ACHANA na Urais Miaka 9 Utakuwa Umezeeka, Hata Mimi Niliutaka Sasa Hivi Sitaki Tena samia anatosha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 ปีที่แล้ว +5

    Nchi haiwezi mafisadi majamba wanakusifia lakini watanzania Awakutaki

  • @mbogomgoma4886
    @mbogomgoma4886 2 ปีที่แล้ว

    Mzee wangu umeongea vizuri sana boss wangu wa zamani

  • @ukwelimchungu183
    @ukwelimchungu183 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wasira uko sawa

  • @zachariamalley7076
    @zachariamalley7076 2 ปีที่แล้ว

    Yeye amekuwa waziri mama ndo anazaliwa. Lkn mpaka wajukuu wamemndoa kwa nguvu bado alienda mahakamani. Mama mpaka 2030 💪💪💪🤝

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo mtu ajiongeze mwenyewe 🤔🤔🥺🙆 hayo ndiyo majibu

  • @petermponzi411
    @petermponzi411 2 ปีที่แล้ว

    Mzee unashemsha . Akuna anayekuhunga mkono

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee alikuwa mbunge huko Bunda miaka nenda rudi ila Bunda haikuwahi kuwa Na maji safi.

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Mh Rais umeikumbuka Mara kwa namna ya pekee. Weka wasimamizi wazuri ktk miradi ili azma yako itimie.

  • @pauloanthony9876
    @pauloanthony9876 2 ปีที่แล้ว

    Dah mnasifia sana

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji Hospital ya rufaa ya Kanda ya kaskazin

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 2 ปีที่แล้ว

    Mzee umeongea kweli

  • @hamisfreshy6631
    @hamisfreshy6631 2 ปีที่แล้ว

    Achana na urais kweli aliyoyafanya JPM we umeyafanya TZ tunauchung

  • @barackhussein312
    @barackhussein312 2 ปีที่แล้ว

    Jambo la Mamaaaaa, Jambo letuuuuuuuuu

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Alipoooo, tupoooooooooo!

  • @mngwaliallykizangwa5888
    @mngwaliallykizangwa5888 2 ปีที่แล้ว

    Hawa ndiyo hazina ya nchi,heko wasira.

  • @ramadhanmgaya1984
    @ramadhanmgaya1984 2 ปีที่แล้ว +1

    2025 Samia apumzike. Mitano makamu na mitano urais tosha kabisa.

  • @mdmachungu7424
    @mdmachungu7424 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli alisema wengine wakifika Hilo wanasahau walikotoka hivi walifuzu mtihani wa JPM wakulinda na kusimamia sijui maamuzi yako mikononi mwa wananchi

  • @denicemathias6879
    @denicemathias6879 2 ปีที่แล้ว

    Haumjuwi chenye una sema hatuwesi kuongo swa na mwanamke

  • @bictonykeraryo3900
    @bictonykeraryo3900 2 ปีที่แล้ว

    Wasira, wasira, wasira, hongeleni kwa kumkumbusha hilo, maana alikuwa amelisahau kidogo, kwamba sasa hivi ana miaka 65 + 9 = 74, rais yupi wa tanzania aliyestafu akiwa na miaka 74?. Kwa kuwa ni mama, atakuwa anabebwa kwenye kiti kile cha ufalme wa kijerumani!!.

    • @zachariamalley7076
      @zachariamalley7076 2 ปีที่แล้ว

      Tarakimu siyo sahihi na nia potoshi. Mama umri wake 61 amezaliwa 1960. Yuko ndani ya 62. Katiba ya Tanzania Haina zuio la umri wa juu kuwa Rais. Wasira hajielewi tu, ana ghubu, alikuwa na umri gani mwaka 2015? Mbona alikuwa anawania kipindi hicho? Kesi na Bulaya kwa nafasi ya ubunge ilikuwa ya nini? Yule ni mjukuuu wake. Miyo mibaya huwa na akili mbaya na kutoaa kauli tata.

  • @erastofrancis4231
    @erastofrancis4231 2 ปีที่แล้ว

    waziri wa enzi za mwalim

  • @mako331
    @mako331 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio watu walikaa madarakani miaka nenda rudi lakini hamna kitu hata kimoja kama Taifa tunaweza kusema tutamkumbuka kwalo

  • @winniemartin7647
    @winniemartin7647 2 ปีที่แล้ว

    Hey,,,!! Yamekua hayo?

    • @samwelemuniezi7524
      @samwelemuniezi7524 2 ปีที่แล้ว

      Hawa wazee hawana lolote mama fanya Kazi bado raisi wetu tunakutegemea kwa mengi

    • @samwelemuniezi7524
      @samwelemuniezi7524 2 ปีที่แล้ว

      Hawa kufanya lolote kwenye Uongoz wao walishibisha matumbi yao tu

  • @charlessjackson4559
    @charlessjackson4559 2 ปีที่แล้ว

    Wasira kasema ukweli wa mungu harisi na ndivyo mioyo ya watanzania wengi, wanavyowaza kuwa aachie mwingine

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 2 ปีที่แล้ว

    Wasira ndio watu waliorudisha maendeleo nyuma.rais kawachana live