kafurahi
Thank you Chife apostle mtalemwa, sema baba that is true
I like the Apostle so much God bless your ministry 🙏🙏
Nashukuru sana Mtumishi 🙏 unacho hubiri ni sahihi kabisa leo umenifumbua macho nimejifunza uhalisia wa maisha Asante sana 🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi
Powerful teaching God bless you Chief Apostle
Be blessed man of God
Powerful teachings pastor
Hongera mtelemwa uko imara Sana maake watumishi wengi watia hofu waumini wao badala ya kuwapa moyo wa kua na Imani kamili
Amina 2tasimama tena kwa jina la yesu
Huyu mtumishi nampenda Mungu azidi kumuweka hakika akifundisha Neno namuelewa
Very encouraging and GOD BLESS you Apostle.
ALUTA CONTINUE TUNAENDELEA KUPAMBANA🔥🔥🔥
Jamani huwa nabarikiwa tu na masomo yako cjawahi kujuta Mana huwa napata nguvu mpyaaaaa kila ninaposkia,,,,,,,,MUNGU akubariki Sana mtumishi uzidi kuinuliwa na kufunuliwa zaidi
Hallelujah 🙏 upo sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu
Dar mungu ana vyombo nimeamini be bresed
It's true man of God if u relax they come again thanks for gud mission
My.pastor
Ubarikiwe Sana mtumishi karibu na kwetu Mbeya jmn
Mungu akubariki umenena ukweli umetwambia
YATOSHA 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Bless you Apostle
Soooo 💥 powerful 🙏🙏it is done
Amena. Mungu akubariki sana
Mungu akuzidishie hekima na maharifa
Glory to God🙌🔥🙌Blessed Man of God the WORD PREACHED, HEAL RESTORE MY SOUL🤲🔥🤲🔥🙏🙏🙏
Wape wape hao hawajavaa barakoa wanafiki hao.Nakupenda mtumishi msema kweli.
From nchi yambali tunakupata sana
Bwana Yesu Asifiwe
Naamini kupokea in Jesus mighty name above every name 💞
Asante mtumishi ni mafundisho ya leo imenibariki🙏🙏
Amina nimebarikiwa
Ubarikiwe mtumishi.
Thanks very much postor i understand you.🖒
I hear you APOSTLE....let's fight again ... Mungu wetu atatusaidia
@@pastorseanpinder1928 kwendraaa
Halleluya I learnt something even though am at school.
Asante Mtumishi kwa somo umenifungua
Mtumishi shalom
Huyu mchungaji anapatikana wap
🙏🙏🙏Amen
Nimekukubari mtumishi
Asante mtumishi wa Mungu kwa mafundisho ya kweli
mungu ndio muweza yayote sisi tutaendelea kumuomba hatuepushe tena ktk ugonjwa huu
Amen in the mighty name of Jesus Christ Amen Hallelujah Glory be to God
Mimi ni amina mu Kenya 🙏🙏🙏🙏
Amina nimepata neno sitasahau kamwe kwa nn yanajirudia tu mambo
Nashukuru kwa kunifundisha kuwa shetani anarudi sintazembea kuomba
Amen man of God
Powerful 🔥
Mungu azidi kukutumia na kukutunza, sema tufundishe tupone
Amen kweli
More grace
Wanefili wanafili Nuhu alitengeneza SAFINA kama Mungu alivyomwagiza, na kweli waliangamizwa na Mungu,.shida ni pale hatujui historia ikoje,.kanisa la Mungu likisimama kama Joshua na Kalebu walivyojipanga wakiwa na Mungu mwenyewe basi waiingia nchi ya Ahadi. EEEH Mungu nisaidie nisonge mbele..
Pasta, ukweli napenda sana mafundisho maana yamebase kwenye biblia
Sema.sema.sema.una.neema.ya.ajabu.yaa.eti.midhambi.inaendelea.matatizo.yakome.tanzania kama dhambi.inaendelea.basi.na.matatizo.yapo.yanaendelea
Neno la MUNGU ni upanga ukatao kuwili
Amen amen
Hallelujah hallelujah hallelujah
Nimejifunza kitu mtumishi wa Mungu
It is done.
Vyemaa
Hallo, WA misri wako, Kuna wale wamenibariki na mavafi na pesa, wapo
Mtumishi uje na bukoba jamani
Mbona tumefundishwa kwa wakati ule waliomwabudu mungu waliwaita Wana wa mungu na wake uzao wa kaini (wapagani)wakaoleana ndipo ghadhabu ya mungu ikawaka halafu Wana wamungu ni wale ambao ktk uumbaji Bwana akasema na tumfanye mtu kwa sura yetu hao ndio Wana wa mungu yaani wanadamu malaika siyo Wana wa mungu huwezi kuniambia malaika ni Wana wamungu malaika hajawekewa mbegu za kuzaa watu hiyo ni wanadamu tu ndio walioambiwa wakazaane na kuongezrka kutosha malaika hawezi kuzaa!!!!
God bless you
Nimejifunza. Namtukuza MUNGU
Imani inanguvu kuliko tatizo ulilonalo au mabalaa ya uko
Imani inanguvu kuliko kitu chochote Mungu atusaidie tusiwevinyonga ktk lmani na matendo(Neno la Mungu na kulielewa)
Eeh ni mungu tu nimefika apa namimi niskie