It's 2024 and alot is happening in my life, and in the world as general. If you reading this just know what you going through is gonna go away, with time.
My wife is 9 months pregnant and as she was driving today, she got involved in a terrible head collision accident. Her car was pushed away 15 metres away while she was inside. I thank God she survived and the baby is okay. God is great.
Kuna wakati wa giza Mbele sioni najiuliza Mbona kama hizi shida Zimekawia kuisha Katikati ya maswali Nadikia sauti ndani Imebeba ujasiri Ikiniita nikiri,nikisema Mimi ni wajuu juu sana×6 Sitafswiri kwa haya machozi na magumu Mimi ni mshindi tu kamusindiyo mungu Haijalishi ni giza yeye ni nuru yangu Please vote for meeee☝☝☝☝
You're not reading this by accident this is a confirmation that everything is going to be alright GOD is making a way for you right now at this moment!GOD is working on your behalf. He is orchestrating things in your favor. There are blessings lined up just for you!GOD is so Good all the time GOD is so good!Get some Rest!GOD isn't going wreck His reputation on you.He's going to come through. It Will all work out!
Sitasahau kipindi nipo mjamzito,familia ikanitenga,mpenzi akaniacha 😥😥😥 Nikawa najifariji na huh wimbo Mungu ni mwema sasa amenibarikia mtoto wa kiume Mungu ni mwema siku zote
Am greatful God keep picking ne up even when i have given up when i think things will never be the same again ...ananionyesha mm ni wa juu ...never give up my people ...and remember to say thank you everyday ☀️shine bright every day
Nitasimama tena! Nitainuka tena! Mimi ni wa Juu! Mimi ni wa Juu, Juu sana! I heard this song in church when Joel sung it and I declared to myself that this is the time to pick up myself and start again knowing Mimi ni wa Juu , tena Juu sana regardless of my failures or intimidations or fears. I declare that I am more than a conqueror . Thanks Joel for this powerful song, may God bless you abundantly!
Wewe ni mmoja kati ya waimbaji bora ndani ya nchi yangu ya Tanzania ninaowasikiliza na kubarikiwa pia. Hongera sana kaka Joel Lwaga, sisi sote ni wa juu.
Lyrics Kuna wakati wa giza Mbele sioni najiuliza Mbona kama hizi shida Zimekawia kuisha Katikati ya maswali Nasikia sauti ndani Imebeba ujasiri Ikinitaka nikiri nikisema Mimi ni wa juu, mimi ni wa juu Mimi ni wa juu, juu sana Mimi ni wa juu, mimi ni wa juu Mimi ni wa juu, juu sana Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu Haijalishi ni giza, Yeye ni nuru yangu Nitashinda hii vita na yote yatakwisha Ntasimama tena, ntainuka tena Mimi ni wa juu tu, mimi ni wa juu tu Ntasimama tena, ntainuka tena Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu Mimi ni wa juu, juu sana Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu Mimi ni wa juu, juu sana Nawaza yaliyo (juu)…
Sisi ni wa juu kwa sababu ya Yesu.... The Bible says we are seated with CHRIST JESUS in Heavenly places that's why he has the confidence to say, "my life is not determined by challenges and tears" Eph.2.4 - But GOD IS SO RICH IN MERCY, AND HE LOVED US SO VERY MUCH, Eph.2.5 - that even while we were dead because of our sins, he gave us life when he raised Christ from the dead. (It is only by God's special favor that you have been saved!) Eph.2.6 - For he raised us from the dead along with Christ, and WE ARE SEATED WITH HIM IN THE HEAVENLY REALMS--all because we are one with Christ Jesus. Col.3.1 - Since you have been raised to new life with Christ, SET YOUR SIGHTS on the REALITIES OF HEAVEN, WHERE CHRIST SITS AT GOD'S RIGHT HAND IN THE PLACE OF HONOR AND POWER.
Kaka ubarikiwe sana napitia kipindi kigumu ila nikiskiliza nyimbo mimi ni wa juu haijalishi madaktari wamesema ila yesu hajasema mimi ni wajuu sana haijalishi napitia nini yote yatpita❤❤❤ nilikata tamaa nikaona wa kufa nyimbo yako imenibariki na kunipa nguvu
Nimeskiza huu wimbo for the first time and I broke into tears cos it resonates with my situation. Very touching. And Joel, you have a great voice 💞🇰🇪. Mungu akubariki.
Mungu ametupa nafasi ya thamani yathama na zaidi sana,tunaposhindwa kuzitambua kwa sabb ya magumu tunayopitia ametupa watu wanaoweza kutuinua tuuone ukuu wa Mungu katikati ya hayo magumu,nimeinuliwa na kutizwa nguvu na wimbo huu My.
Listening to this song with a heavy heart but one thing I declare and decree am of the most high,am not defined by my tears and hardships because am a victor,I will rise up again 😭🙏💪
Wakati napitia shida huwa nalia Sana na kuuliza Mungu maswali lakini najua nitashinda vita na kukumbuka nitashinda nitasimama imara na kuimba wimbo huu kwamba mimi ni wa juu juu juu Sana yote yatapita na nitashinda mimi ni mshindi Amina 🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Siku zinazo pita nimekuwa ndani ya jaribu kubwa sana shetani amekuwa anataka kuji inuwa ndani ya maisha yangu, alakini nimeshimama mumaombi nika munyanga kila kitu kenye amekuwa amebeba ndani ya maisha yangu. Na leo niko nasikiya iyi music inafika nanikumbusha yakuwa Mungu atabaki upande wangu milele na milele Amen
Wewe ni wajuu sana kusudi la MUNGU kukuumba Dunian ni kukuinua na kukufanya uwe na furaha amani afya na Utajiri sababu alikuumba kwa mfano wake..Shida, tabu mateso, dhiki na magonjwa huo ni mpango wa shetani sio mpango wa MUNGU.Hivyo usiache kusali kwa bidii kama umeumbwa kwa mfano wake lazima uishi kwa kusudi lake🙏🏽
Lord Jesus thank you for the unanswered prayers in 2024 because I know it was for a reason , you are protecting us from alot of things . Continue to intercede and meet us half way in all challenges . God bless you ❤
Real Impact is not in being Known , Although we are Known. But In raising and Keeping the Faith of our Lord Jesus Christ in the hearts of men. Mimi ni wa Juu , Mimi ni wa Juu , Juu sana . Nawaza yale yaliyo Juu.🎊🎊
I feel so proud to listen to Gospel Music especially when i get relaxed. The song has emotional feelings, courage, motivation and inspiration. Good song brother. If u come here after watching Nandy's cover pls gonga ,like moja ya nguvu sana.
2018 nilikua napitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu. Wimbo huu ulikua zaid ya faraja kwangu....nilikua chuo na mchumba alinitelekeza nikiwa 5 months pregnant...with zero account balance....asnte Kwa rafk yangu alinipokea na kuishi na mm HADI nikamliza chuo ..nikajifungua a very cute and bouncing baby boi.....we graduate with upper second 3.6 GPA in information systems...here 2022 am testify the glory of my GOD....am financially stable and namlea mtto wangu vizuriiiii..pia Nina mchumba a husband to be in 2023 ...JOEL HUU WIMBO ULINIVISHA MNOO....🙏🙏 @JOELLWAGA
"Do you not know? Have you not heard? The Lord is the everlasting God, the creator of the ends of the earth. He will not grow tired or weary, and his understanding No one can fathom. He gives strength to the weary/ and increases the power of the weak. Even youths grow tired and weary/ and young men stumble and fall; but those who hope in the Lord/ will renew their strength. They will soar on wings like eagles; they will run and not grow weary, they will walk and not faint. " Isaiah 40:29-31 Be blessed
This song doesn't deserve those 1k dislikes. 💔 I listened to this song and the holy spirit begin to move in move around me and healed me from every pain I felt. 😭💞✨🇨🇩
Point kubwa sana umeandika bro Deus, binafs first time naiskia #SitabakiKamaNilivyo sikujua kama ni gospel song, nadhan anajaribu tu kuondoa matabaka ili mziki wake usikilizwe na mtu yeyote ila iko wazi utunzi una malengo gani...ni sehem ya sanaa na ubunifu wake!!
Your songs makes me happy when I am sad and down. Mimi ni wa juu, pindi nashikamana na mwenyezi mungu. Lead me,and protect me. Type Amen if you feel the same as me.
Our thoughts and prayers to all who haven't listened to this song by Joel Lwaga. What a master piece!! Mimi ni WA juu, hallelujah feeling blessed this Sunday morning.
It's 2024 and alot is happening in my life, and in the world as general. If you reading this just know what you going through is gonna go away, with time.
Amen
AMEN😢
Mimi nairudia kuisikiliza mala kwa mala tangu ilipotoka
Amina inshallah😢
May the creator give us strength mwanzo Kenya 😢😢
My wife is 9 months pregnant and as she was driving today, she got involved in a terrible head collision accident. Her car was pushed away 15 metres away while she was inside. I thank God she survived and the baby is okay. God is great.
What God only can do
Am the most high and am proud to be a christian ❤
Kama nyimbo hii umesikiliza zaidi ya mara moja afu Unapenda pale mwanzo anaposema ..."kuna mda najiuliza " Ebu gonga like apa tumtukuze Mungu
roby anky
Yah this song was very bright
Nice song all the time of my life
roby anky amina
Ameen
Kuna wakati wa giza
Mbele sioni najiuliza
Mbona kama hizi shida
Zimekawia kuisha
Katikati ya maswali
Nadikia sauti ndani
Imebeba ujasiri
Ikiniita nikiri,nikisema
Mimi ni wajuu juu sana×6
Sitafswiri kwa haya machozi na magumu
Mimi ni mshindi tu kamusindiyo mungu
Haijalishi ni giza yeye ni nuru yangu
Please vote for meeee☝☝☝☝
Umetisha
Ninataka kusahihisha
Nasikia sauti ndani
IKinitaka ni kiri
Sitafsiriwi kwa aya
Kamusi ndiye mungu
👇
Who is watching this in 2024 ❤❤
Me❤❤
15.5.24 blessed
Me❤
Me ❤😂
dedicating this to everyone who is broken esp in Kenya this tym of rejecting finance bill
I'm Proud to be Christian. If your proud of being Christian 👍✌🏿
I'm proud too to believe Jesus christ
Joseph Fervidness amina
@@businessarea9120 Amen
@magreth mushi Amen
Joseph Fervidness
You're not reading this by accident this is a confirmation that everything is going to be alright GOD is making a way for you right now at this moment!GOD is working on your behalf. He is orchestrating things in your favor. There are blessings lined up just for you!GOD is so Good all the time GOD is so good!Get some Rest!GOD isn't going wreck His reputation on you.He's going to come through. It Will all work out!
Just when am already giving up then I saw this and it renewed my strength
In Jesus Christ name Amen 🙏
In Jesus Mighty Name,Amen .Thankyou Jesus for bringing this message to me
Amen 🙏
Amen
Sitasahau kipindi nipo mjamzito,familia ikanitenga,mpenzi akaniacha 😥😥😥
Nikawa najifariji na huh wimbo
Mungu ni mwema sasa amenibarikia mtoto wa kiume
Mungu ni mwema siku zote
Brother Lwaga Mimi nakukubari Sana nyimbo zako ni nzuri Sana Mungu azidi kukuinuwa viwango vingine nyimbo zako nabarikiwa Sana
Am greatful God keep picking ne up even when i have given up when i think things will never be the same again ...ananionyesha mm ni wa juu ...never give up my people ...and remember to say thank you everyday ☀️shine bright every day
Watu wa juu Sana like tumtukuze Mungu pamoja na Bro Lwaga
Amina mtumishi Mungu akubariki
mim no wajuu ubalikiwe mtumish was much
Mimi niwajuu
Upo gud xana kaka
A very powerful song my favorite
Kama umebarikiwa na nyimbo hii kama mim gonga like yako hapa. thanks
Kama unajiamini wewe ni wajuu zaidi gonga like yako hapa
Kwa yesu sisi ni wajuu
@@annakimweri1436 sanaa juu zaidi ya mawingu
Mungu mwema coz Mimi ni wajuuu
Aminaaaaa
Ester Mwakalinga the h
Naombea waislamu wote wenye huwa wanasikiza hii nyimbo wakaweze kuokoka kwa Jina la Yesu...wakristo wote na tuseme Amen
amen
Amen 🙌
Amen.
Amen🙏🙏
Amen 🙌🙏
Am a Muslim buh napenda Sana nyimbo zake ana sauti nzuri mashAllah n nyimbo zake zinagusa
Aaaaamen Mungu akuinue kwa viwango vya Juu zaidi kama unamuombea mema Joel katika huduma yake gonga like hapaa
Amen
Pia natamani Siku moja nifanye nae kazi hata wimbo mmoja
Hebu tazama na huu wimbo th-cam.com/video/tgrRMTEzzWc/w-d-xo.html
Daaah mung na akufanye wa juu Zaid mung akubarik nice song Kama umekubar gonga like apo
nakubali Sana Joel
Am Muslim but this song wake me up whenever I get down
Kama nawewe nyimbo hii imekubariki kam Mimi gongla like twende sawa
Amen mimi ni wajuuu tu
Na Mimi niwa juuuuuu sanaaaaa
cairo king nc sana nimeioenda
Kweli mm ni wa juu namkubali lwaga
juu kilelenii chiiiii
Mimi ni wa juu juu sana big up Njombe high school boy
Tuko wangapi kwa mwezi wa december 😊
I have nothing to say.hujawahi kutuangusha.Mungu aendelee kukuinua.🙌🙌🙌
Mmi ni wajuu
Good
Kwenye gospel sizan kama kuna wanaotuangusha maana zote ni habar njema
I am Muslim but I like all songs of huyu guy! Blessing xana brooo
For real namfagilia sana joel
For real ananigusa n nyimbo zake
Nice 1
Deep
@@renniekaaya8851 aaaàaaaaààaaasaaaààaaaaaaaaaaàaaàaaa!!!!!!!!!@!!!!!!!@a!@!!!@!!!!!@!!!aaa
you are the one that made me come close to God with the song "sitabaki "be blessed. Joel my person 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nitasimama tena!
Nitainuka tena!
Mimi ni wa Juu!
Mimi ni wa Juu, Juu sana!
I heard this song in church when Joel sung it and I declared to myself that this is the time to pick up myself and start again knowing Mimi ni wa Juu , tena Juu sana regardless of my failures or intimidations or fears. I declare that I am more than a conqueror . Thanks Joel for this powerful song, may God bless you abundantly!
Daaah hii gospel uwaga sihichoki jamani naipiga nikiwa USA 🇺🇲🇺🇲 ubarikiwe #joel lwaga
Heaven will be beautiful 😭😭 I just feel so proud to be a Christian
Amen
Hebu tazama na huu wimbo th-cam.com/video/tgrRMTEzzWc/w-d-xo.html
Amen
Me too
Can't stop repeating this song,it blesses my heart.
Wewe ni mmoja kati ya waimbaji bora ndani ya nchi yangu ya Tanzania ninaowasikiliza na kubarikiwa pia. Hongera sana kaka Joel Lwaga, sisi sote ni wa juu.
mliokuja kuuangalia huu wimbo baada kuangalia cover ya ndani tujuane wimbo mzuri sana
Agness John mim spa nimekuja kwa 7bu hyo
Mm nipoo apaa
Kwa kweli nimetafuta kwaa jili ya Nand
Mimi
Nimeikubal sanaaaaaaa juu sanaaaaa
Lyrics
Kuna wakati wa giza
Mbele sioni najiuliza
Mbona kama hizi shida
Zimekawia kuisha
Katikati ya maswali
Nasikia sauti ndani
Imebeba ujasiri
Ikinitaka nikiri nikisema
Mimi ni wa juu, mimi ni wa juu
Mimi ni wa juu, juu sana
Mimi ni wa juu, mimi ni wa juu
Mimi ni wa juu, juu sana
Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu
Haijalishi ni giza, Yeye ni nuru yangu
Nitashinda hii vita na yote yatakwisha
Ntasimama tena, ntainuka tena
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wa juu tu
Ntasimama tena, ntainuka tena
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana
Nawaza yaliyo (juu)…
Mimi niwajuu sana nimebarikiwa
Thank you. Was looking for lyrics
Katikati ya maswali
Nasikia sauti ndani
Imebeba ujasiri
Ikinitaka nikiri
Mimi ni wa juu, juu Sana..
Wow congart my dear
I am above
Am Muslim. ..but whenever I listen to this song. ... it gives me hope............ thanks so much bro.............
Sisi ni wa juu kwa sababu ya Yesu.... The Bible says we are seated with CHRIST JESUS in Heavenly places that's why he has the confidence to say, "my life is not determined by challenges and tears" Eph.2.4 - But GOD IS SO RICH IN MERCY, AND HE LOVED US SO VERY MUCH,
Eph.2.5 - that even while we were dead because of our sins, he gave us life when he raised Christ from the dead. (It is only by God's special favor that you have been saved!)
Eph.2.6 - For he raised us from the dead along with Christ, and WE ARE SEATED WITH HIM IN THE HEAVENLY REALMS--all because we are one with Christ Jesus.
Col.3.1 - Since you have been raised to new life with Christ, SET YOUR SIGHTS on the REALITIES OF HEAVEN, WHERE CHRIST SITS AT GOD'S RIGHT HAND IN THE PLACE OF HONOR AND POWER.
th-cam.com/video/xjm2mrelhZc/w-d-xo.html
Am an upcoming Gospel Minister, Kindly Support me, be blessed
I can hear a bold voice kwakwel!! Eee mungu naomba uniweke juu
Mimi ni wa juu......am blecd with this song
mimi ni wa juuu
My baby girl is always sings this
She believe YEYE NI WA JUU..na anafamya vizuri mnoooooooo...KWELI YEYE NI WA JUU
Hiii nyimboo nikisikiliza kama ninamawazoo yote yanaisha nakuwa mpya mimi ni wajuuuu sana kule kileleni
Kaka ubarikiwe sana napitia kipindi kigumu ila nikiskiliza nyimbo mimi ni wa juu haijalishi madaktari wamesema ila yesu hajasema mimi ni wajuu sana haijalishi napitia nini yote yatpita❤❤❤ nilikata tamaa nikaona wa kufa nyimbo yako imenibariki na kunipa nguvu
Nimeskiza huu wimbo for the first time and I broke into tears cos it resonates with my situation. Very touching. And Joel, you have a great voice 💞🇰🇪. Mungu akubariki.
Sijuwe niseme nini, namupenda Mungu kwa ile abayo napitiya ananisimamisha kila leo. Thx soo much brother 🙏🏼
baba mungu aku bariki sana song is powerful is change my live kabisa niko wajuu \
mungu akuhinuwe sana
Mimi ni wa juu.. Thank you Joel🙏
Mungu ametupa nafasi ya thamani yathama na zaidi sana,tunaposhindwa kuzitambua kwa sabb ya magumu tunayopitia ametupa watu wanaoweza kutuinua tuuone ukuu wa Mungu katikati ya hayo magumu,nimeinuliwa na kutizwa nguvu na wimbo huu My.
Listening to this song with a heavy heart but one thing I declare and decree am of the most high,am not defined by my tears and hardships because am a victor,I will rise up again 😭🙏💪
Ooooh Hallelujah Mimi ni wa juu sana katika jina la Yesu. Blessed Joel
Much love from kenya, i am above😍😍oh yes Lord blessed be ur Holy name
FAITH MWENDE
th-cam.com/video/iVRjmxokAr8/w-d-xo.html
Hebu tazama na huu wimbo th-cam.com/video/tgrRMTEzzWc/w-d-xo.html
Ooh my name Faith
Your above
Nimebarikiwa sana na hoi nyimbo
Hakika mimi ni wa juu.Haijalishi ni giza,Yeye ni nuru yangu..MUNGU azidi kukuinua kaka.Daima nyimbo zako zina upako sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nani yupo hapa 2024 Mimi ni WA juuu sanaaa"** thank you Lord"*
Juu Saana🤤🤝
Wakati napitia shida huwa nalia Sana na kuuliza Mungu maswali lakini najua nitashinda vita na kukumbuka nitashinda nitasimama imara na kuimba wimbo huu kwamba mimi ni wa juu juu juu Sana yote yatapita na nitashinda mimi ni mshindi Amina 🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Hii.nyimbo.haijalishi muslim.au christian inakupa.ujasiri kwa kuwa unayopitia mungu yupo.na.ww
Siku zinazo pita nimekuwa ndani ya jaribu kubwa sana shetani amekuwa anataka kuji inuwa ndani ya maisha yangu, alakini nimeshimama mumaombi nika munyanga kila kitu kenye amekuwa amebeba ndani ya maisha yangu. Na leo niko nasikiya iyi music inafika nanikumbusha yakuwa Mungu atabaki upande wangu milele na milele Amen
What a nyce song let's gather here 2024
Wewe ni wajuu sana kusudi la MUNGU kukuumba Dunian ni kukuinua na kukufanya uwe na furaha amani afya na Utajiri sababu alikuumba kwa mfano wake..Shida, tabu mateso, dhiki na magonjwa huo ni mpango wa shetani sio mpango wa MUNGU.Hivyo usiache kusali kwa bidii kama umeumbwa kwa mfano wake lazima uishi kwa kusudi lake🙏🏽
Mimi ni wajuu Sana ubarikiwe Joel lwaga ninavyo jiona Mimi ni wa juu na kataa udhaifu
💪💪💪
amina mm ni wajuu akupe maisha marefu katka huduma yako ya uimbaji ufke viwango vya juu zaid
Mm niwajuu
Amen milele tupojuu kuzidi mawingu #for all who believe in Jesus Christ
Mambo my
Asante bro Joel, naamin nitasimam tena nitabaki kuwa juu tena Juu Sana haijalish napitia majaribu
"Sitafsiriwi kwa haya machozi na magumu coz mm ni wa juu"
Kama unaamini kuwa Mungu ndie alie Fanya uwe juu, like
Mimi ni wa juu, gonga like kama hii gospel imekukaa😍😍
THE BIBLE SAYS JESUS IS ABOVE EVERY KINGDOM, THRONES AND PRINCIPALITIES COZ HE LIVES IN ME THEREFORE AM ALSO HIGHER LIKE HIM
Amina barikiwa ,Mimi ni Wajuu sanaa
Jacqueline Jackson nice
Mtu ajionavyo ndivyo alivyo "MIMI NI WA JUU" kama Mungu wangu alivyo.
Lord Jesus thank you for the unanswered prayers in 2024 because I know it was for a reason , you are protecting us from alot of things . Continue to intercede and meet us half way in all challenges . God bless you ❤
Hakika Mungu atusaidie wakenya tuangalie juu ....sisi ni wajuu ...not on earthly things which are coming to pass❤
Naitwa paul da prince na mim pia ni mwimbaji wa nymbo za Gospel usisahau kutembelea nyimbo yngu mpya TH-cam jina la Video Ni ushuhuda
PAUL DA PRINCE
Amina
Nani
Paulo da prince em jiite jina lako la halali utatuharibia gospel
Ushauri...gospel haitaki mwembwe za kidunia!...kite jina lako la kawaida tu..
Waimbaji wa gosper wamefaulu sana kwenye eneo la sauti na biti hizi mupo vizuri 💯
Kwel
Ujakosea
Po
Sawa
Naipenda nyimbo huwa inanifarij
Kama unaamini utasimama na kuinuka juu na Kama unampenda mungu gonga like🙌🙌🙌
Real Impact is not in being Known , Although we are Known. But In raising and Keeping the Faith of our Lord Jesus Christ in the hearts of men. Mimi ni wa Juu , Mimi ni wa Juu , Juu sana . Nawaza yale yaliyo Juu.🎊🎊
Joel Lwaga yuko juu tumwombee kwa Mungu amfikishe viwango zaidi ya hivi
Amen! Oh my God!!, the voice, the lyrics bless you Lwanga!
I feel so proud to listen to Gospel Music especially when i get relaxed. The song has emotional feelings, courage, motivation and inspiration. Good song brother. If u come here after watching Nandy's cover pls gonga ,like moja ya nguvu sana.
Who is here in 2020? comment I love God if u are here.
Nakupndaaaa sana brooo
Umenitia nguvu sana
🙏
I love GOD
I love God
Watu ambao tuko juu 🙌🏼gonga like
So proud to be a christian If you are to thumbs up
Fantastic for God's glory..... Well done
We need such artists in Kenya!
Good stuff!
pole pole tuna learn
Yes.. Am from above, may the good lord continue using you!!
2018 nilikua napitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu. Wimbo huu ulikua zaid ya faraja kwangu....nilikua chuo na mchumba alinitelekeza nikiwa 5 months pregnant...with zero account balance....asnte Kwa rafk yangu alinipokea na kuishi na mm HADI nikamliza chuo ..nikajifungua a very cute and bouncing baby boi.....we graduate with upper second 3.6 GPA in information systems...here 2022 am testify the glory of my GOD....am financially stable and namlea mtto wangu vizuriiiii..pia Nina mchumba a husband to be in 2023 ...JOEL HUU WIMBO ULINIVISHA MNOO....🙏🙏 @JOELLWAGA
Yeah Kuna wakat wa magumu na wakat wa mema but ukiwaunamtegemea MUNGU katk roho na kwel lazma itakuwa wa juuu sanaaaaa❤❤🎉
Am still here 2023 my favorite song ❤️❤️be blessed Joel
"Do you not know? Have you not heard? The Lord is the everlasting God, the creator of the ends of the earth. He will not grow tired or weary, and his understanding No one can fathom. He gives strength to the weary/ and increases the power of the weak. Even youths grow tired and weary/ and young men stumble and fall; but those who hope in the Lord/ will renew their strength. They will soar on wings like eagles; they will run and not grow weary, they will walk and not faint. " Isaiah 40:29-31
Be blessed
This song doesn't deserve those 1k dislikes. 💔
I listened to this song and the holy spirit begin to move in move around me and healed me from every pain I felt. 😭💞✨🇨🇩
Mmi ni mshindi tu yye ni Nuru yangu ntashinda vita hivi 💯♥️mmi ni wa juu sana 🙏♥️am in the spirit rn🙏thank you 🤚I have testimonies to tell
Mimi Ni wa juu sana asante Joel kwa kutukumbusha tusiyatazame ya dunia
Mungu wa juu sana ameshinda kifo na sasa yuko hai ndiyo maana mimi ni wa juu sana Leo na hata milele
Ila jina la yesu au mungu uwe unataja bro coz italeta maana na ujumbe kamili
I will stand again i will rise again iam above big up sana me ni Muslim bt mekupend gafla,,,,,,,,
Mm in wajuu by mama Queen joba balikiwa kaka
Point kubwa sana umeandika bro Deus, binafs first time naiskia #SitabakiKamaNilivyo sikujua kama ni gospel song, nadhan anajaribu tu kuondoa matabaka ili mziki wake usikilizwe na mtu yeyote ila iko wazi utunzi una malengo gani...ni sehem ya sanaa na ubunifu wake!!
Yah icho kitu hua kinabisumbua pia kwenye baadhi ya nyimbo
"I will stand again, I will rise again"
I'm above, highly above🎀💃🔥🔥
Katikati yakiza kinene mabonde milima sikati tamaaa Mana yesu ninuru yangu nitainuka tena mm niwajuuu sana nexte level
Hata mimi ni wajuu , napokea kwa jina la Yesu Kristo aliye hai Amina !
Your songs makes me happy when I am sad and down. Mimi ni wa juu, pindi nashikamana na mwenyezi mungu. Lead me,and protect me. Type Amen if you feel the same as me.
Amen
Who is here in 2021..ngonga like if wewe ni wa juu sana🙏🙏
mm ni was juuu mnoo nawaza ya juuu gonga like tubarikiwe pamoja
Ameen ninakiri kwa jina la yesu Mimi ni wajuu baba yangu ni mfalme wa wafalme , so Mimi ni mtoto wa mfalme YESU .
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 listening in. Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 twawapenda
I'm from Canada and whenever I show my back home songs they really impressed with our traditions. Our traditions is inspired right?🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇹🇿
Of coz they are....nyimbo zetu ni fireee
Exactly
Battling a heart condition and in this song my healing is evident...Mimi ni wa mponyaji.Be blessed Joel
God healed out of a heart condition God is a healer continue trusting in Him.,.. You are above
God healed me out of a heart disease so continue believing He is a healer. I am forever grateful
Our thoughts and prayers to all who haven't listened to this song by Joel Lwaga. What a master piece!! Mimi ni WA juu, hallelujah feeling blessed this Sunday morning.
hii nyimbo huniinua tena pale nnapochoka! umetumiwa na Mungu sana mtumishi asante sana ubarikiwe
Katikati ya maswali nasikia sauti ndani imebeba ujasiri ikinitaka nikili mimi ni wa juu..thank you God.
Forever favourite song anyday anytime 💯,,Mimi ni wa juu☝ juu sana 💪
Que Dieu te bénisse abondamment mon précieux frère 🇨🇩
Aloangaliaaa nyimboo Mara mbili kama mm gongaaa likeee twendeee sawaaaaa
Mimi ni wa JUU,,,, Mungu awabariki sana sana,,,,, Nipo hapa Dodoma .
Ntasimama tenaaa..... ntainukaa tenaaaaa.....mimi ni wa juuu saanaa.....