Historia Fupi ya Kisiwa cha Pate, Lamu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2022
  • All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues.
    #mombasa #kenya #eastafrica #africa #lamu #bajuni #news #usa #europe #worldcupqatar #JustStambulin'

ความคิดเห็น • 281

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du ปีที่แล้ว +26

    Mimi ni mzawa wa Unguja, Zanzibar. Nilibahatika kutembelea Lamu na Pate. Nilifurahi sana kuwaona ndugu zangu wa huko, japo kuna tofauti ndogo ndogo baadhi ya maneno lakini tulifahamiana uzuri na nilijihisi kama niko kwetu Unguja. Asante kwa maalumati haya muhimu, kuna haja kubwa ya kuifahamu historia yetu kupitia kwa wazawa. Kuna haja pia ya kuuhuisha umoja wa watu wa mwambao wa afrika ya mashariki. Insha allah ipo siku ile golden age itarejea tena na itadumu zaidi ya mara iliyopita.

    • @jambo3751
      @jambo3751 ปีที่แล้ว +1

      Na Mimi pia natoka Zanzibar na niliwahi kuishi katika kisiwa cha Lamu na niliwahi pia kufika hapo PATE na kuzunguka kisiwa chote hicho cha Pate na nilifikia kwa wenyeji wangu sehemu inayoitwa CHUNDWA wakati nilipotembelea hapo Pate nawashukuru sana watu wote wa Visiwa vya Lamu na Pate Kiwayuu Ndau na kote kwa ukarimu wao Allah awalipe kila la kheri.
      Watu wa mwambao wa Africa mashariki sote ni ndugu .

    • @hashimseif1194
      @hashimseif1194 7 หลายเดือนก่อน +1

      Assalamu alaikum.
      Hakika ninafaidika sana na darsa za Sheikh Stambuli wa Sheikh Abdillahi Nassir.Wakati wa miaka ya 1987 nilipata bahati ya kusoma Kisauni
      nikatembelea Lamu ,Shangarubu ,Siyu, Faza,Chundwa,Pate,Shela ,na baadhi ya visiwa vyengine majina yake nimevisahau.Pia kuna wanachuoni
      walinisomesha ninao wakumbuka
      Sheikh Ali Lodi ,Sheikh Hassan Husein,S heikh Dumila wa birikau,
      pia nilikuwa nikisikiliza darsa za Sharifu khitami masjid Mendhir
      Kibokoni.Hakika mila zao na desturi zao zinafanana sana nahapa kwetu Unguja.Watu wakarimu mno na wanaupenda uislamu na elimu yake.
      Na huyu Sheikh Stambuli wa Sheikh
      Abdillahi Nassir nilikuwa niimuon mitaa ya Ingilani ,na mara moja moja nilikuwa nikimsikia akizungumza historia ya Zanzibar ,na wakati ule wanasiasa
      wa zamani hapa Unguja walikuwa
      wahai mmoja nilimuuliza kwanini
      huu mwambao wa Mombasa ukawa
      Kenya ?alinambia waingereza walitaka wende huko na kulikuwa
      na watu wakiongozwa na yule Sheikh aliekuwa akitoa darsa Bilali mission siku za Ashuraa na wenziwe
      walipinga sana lakini muengereza aliwagawa mijikenda na waswahili,
      na wakafanywa mijikenda ni wenyeji
      na waswahili ni kizazi cha waarabu.
      Akafaulu muengereza kuifanya ni
      Kenya.Nipo Unguja Zanzibar nazi
      fuatilia darsa zako Sheikh Istambul
      .Allah akutengenezee mambo yako.

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du 7 หลายเดือนก่อน

      @@hashimseif1194 Aameen

  • @nawazasiwazi8061
    @nawazasiwazi8061 ปีที่แล้ว +5

    Khalifa Bwanamaka Khalifa Very good narrator, Good job brother Allah Akuhifadhii na Akuzidishie Elimu zaidi. Amiin.

  • @swalehdiesel8340
    @swalehdiesel8340 ปีที่แล้ว +5

    Napenda kusikia historia za mahala tumetoka...mashallah baba yetu

  • @thebanadirfactor306
    @thebanadirfactor306 ปีที่แล้ว +7

    Well presented video

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 ปีที่แล้ว +11

    I salute you brother for the good work of educating us of our coastal history 👏👏👏

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana kwa historia nzuri

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 ปีที่แล้ว +5

    Ma shaa Allah TabarakaAllah, tungepata video nzury zaidi za pate tukanufaika sanaa nako,nimefahamu mingi Alhamdlh

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +1

      Ahsanta sana. Na, inshaa'Allah, Mwenyezi Mngu atatujaaliya tuweze kunufaishana zaidi kwa hiki kidogo cha fahamu alizotujaaliya.

  • @maryndunge78
    @maryndunge78 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri sana angalau tupate kujua historia ya Pwani na Kenya

  • @jkizondoswahilibites434
    @jkizondoswahilibites434 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah babangu Allah akuweke Allahuma Ameen yaa rabb ❤

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri, lugha Safi....

  • @rashochano6949
    @rashochano6949 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri bwana stambuli, tuelimishe.

  • @Shamso697
    @Shamso697 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah ❤

  • @abubakarbakedumila5006
    @abubakarbakedumila5006 ปีที่แล้ว +4

    Home sweet home Lamu pate island siyu 💪👌

  • @nancywachira
    @nancywachira ปีที่แล้ว +7

    Good history 🔥🔥 nimenifunza mengi ... Asante sana Sheik... Kuna pia wale wasichana bikra Saba walistiriwa Na Mungu fanya hiyo Na Ile YA njia za underground zinazienda Rasini

    • @kingoriwanjau8575
      @kingoriwanjau8575 ปีที่แล้ว +3

      Kamum ur crazy mbna nmekuelewa na sjakuelewa

  • @abulali9264
    @abulali9264 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah barakallah Allah akuhifadhi kwa ilmu nafiya

  • @baqirhemraj7639
    @baqirhemraj7639 ปีที่แล้ว +5

    Very informative, we need more of such youtube videos.

  • @abdallahmasare3116
    @abdallahmasare3116 ปีที่แล้ว +3

    Shukran mzee wetu kwa historia hii.

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 ปีที่แล้ว +3

    Very informative

  • @HansChuma
    @HansChuma หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niwapwan dar es salaam huaga nasemaga sisi wote watu wapwan kaka moja mama moja baba moja shangazi mmoja Alhamdullillah mashallah

  • @mohamedlalimahazi9932
    @mohamedlalimahazi9932 ปีที่แล้ว +3

    Kali mzuri sana asanta

  • @mafiaonlinetv9833
    @mafiaonlinetv9833 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah,asli ya wazee wangu huko ukoo wa Nabahani.

  • @mohammedbadi6757
    @mohammedbadi6757 ปีที่แล้ว +3

    Baraka ALLAHU FIIK Shukraan sana.

  • @user-lh8nb1gf1y
    @user-lh8nb1gf1y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nabhani masha alaah

  • @husseinali5535
    @husseinali5535 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana brother for let us know

  • @mbarakali1873
    @mbarakali1873 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh stambuli tupee vituu , MashaAllah

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe afya njema na kila mtu💚

  • @idrismohamed2691
    @idrismohamed2691 ปีที่แล้ว +2

    Asc stambul mashaallah kazi kwako

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 ปีที่แล้ว +3

    Shukraan ❤❤❤❤❤

  • @maragolihistory2118
    @maragolihistory2118 ปีที่แล้ว +2

    Best channel Ever.

  • @javedabdulrahman7080
    @javedabdulrahman7080 ปีที่แล้ว +1

    Makala mazuri,Masha Allah Stanbuli.

  • @areyoureal2723
    @areyoureal2723 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah kazi nzuri sana inshallah twawaombea muzidi kuendelea inshaallah, ila kidogo kunao khitilafu katika part ya shanga ,shanga kulingana na historia zile ruins sio zao wale n watu wakuja n wasiu wakawapokea lkn kulingana na historia pale ni siu sio shanga shukraan.

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mzee wangu hua napenda sana kusikiliza stor na hasili yangu pwani na mzee asili ya kizaz changu

  • @simoncrompton2951
    @simoncrompton2951 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri

  • @MuhammadRashid-jq7eq
    @MuhammadRashid-jq7eq ปีที่แล้ว +3

    Mzee stambuli abillahi nassir twafaidikia na historia unayoitoa ya mwambo WA pwani

  • @salimmbwana6926
    @salimmbwana6926 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka matamshi ya lugha ya kiswahili ni sawa sawa Wazanzibari na Wapate.

  • @Mbarak1
    @Mbarak1 ปีที่แล้ว +3

    Asalaam aleykum
    Tunaomba nasi watu wa tanga kutaka kujua historia ya mji wetu kwa tusiyoyajua

  • @leekulaten3676
    @leekulaten3676 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah

  • @mwinyiramadhani2029
    @mwinyiramadhani2029 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah , makala mazuri

  • @muhammadmahsen3754
    @muhammadmahsen3754 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa maelezo muhimu ya historia ya Patte

  • @salahabass7605
    @salahabass7605 ปีที่แล้ว +3

    اللهم إحفظ أهل الساحل

  • @innocentman5954
    @innocentman5954 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Istambul shukran jazilan kwa jitihada zako na elim ii yenye manufaa. Nina swali.. niliwah kuskia kua kuna mskiti kibla chake kimeelekea yabtul maqdas hapa pate. Je ni kwel? Ahsantum

  • @AbuuYaseen
    @AbuuYaseen ปีที่แล้ว +2

    Shukran

  • @hamisikalama1286
    @hamisikalama1286 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe pwani tuna wanahistoria wazuri nahuyu anakiswahili murua matamko yake namfananisha na Sheikh Stambuli,Mimi nimpenda hadithi zidi kutujuza usisite.

  • @doza1031
    @doza1031 ปีที่แล้ว +2

    Wallai history nzuri sana ila ni fupi sana

  • @muktaermohammed2377
    @muktaermohammed2377 ปีที่แล้ว +1

    We will continue fighting until Independents of oromo Land Including our port city of Lamu and the red sea Port of zalila soon back to oromo muktaer W.B.O

    • @Shamso697
      @Shamso697 ปีที่แล้ว

      Fool this is not Ethiopia 😂

  • @star-husaynaveiro2852
    @star-husaynaveiro2852 ปีที่แล้ว

    mashaAllah, home sweet home...

  • @user-lh8nb1gf1y
    @user-lh8nb1gf1y 9 หลายเดือนก่อน

    Masha alah

  • @abudyhahan7376
    @abudyhahan7376 ปีที่แล้ว +1

    Allaah amrehemu babu yangu hii ni true story alinielezeea WALLAHI tena .alinipa hii story

  • @faithfultoyeshua4576
    @faithfultoyeshua4576 ปีที่แล้ว

    Interesting

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว +1

    Yess

  • @brayo001
    @brayo001 ปีที่แล้ว +2

    Hao watu waliokuwa wakiishi huko Pate lakini hawakustaarabika ndio wenyeji haswa...

  • @ba_yu72
    @ba_yu72 ปีที่แล้ว +1

    Naomba ufike kisiwani Tumbatu na Paje kusoma historia ya hapo,naona hujasibu historia hiyo kwa usahihi hasa.

  • @Issa_negro
    @Issa_negro ปีที่แล้ว +5

    Naipenda historia kama hii Ila sio historia za kikoloni😂

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 ปีที่แล้ว +1

    Tungependa kuona zaidi...

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 ปีที่แล้ว +3

    Hawa ndugu zetu kabisa wa pemba

  • @user-lh8nb1gf1y
    @user-lh8nb1gf1y 9 หลายเดือนก่อน

    King nabhani

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 ปีที่แล้ว

    Mashaallah, lamu ni kwetu,sante sana

  • @saidothman2521
    @saidothman2521 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh naomba kujua historia ya kabila la Albatawy lilivyoingia katika mwambao wa Afrika mashariki

  • @shoobare460
    @shoobare460 ปีที่แล้ว

    lamu somaalia🇸🇴🇸🇴

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 25 วันที่ผ่านมา

    Wallah nataman niende lamu nipo Zanzibar

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 ปีที่แล้ว +1

    Anaitwa bwana maka niliwahi kusikia historia ya majina ya "Bwanamaka"😭😭😭😭😭😭

  • @adamsalim6863
    @adamsalim6863 ปีที่แล้ว +2

    Tupe histori ya wachangamwe

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 9 หลายเดือนก่อน

    Watu wa pate kiswahili chao kama cha zanzibar tofauti na watu wa mombasa

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 ปีที่แล้ว +1

    Ni mashia

  • @righttoknowwiththomas9178
    @righttoknowwiththomas9178 หลายเดือนก่อน

    Are you related to stambuli who used to be an adult education officer

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 ปีที่แล้ว +1

    Huyo kijana ana nasaba ya maka

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni Ahl Bayt Rasulillah

  • @AbuuYaseen
    @AbuuYaseen ปีที่แล้ว +2

    Somalia kisimaiyu tupe story

  • @2kayyo340
    @2kayyo340 ปีที่แล้ว +1

    Popa star this. Is great.khaleed.

  • @mkenyamzalendo4130
    @mkenyamzalendo4130 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri mzee

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว

      Ulipotea wapi ? Ulihama Huston Texas ? Hiyo kwewe yako IPO wapi ? Mimi Ni mwanachama wa MRC na kukumbusha

    • @mkenyamzalendo4130
      @mkenyamzalendo4130 ปีที่แล้ว

      @@hassanalhussein3982 safi MRC ,jaribu Ruto sahii

    • @mkenyamzalendo4130
      @mkenyamzalendo4130 ปีที่แล้ว +1

      @@hassanalhussein3982 niko Kwale sahii na sihami

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว

      @@mkenyamzalendo4130 Wewe upo Huston Texas.

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว

      @@mkenyamzalendo4130 Kwani Ruto Ni nani ? Wewe mkalenjini hutishi mtu Hapa Pwani.

  • @Pmooli
    @Pmooli 4 หลายเดือนก่อน

    Wameru ndio walitoroka kutoka manda island.

  • @mundhirdunia
    @mundhirdunia ปีที่แล้ว

    MAMA uko is
    For okk0
    Is one that has the.

  • @nassimjamal1606
    @nassimjamal1606 11 หลายเดือนก่อน +1

    Who are the natives whom youve described running and hidding themselves??? Who are they ?

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Pate Island is wide and its natives vary depending on where the war was taking place. There is Pate, Rasini (Faza), Siu, Shanga, Kizingitini etc.

    • @Pmooli
      @Pmooli 4 หลายเดือนก่อน +1

      Meru people I believe. They actually say they came from Manda island! They followed Tana river up to Maua and adopted farming.

  • @salma0000
    @salma0000 ปีที่แล้ว +2

    Mkoloni kawaida yake ni kufuta historia, mila na desturi za anaowatawala kwa hiyo msichoke kufundisha watoto wenu historia yao.

    • @Blowcurlyhead
      @Blowcurlyhead ปีที่แล้ว

      Kweli Kabisa

    • @dhakomodherooherokoko6037
      @dhakomodherooherokoko6037 ปีที่แล้ว +1

      Na mkoloni alileta dini ya uislamu na ukristo. Usikasirike 😂😂

    • @salma0000
      @salma0000 ปีที่แล้ว +2

      @@dhakomodherooherokoko6037 hao wakoloni wa kiarabu walileta dini ya haki ndio maana mpaka leo wao wanaendelea kuifuata lakini hao waliokuletea wewe dini ya mchngo wao wenyewe hawaifuati tena sasa, wanaabudu pombe na kufirana tu

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว +1

      @@dhakomodherooherokoko6037 Wazungu waliwafunza kuvaa nguo lakini muarabu hakutufunza kuvaa nguo. Walikuta wapwani wamestaarabika. Nyinyi mulikua mukitembea uchi huko kwenu Kenya.

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 ปีที่แล้ว

      @@salma0000 daah, mbona ukorofi hivi

  • @user-lh8nb1gf1y
    @user-lh8nb1gf1y 9 หลายเดือนก่อน

    Minge Somali nabhani

  • @nyanjechengokarisa1540
    @nyanjechengokarisa1540 ปีที่แล้ว +2

    Ndio niwavamizi nyinyi sikwenu huku hii coast niyamijikenda siyawarabu

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 ปีที่แล้ว

      Mavigo....wamajikenda kwa upuuzi huo ndio maana wabara wamewatawala na ardhi zote kuibiwa!!!!

    • @tahiraabdul1701
      @tahiraabdul1701 ปีที่แล้ว +1

      Nani mvamizi?Mijikenda si wapwani halisi walikuja kutoka Shungwaya

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 ปีที่แล้ว

      @@tahiraabdul1701 Nao wafukuzwe ama maana yake nini ?!

    • @tahiraabdul1701
      @tahiraabdul1701 ปีที่แล้ว

      @@lenniefei6710 waateni

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +1

      Kwani Mijikenda walikuja lini kwenye ufuo huu kutoka huko Singwaya/Shungwaya?!

  • @JK-um6op
    @JK-um6op ปีที่แล้ว +2

    Kenya ni yetu wote .. Wacha kugawanya wakenya kwa kabila.. Sasa sisi tulizaliwa mpeketoni kwetu ni wapi? Hii ni kasumba ya kugawa Kenya kikabila aki.. tafadali shek hapana gawa wa Kenya.. asante sana.

    • @maryndunge78
      @maryndunge78 ปีที่แล้ว +6

      Ukweli wauma na utabaki kuwa kweli! history will be thire whether you like it or not ! Wengi wenyu hamtaki ukweli juu mtafichuliwa uozo wenyu kwa tamaduni za kipwani. mumebadilisha hadi mila zilizoko Pwani si mavazi si uchumi. .wacha Shek aweke mambo paruwanja

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +7

      Kwa hakika, kila mtu ana namna anavyoelewa jambo lolote linapoelezwa na mtu mwengine, na wewe huna makosa kuelewa hivyo ulivyoelewa. Lakini, haya tunayoeleza hapa ndiyo kweli ilivyo na inavyopaswa kuelezwa! Inshaa'Allah, ukiendelea kufuata makala haya kwa makini utaelewa kuwa lengo letu hata si hivyo unavyofikiria wewe kabisa! Mwenyezi Mngu atatuongoza sote.

    • @salimmachila5736
      @salimmachila5736 ปีที่แล้ว +3

      Kasumba walizifanya akina uhuru... bring your point with facts sio drama

    • @JK-um6op
      @JK-um6op ปีที่แล้ว +1

      @@salimmachila5736 watch what you say my friend.. hii Kenya ni yetu wote..hakuna sehemu itatengwa kwa watu or kabila Fulani.. we have freedom of movement and leaving any where you wish..

    • @salimmachila5736
      @salimmachila5736 ปีที่แล้ว

      @@JK-um6op ukweli wauma