Wema hauozi - Mkemwema choir(Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 96

  • @nibigiraegide5179
    @nibigiraegide5179 ปีที่แล้ว +2

    Mubalikiweni sana waimbaji munguwambinguni wabarikisa kwawimbowenu

  • @kennykalos5120
    @kennykalos5120 4 ปีที่แล้ว +30

    Kama bado upo inaebarikiwa na nyimbo hii mpaka sasa 2021 gonga like apa

  • @AdrienSibomana-vg1uc
    @AdrienSibomana-vg1uc ปีที่แล้ว +2

    Wimbozenu jinanitiamoyo waimbaji mungu wambinguni nainci ababarikisana

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      Mungu wa mbinguni akubariki sana akupe haja ya moyo wako amen

  • @MwemeziElkana
    @MwemeziElkana ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli mungu awabaliki nyimbo zenu zinafundisha na ninzuri sana BALIKIWENI

  • @tresorshmurda5575
    @tresorshmurda5575 ปีที่แล้ว +1

    tenda wema love you mkemwema from burundi

  • @danielorango5875
    @danielorango5875 2 ปีที่แล้ว +4

    Wapendwa wa Kwaya ya Mke mwema. Bwana Yesu awabariki na kuwazidishia neema ya uimbaji. Nyimbo za kubariki mioyo mno. Ahsanteni na nawapongezeni sana.

  • @samuelralton8637
    @samuelralton8637 11 หลายเดือนก่อน +1

    I've been looking for this nostalgic song for over a decade. Finally I've clutched. It reminds me of my Auntie back in the year 2007. Rest in peace Auntie❤

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awakumbuke pamoja na vizazi vyenu; nyimbo zenye ladha kila kona

  • @nahimanaonesimo1597
    @nahimanaonesimo1597 หลายเดือนก่อน

    Bado nasisitiza kuwa warudi kwa msingi wamatoleo haya ya mwanzo
    Mungu awabariki

  • @ThomasAmosi
    @ThomasAmosi 5 หลายเดือนก่อน

    Nyimbozenu zinanipa faraja.mbariiwe waimbaji Wetumpka kutokakasuru

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 หลายเดือนก่อน

    Hizi ndo nyimbo sio za mawigi na kujichuna ngozi

  • @upako4598
    @upako4598 11 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa

  • @DanielMpenda
    @DanielMpenda 7 หลายเดือนก่อน

    Nikisikiliza Wimbo huu natokwa ma machozi ya furaha Mungu awabaliki sana

  • @antoniodonizettiseveriano5454
    @antoniodonizettiseveriano5454 11 หลายเดือนก่อน

    Glória Deus 🖐️🙏 é muito maravilhoso esses louvores 🙌

  • @MatiasAlfred
    @MatiasAlfred 14 วันที่ผ่านมา

    mungu awabarik

  • @antoniodonizettiseveriano5454
    @antoniodonizettiseveriano5454 ปีที่แล้ว

    Deus abençoe 🙌🙏 todos vocês com esses louvores maravilhoso

  • @alfredyipini3799
    @alfredyipini3799 ปีที่แล้ว +2

    2023_still am in ❤️ with this song

  • @marryjonas6973
    @marryjonas6973 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana ,mungu awabariki sana mmeitikisa kigoma nzima

  • @SamsonHokobela
    @SamsonHokobela 4 หลายเดือนก่อน

    Kigoma hatuja wahi kufeli

  • @AdrienSibomana-vg1uc
    @AdrienSibomana-vg1uc ปีที่แล้ว

    Ashanteniwaimbaji kwawimbojenu jinanifurahisha sana natamanikuwaona waimbaji ushokwausho

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      Asante Kwa yote maombi tutaonana Mungu akipenda

  • @CateJay-d6t
    @CateJay-d6t 3 หลายเดือนก่อน

    Kwaya inaitwa aje

  • @OscarBatricko
    @OscarBatricko 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kama bado upo 2024 gonga like

  • @elishamkoma4560
    @elishamkoma4560 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema

  • @gloriahamisi7611
    @gloriahamisi7611 3 ปีที่แล้ว +1

    Mke mwema

  • @jipsonmwallo7887
    @jipsonmwallo7887 3 ปีที่แล้ว

    Hakika bwana ni Ebenezer

  • @salvatorybushegu7739
    @salvatorybushegu7739 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda

  • @lemyjere8126
    @lemyjere8126 2 หลายเดือนก่อน

    Kama unaipenda 2024 pigs like hapa

  • @josephngei4072
    @josephngei4072 2 ปีที่แล้ว

    Back then hawakua na keyboard ya kisasa but this time they can change Grooves i.e. chakacha, au seben

  • @viviankweka1448
    @viviankweka1448 ปีที่แล้ว

    Mugu awambaliki

  • @leonardndikumukiza9183
    @leonardndikumukiza9183 หลายเดือนก่อน

    Keep shining...

  • @nibigiraegide5179
    @nibigiraegide5179 ปีที่แล้ว

    Nawapendasana jaidi kwawiwenu inanitiamoyo

  • @leeaglepropeller4549
    @leeaglepropeller4549 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri sana ,tunaziomba nyimbo zote za album yenu ya mke mwema ,mfano wanafunzi walijificha

  • @charlesmasika7767
    @charlesmasika7767 ปีที่แล้ว +1

    A very blessing and a powerful teaching song. Glory to God for having you in place to bless our heart. God bless you so much as you continue to to bless many nations.

  • @efraimobadia4944
    @efraimobadia4944 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kwa nyimbo zenu nZuri

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana. Mungu akubariki.

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 7 หลายเดือนก่อน

    I am blessed 2024

  • @Godschildreninc
    @Godschildreninc 3 ปีที่แล้ว

    Good job contunier conssa Jesus va benni nous

  • @edgarndayishimiye8132
    @edgarndayishimiye8132 ปีที่แล้ว

    I love you this chorale God bless you

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      I love you Edga,mbega ko wantaye mwene mama?

  • @koomesonko66
    @koomesonko66 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo safi za ukombozi,sina nijenga kila siku Kwa siku.

  • @nathanaelnzoyikorera5074
    @nathanaelnzoyikorera5074 2 ปีที่แล้ว

    Tenda wema

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 ปีที่แล้ว

    Kasuru kwetu i love you Sana God bless 🙏🙌

  • @bigboni3660
    @bigboni3660 3 ปีที่แล้ว

    Dhu walitisha wazazi wetu wimbo wenye mdundo was ajabu Sana no copies no edit ❤️❤️

  • @annabruno715
    @annabruno715 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki napenda sana kwaya

  • @peresniyonziza3627
    @peresniyonziza3627 ปีที่แล้ว +1

    Wimbaji wazuli

  • @innocentgenesi4912
    @innocentgenesi4912 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzur Ila mmefungia online

  • @mrholela7906
    @mrholela7906 5 ปีที่แล้ว +7

    Kigomaaaa oyeeee

  • @rubeba9624
    @rubeba9624 4 ปีที่แล้ว

    Kila napokumbuka nyumbani narudi kwenu kuwasikiliza. Kweli wema hauozi na ukitenda mabaya unajitendea mwenyewe. Mungu awabariki sana katika kueneza injili kwa njia ya uimbaji.

  • @amosangelo8649
    @amosangelo8649 4 ปีที่แล้ว

    Bado munaenderea na kazi ya kumutumikia bwana

  • @roychiwanga3730
    @roychiwanga3730 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hua nabarikiwa sana na nyimbo zenu zoote Mungu azidi kuwabariki sana.

    • @zabronsama.munguakupemazr1620
      @zabronsama.munguakupemazr1620 3 ปีที่แล้ว

      Mm natokea nyamgali hinyimbo nilikua mdogo yani apa nakumbuka mbali sana mungu awabaliki sana bando rangu rinaenda kiharari

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyumbani kigoma 👍👍

  • @azizinsemwa3675
    @azizinsemwa3675 6 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo zenu zinanibariki pia zinanikumbusha mbali sana.

  • @AtupeleFesto
    @AtupeleFesto 2 หลายเดือนก่อน

    ameen❤❤❤

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว

    Wema ni Akiba Mu N’a Pendezua kueli Amina

  • @ombeninassary7428
    @ombeninassary7428 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Kigoma kwa wasanii. Mungu awabariki sana

  • @kapsabet3
    @kapsabet3 2 ปีที่แล้ว +1

    Two years on still my favorite song😻

  • @annarungwe8964
    @annarungwe8964 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe Sana watumishi. Mungu awainue zaidi na zaidi

  • @nsengiyumvaedward4849
    @nsengiyumvaedward4849 6 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuli sana mubalikiwe na Mungu

  • @georgeadiely7255
    @georgeadiely7255 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @zabronnyamba5939
    @zabronnyamba5939 3 ปีที่แล้ว

    inanibariki sana

  • @georgeadiely7255
    @georgeadiely7255 4 ปีที่แล้ว

    Amina mbarikiwe

  • @josiahisika7356
    @josiahisika7356 5 ปีที่แล้ว +2

    I love your songs, much inspiring, from Kenya

  • @emiliemazambi5652
    @emiliemazambi5652 4 ปีที่แล้ว

    mbarikiwe sana. akika Mungu ni mwema

  • @emilykareha6387
    @emilykareha6387 4 ปีที่แล้ว

    Wema hauozi, barikiweni, Amen

  • @daoudacongo3656
    @daoudacongo3656 4 ปีที่แล้ว +1

    Nazikumbuka Nikiwa mtoto

  • @jannuary26
    @jannuary26 3 ปีที่แล้ว

    Blessed 🙏🏽❤️🙏🏽

  • @Godschildreninc
    @Godschildreninc 3 ปีที่แล้ว

    GOD S CHILDREN Inc is bless to everyone else in yorre assemble the leglize of God ❤️😁❤️😁❤️😁❤️😁🙏🙏 bless to everyone and yorre assemble and GoD 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏 bless to everyone and your beautiful 😘😘😘😘😘😘😘 GoD bless to everyone

  • @neemabahoze9001
    @neemabahoze9001 5 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri mungu awabariki

  • @thomasnzioka2099
    @thomasnzioka2099 3 ปีที่แล้ว +1

    Stellah

  • @makuruwachomete3575
    @makuruwachomete3575 5 ปีที่แล้ว

    tenda wema ndio wenye thawabu

  • @mwanamusa5674
    @mwanamusa5674 6 ปีที่แล้ว +1

    mbaliliwe sana

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 6 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana

    • @modestadaudmbingo7961
      @modestadaudmbingo7961 5 ปีที่แล้ว

      Mungu hana chuki

    • @mutigerwaesperance1336
      @mutigerwaesperance1336 4 ปีที่แล้ว

      Munanibariki sana mubarikiwe

    • @alfrednyamnini7352
      @alfrednyamnini7352 4 ปีที่แล้ว

      @@Mkemwemachoir napenda mwonekano wenu hasa wamama wako na uasilia wao sio mpka kujichubua na minywele ya wazungu wa hivyo hovyo

  • @hamadistephano8811
    @hamadistephano8811 4 ปีที่แล้ว +1

    kasuru

  • @bernadetalucian8490
    @bernadetalucian8490 6 ปีที่แล้ว

    jaman kwann mmefungia online

  • @ankofredy7246
    @ankofredy7246 5 ปีที่แล้ว

    Mufuhugwe chane

  • @edsonmshirakandi17
    @edsonmshirakandi17 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @esperancetosha2875
    @esperancetosha2875 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @rebecangambiye12
    @rebecangambiye12 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @andremchinda3973
    @andremchinda3973 ปีที่แล้ว

    Amen