Heri sifa njema- Mkemwema choir (Official Music video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @ZennaFesto-p7u
    @ZennaFesto-p7u หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sna tukiwa wadogo

  • @MAGETI83
    @MAGETI83 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mke mwema alibamu yangu bora kabisa ya mda wote MUNGU awabariki sana sana

  • @michaelshibanda2364
    @michaelshibanda2364 2 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe mzuri sana, wanakwaya nadhifu sana wanapendeza kwa asili ya uumbaji wa Mungu, hakuna mikorogo
    GOOD

  • @ThomasAmosi
    @ThomasAmosi 2 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo za kusisimua.sauti.zimetulia.nakumbuka.mbali.sana.kwakweli.mungu.awabaliki

  • @gracehay9607
    @gracehay9607 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kwa nyimbo zenu Zuri na zenye ujumbe mzuri m/ mungu aendelee kuwaweka❤❤❤

  • @elishamkoma4560
    @elishamkoma4560 ปีที่แล้ว +2

    Nataman siku zirud nyuma. Na hii kwaya irud. Mungu aturehemu kizaz cha leo

  • @StellaIbrahimu-j9p
    @StellaIbrahimu-j9p ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa nyimbo nzuri

  • @StellaIbrahimu-j9p
    @StellaIbrahimu-j9p ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana nyimbo nzuri

  • @unduelohamisi7641
    @unduelohamisi7641 ปีที่แล้ว +5

    Tukiwa wadogo miaka ya 2000-2001 kambini Nyarugusu Camp wilaya ya Kasulu , Kigoma.

  • @GlorianNjalalikoko
    @GlorianNjalalikoko ปีที่แล้ว +1

    Mmbarikiwe sana ujumbe tumeupata Kwa nyimbo zenu

  • @GiranezaEriechadaï
    @GiranezaEriechadaï ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana zaidi sana waimbazi mubarikiwe sana waimbaji

  • @jonathanmahenge8263
    @jonathanmahenge8263 ปีที่แล้ว +2

    Listened to these songs when I was 6 -8 . 20 years later they are still Relevant, Pure and True. be blessed😊

  • @Esther19553
    @Esther19553 2 ปีที่แล้ว

    USA 🇺🇸 tunawafatilia sana Mungu awabariki sana

  • @BemungaEnock
    @BemungaEnock ปีที่แล้ว

    Mimi delvas nakumbuka Sana kwetu drc nilizipendasana hizi nyimbo mpaka Sasa na zitazama sichoki mpaka mkemwema hawawalihimba vizuri mungu awalinde waimbaji wetu kasulu mlituhonyesha hekima Katika hizi nyimbo asante

  • @olipamkuyu5149
    @olipamkuyu5149 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani ninajisikia nyumbani mimi ni mzakiwa wa kasulu _ KITEMMA.NAMUONA BWANA DEV NIDYO AKILISAJATA GITAA MBARIKIWE SANA. FANTASTIC❤❤❤

  • @sulemanihilaly4759
    @sulemanihilaly4759 ปีที่แล้ว

    Murakoze kuru Rusumu

  • @Lord-Kipsang
    @Lord-Kipsang 3 ปีที่แล้ว +7

    What a song.What a choir.Barikiweni sana from Nairobi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana mtumishi usiache kutufuatilia

    • @NyorokaNyenge
      @NyorokaNyenge 6 หลายเดือนก่อน

      I naitwa kwaya gani hii.jina lake

  • @GiranezaEriechadaï
    @GiranezaEriechadaï ปีที่แล้ว +2

    Ndabakunda cane kundirimbo nziza cane baririnyi muduhe indirimbonsasha

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      Ego me tulakola imana yibhikunze kutuha ubhuzima

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunawapata sana Asante Sana Kutoka Australia 2022 God bless 🙏

  • @antoniodonizettiseveriano5454
    @antoniodonizettiseveriano5454 11 หลายเดือนก่อน +1

    Glória Deus 🙌🙏 é difícil ouvir louvor maravilhoso igual esses assim

  • @masabojackson4520
    @masabojackson4520 3 ปีที่แล้ว

    Hii album ilikua ya moto sanaaaaa

  • @gracehay9607
    @gracehay9607 ปีที่แล้ว

    Yaani sichokagi kusikiliza nyimbo zenu Nawapenda mnoo

  • @ericsamuel2217
    @ericsamuel2217 4 ปีที่แล้ว +1

    ule wimbo wa kumbuka ulipookoka nitaupataje

  • @jipsonmwalo3464
    @jipsonmwalo3464 5 ปีที่แล้ว +3

    Nabarikiwa sana na nyimbo hizi uinjilishaji uliotukuka

  • @emmanuelkyando6935
    @emmanuelkyando6935 3 ปีที่แล้ว

    Vijana walioimba kwa kutulia na ujumbe umetulia.HONGERENI.Ni mpenzi wa nyimbo zenu kwa muda mrefu. Hasa "walembo walikuwepo...."

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 ปีที่แล้ว

    Kasolo kuvaa vitambaa kichwani

  • @StellaIbrahimu-j9p
    @StellaIbrahimu-j9p ปีที่แล้ว

    Amina jamani

  • @patrickdebe458
    @patrickdebe458 4 ปีที่แล้ว +2

    Mulakoze chane abhana bhimana. Imana ibhahezagire

  • @musatergech2656
    @musatergech2656 3 ปีที่แล้ว

    Courtesy of pst Eli Rop, tulikaribishwa sana kasulu baada ya injili moto bupango

  • @asaelybayaga7515
    @asaelybayaga7515 ปีที่แล้ว +1

    🙏🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      Barikiwa tunaomba sana utusaidie Ku #share hii kwa wengine na Mungu akubariki sana

  • @fadhiligabriel-jz3xh
    @fadhiligabriel-jz3xh ปีที่แล้ว

    Mungu awabarik mke mwema mfike mbar

  • @linetmunialo80
    @linetmunialo80 2 ปีที่แล้ว +1

    You are the best choir ever ❤

  • @furahabarayati2403
    @furahabarayati2403 4 ปีที่แล้ว

    Ameni mliimba vizr sana sifa ni kwa BWANA

  • @chieferic3002
    @chieferic3002 2 ปีที่แล้ว +1

    Bless everybody whose still listening May the AllMighty GOD be with you.

  • @starringoclever6807
    @starringoclever6807 4 ปีที่แล้ว +6

    Gonga like hapa 2020

  • @eliudmkondo4290
    @eliudmkondo4290 4 ปีที่แล้ว +1

    Mke wako anajuta kuolewa na wewe , nitafakari ndugu.

  • @muendoful
    @muendoful 4 ปีที่แล้ว

    Biblia Husema Broadcasting courtesy of Pastor Pius Kimuyu brought me here. Barikiwa sana

  • @sephania4949
    @sephania4949 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabarki sana,hz nyimbo hazichuji

    • @elifasieliasi7689
      @elifasieliasi7689 3 ปีที่แล้ว

      Mubalikiwe yana nakumbuka mulikuja kibande enzi zile nilibakiwa sana

  • @AlexNtahali-yl1jz
    @AlexNtahali-yl1jz ปีที่แล้ว

    Kurudi nyuma kwawajinga

  • @johnmutuli7887
    @johnmutuli7887 5 หลายเดือนก่อน

    Old is gold

  • @dianarichardkiri1318
    @dianarichardkiri1318 2 ปีที่แล้ว

    Hii album inaitwaje mwenye kujua

  • @jannuary26
    @jannuary26 3 ปีที่แล้ว +1

    Blessed 🙏🏽❤️🙏🏽

  • @taifabitatira5099
    @taifabitatira5099 3 ปีที่แล้ว

    The best album bado tunaangalia 2021

  • @moradimziri8102
    @moradimziri8102 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabaliki sana kwa nyimbo zenu nzuri

  • @uwimanadorcas6828
    @uwimanadorcas6828 ปีที่แล้ว

    2023🥰🥰

  • @AlfaksaidiLema
    @AlfaksaidiLema 9 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe Sana watu wa Mungu naombeni namba ya Maenyekiti wenu asaneni.

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  9 หลายเดือนก่อน

      Namba ya Mwenyekiti wetu ni +255624405955

  • @faustinelutwe6901
    @faustinelutwe6901 4 ปีที่แล้ว

    Mmetubariki sana , na Mungu awabariki ~ bene wachu !

  • @josephndali9584
    @josephndali9584 4 ปีที่แล้ว +1

    Imenikumbusha 2001, Mungu awabariki sana

  • @niyonkuruissa9596
    @niyonkuruissa9596 3 ปีที่แล้ว

    Kasuru home miss u

  • @barakashibalenje7940
    @barakashibalenje7940 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki watu wa mungu

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana,. Hongera sana

  • @almasialfani2795
    @almasialfani2795 5 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana nanyimbo hizi..

  • @musatergech2656
    @musatergech2656 3 ปีที่แล้ว

    Memories of my good friends from bupango kigoma

  • @imanihoka666
    @imanihoka666 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe watumixh!!!

  • @angelamturi2207
    @angelamturi2207 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nisaidieni, hii kwaya ni Kanisa gani?

  • @nancyanzemo782
    @nancyanzemo782 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiweni sana

  • @zacharialazaro3100
    @zacharialazaro3100 5 ปีที่แล้ว

    Muda wote inanipa raha hata nikiwa mbali tv au cmu nikiikumbuka kichwani tu nafurah sana

    • @isayaluhazi4326
      @isayaluhazi4326 4 ปีที่แล้ว

      Ctep enzi hzo zilikuwa rahisiiii lkn cku hizi Mpk miguuu inapasuka kuruka na viduku km vyote 😂😂😂😂😂

    • @berithamathias3148
      @berithamathias3148 3 ปีที่แล้ว

      jaman.gospl.uongo.skituchema.ndungu.skia.inapatikana.wap

  • @yapemungujosaphati1654
    @yapemungujosaphati1654 5 ปีที่แล้ว +1

    Uimbaji wa injiri..

  • @gideonmkisi1817
    @gideonmkisi1817 5 ปีที่แล้ว

    Barikiweni kwa nyimbo hii inayogusa Moyo

  • @olevinamoses4211
    @olevinamoses4211 4 ปีที่แล้ว

    Jamani hii Album ya Mke Mwema Yote naweza kuipata wapi au Ninani anyeweza Kuwa Na Nyimbo zote tuwasiliane kwa gharama zozote niko tiali

  • @esperancetosha2875
    @esperancetosha2875 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @pozee332
    @pozee332 4 ปีที่แล้ว

    Eletricity