My favorite song since nikiwa sunday school ❤made me to join my youth choir at matongo ELCK in Nyamira Diocese (Kenya). Best wedding song ever 💪here again on 26/02/2024.
Unyama sana mwalimu aliupata wimbo kutoka kwa roho mtakatifu kama yupo aishi maisha marefu kama ni marehemu apumzike kwa amani,maana neema ilishuka kama umeme
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU mimi nabarikiwa ninaposikiliza na kutafakari wimbo huu, kweli napata kumuona mke wangu ni mpya siku zote. Leo tuna miaka 22 tuna amani kwelikweli,niwaombe nanyi muishi kwa kuutafakari wimbo huu.mbarikiwe.
Miaka 6 sasa na ujumbe unaendelea kutafsiri hali ya ndoa za sasa. Mungu awape neema ya kupata maono ya kuleta tunzi nyingi zaidi zenye nguvu kama hii kwaajili ya kuujenga Ufalme wake.💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Thanks for this song on marriage. God likes a peaceful marriage. God is in this choir. UNSOPHISTICATED CHOIR, NO MAKE-UP, NO FALSE HAIR, NO LIPSTICK, NO JEWELRY.( very natural).
Hu wimbo imefanya nifikirie sana kuhusu ndoa za amani. Tuombe ndoa sana kwa maana WATU SIYO WEMA HAWAPENDI NDOA ZIWE NA AMANI.(wakina Peres Aoko Odeyo).
😂😂😂Stop lying my friend have you ever listened to AIc Jericho,AIC mazerus,AIC bahati,Email town choir, Machakos to name a few?Not forgetting Ruthrand Kenyatta avenue?
Wimbo huu umenifurahisha sana nawapongeza sana wanachoir hawa from kigoma mimi ni murundi alakini huu mwimbo nisomo kwasiwote warundi nazingine inchi za Africa thanks
Dah! Nimekumbuka mbali sana. Hii ni kwaya ya nyumbani kabisa. Wazazi wangu walikua na cassette na tukiwa wadogo walikua wanaoicheza hii album kwenye deki ya DVD nyumbani tukiskiliza. Hakika mlee mtoto katika njia impasayo nae hatoiacha kamwe.
Sijui waliamia wapi awa waimbaji wa Kasuru Mjini Mda mrefu wamepotea walikuwa safi Sana KWA nyimbo na muonekano wao.Wakina Mama wakiwa na Natural Beauty Face zao.Hakuna Face feak au nywele Vyote Natural.Shukurani Sana Anza upya tunawaitaji ? i
It is 2022, and am here listening to this amazing song. I can imagine all the good old days when I was under 18. 😢😢😢 I honor GOD for the gift life 🙏🏻🙏🏻
Ni kweli kabisa nyimbo za toleo ni sahihi,lakini Nina sikitiko kuwa haya matoleo ya sasa yamebadilisha sura yamekuwa sawa na Dunia siyo ya kikristo Ningeomba wabadirishe warudi kwa msingi wa matoleo ya mwanzo. Asante Mch.Onesimo Mobile, AL USA
Kama bado unaikubali hii nyimbo 2024 gonga like twende sawa
💯💯💯
Hauchuji
🎉
😂🎉
Aaaa@@Mkemwemachoir
2024 Tunakula matunda ya wimbo mzur usioisha utamu, hakika wimbo huu ni ufunuo kutoka ktk mbingu
Who is still listen to this in 2024 ❤ 🥰
🙏🙏🙏
Tulio ipiga mwaka huu tujuane❤
Hahahaaa
2023 na bado niko humu❤ naipenda hii nyimbo tangu nikiwa na umri wa miaka 6 2007
Hii nyimbo itabaki kuwa nyimbo bora kwangu miaka yoteeee.
We ni mie kbs
2024 twende ❤
Step zao zinapendeza
Ni miaka mingi toka niuskie huu wimbo. 2024 nimerudi
Nasikiliza apa 2024,nkiwaza kuoa
Naupenda sana huu wimbo Mbarikiwe sana 2023,🇹🇿
Ubarikiwe mtu wa Mungu asante kwa kututia moyo niombe ushee link hii kwa wengine kisha subscribe uendelee kufurahia huduma yetu. 🎻🎻🎻🎤♥️
Wimbo mzuri
Wapendwa hiii nyimbo haijawahi kuchuja Mungu ambariki mtumzi kama unaikubari kweli gonga like.
Hii kwaya kama ipo, nashauri wafanye live recording.
Mungu awabariki
Hapo kabla shetani hajawakamata waimbaji, kwaya ilikuwa inaongozwa na roho mtakatifu,,, ❤
Wimbo safi Bwana wa mbinguni awabari, waibaji wa sikuhizi jifunzeni uvaaji na mtindo ya uchezaj kupitia kwaya hii
My favorite song since nikiwa sunday school ❤made me to join my youth choir at matongo ELCK in Nyamira Diocese (Kenya). Best wedding song ever 💪here again on 26/02/2024.
Hata stepu zao zimeokoka yaani zina upako yaani zinahubiri, sare zao ndo usiseme🤗Safi sana.
Mungu akubariki Kwa kutuongezea upako
@@Mkemwemachoir Amen!
Na ni nature bila mapambo wamejaa utukufu mungu
Itabaki tu nzuri🇨🇩 hii nyimbo
Wimbo mzuri saana. 2023 naendelea kubarikiwa 🤲🙏😘
Ni moja kati ya nyimbo zenye mvuto nnauangalia 2021 hongereni
Mungu ni mwema naendelea kuwabariki sana
2:56 Mmeimba vzr, mavazi ya kujisitiri adi raha! Ujumbe umefika vzr barikiweni Sana mwaka 2024❤❤❤❤
Itaendelea kuwa nyimbo Bora kwa miaka yote. Big up Sana
Mke ni mwili wako u Nani wewe wachukia mwili wako
My mom's favorite choir MUNGU awabariki Sana kasulu
Hii wimbo iko na mafunzo mengi sana, ikiwezekana ikue harusi zikifqnyika hapa Kenya
Waoo Asante kututia moyo
Ujumbe mzuri sana. Wangekuwa wanasikiliza wimbo huu akina mama wengi wangepona. Muda mwingi wanatumia kuangalia SINEMA ZETU.
Naamini hata akina Baba..
Mimi napatikana inchi Rwanda nayipendasana choir hiyi
Tunawapenda pia wanyarwanda tunatamani kuja kufanya Tamasha kubwa la nyimbo Rwanda. Mungu afungue njia amen
Hakika anajua kutunga wimbo
Asante ubarikiwe
Endelea kutusaidia kushea ujumbe huu
Dahh nimekumbuka mbali sana
Kati ya nyimbo ambazo sichoki kusikiliza ni wimbo huu naupenda sana mungu awape maarifa mengi kwa nyimbo nyingine nzuri
Whenever I listen to these old songs I usually become emotional, they are very sweet ❤
Kati ya nyimbo niliyoipenda nikiwa na umri mdogo Sana Ni hii nilikuwa naimba Sana mpk daah .......nyimbo Bora sana hii
Unyama sana mwalimu aliupata wimbo kutoka kwa roho mtakatifu kama yupo aishi maisha marefu kama ni marehemu apumzike kwa amani,maana neema ilishuka kama umeme
Waooo! Sawa mtu wa mtu
Mubarikiwe mumenikumbunsha ndoayangu niriorea 2005 rakinisasaivi nikomujane
Pole sana 😢
I really appreciate my parents for introducing us to these songs at a young age.
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU mimi nabarikiwa ninaposikiliza na kutafakari wimbo huu, kweli napata kumuona mke wangu ni mpya siku zote. Leo tuna miaka 22 tuna amani kwelikweli,niwaombe nanyi muishi kwa kuutafakari wimbo huu.mbarikiwe.
Ubarikiwe sana nakutakia maisha marefu zaid ya ndoa yenu
Wimbo huu ni kati ya nyimbo zilizo nifanya nitafakari sana kabla ya kuoa!! Asanteni sana wanakasulu!!
mngu awabaliki sana
Ubarikiwe sana mtumishi kuoa haihiraji kuamua bila kutafakaru ulifanya jambo jema sana
Its 2022 but am still listening to this fav song since I was little I love love love
Just like me
Hongereni sana kwa wimbo mzuri, umefanyika mahubiri mazuri kwangu leo, nimeusikia mara nyingi ila leo umesikika tofauti sana sana.
Asante sana na Mungu akubariki.
Miaka 6 sasa na ujumbe unaendelea kutafsiri hali ya ndoa za sasa. Mungu awape neema ya kupata maono ya kuleta tunzi nyingi zaidi zenye nguvu kama hii kwaajili ya kuujenga Ufalme wake.💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
nafurahi sana nikiwaona mama zangu ninaowafahamu akiwemo mama k mungu awabariki sana❤❤❤❤❤❤❤
Tulikuwa pamoja huko kigoma, I remember my friend Rashid, back 2003
Kama upo 2021 weka like yako ili twende sawaaa
Vemaaaa
Very Nice
@@paulndoshi6194I'll see ¹1½
Nyimbo za dini na bongo flever
Kijaji hapa shembe one umba
Nimebarikiwa sana tena sana 2023.
Mtunz wa wimb huu Mungu ambarik sana wimb unaujumbe hata waimbaji wako vizur mavaz yana wakilisha kbs Mungu awabariki mlipoo
hakika nyimbo zazamani ninzr sana
Thanks for this song on marriage. God likes a peaceful marriage. God is in this choir. UNSOPHISTICATED CHOIR, NO MAKE-UP, NO FALSE HAIR, NO LIPSTICK, NO JEWELRY.( very natural).
Hinyimbo nakupenda sana niwape hongela walio iimba mungu awatunze
Ubarikiwe mtu wa Mungu Asante kutufuatilia
Mungu nisaidiye unikutanishe na mume bora Ku pitiya wimbo uyu nimebarikiwa sana
Mpaka mwaka huu 2021, bado ni miongoni mwa nyimbo bora kuimbwa Tz
Nawaelewa sana watumi wamungu
Tuko pamoja nami nimoo
Mungu apewe sifa,abariki wa imbaji mungu nikumbuke kupitiya wimbo uyu
Hakika Wimbo huu unamafundisho makubwa kwa wanaume wenye NDOA, Ameni
2024 hapa ninaweza kuanza kufikilia kuoa, ila xaxa wanawake wa leo duuuh
Msiwe wa wachoyo like gonga like from kigoma
Kigoma,Masikani
Napenda kigoma saaana kasulu,Mtabila -Myvozi
Good
Naipenda Sana kwa kweli huu wimbo una nguvu ya Mungu ndani yake.
Yaani Hawa waimbaji ni kiboko, na ninaburudika zaidi kwa style Yao ya sauti ya tatu ya juu kuimbwa na wanawake.
""...Utii ni Bora sana kuliko sadaka zako,heshima wala si utumwa,e mama tii mumeo..."hicho ndicho kipengele kivunjacho ndoa nyingi kwa Sasa!.
KWELI KABISA
Hii nyimbo ni zaid ya nyimbo inaponga inaokoa inaleta aman na kuondoa migogoro ndani ya nyumba"" tabia unazozitaka kagua kama wewe unazo"" 🙏🙏🙏
Hu wimbo imefanya nifikirie sana kuhusu ndoa za amani. Tuombe ndoa sana kwa maana WATU SIYO WEMA HAWAPENDI NDOA ZIWE NA AMANI.(wakina Peres Aoko Odeyo).
Mungu awabariki....nikisikiliza huu wimbo nabarikiwa Sana na naongeza kumpenda Mke wangu.ni mwezi September 2022 nautazama tena
Nilikuwa nakosa wimbo huyu lakini Mungu asifiwe sana sababu nimepata namna ya kusikia wimbo huyu Tena.
"Mke mwema yu ndani yako, tabia unazotaka, kagua kama unazo" Ujumbe safi
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu Kwa kuyufuatilia
Mungu awazidishie mwaka huu wa 2023.
Hapo mlipiga penyewe kabisaaa !!
Roho mtakatifu awafunulie wimbo wa Mme mwema pia !
Wimbo mzuri ambao pia ni msingi wa tabia ya Wakristo wanandoa
Kiukweli wimbo Huu ni mpya Kila siku masikion mwangu, hakika unanibariki sana na Kuna kitu ninajifunza
Unakumbusha Baraka na Mungu ndio njia.Nahufurahia sana.
Yaaaah,jamani hongereni sn Wana wa Mungu,nimemkumbuka mbali sn nikiwa chuo Cha ELIMU kasulu 2005
Niliusikia huu wimbo mara ya kwanza nikiwa Kigoma more than 10 years ago. Good memories
Hawa ndowanamwimbia Mungu wa kweli hawajajiimbia wenyewe
Wimbo safi usiochuja,barikiwen wanakwaya
Kosa halitakaswi bali kitubio cha kweli ni uhuru wa nafsi zetu
Wimbo huu unamda mrefu lakn bado unabamba masikioni mavi yakale hayanuki💪💪💪
Mnaweza
Wimbo huu mlikujaga kuimba kanisani kwetu kigoma mjini kanisa la F.P.C.T mlole nilikuwa mtoto nilifurahi kuwa ona sana
Amen
You cant find such fantastic choir in my country KENYA.👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Tizama video ya mtoto wa MOSHI MNYIKA 👇🏻
th-cam.com/video/zUL-T1_bk50/w-d-xo.html
Emali town choir did a great job
😂😂😂Stop lying my friend have you ever listened to AIc Jericho,AIC mazerus,AIC bahati,Email town choir, Machakos to name a few?Not forgetting Ruthrand Kenyatta avenue?
Wimbo huu umenifurahisha sana nawapongeza sana wanachoir hawa from kigoma mimi ni murundi alakini huu mwimbo nisomo kwasiwote warundi nazingine inchi za Africa thanks
Wow😊😊 many years still feeling blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii ndio ilikuwa mavazi ya wake kabla shetani atembelee wadada na latest fashion
Mnatubark kwa Utukufu wa Mungu Baba❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Hapo vzul San ,nakumbuk waki nilikua kambin nduta kibondo
Mke mwema ni nani atakayemuona naupenda sana huu wimbo
Mungu awabaliki kwa kumsifu mungu
M ubarikiwe
Dah! Nimekumbuka mbali sana. Hii ni kwaya ya nyumbani kabisa. Wazazi wangu walikua na cassette na tukiwa wadogo walikua wanaoicheza hii album kwenye deki ya DVD nyumbani tukiskiliza. Hakika mlee mtoto katika njia impasayo nae hatoiacha kamwe.
when gospel was gospel,,,nice song
Mubarikiwe sana waimbaji,munanibariki sana
Naiman mpka kizaz cha kumi huu utbaki kuwa wimbo bora ...with a strong message
Nakupenda sana Mama watoto wangu ❤
Waah, I used to listen to this song in the year 2006 on radio sayari with My favorite presenter BEATRICE NYARINDA.
Sijui waliamia wapi awa waimbaji wa Kasuru Mjini
Mda mrefu wamepotea walikuwa safi Sana KWA nyimbo na muonekano wao.Wakina Mama wakiwa na Natural Beauty Face zao.Hakuna Face feak au nywele Vyote Natural.Shukurani Sana
Anza upya tunawaitaji ?
i
Ujumbe unaishi❤❤❤❤
Mbarikiwe,unanikumbusha miaka 2008 wkt natafuta mke mwema,nikampata 2009 na kumuoa 2010
Hahahahahaha
Jamn wmbo mzur et mbarikiwe waimbaji
❤nyimbo nzur haizeki
Hu wimbo siuchoki kwa kweli mungu awabariki kigoma tumebarikiwa kwa uimbaji toka kwa bwana
Sisi tupo mwaka 2024
Congratulations 🎉🎉🎉
Thank you
It is 2022, and am here listening to this amazing song. I can imagine all the good old days when I was under 18. 😢😢😢 I honor GOD for the gift life 🙏🏻🙏🏻
Same here
Same here
yes amen barikiwa sana
❤❤❤❤❤ naielewa
Ni kweli kabisa nyimbo za toleo ni sahihi,lakini Nina sikitiko kuwa haya matoleo ya sasa yamebadilisha sura yamekuwa sawa na Dunia siyo ya kikristo
Ningeomba wabadirishe warudi kwa msingi wa matoleo ya mwanzo.
Asante
Mch.Onesimo Mobile, AL USA
Matoleo ya sasa ni ya .
.biashara , tupate pesa Maisha yaende.
.na sio wote Walio okoka
I love it...2024 ndani tena
Ubarikiwe tunawapenda pia Mkemwema choir
Muke mwema anatoka kwa Mungu.
Nyimbo yenu inanifurahisha teena naipenda sana
A big message about wisdom ❤
Napenda sana nyimbo zenu...zina ujumbe sana...
Jamani hii choir popote mlipo mzidi kubarikiwa, tangu kitambo huwa nawaelewa sana wimbo hauchoshi 👍
Mbarikiwe wapendwa
Ujumbe unaishi huu... Mbarikiwe sanaaaa
Naupenda sana huu wimbo kwan ndani yake una ujumbe madhubuti,
Nabarikiwa sana
Kutii ni bora kuliko sadaka yako ewe mke mwema
Mubarikiwe n'a BWANA