DAR ES SALAAM JIJI LA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI NA KATI, EMBU CHEKI MUONEKANO WAKE USIKU, IMEBAMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Je unafahamu kuwa hapo zamani Dar es Salaam ilikuwa ikiitwa “Mzizima”(Ikimaanisha mji wenye neema) na hii ilikuwa miaka ya 1857 hivi.
    BanaBana ni kweli kabisa jiji hili lenye idadi ya watu Zaidi ya milioni tano kwa takwimu za mwaka 2012
    limeendelea kuwa na neema tele ambapo michakato mbalimbali ya kibiashara imekuwa ikifanyika.
    ili uweze kuamini kuwa hili jiji ni la neema MCL DIGITAL tumekuandalia Makala haya yanayoonyesha mandhari ya jiji hili usiku. Hapa ni city center.

ความคิดเห็น •

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji uko vizuri sana. Umeonyesha mazingira kizalendo.
    Tunaomba utuonyeshe barabara ya Mwenge Tegeta, Ubungo- Kibaha na ujenzi wa barabara ya mwendo kasi mbagala

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 5 ปีที่แล้ว +13

    Dah home sweet home tumekumisije home 🥰🥰

    • @jawadyrasheed6880
      @jawadyrasheed6880 5 ปีที่แล้ว +2

      Sure

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 4 ปีที่แล้ว +1

      Muda gani hujafika Bongo?

    • @mamafranjovlog72
      @mamafranjovlog72 4 ปีที่แล้ว

      @@eddimalon6051 inaenda miaka tisa sasa yani nikiona video za dar najisikia kuumwa

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 4 ปีที่แล้ว

      @@mamafranjovlog72 Pole Dada, usijisikie kuumwa, jisikie furaha, kwani nchi yetu sasa inajegwa. Ninatamaa kwamba hatuta kimbilia nchi za watu kwenda kutumwa kama watumwa. Kwetu kuzuri kuliko Ulaya.

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

      Minna saba sijarudi Tz ywa

  • @joxevictus3720
    @joxevictus3720 4 ปีที่แล้ว +5

    Mm nataka nitoe maoni yangu
    1 kuna baadhi ya maeneo kunagiza mno watu wanao husika na mataa wako wapi? taa nyingi ni mbovu
    2 bajaji na piki piki zinaharibu muonekano wa jiji letu
    3 vibanda pembezoni mwa barabara navyo ni tatizo
    4 magorofa ya kisasa jamani nayo ni muhimu yaongezeke ili kuifanya dar kama Hong Kong tuwe vidume Africa mashariki na Africa nzima 🇹🇿🇹🇿🙏

  • @yonazimbonea7743
    @yonazimbonea7743 5 ปีที่แล้ว +4

    Tunashukuru, tunaomba utuonyeshe video kama hii ila wakati wa mchana,ili tuone pia muonekano wa wakati wa mchana. Ahsante

  • @goodluckmachangu5941
    @goodluckmachangu5941 4 ปีที่แล้ว +4

    Jiji ni nzur lakin maeneo mengi hayana street lights

  • @deogratiuskweka8488
    @deogratiuskweka8488 5 ปีที่แล้ว +8

    Barabara mpya zimejaa mchanga, waweke watu wafagie na kuzintunza, Inaongeza hadhi ya jiji. Gari ikipita inatimua vumbi, kunakuwa hakuna tofauti na barabara ya vumbi tena.

  • @razackkambi2839
    @razackkambi2839 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante ndugu mtangazi

  • @rogermiller165
    @rogermiller165 2 ปีที่แล้ว

    Giza na uchafu ndiyo Dar es Salaam yetu ilivyo. Aibu kwa mayor, mkuu wa mkoa na serikali nzuri

  • @rico3536
    @rico3536 4 ปีที่แล้ว +2

    I like Tanzania

  • @ramazubery8396
    @ramazubery8396 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Tanzania nawenyeji wa daresalamu

  • @njerilenintravelvlogs9377
    @njerilenintravelvlogs9377 4 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful sana ila lighting yake usiku inogeshwe zaidi

  • @t1910j
    @t1910j 4 ปีที่แล้ว +2

    I’m watching from San Jose, California. Keep up the good work. I miss home.

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 5 ปีที่แล้ว +3

    Jikite kwenye matukio mapya zaidi.. Hizi barabara kama za Nyerere zipo miaka mingi tu.. Tunataka vitu vipya ..mfano BRT pale Morocco ..usiku panapendeza sana..

    • @eddechriss2664
      @eddechriss2664 4 ปีที่แล้ว +1

      Simuliza picha mchezo, iko poa sana

  • @helsingvanny3199
    @helsingvanny3199 5 ปีที่แล้ว +3

    maeneo ya 'city centre' ingependeza picha za juu!

  • @mpandaboy2279
    @mpandaboy2279 5 ปีที่แล้ว

    Aurea simtowe... My babe😋😍my school mate😋

  • @irenewile
    @irenewile 4 ปีที่แล้ว +2

    Dar es salaam ,inamaan mji wa Amani,,so Neeema na Amani itawale

  • @emmanuelmkondya8223
    @emmanuelmkondya8223 5 ปีที่แล้ว +3

    Part tuu ya mchana na picha za juu usiku, halafu part 3 ituonyeshe dar yote

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 4 ปีที่แล้ว +1

    Miss you tz

  • @dottocharles1382
    @dottocharles1382 4 ปีที่แล้ว +1

    Imekuwa kama naangalia ka film Fulani hivi ni enjoy sana

  • @castomwatwebe4596
    @castomwatwebe4596 4 ปีที่แล้ว +1

    Muonekano mzuri wa jiji nikutumia Drone tunaomba mtuletee video ya Camera za Drones

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @karimurashidi3095
    @karimurashidi3095 5 ปีที่แล้ว

    Onyesha kwa juu

  • @marshajumaa3521
    @marshajumaa3521 5 ปีที่แล้ว +5

    Bado Town kuna taa nyingi mbovu mamlaka husika inamaana hawazioni

  • @joakimmasawe1657
    @joakimmasawe1657 5 ปีที่แล้ว

    Usiku kunaogopesha sana Giza

  • @phillipmatola6964
    @phillipmatola6964 5 ปีที่แล้ว +2

    city center Giza kama nini

  • @kijahnikwelinyalinga1740
    @kijahnikwelinyalinga1740 3 ปีที่แล้ว

    Mji mzur tatizo giza

  • @RaphaelNyaboga
    @RaphaelNyaboga ปีที่แล้ว

    Giza Totoro lakumba Dar

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa city center vibajaj vyanini

  • @joxevictus3720
    @joxevictus3720 4 ปีที่แล้ว

    Weka drone picha zajuu

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

    Ni nzuri sana lkn bado Dar kuna majengo chakavu!! Weka city kama Nairobi!!

    • @mubarakacloud7892
      @mubarakacloud7892 5 ปีที่แล้ว +1

      Mwehu ww sasa dar majengo yake mapya nai toka miaka ya sabini

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha we chiz kweli ujue asa unampangia kitu cha kushoot?

    • @citylinkproject9901
      @citylinkproject9901 2 ปีที่แล้ว

      Nairobi is Nairobi and Dar is Dar

  • @Tiffany2-Jr
    @Tiffany2-Jr 5 ปีที่แล้ว

    Ooh siku nikirudi home nitafurahia mno

  • @albertngugi757
    @albertngugi757 4 ปีที่แล้ว +1

    Jiji lina Giza xn

  • @edwardmsongelwa5455
    @edwardmsongelwa5455 5 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu WA mkoa yupo wapi kwani watu WA umeme wako Chibi take vipi mji bila Tata Za barabarani

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 5 ปีที่แล้ว

    Nimependa hilo wazo

  • @ramadhanimshauka1781
    @ramadhanimshauka1781 4 ปีที่แล้ว

    Mshoot maeneo Victoria mpaka posta

  • @kijahnikwelinyalinga1740
    @kijahnikwelinyalinga1740 3 ปีที่แล้ว

    Kuna giza kweli

  • @ramadhanimshauka1781
    @ramadhanimshauka1781 4 ปีที่แล้ว

    Picha ya moroko square

  • @erastomtumbuka7039
    @erastomtumbuka7039 5 ปีที่แล้ว +2

    Da umejitaidi sana tumeona juudi zako si tuko juma yako ukiwa unaonyesha jiji ili malakwamala tutakusapoti ili jiji zuli sana wakenya wanatoaga pich juju

  • @ssentoogobosco8404
    @ssentoogobosco8404 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli daesaram no kiboko yao

  • @nguruwekikwete1635
    @nguruwekikwete1635 5 ปีที่แล้ว

    Endelea kuleta picha za jiji letu

  • @ndulujilala9643
    @ndulujilala9643 4 ปีที่แล้ว

    Tupia mji wote pazur

  • @eriezarichardmbeya1233
    @eriezarichardmbeya1233 4 ปีที่แล้ว

    Bongo,,,,,,,,,

  • @aliciafields-worldtravelle8248
    @aliciafields-worldtravelle8248 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kijiji ambacho kimejaa giza ndicho mnashinda mkicompare na International developed city of Nairobi..please Watanzania know your place and stick to your lane.

    • @nicodemuszebedayo5978
      @nicodemuszebedayo5978 4 ปีที่แล้ว +2

      Nairobi ni takataka huwezi kucompare na DAR hata kidogo. Nairobi ni dust na uchafu kila kona river road inanuka mikojo kila kona...mvua ikinyesha ni kero ....afu unakuja kuifananisha na jiji la Dar....!!?

    • @aliciafields-worldtravelle8248
      @aliciafields-worldtravelle8248 4 ปีที่แล้ว

      @@nicodemuszebedayo5978 usiweke neno jiji pamoja na Dar..hicho ni kijiji hata Mombasa ni bora zaidi kuliko dar..imejaa giza totoro chafu kama nini..vijinyumba vya matope katikati ya hilo jiji..ati mmpetata flyover juzi..Kenya kuna flyover na tunnels zaidi ya 100.

    • @nicodemuszebedayo5978
      @nicodemuszebedayo5978 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha unaongea hata Dar hujawah fika .....ni kituko kufananisha jiji la Dar na kimji kichafu cha Nairobi....labda Ulinganishe Nairobi na Mwanza.....

    • @aliciafields-worldtravelle8248
      @aliciafields-worldtravelle8248 4 ปีที่แล้ว

      @@nicodemuszebedayo5978 dar nimefika tena sio mara moja..changanyikane walipata umeme..slums za magomeni zitatisha. ..nikaishi masaki na pia huko barabara zulikuwa za matope..Dar iko miaka hamsini nyuma ya Nairobi...msikize tena kwa makini.

    • @nicodemuszebedayo5978
      @nicodemuszebedayo5978 4 ปีที่แล้ว +2

      @@aliciafields-worldtravelle8248 huijui Dar ndomana unapayuka tu....Dar ni jiji huwezi fananisha na uchafu unaoitwa Nairobi....kibera ,river road (mtaa wa mikojo) .... harambee square nlizani ni dampo jinsi kulivyo kuchafu...najua Kenyans mko na wivu sana mnapoona Tz inazidi kuwaacha kwa development thats why mnajazana kwa post zote znazohusu Dar kuja kucomment na kucompare Dar na kamji kachafu ka Nairobi....labda baada ya kuuzia Chinese Hiyo nchi mnaweza develop kidogo😁