Naupenda sana huu wimbo I remember one day tulienda uimba kwa church it was an amazing day coz huu wimbo una ujumbe mzuri especially mavazi wengine walikua wamevaa hivyo vimini wengine nguo za kubana ndani ya kanisa so uligusa watu wengi sana alafu tulikua at a very young age ni wimbo mzuri sana
GoD S CHILDREN Inc is bless to everyone else in yorre assemble the leglize la jesus Chris is bless to everyone else in yorre assemble the leglize la jesus Chris is bless to everyone
nyimbo nzur sana
Nzur Sana nakumbuka mbali
6nnnjnnnnnb. 76yrds. Knbgbsqqq
?
?
C. '' x z. Zx b
Baba Mungu utujaliye kupanda mema bado tungaliki duniani. Mubarikiwe sana kwa hii karama ya uimbaji, mtalipwa msipo zimia mioyo.
Hii nyimbo ni nzuri
Waooooo...
Kama Bado unaEnjoy wimbo huu gonga line kubarikiwa zaidi
Kwa wimbo huu, una vigezo vya ngazi ya juu sana kiroho, kwa kutumia nyimbo hizi utaona kanisa limeanguka na kuporoka kimaadili kbs,
Yaani kwa Leo tupo uchi
Safi sana jamani lakini sasa hapa nafikiri wengine watakuwa ni wachungaji
Hizi ndo nyimbo zangu
Naupenda sana huu wimbo I remember one day tulienda uimba kwa church it was an amazing day coz huu wimbo una ujumbe mzuri especially mavazi wengine walikua wamevaa hivyo vimini wengine nguo za kubana ndani ya kanisa so uligusa watu wengi sana alafu tulikua at a very young age ni wimbo mzuri sana
2024 bado naangalia huu mwimbo mzuli hauchuji
Hapa Kwetu 🇧🇮 Bado zinapigwa mno so God bless Africa
Yaani wimbo mzuri sana huu… nani mwingine anasikiliza leo?
Nasikiliza kutoka dar es salaam
Hata Mimi nazipenda hizi nyimbo hizi napenda siku moja mfike mbeya revival tample kadege kwa mchungaji amani mwasote mtakuwa mmehubiri Sana
🙌🙌kweli kila apandacho mtu ndicho atakacho vuna
played this song maybe 1000 times during the pandemic. Thank you for sharing it took me through that hard time in America.
Mbiu ni bonge la wimbo Aise, wameimba ki ufundi zaidi
Mke mwema barikiwa saana, yaaani nyimbo zenu hazichuji big up.
Mkemwema mungu.awabariki
Amina taifa teule la Bwana
Amina ,nyimbo zenu huwa zinanipa faraja sana
Ujumbe mzuri sana
enzi zetu hizi wahenga
Amen amen
Mbarikiwe sana
Hizi ndo zilikuwa nyimbo sasa. Sijui sasaivi wanakwama wapi.... Nimemic nyumbani, nimemic kanisa langu, Huima ipo damuni, fpct ipo damuni na Yesu yupo moyoni mwangu daima.
Kweli
Kabisa
Aaaaaah kumbe wa kwetu ee wap
Umeona kwa sasa mengi ni mangerengere
Nabarikiwa saana nikisikia nyimbo za vijana wetu Mungu azidi kuinua kazi yenu.
Amen.
30/5/2022 MUNGU ni mwema
Salama moyoni when singing this song. My sister used to like it
Ah aisee wimbo huu naukubali Sana,,,toka 2008 live performance at makere fpct church
23/07/2023 @8.56 p.m Kikuyu town, Kiambu county.... I feel blessed
Asante sana mbarikiwe
Nyimbo hizi hazichoki. Nilizisikia nikiwa primary sasa hiv Nina 30 bado tamu. Mungu awabariki Sana
Mungu akubariki Pia. AMINA
Yani hizi nyimbo zilitoka nikiwa na miaka 13 now I have 25 yaani I proud of them course wanatoka kwetu..
I was 12 ...It brings fresh memories..
Hizi nyimbo ndo zilikuwa nyimbo zetu nyumbani madogo alinunua albam yote nakumbuka mbali sana
Asante sana mubarikie namungu
Halleluuuuuuuyaaaaaaaaa aiseee nabarikiwa mnooo
Wamama vaeni hivi
Mubalikiwe sana
kile apandacho mtu ndicho atakachovunaa!!
Wimbo ule unaitwa Wanafunzi walijificha na ule unaitwa Yesu ziko wapi 🙏
Son And Daughter Of ZION Alafu muko ba zuri n’a Mafuta Télé Kitchuani Tanzania Gospel ! Shalom
Haleluyaaa!
Mbarikiwe na Yesu Kristo wa Nazareti
Nyimbonzuli sana waimbaji Nawapendapia
Asante sana Mungu akubariki
Mnanibalik sana Mke mwema Kwa hizi nyimbo za zamani
Safi sana Mungu aendelee kuwapa moyo wa uinjilishaji
Good song
Wanawake wacheni kuvaa mavazi ya wanaume na mavazi ya kubana jifunze kwa hawa😊
Vivyo wanaume mpo jifunze kuvaa kitakatifu jifunze kwa hawa
Nawapenda mpaka bassi
Naipenda sana hii nyimbo YESU awatunze
Hata mm naipenda pia mungu awa punguzie azabu kwaman imebak nifungisho kwe2
Old is good
Walikua wanavaa nguo za heshma had raha,sio saiv wanavaa vitu vya ajabu
Imependezwa saanaaa ndugu zanguni mungu aendelee kuwapa nguvu zakumuimbia sifa nizake yeye pekee yake kabisa 👍
Amen
Hata mm sielew
❤👏
Hii ilikuwa arbamu bora kabisa, barikiwa sana 2020
Asatesana
penda san mavaz
Nakumbuka zilizo pendwa
Santé
❤
Powerful message this song reminds us to remain clean before
God all the time:
Mubarikiwe sana wapendwa mufike mbali sana kuitangaza injili
My mom still bumping in 23
2020 bado zinanibariki cn
kiukweli mbarikiwe sana kwani mmeiwakilisha kasulu
Nzuri mnooo
J'AI aimé
Mko Vizuri xana
Enjoying this songs from Nairobi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thank you. Be blessed more!
Nakumbka ome kabx
Jaman wapi umekumbuka?
@@Mkemwemachoir kasulu na Kila nikisikiliza nyimbo Nyumban Kuna zao la uimbaji mahili
Nawapenda sana mno!
Barikiwa sana wapendwa
Mungu awabariki
Mnajua vitu hivi sikuhizi hakina
Jamani October 2020 tujuane. Pls....
Amen
9/8/2024❤
Amen barikiwa sana
Hii kwaya inanibariki sana sana
You
Barikiwa
GoD S CHILDREN Inc is bless to everyone else in yorre assemble the leglize la jesus Chris is bless to everyone else in yorre assemble the leglize la jesus Chris is bless to everyone
Mungu awabariki chane kwakwel
Niko nanyi nawasikiliza Agost 2019 nabarikiwa na nyimbo zenu
Nice song 👍🏻
C'est super et simpa
Amen God bless 🙏🙌
Nakumbuka kigoma sana Kasulu Mjini mbarikiwe
Home hapo kaka dah kitambo sana
amina
Powerful Choir
Mbarikiwe wapendwa
Tafadhali tunaomba nyimbo zote za album ya mke mwema
Anyone 2019🙂
I'm here
Utukufu kwenu hii ndiyo faraja yetu dunian
Nzuri
Amen 🙏
Mbarikiwe sana
Blessed 🙏🏽🙏🏽
Amen.
May the lord bless u all
Barikiwen san
Waha wote oyeeeee
Mweeh nimekukumbuka mbali sana
Vyema
Mungu ni mwema yaani mlinigusa sana na hizo nyimbo
naupenda sana wimbo huu
Imagine having the time to dislike
I Like kwaya
0
Rhg
Good song
Amen
Blessed 🙏🏽❤️🙏🏽
Amen.
Mbarikiwe Sana
asanten sn jaman tulikumweee chane