Mungu unayemtumikia Ni mungu wa ishara,maajabu ,miujiza siku unasemaga tukikuelewa tutaeleweka nasi tunakuelewa tunaelewek tunaamini tumekuja sehemu sahh ktk maisha yeti mungu akupe nguvu na afya njema zaidi ARISE and SHINE usiogope Amini tu Hizo Ni nondo za ApostleBBMwamposs
Utabarikiwa Zaid ukishawishi na wenzako wafahamu na kumjua mtume Boniface mwamposa , Kisha waendelee kutazama na kuwajua Mitume wengine Kwa kusubscribe channel hii🙏 SAN TZ MEDIA inakutakia Maisha Mema
Mungu pekee ndo anaejua ni Nani mzambi wake 😢 rafk yangu usihukumu na kumtangaza vibaya agali huna uhakika kama ni kwer unacho sema bas mwachie mungu yeye ndo anaejua haki Kwa mja wake
Kila kazi itapimwa na ujira utalipwa hakuna kitakachofichika Yesu akamwambia yule kijana uzima WA Mtu hauko ktk vitu. Watu wengi Leo wanasahau kuwa Mbinguni hatutaingia na chochote mkononi Bali ni Kwa utakatifu Kila mmoja atapokea kama alivyofanya.
Mungu akupe maisha marefu baba usizeeke kamwe ubak kuwa kijana milele🙏🙏🙏 tunakupenda sanaaa babaa
Mungu unayemtumikia Ni mungu wa ishara,maajabu ,miujiza siku unasemaga tukikuelewa tutaeleweka nasi tunakuelewa tunaelewek tunaamini tumekuja sehemu sahh ktk maisha yeti mungu akupe nguvu na afya njema zaidi ARISE and SHINE usiogope Amini tu Hizo Ni nondo za ApostleBBMwamposs
ameena
Mwamposa ni mwema sanaaaaaaaaaaaaa mungu akuweke baba
àmeen tuzidi kumuombea memà na miaka mingi mtume wetu
Namkubali sana anko wangu mwamposa mungu mlinde mtumishi wako aendelee kusadia familia zawatu mwepushe nawatu wabaya wanaotk kumzulu mtumishi wetu
ameena na azidi kumficha kwenye nyuso za wanajimu asionekane
Mwamposa ni mwema sana namwelewa nami ntaeleweka daima in name Jesus Amen
Mungu akuinue na zaid ukasaidie watu dinia nzima na uwe mfanyabiashara wa dunia nzuma
Nakupenda sana mtumishi wa mungu tusaidie tulio lemewa na mzigoo mungu akupe maisha mareefuu sana
Apostle Mwamposa is the great true and genuine servant of God
Mungu akutunze baba uishi maisha marefu naamini nimefunguliwa❤
Mungu akubarik uzd kutuombea wahitaj ma mahitaj mbalimbali ajira, ndoa nzuri
Mungu akupe maisha marefu uendelee kusaidia wengi.❤
Mtumishi wa mungu mwposa naitwa Killian naomba uniombee sana na MUNGU akubariki
Amina tunamshukuru Mungu aliekuumba mtumishi Neema yake Mungu isikupungukie
Endelea kusambaza video hii kwa wale wasioiona wabarikiwe zaidi
Acha mungu azidi kumbariki mwamposa hakika mungu anamtumia kikamilifu sana
Mungu akulinde unatufundisha kumjua Mungu zaidi ya miujiza nami napokea uponyajii mtumishi wa Mungu.
Ubarikiwe baba ang mwenyzimung akupe maish maref uzid kutufungua wanao ameeeen..
Amina sana mtumishi mwamposa nakupenda sana mtumishi wa mungu
Mtume mungu azidi kukupa neno lako hvyo miaka miambili uzidi kutufungua sisi wanao
Ameena na mm ninaimani nitafunguliwa na kupata nyumba na kazi na gar na watoto kwakuwa Kwa mungu inawezekana ubarikiwe
Utabarikiwa Zaid ukishawishi na wenzako wafahamu na kumjua mtume Boniface mwamposa , Kisha waendelee kutazama na kuwajua Mitume wengine Kwa kusubscribe channel hii🙏 SAN TZ MEDIA inakutakia Maisha Mema
Hata bwana Yesu alitukanwa tufundishe mtumishi wa Mungu.hawajui wasemalo wapotezee
Mungu akurinde na wabaya wote uwendereye kusaidiya watu kupitia kazi ya mungu
KW upako WA dodoma naaminikuwa nitakuwa tajiri ghafla, mungu akupe maisha marefu
Mwamposa mungu Ampe maisha marefu azidi kuwafungua watu
Mkuu Mungu wa mbinguni aendelea kukuinua viwango vya juu Dunia
Mwenye mungu akutuze ili uendelee kufungua wangu ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa wewe nimtushi wa mungu uriye itwa kuwafunguwa waliyo fungu ❤
Napokea upako Kwa jina la yesu na kufunguliwa mahusiano yangu Ameen
🙏nakuomba mugu uweze kumfungua mdogo wangu
Mungu aendelee kukupa nguvu mtumishi kwa maono noliyo yapata kwa maji na mafuta
Na wewe pia
mungu aendelee kukupa nguvu naomba nipokee upo uponyaji kwa jina layesu
Nakuamini sana weww baba tena sana naomba unisaidie kupiti mazabau unayo ihabudu
Mungu akutie nguvu uendelee kutuombea mungu akubariki
The most powerful man of God,Mungu akuwekee mtumishi wa Mungu
Usisahau ku Subscribe ili kuwajua watumishi wa mungu zaid
Mungu akupe maisha malefu mtume
mungu akuzidishie maono uwezekutu saidia zaidi nazaidi
Mungu anifungue katika vifungo vyote
Kwa upako uliouacha Tabora sasa mvua zinanyesha ubarikiwe mtume Tabora neema imetawala Ameeen
Ubarikiwe sana
Kumbe yeye ndo analet mvua
Ee mwenzi mungu naomb unibark mim n maish yngu
Huyu ni balaa maombi 12 yamejibiwa 3 ndani ya wiki moja ni neema
@@halifaalliy6332 mmh!
Nimebalikiwa Sana namaombi ya mtumishi huyu Mungu akubaliki baba
🙏🙏🙏
Mungu amlinde Aishi miaka elf moja
Nakupenda babangu mwamposa
😭😭😭😭 Baba naomba unisaidi
Mungu naomba nizidiwe na wateja kwenye biashara yangu naomba mume sahihi nipate na watoto
Mambo veep unaishi wap
Mungu aendelee kukuweka kwa Ajili yetu
Mungu akueke sana baba
Mungu akubaliki mchungaji
Ubarikiwe baba mngu akupe Manisha marefu
Mungu asidi kukupa maona mapya kila kiitwako leo
Mungu azidi kukutumia baba, uishi miaka mingi ya kuwaombea watanzania
Mungu akupe miaka mingi ya kuishi umenisaidia sana saiv natamba kwa muujiza wa mungu
🙏🙏
Hyu ni Baba wa kiroho sahihi,Mungu azidi kumpaka mafuta mabichi
Ubarikiwe mtumishi
Ujui historia ya mtumishi huyu mwehu wewe.
Mtumish wamung mm nataka unisaidie
Mungu amlinde
Mutume..niombee..
Nibarikiwe
Bravo BABA! KAZI IENDEELEEEEE
Good
❤❤❤❤❤ubarikiwe sanaaaa baba
Mungu akutunze Baba.
Baba naomba uniombee nipate kumiliki Mali na kila nikifungua biashara hazifiki popote zinakufa mungu azidi kukuweweka
amina baba kiuchumi nipo vizuri ila pesa zangu hazitulii navunja kila chjma ulete
Ongela sana
Kweli kabisa mungu aendelee kumutiya nguvu mtumishi wake🙏🙏
Amina Ila Endelea kuufuatilia SAN TZ MEDIA Subscribe mapema
Ameen na mm napokea miujiza Kwa jina la yesu ameen
Naomb mungu mume wangu aache kunywa pombe
Mungu naomba ufungue njia kwa ajili ya masomo ya wini kia kikwszo kiondoke nandoa yake iwe ya upedo na amani naoba uponyaji waegy,focus na mimi
Ubarikiwe baba
Bwana yes asifiwe, naitw Aisha kutok kigambn naomb uniombee nipate watto
Mungu akutunze mtumishi
Glory to God, and God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera yakoooo
MUNGU ambariki mno mtumishi wetu nimejifunza mengi Sana kutoka kwake hasa kiroho Asante Sana babaa🙏
Pia usiache kuifuatilia SAN TZ MEDIA
Mungu azidi kumwinua babayetu
Huyu SI mtumishi wa Mungu
Barikiwa Mtumishi
Mungu 😭😭😭😭 akunde sana
Haumjui mwamposa unasimulia Mambo ya juzi tu
Mtume was bwana ninaombi langu naomba mungu anitendee
MUNGU akulinde
Mungu akuinue Zaid mtume
Ubarikiwe MUTUMISHI WAMUNGU nabarikiwa sanaa AMEEEEEEEEEEEE🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana na ww
Siyo kweli mm historia yake naifahamu vizuri
Ahsante kwa kuifahamu vizuri "Tupe madini nasisi Tujifunze kupitia wewe . Ahsante
Ubarikiwe kwa ufafanuzimzuri
Mungu amzidishie na kumbariki
💓
Please pray to us ee servant of God!!!
Mungu akusimamie uishi miaka mingi Ameen 🙏🏼
Ameen
Shalom naomba Mtumishi uniombee mungu amponye mume wangu kidonda
Napokea dabo
Mungu azidi kumpa mahono ya kufunguwa watu na kumbariki
Today umeniombea kazi nimepata nakushukulu
Mimi ni mtumishi mwalimu lakini mchungaji mapato yangu hayaonekani hata kidogo naomba msaada wako mchungaji nimependa Sana mafundisho Yako.asanteni
Nazidi kuona mafundisho Yako muheshimiwa mtumishi was Mungu
Ee mungu nipe hekima niyajue mapenzi yak amin
Milele Amina uzidi kubarikiwa
Mungu pekee ndo anaejua ni Nani mzambi wake 😢 rafk yangu usihukumu na kumtangaza vibaya agali huna uhakika kama ni kwer unacho sema bas mwachie mungu yeye ndo anaejua haki Kwa mja wake
🤝
Hakika
Haachane na uongo awaache watu wamuue mungu wa kweli katuzalilisha watu wambeya tunampenda mungu yeye sijyi niwawapi na nguvu zake za hiza
😂👊👊
Kwan umelazimisha kumuamini nguvu za giza ulimpa ww acheni ushwahili amini unachoamin acha sisi tupokee upako Dabo dabo
Amina mtumishi
Naomba mazabau ya mwamposa yanisaidie kupita mafuta na maji mana mm napitia shida sana Tena sana
Familia yangu inateseka sana Tena kunamambo ya natusumbua naomba mwamposa unisaidie mungu akubaliki
Mtume niombe mke wangu haondolewe roho za utasa na amini mtu mke wangu hatabeba mimba ya watoto mapacha wanaofanana na mm🤚🤚
Kila kazi itapimwa na ujira utalipwa hakuna kitakachofichika Yesu akamwambia yule kijana uzima WA Mtu hauko ktk vitu. Watu wengi Leo wanasahau kuwa Mbinguni hatutaingia na chochote mkononi Bali ni Kwa utakatifu Kila mmoja atapokea kama alivyofanya.
Naitwa salma naomba niombee nipate mimba mumgu akubariki
Ubarikiwe baba yetu
Sawa sawa
Bwana yesu asifiwe mtume
Siwezi kuamini hata kidogo😢😢😢😢😢😢😢 amewatapeli watu wengi😢😢😢😢😢
Mmmh wewe alikutapeli 😂mbona ss twaenda na hatujatapeliwa
Mshamba2 wewe nyie ndo wachawi
@@StelaDaniel-b6o endelea kukanyaga mafuta tu
Mwamposa au Nan wew utakua mgonjwa wa akili
Mungu akupe miak ming bab