Ramadhan2021: Kwa nini tende ni muhimu kwa mtu aliyefunga saumu ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Katika mwezi huu wa Ramadhan, moja ya vyakula vinavyoliwa kwa wingi zaidi ni tende.
    Kwa nini tende ndiyo hutumiwa kufungua saumu?
    Tumezungumza na Daktari Mwimbe Juma kutoka Tanzania ili kufahamu umuhimu wa tende kwa afya ya binadamu.
    #Ramadhan2021
    #Tende
    #Afyayako

ความคิดเห็น • 5