IJUE HISTORIA ya JIJI LA DAR ES SALAAM, IKULU ya MAGOGONI na CHAMWINO! WAZEE WASIMULIA kwa KINA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ค. 2023
  • IJUE HISTORIA ya JIJI LA DAR ES SALAAM, IKULU ya MAGOGONI na CHAMWINO! WAZEE WASIMULIA kwa KINA!
    HII ni makala maalum ya historia ya Ikulu ya Dar es saalam na Chamwino...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 45

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +2

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @juliusakilimali9424
    @juliusakilimali9424 14 วันที่ผ่านมา

    Huyo Zuhura cjui hajui kwamba hapa duniani c kwetu! Tupo safarini tu!! Tujitahidi kutenda haki kwa kila mmoja!!!

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 15 วันที่ผ่านมา

    Kwahio ikulu ya Dar bandari ya dar imejengwa na mtawala wa Zanzibar 😊

  • @user-wk4rc6cb4i
    @user-wk4rc6cb4i 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yes

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waarabu Waingie Tu;Lakini Iko Siku!!!!!!!

  • @abdallahalbakri2561
    @abdallahalbakri2561 ปีที่แล้ว +1

    Jamani ndugu zangu kuna mtu anaijuwa email ya Bi Zuhura wa BBC nitashukuru sana manake nasikiya bado yupo single kama ni kweli yupo single nataka kupeleka posa kumchumbiya

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kesha olewa so tuliza mshono

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️😍

  • @yusuphmtipa1478
    @yusuphmtipa1478 28 วันที่ผ่านมา

    8:54

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 หลายเดือนก่อน

    Uache uchawa wakati huo rais alikuwa mmoja tu naye Magu Sasa ya mama yameingiaje

  • @GeorgeNkhambi-gp6hh
    @GeorgeNkhambi-gp6hh 6 วันที่ผ่านมา

    😅

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa Nini Sasa???????

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mali za waislamu zirudishwe

  • @helper1099
    @helper1099 หลายเดือนก่อน

    Sasa Washomvi walikuja tu na hawakukuta wenyeji? Kwanini historia ya mwafika ianzie pale wageni walipofika. Acha zako....

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 ปีที่แล้ว +5

    Hivi kumtaja Magufuli kuwa mjenzi wa Ikulu mpya shida ninini? Zuhura huyo tangu BBC

    • @smartmusic9893
      @smartmusic9893 ปีที่แล้ว

      Hii ndiyo Tanzania 🎉

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 ปีที่แล้ว

      Watu wote wanajua shda nini sasa.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 ปีที่แล้ว +2

      Hujakatazwa kumtaja wewe
      Unaweza kumtaja asubuhi mchana na jioni ruksa

    • @yusufudongote6440
      @yusufudongote6440 ปีที่แล้ว +2

      Magufuri kumamake tu

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 ปีที่แล้ว +2

      Mbona hamukumtaja kikwete kama kajenga daraja la kigambon na barbara za kuunganisha mikoa

  • @alalawiymuhammad446
    @alalawiymuhammad446 ปีที่แล้ว

    Kabla ya ushomvi kulikuwa na kabila ushomvi baada uhamiaj wa kabila mbili wabarawa na wazaramo ndio ukazaliwa ushomvi lkn kabla wabarawa kulikuwa na kabila likiitwa wamwambao

    • @user-um8xn4ge4i
      @user-um8xn4ge4i 2 หลายเดือนก่อน

      Shomvi na pazi ndio walioanzshisha mji waliuita mzizima kwa kizaramo mji wenye afya

    • @user-um8xn4ge4i
      @user-um8xn4ge4i หลายเดือนก่อน

      Hakukua na kabila la ushomvi kk, shomvi na pazi walikuwa wakuu wa makabila y kizaramo na kikwelie basi, na hao shomvi na pazi ndio waliingiza choo cha kike wazaramo na wakwele kwa kuwapokea waarabu na kuukubali uislamu pia, wazaramo ndio waliowaonyesha njia waarabu kuingia bara hii ndio sababu wasukuma na wanyamwezi watani wa wazaramo

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-um8xn4ge4iAcha uongo mpumbavu wewe, tulia na usikilize history ya ukweli.

  • @mhagamachas8974
    @mhagamachas8974 ปีที่แล้ว +2

    Zuhura acha roho mbaya kwa Magufuli yaani unafahamika waziwazi toka ukiwa BBC

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว +9

    kama ikulu ni jasho na nguvu ya waislamu na ilikua ni kituo chao cha DINI mpaka pale wakoloni wa kijerumani walivyoliteka na SASA wameshapata jengo mbadala DODOMA ni wakati mwafaka kulirejesha kwa WAISLAMU MALI YAO...FAIR DEAL

    • @fadhilisecha4268
      @fadhilisecha4268 ปีที่แล้ว +1

      Udini

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว

      Yani waislam Kwa udini hadi wanakela 😂😂😂

    • @sumayasumaya6455
      @sumayasumaya6455 ปีที่แล้ว +5

      Inawauma sana, ni haki yao waislam si udini.., futa basi anachoongea huyu mzee, au aje mwingine akanushe

    • @mohamedsaid2882
      @mohamedsaid2882 ปีที่แล้ว

      Jamaa amechanganyikiwa huyu

    • @hamynas
      @hamynas ปีที่แล้ว +5

      @@fadhilisecha4268 ukidai haki unakua mdini?
      pumbavu saana