Je, Wajuwa?! - Historiya Fupi ya Leven House, Mombasa.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @HassanHuri-l7g
    @HassanHuri-l7g 8 หลายเดือนก่อน +4

    Historia waipiga vizuri,endelea hivyo hivyo Abdillahi Nassir jnr

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy 10 หลายเดือนก่อน +2

    Khasara Yakutojuwa Na Maafa Yake Kwa Jamii Yetu Yaskitisha Sana. Mungu akupe umri akh Stambuli Washeikh Abdillahi Nassir Kutupatia Historia Hizi Za Mji Watu

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi sio mkenya lakini ni muafrika wa pwani ya afrika mashariki mi simanzi sana kupotea historia ya pwani na yote haya yanfichwa makusudi tu wailamu wasijue ukiristo umeletwa makusudi kupiga vita uislamu lakini ALLAH ametoa ahadi ataulinda UISLAM

  • @mohamedfuad5966
    @mohamedfuad5966 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH aku BARIKI.miyaka yote nime ogelea hapo fordhani na wala sijawai futiliya historya yake.
    Shukran uncle Istanbul
    Nime jifunza mengi ku husu east Africa kwa ku futiliya program zako na insha ALLAH nita kuja niko tafute

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 6 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda kuwa mpwani napenda kuitwa mswahili wa pwani

  • @Saaid-yv6bg
    @Saaid-yv6bg ปีที่แล้ว +3

    MAA SHAA ALLAH shukran sana tunakuangalia tukiwa south africa cape town

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu ปีที่แล้ว +5

    Machele na Anza fresh changamkieni hapa mahali pafanyiwe ukarabati

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza kabisa ningependa kukupa shukran zangu kwa mengi yamuhimu unayo tufunza,pili nikusema mashauri yako uliyotowa nimuhimu sana na yataleta faida kubwa lau yatafanyiwa kazi.
    Latatu nikukuomba uwandike kitabu ambacho kitakuwa niuhifadhi wahizi historia zote unazo zijuwa kuhusu mji wa Mombasa na mengine.
    Lamwisho ningependekeza iyundwe kamati ama uwongozi wa wanahistoria,wanaharakati na wapenda tamaduni ambayo itakuwa niyenye kushugulikia uhifadhi wahiziz sehemu za kihistoria na hata kuregeshewa majina yake ya kiasili,ikishirikiana na County Government.
    Kwani hata inawezekana kuanzishwa kwa Museum ya Mombasa ambayo itakuwa nikushugulikia sehemu ambazo niza kihistoria za mji wa Mombasa,na kila mji ama kijiji Pwani hii pia hili liweze kufanyika.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  6 หลายเดือนก่อน

      Nakushukuru sana ndugu yangu kwa maoni yako pamoja na ushauri wako hapa juu, Na, inshaa'Allah, Mwenyezi Mngu ataniwezesha kufikia kutenda-kazi hayo yote uliyosema. Ahsanta sana, na Mola atubariki sote.

  • @normanmwanzia4285
    @normanmwanzia4285 6 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana mwalimu

  • @mohammedabdulshakur8162
    @mohammedabdulshakur8162 ปีที่แล้ว +2

    Ahsant maulana

  • @salmamohd3913
    @salmamohd3913 11 หลายเดือนก่อน

    Dont forget your history, know your destiny , in the abundance of water the fool is thirst. 😢😢😢. Sheikh Istabull Allah akubariki na azidi kukufunulia ili utuelimishe. Amin amin.

  • @omarjumaan3061
    @omarjumaan3061 ปีที่แล้ว +1

    Fikra mzuri na ndivo inavofanwa pwani za visiwa vingine ulimwenguni ni mfano masaini lamy wasini lakini kama ulivosema inataka apewe kipato mbele na VIONGOZI wa COUNTY.

  • @aacolonel
    @aacolonel ปีที่แล้ว +2

    Barka Allah Aleyk My Brother ,Allah Akuzifishiye Elimu na Fahamu Njema Mwalimu wetu Wa Tarekhe Stambuli Abdillahi Nassir .Ni Wachache wanaijuwa historiya ya Leven Stairs ,na kisima .

  • @salimcheka128
    @salimcheka128 ปีที่แล้ว

    Mashallah , umenielemisha pakubwa...big up Star

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @salimmachila5736
    @salimmachila5736 ปีที่แล้ว

    Mungu akuhifadhi uzidi tujuza mengi

  • @archiebo
    @archiebo ปีที่แล้ว +2

    Leven house iko open to the public? Mashallah Allah akuzidishie sheikh stambuli.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +2

      Leven House iko wazi kwa watu kuitembelea. Lakini, siku hizi ni ofisi za kuhifadhi makavazi (Conservation Office).

    • @archiebo
      @archiebo ปีที่แล้ว +1

      @@stambuliwash.abdillahinass8123 shukran sana. Please keep the videos coming

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 ปีที่แล้ว +2

    FIKRA NZURI SANA

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jumba linafanana na jumba moja lipo old town zanzibar linaitwa Hamamni school

    • @hemedsaidi9388
      @hemedsaidi9388 4 หลายเดือนก่อน

      Hamami ni msikiti wetu wa shia

  • @kibwanahassan5343
    @kibwanahassan5343 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah good history keep it up Star. Unge tuonyesha ndani ya jumba hilo jinsi lilivo na zile ngazi zina tokea wapi.

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu ปีที่แล้ว +4

    Fikra yako ni nzuri STA hapo mahali parekebishwe kuinuliwe ki biashara ni kufanywe mahali pa kuonesha tamaduni zetu.... pia kufanywe mahali maalumu pa kuuzwa all types of sea foods choma choma kuruka....kma design ya forodhani ya Unguja.

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 6 หลายเดือนก่อน

    Ministry of Tourism ndio wahusike

  • @SalimMohamed-q2c
    @SalimMohamed-q2c 8 หลายเดือนก่อน

    Yote wayajua lkn wajifikiria wao na sehemu za juju tuu sababu hawajui historia hao viongozi historia zao za marungi tu

  • @swalehelshabiby5915
    @swalehelshabiby5915 3 หลายเดือนก่อน

    Ngome ya Mvita si ni hiyo Fort Jesus walio bandika hiyo jina ya Fort Jesus Ni nani?

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mtanzania lkn naona kuna shida ktk nchi zetu hasa kama jambo lenyewe lina wahusu watu wa panic hapa tz yapo hayo na historia ya mwanazuoni kama Shaaban Robert na mengine ni huzuni kubwa ila Mwenyezi Mungu azidi kuwafumbua fikra hasa wana historia wewe mzee Stambuli na Mohamed said huku tz

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 ปีที่แล้ว +1

    Fikra yako ni muhimu

  • @JUMAMOHAMED-yn2tq
    @JUMAMOHAMED-yn2tq 7 หลายเดือนก่อน

    Asalamu alekum bwana estambul mawazo yako na fikra zako ziko sahihi kabisa sisi wenyewe wanathi wa mji huno wa mwambao ndio tulio na shida na matatizo ww umechukua muda wako na wakati wako kutuza sio yajua kama usemavyo je? wajua na kweli hatuna tujualo na maneno yako yote ni ya ukweli mtupu wako watu wahusika kama ni serekali juu, serekali ya kaunti, Wana siasa wote kwa ujumla sio kua hawapo wako wote na wazo la kupakuza ki utamaduni, ki biashara, maneno yako sadakta ni yakusadikiwa kabisa ila wote hao watakupiga vita waseme yule estambul achaneni nao ataka kujifaidisha yeye na wao hawatalifajya jambo hilo zuri ww wawajua watu wetu wa mombasa sio yakua hulijui hilo nisemalo ila tuwachie wao wote tuone watachukua hatua gani na sisi tupo kama mashahidi mmungu akubariki babangu tuko pamoja mm mwanao kutoka mlaleo tuwatugawe unako ishi wa hadha Salam alekum

  • @ahmadhaji1448
    @ahmadhaji1448 ปีที่แล้ว +1

    sala alayk Star Ahsant

  • @johnkizito1713
    @johnkizito1713 ปีที่แล้ว

    Your channel is dividing Kenyans, talk reality not divisisiveness

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  ปีที่แล้ว +1

      Ahsanta sana kwa maoni yako. Nayaheshimu. Hata hivyo, mgawanyiko uko tangu zamani, na hauwezi kuondoka mpaka ukweli uelezwe kama ulivyo na sio kubambanya bambanya maneno kila wakati.