Umenitia nguvu! Mimi ni miongoni mwa waliochanjwa lakini nilishahuriwa kwenda kwa waganga wala sikwenda Mungu wangu alie hai alinishindia wala hamna lolote baya lililonipata niko salama mikononi mwa Mungu! Bwana akubariki maana umenibariki sasa nina nguvu ya ujasiri na nguvu ya ajabu dhidi ya shetani
Kila siku Yesu ananifundisha mambo mapya kaabisa kupitia mahubiri yako Pr. Mmbaga..... YESU akutunze sana mtumishi wa Mungu ili uzidi kutufundisha zaidi na zaidi yan nabarikiwa sana kwa kweli.
Ujumbe mzuri Sana ila picha ya thumbnail uliyoiweka ya shetani ni mhimu kuwa makini nazani Mama White ameweka wazi juu ya hili... Barikiwa kwa ujumbe makini.
I mean a man a man I mean I passed them back out buddy kiwi IQ at A Certain Magical BBQ on Kirby South America some of my saint my iguana to Jenga Sana to Nashville cool assassin name among who is it the core now
Umenitia nguvu! Mimi ni miongoni mwa waliochanjwa lakini nilishahuriwa kwenda kwa waganga wala sikwenda Mungu wangu alie hai alinishindia wala hamna lolote baya lililonipata niko salama mikononi mwa Mungu! Bwana akubariki maana umenibariki sasa nina nguvu ya ujasiri na nguvu ya ajabu dhidi ya shetani
Aminaa Bwana akubariki sana
Ndugu Mchungaji nimekupenda tena. Ubarikiwe sana na Bwana YESU KRISTO. AMEN
Ameeen
Nimebarikiwa sana.sina hofu tena
Mungu ninakushukulu kwa kutupa muchungaji
Amina pr ubarikiwe binti ŵangu ana shida ya kutopata hethi nisaidiye maombi
Amini, Bwana na akutendee sawa na hutaji lako
Kila siku Yesu ananifundisha mambo mapya kaabisa kupitia mahubiri yako Pr. Mmbaga..... YESU akutunze sana mtumishi wa Mungu ili uzidi kutufundisha zaidi na zaidi yan nabarikiwa sana kwa kweli.
Ameeen
Barikiwa mtumishi
Amina barikiwa sana Pastor 🙏
Nasikiya, kujazwa ni kisikiya hii somo
Ni kili sikiya hii somo nime tikisika mwili , nana mna kama narukwa nyele kichwani, Pasta ima maana gani!!
Ameen sana somo zuri sana
Barikiwa sana
Amen asante sana kwa mafundisho
Kweli kabisaa MUNGU abaki kutukuzwa
Ameeen
MUNGU atusaidie sana AMEN
Amen 🙏
Pr naomba uniombee kwa kuweza kumshinda shetani
Amina
Amina kubwa
Amina kabisa
Ameeen
Pastor ubarikiwe sana
AMEN
ameeen
Nimebarikiwa
🙏🙏💪👏👏
Mchungaji nimekutafuta Sana, mpaka, nimesahau.
0764600129 wasiliana naye
Amen
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
Ameen
Ujumbe mzuri Sana ila picha ya thumbnail uliyoiweka ya shetani ni mhimu kuwa makini nazani Mama White ameweka wazi juu ya hili...
Barikiwa kwa ujumbe makini.
Ahsante kwa maoni ndugu

Amen 🙏 🙏
Amen
Amen
❤❤