sauti ya watu- Mkemwema choir (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @niyogushimaoscar9248
    @niyogushimaoscar9248 ปีที่แล้ว +2

    Naendelea kuenjoy na nyimbo nzuri 💪💪💪💪

  • @AngelMbwiga
    @AngelMbwiga ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana watumishi wa mungu nimebarkiwa sana na wimbo huu hakika saut ya watu ni saut ya mungu

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      Asante sana mtu wa Mungu kutufuatilia endelea kuwasaidia wengine njia ya kutufikia ni hapa TH-cam tunaboresha mifumo Ili Kila huduma yetu iwafikie Kwa karibu hivo usiache kusubscribe na kushera link

  • @NzirubusaGrodien
    @NzirubusaGrodien ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana waimbaji.

  • @barakakabuyanja841
    @barakakabuyanja841 ปีที่แล้ว +1

    Mhezagigwe chane

  • @mussaananiasmyonga727
    @mussaananiasmyonga727 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu tunusuru na nchi yetu Tz. Maasi yamezidi

  • @salomenguvila3333
    @salomenguvila3333 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kwa huduma ninabarikiwa mno na mahubiri kwa njia ya uimbaji

  • @enocknyumbi6836
    @enocknyumbi6836 3 ปีที่แล้ว +2

    Enock Nyumbi, hakika nawakubali, lkn kumbukeni mna vita ktk kumtumikia mungu, mgeuke nyuma wangapi mmebaki nawako wapi hao niwaombe mudumu ktk maombi.

  • @eugenielumanya7438
    @eugenielumanya7438 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen may God bless you my parents ❤️🙏

  • @omaistefano
    @omaistefano 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa nikiwa kenya.

  • @sethsimon5746
    @sethsimon5746 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana watumishi wa BWANA.Mungu awabariki sana kwa kazi njema.

    • @NaumiBaya
      @NaumiBaya ปีที่แล้ว

      Mungu awabariki sana

  • @janethjoseph6599
    @janethjoseph6599 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimewamiss jaman karibuni tena sumbawanga

  • @enockbizimana3337
    @enockbizimana3337 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante watumishi wa Mungu kwa huduma nzuri ya uimbaji.niko Bujubura,ni na barikia Napo sikiriza nazi yenu!mbarikiwe saaana.

    • @enocknyumbi6836
      @enocknyumbi6836 3 ปีที่แล้ว

      Napatikana dar,0684592969/0753532241 nawapendaa mno mungu awazidishie vpawa

  • @divinesvesonia854
    @divinesvesonia854 6 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli kabisa. Mubarikiwe sana

  • @sitarikogabo637
    @sitarikogabo637 6 ปีที่แล้ว +1

    hongela sana kwa wimbo mzuli sana

  • @nehimianehimiaaaamen9556
    @nehimianehimiaaaamen9556 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuh mbarikiw xana

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 ปีที่แล้ว +1

    I love a lots this song🙏😁🙉

  • @danielntabila6759
    @danielntabila6759 6 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed all mke mwema

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 6 ปีที่แล้ว +2

    Kasulu Wapo waimbaji wapya tu siku hizi wameenda wapi akina Esther?

  • @joselynenzobigeza8965
    @joselynenzobigeza8965 4 ปีที่แล้ว +1

    B

  • @NzirubusaGrodien
    @NzirubusaGrodien ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana waimbaji.