Masanja Mkandamizaji - TULIATULIA (Official music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 เม.ย. 2020
  • Masanja Mkandamizaji - TULIATULIA (Official music Video)
  • เพลง

ความคิดเห็น • 979

  • @Feelfreechurch
    @Feelfreechurch  4 ปีที่แล้ว +460

    ASANTENI SANA KWA KUANGALIA VIDEO USISAHAU KU SUBSCRIBE KAMA BADO MWANAWANE🙏🏾

    • @zawadimgonde7331
      @zawadimgonde7331 4 ปีที่แล้ว +2

      Good

    • @wilbrodwemaonlinetv8379
      @wilbrodwemaonlinetv8379 4 ปีที่แล้ว +3

      Hapo ndipo Moyo wanguu.... UNATULIA TULIA

    • @dicksonsheja251
      @dicksonsheja251 4 ปีที่แล้ว +2

      Mwanawane

    • @geofreypaul4760
      @geofreypaul4760 4 ปีที่แล้ว

      Masanja nakupenda Sana damu yangu

    • @rhinakiza
      @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว +1

      Lakini kwa nini akuniita jameni na mimi nije kuemba kweli ninge kuja kutoka hapa America my favorite song💃💃💃💃

  • @hainesschaula7961
    @hainesschaula7961 4 ปีที่แล้ว +13

    Natulia kwa Bwana, hakika pastor wangu uzidi kubarikiwa,wewe ndo uliniongoza sala ya Toba Mito ya baraka kwa mara ya kwanza naingia mahali pale.Mungu azidi Kukuinua zaidi na zaidi

  • @emmanuelkayanda8014
    @emmanuelkayanda8014 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi barikiwa Sana nakuomba tukumbukeni na sisi ambao hatujatoboa mwishowe tumeamua kwenda machimbon kuzika kipaji Kama mungu amekuinua nikumbuke na Mimi Kaka nimuimbaji na mwanamziki lakini sjafanikiwa nikumbuke

  • @emmanuelkayanda8014
    @emmanuelkayanda8014 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekufatilia tangu ukiwa mchekeshaji kipindi Cha chaner5 Kaka mungu amekuinua nikumbuke walau namimi someone yako

  • @isayasanga4357
    @isayasanga4357 4 ปีที่แล้ว +15

    Ninavyo mkubali huyu baba lazim niwe wa kwanza kuitazama maana am no 1 fan of my pastor mkandamizaji

  • @felistermbua4703
    @felistermbua4703 4 ปีที่แล้ว +16

    Moyo wangu tulia kwa YESU!!! Ila hivyo viatu sasa

  • @isackibrahimtz
    @isackibrahimtz 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana kaka angu nitakusapot kwa kucheza ubarikiwe sana kaka

  • @mhandoonthebeats500
    @mhandoonthebeats500 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah wee bro mbona nabarikiwa sana huu wimbo yani vile naimbaga naona Uwepo wa Mungu

    • @amirimagongo420
      @amirimagongo420 3 ปีที่แล้ว

      Daaah tulichezaa show hu wimbooo big up

  • @msafitv8663
    @msafitv8663 4 ปีที่แล้ว +15

    Mjungaji anayekwenda na wakati GOD be with you all the time,We ni mfono kwa vijana wengi.Tanzania tupo proud na ww💪💪💪💪

  • @ozanee1739
    @ozanee1739 4 ปีที่แล้ว +173

    Izi ndio nyimbo zakuomba Like sasa nipeni like katika bwana 🙏🙏

    • @hassanmsellem5302
      @hassanmsellem5302 4 ปีที่แล้ว

      Nyimbo yoyote ni kazi ya shetani tu, ktk Uislamu manyimbo yote hayafai Mungu anaabudiwa kwakuswali, kusoma Qur'an na ibada zingine sio kucheza sebene

    • @ozanee1739
      @ozanee1739 4 ปีที่แล้ว +2

      Hassan Msellem kaswida ni nini acha ujinga wewe

    • @hassanmsellem5302
      @hassanmsellem5302 4 ปีที่แล้ว

      @@ozanee1739 hhhhhhhhh, we Yessu hebu sikia Kaswida ni sawa na bongo flavors na gospel haina mnasaba wowote na uislamu hakuna andiko ktk Qur'an linalozungumzia kaswida kama ni ibada, tulia ww usifatilie imani za watu juu soma sana Yessu ww

    • @ozanee1739
      @ozanee1739 4 ปีที่แล้ว +2

      Hassan Msellem daudi akacheza na kuimba mbele za bwana kwa nguvu zake zote ama mpaka nikuambie mstarii

    • @gauedwin1960
      @gauedwin1960 4 ปีที่แล้ว +2

      @@ozanee1739 umemjibu swadakta Sana boy,Yani kama kuna KAZI tutaenda kufanya mbinguni no kuimba kuimba kuimba×1000000000
      Hamna kusoma bibili Kwa mshua au eti sijui quaran..Kwa taarifa ya kama hwa kina Hassan na wengine kuma huimbi Hamna nafasi yako Kwa mshua juu unaenda kufanya😳

  • @asiatirukaizire3067
    @asiatirukaizire3067 2 ปีที่แล้ว +1

    Kawimbo kazuri Sana mwanawane Mungu akupe maono mapya

  • @cathbertcyprian419
    @cathbertcyprian419 3 ปีที่แล้ว +2

    barikiwa kwa nyimbo nzuri.Mungu akubariki kwa nyimbo nzuri.

  • @tymanwalker7670
    @tymanwalker7670 4 ปีที่แล้ว +95

    Yesu ndio tulizo la moyob
    Like👍👍👍👍 kama unakubali

    • @hassanmsellem5302
      @hassanmsellem5302 4 ปีที่แล้ว

      Allah ndio tulizo la moyo sio Yessu atabaki kuwa Nabii tu kama manabii wengine

    • @phmmkimbizi9898
      @phmmkimbizi9898 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanmsellem5302 we ndugu nna wasiwasi na wewe, ni afadhali usicomment kuliko kuandika vitu tofaut.

    • @phmmkimbizi9898
      @phmmkimbizi9898 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanmsellem5302 haipendezi hiyo

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 4 ปีที่แล้ว

      Hassan Msellem ...... KO UNAPENDA DUNIA NZIMA TUWE DINI YAKO.... PAMBANA HUENDA UKAWEZA 🤣🤣🤣🤣

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanmsellem5302 allah tena anahusikaje apa

  • @upendonnko1516
    @upendonnko1516 4 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo nyimbo huko mwishoni imenifurahisha sana

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 4 ปีที่แล้ว

    Kweli video nzuri imetoka vizur na ujumbe ni mzuri mno. Nadhani umebariki kila mmoja aliyetazama na mwenye mapenzi mema na Bwana YESU

  • @smprotz
    @smprotz 24 วันที่ผ่านมา

    Masanja kipaji chake ni kama chakula, ukimkataa Leo utamkubali Kesho. Mungu akuweke Bishop

  • @AlexJoseck
    @AlexJoseck 4 ปีที่แล้ว +38

    BuraAAAZAAAAAAAAAAA YAANI WEWE UKO TALENTEDI SAAANA KILA UTOACHO KINABARIKI YAANI VERY CREATIVE IDEAS SI MUCHEEEZOOOOO

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 ปีที่แล้ว +3

      Alex Joseck Asante sana kaka mkubwaaaa

    • @piusaugustino9270
      @piusaugustino9270 4 ปีที่แล้ว

      @@Feelfreechurch kaka upo vizuri japo mm co muimbaji Ila natamn San kutumia kwa uyu yesu lkn cjui nn tatizo nashidwa

    • @sabrinabruno3481
      @sabrinabruno3481 4 ปีที่แล้ว

      /??@@Feelfreechurch

    • @sabrinabruno3481
      @sabrinabruno3481 4 ปีที่แล้ว

      @@Feelfreechurch
      /
      /

  • @gazukojunior7725
    @gazukojunior7725 4 ปีที่แล้ว +21

    Balaaaaaa jipya mjini 🔥🔥🔥🔥 songi langu Forever

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 3 ปีที่แล้ว

    FUNGA vizuri kanga hii ninyimbo ya injili...NAULIVO NYOA NA MAVAZI HAYO SIO NYIMBO YA INJILI

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ปีที่แล้ว +1

    Waooo masanja upo juu kama rokert

  • @kubaalbertmwaya1361
    @kubaalbertmwaya1361 4 ปีที่แล้ว +18

    Ooooh how I waited this song itoke... Ilikua 2019 moshi Chuo mwaka wa Tatu. Niliiskia hii nyimbo katika youth festival. Hii nyimbo ilinibariki sana . Ilinivusha kipind Nimeachwa na my gal . Sikutegemea kama ningesahau ila nikamwambia yesu moyo wangu utulie kwako na ukatulia kwa bwana. Now I am happy and greatful.

  • @pastoreliamsika9355
    @pastoreliamsika9355 4 ปีที่แล้ว +13

    This is my song aisee
    Wimbo ninao ila wakumlingia Yesu😂
    #Jesus to the world

  • @silasmanyenze7691
    @silasmanyenze7691 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaahahahahahahahahahaah Ubarikiwe Sana Brother Nimecheka Sana Leo Afadhali Mwanya umwimbie Yesu

  • @emanuelloiruk3114
    @emanuelloiruk3114 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki Sana massanja kweli tulia🤩🤩🤩

  • @danielmlanda2546
    @danielmlanda2546 4 ปีที่แล้ว +14

    Kama kawaida na skuna zako Masanja....
    Kichupa cha mwakaaaa

    • @platoxmumbay8945
      @platoxmumbay8945 4 ปีที่แล้ว

      Bonyeza uone 💥👇
      th-cam.com/video/sy3A__Ywd4M/w-d-xo.html

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana wimbo nzuri sana😘❤

  • @monicaregina7792
    @monicaregina7792 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli utumishi uko ndani yako mhacha vangu.

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 ปีที่แล้ว

    Hatakama sio muuni wa dini hii ila ww na mwaitege aisee hua nyimbo zenu nazilubali kwa makuzi ndo njia bora sana inamfanya mtu apende kitu vile nyimbo imeaza nimejikuta nairudia tenaa good sana masanja mfalume

  • @elishakhamis9471
    @elishakhamis9471 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama umemkubali mzee matayo weka like hapa👉👉

  • @costansiambuni7315
    @costansiambuni7315 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo umenibariki sana hakika napaswa kutulia kwa yesu

  • @mandarrr663
    @mandarrr663 4 ปีที่แล้ว +1

    umetisha mtumish ama kweli we ni fundi mwanawane

  • @theorangeentertainment1779
    @theorangeentertainment1779 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi wa Mungu
    Bwana Yesu Asifiwe Mimi Ni Shabiki Yako Mkubwa Na Wimbo Huu Naupenda Sana.
    Naomba Kuufanyia Cover.

  • @DMENDTVmusicMovie1
    @DMENDTVmusicMovie1 4 ปีที่แล้ว +3

    hiii nyimbo Ni nzuri Sana pia Masanja anaonyesha kua na KIPAJI kikubwa Cha aina yake . Humo ndani aniacha na furaha, anacheza VIZURI mno. This is really ministry

  • @nyandwifidele8528
    @nyandwifidele8528 4 ปีที่แล้ว +28

    Nakuona mzee wa kiulizo jinsi unavyoikaribisha pasaka kwa song la Aina yake.. Kwa kweli Hongera sana kwa wimbo Mzuri, video nzuri, content nzuri... Yani wewe ni zaidi ya mwimbaji.. Yani unaleta Raha mpaka umepitiliza..

    • @platoxmumbay8945
      @platoxmumbay8945 4 ปีที่แล้ว

      Bonyeza uone 💥👇
      th-cam.com/video/sy3A__Ywd4M/w-d-xo.html

  • @furahamakunga5347
    @furahamakunga5347 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka hongera kwa huduma barikiwa sana songa mbele

  • @petrohaonga4353
    @petrohaonga4353 4 ปีที่แล้ว

    iko poa sanaa lazima tutulie hasa nahii corona tunatulia kwa Yesu

  • @evancyarburton4243
    @evancyarburton4243 4 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo nzuriii sanaaa yaan very creative 🔥

  • @egberthermandus6508
    @egberthermandus6508 4 ปีที่แล้ว +12

    HUYU NDO EMMANUEL aka MASANJA MUNGU AKUINUE MTUMISHI MUHA NAKUOMBEA KWA MUNGU🙏🏽🙏🏽🙏🏽💪🏾💪🏾💪🏾

  • @kahoribonga9280
    @kahoribonga9280 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana
    Utuletee niseme nini bwana

  • @marjoriehebron2624
    @marjoriehebron2624 4 ปีที่แล้ว

    Pastor uko very creative and talented🙌🙌vile tunapata injili na huku tunaburudika kwa kucheka😀weee moyo wangu tulia kwa Yesu.

  • @clintonmfugale2064
    @clintonmfugale2064 4 ปีที่แล้ว +3

    nyimbo nzuri sana KWELI MOYO TULIA KWA YESU

  • @isayasanga4357
    @isayasanga4357 4 ปีที่แล้ว +71

    Jaman nisiwachoshe na mm msinichoshe nyimbo imeisha

  • @trinitynorberth5068
    @trinitynorberth5068 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana brother weng uwa wanajua utan kumbe sisi tupo serious ktk jina la yesu na hatuamiami tumetulia kwa yesu kristo wa Nazareth amen

  • @davidjulius3594
    @davidjulius3594 4 ปีที่แล้ว

    Unajua brother Ema,wewe huna tofauti na akina mzee Abiudi,Mwasumbwi,Munishi ila tuu wewe unajaribu kutufikia wengi.
    Be blessed kaka kikubwa anzisha program ya kushirikisha wengi namna ya kufikia mafanikio uliyo nayo.

  • @davidmbaima656
    @davidmbaima656 4 ปีที่แล้ว +9

    Hongera Emmanuel, acha watu wasifu wapenzi na watawala wa dunia inayopita. Sisi tumsifu MFALME WA WA WAFALME YESU.

    • @fardeennasser2963
      @fardeennasser2963 4 ปีที่แล้ว

      Someni maandiko vizuri. Huyo Yesu ni Mwanadamu, Nabii, mtumishi wa Mungu. Hajawahi kujiita Mungu wala kusema aabudiwe. Marco 12:28,32) Matayo 4:10) Yohana 17:3) Ufunuo 1:1) huu ndio ukweli wa Yesu.

    • @mahamoudomar5492
      @mahamoudomar5492 4 ปีที่แล้ว +1

      Fardeen Nasser
      kweli yesu
      anakula
      analala
      amezaliwa
      anasifa zote za mwanadamu ila yeye ni mtume tu Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hakuna yeyote mfano wake.☝️

    • @platoxmumbay8945
      @platoxmumbay8945 4 ปีที่แล้ว

      Bonyeza uone 💥👇
      th-cam.com/video/sy3A__Ywd4M/w-d-xo.html

    • @platoxmumbay8945
      @platoxmumbay8945 4 ปีที่แล้ว

      @@fardeennasser2963 Bonyeza uone 💥👇
      th-cam.com/video/sy3A__Ywd4M/w-d-xo.html

  • @mudybestmusic3889
    @mudybestmusic3889 4 ปีที่แล้ว +3

    bora ulivyoondoka mana wangekudhurumu mil.50 yako

  • @huimakaliuahighschoolchoir6214
    @huimakaliuahighschoolchoir6214 4 ปีที่แล้ว +2

    HUIMA HIGH SCHOOL. Tunatamani sana kufanya wimbo wa pamoja na wewe...kwa ajiri ya kumtukuza mungu kwa pamoja.tunaamini mungu ataruhusu hili.Amen
    @chairman huima kaliua high school

  • @nzuritaraja9558
    @nzuritaraja9558 4 ปีที่แล้ว +1

    Moyo wangu unatuliya kwa Yesu tuuuuu.

  • @mussajackson783
    @mussajackson783 4 ปีที่แล้ว +40

    Waislam tunao skiliza hii ngoma tu like hapa

  • @itazowanzagi5721
    @itazowanzagi5721 4 ปีที่แล้ว +8

    Mungu ambatmriki kama unamkubali gonga like hapo

    • @growrich2332
      @growrich2332 4 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa wimbo mzuri.karibu Mtwara

  • @zabronmligo9629
    @zabronmligo9629 4 ปีที่แล้ว

    hongera wimbo mzur together ubarkiwe sana tunashelekea pasaka kwa burudan goodddddddd

  • @haulebh5007
    @haulebh5007 4 ปีที่แล้ว

    Uzuri wa hii nyimbo tunacheza popote hata kwa viti virefu haujabagua🙌🙌🙌🙌🙌

  • @officialdaniel4030
    @officialdaniel4030 4 ปีที่แล้ว +5

    Bwana Yesu asifiwe Mch....Mimi Nina ushauri mdogo sana kwako,..nimefatilia sana kazi zako,huwa ni unatumia garama kwenye video, na ili unalitendea haki,lkn kuna kitu unakosea Brother, sijuh Oudio zako unafanya kwenye studio zipi aisee,mfano katika huu wimbo back vocals ziko safi na wewe umeimba vizuri lkn kiukweli beat imepwaya sana kaka,na hivi uko Dar kabisa kwenye kitovu cha kila kitu,..naomba kaka lifanyie kazi hili,kama mwanamziki nimeona nikushauri,huu wimbo umenibairiki lkn upande Wa mziki muandaaji hajakutendea haki kabisa....Asante

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว +6

    Wooooow I was waiting for this song longtime💃💃💃💃

  • @kelvinaron5596
    @kelvinaron5596 4 ปีที่แล้ว

    Njema kazi na injili yenye kupenya ndani mioyo so kazi nzuri sana

  • @YANGAHIGHLTS3073
    @YANGAHIGHLTS3073 ปีที่แล้ว

    Wao hii ndio ngoma Sasa gonga more like hap

  • @ezekielxanga3722
    @ezekielxanga3722 4 ปีที่แล้ว +3

    😃😃😄😄😄WAKINA SIKUJUA MTAKUJA KUARIBU LINE.. JAMANI LIKE ZANGU BASI

  • @mutimaflorence7446
    @mutimaflorence7446 4 ปีที่แล้ว +47

    Yani nilitamani ingeendelea tu mpaka dakika 30 lakini umeikatiriza this song is amazing for real

  • @devothabishagazi2390
    @devothabishagazi2390 4 ปีที่แล้ว

    Hongera mwanawane,siku moja naomba nidance kwenye video yako moja tu ndipo moyo wangu utatulia tulia,nguo nitavaa zangu mwanawane

  • @rictonclaurent5986
    @rictonclaurent5986 4 ปีที่แล้ว +2

    Huu Wimbo nimeupenda! Aisee bora hata Sasa hiv Gospel yupo Mtu wa kuibeba Songa Mbele Yesu ndo Tegemeo letu! God Bless you Masanja!

  • @ajheemclassicaltv7608
    @ajheemclassicaltv7608 4 ปีที่แล้ว +24

    KIMBILIO LANGU, LAKO , WEWE ,YULE JAMAA NA MARAFIKI ZAKO NI KWA YESU NANI ANABISHA

    • @hassanmsellem5302
      @hassanmsellem5302 4 ปีที่แล้ว +1

      Kimbilo langu, lako na yule ni Allah s.w Yessu ni Nabii tu kama Nabii wengine

    • @missynasra775
      @missynasra775 4 ปีที่แล้ว

      AJHEEM CLASSICAL TV safi sana nyimbo zuri vibwagizo ndiyo usiseme

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanmsellem5302 allah kimbio lako wewe usitulazimishe wengne tumkimbilie tusiyemjua

    • @eliyajelemia6244
      @eliyajelemia6244 4 ปีที่แล้ว

      Hassan Msellem Yesu niMungu allah ndovinn mbonana unahangaika huwezi zuia jinala Yesu nimoto unataka tuaminidin yawapenda ugomvi navita namajin hutupati

    • @gladnesssidiu8945
      @gladnesssidiu8945 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanmsellem5302 Allah siyo Mungu tunayemuamini sisi wakirsto kwaiyo acha kutumezesha sumu
      Allah hapendi wakrsto na wayahudu
      Mungu gan asopenda watu
      Waislam amkeni someni Koran inamambo ya ajabu mnooo

  • @basirmohammed5675
    @basirmohammed5675 4 ปีที่แล้ว +14

    Amen be blessed nyc song,can i have more likes fans

    • @johnwar8408
      @johnwar8408 2 ปีที่แล้ว

      Wake up your mind what ph***ken song it is if not black magic one
      Shame on you all wasted your time...instead of finding the truth that's the way to helll...If you don't know determin to know forget about all these shit is just make money

  • @edelikakikoti7652
    @edelikakikoti7652 4 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe masanja wapange hao vizuri wadibuke wunofu

  • @sirsebaonline9106
    @sirsebaonline9106 4 ปีที่แล้ว

    Duuh majaji wamekuwa waimbaji wa injili kweli masanja ni fagio la chuma kudadeq

  • @producerqfocus1636
    @producerqfocus1636 4 ปีที่แล้ว +7

    Jamani kama umependa mtumishi alivyo pita kwenye biti ipasavyo nipe rike

    • @treyguydangote4034
      @treyguydangote4034 4 ปีที่แล้ว

      Mtimishi wa nn xx

    • @hassanmsellem5302
      @hassanmsellem5302 4 ปีที่แล้ว

      Mtumishi au msanii anatafuta fan base tu, dini ya kweli ni uislamu tu

    • @treyguydangote4034
      @treyguydangote4034 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanmsellem5302 haswaaaaa na hamna kama uislam na haitotokea

    • @sabrinarobert8971
      @sabrinarobert8971 4 ปีที่แล้ว

      @@treyguydangote4034 mtasubir Sana Iman yako ndo itakayokuponya

    • @treyguydangote4034
      @treyguydangote4034 4 ปีที่แล้ว

      @@sabrinarobert8971 we unaimani gani hiyo ya kuabudu picha

  • @faithrachel7696
    @faithrachel7696 4 ปีที่แล้ว +3

    This song is fire kwakweli 🔥

  • @sofiajackson9672
    @sofiajackson9672 4 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu tulia kwa Yesuu
    Nyimbo ya nzuriii hiii ina baraaa na nusu

  • @geophreyephraim3564
    @geophreyephraim3564 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana kaka kweli ckuiz nikutulia kwa yesu tyuu amna wa kupnga iyo kaka

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 4 ปีที่แล้ว +2

    Uwiiiii mbavu zangu mimi jamani 😂😂😂😂

  • @kamanyile
    @kamanyile 4 ปีที่แล้ว +5

    kama unamkubali Emmanuel Mgaya gonga like hapo chini

  • @mohamedmsafiri5131
    @mohamedmsafiri5131 3 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa sana by James Donald Nyantanero in Rockcity Mwanza

  • @emanuelkailas9701
    @emanuelkailas9701 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante wajina wangu, kanyimbo kanabariki mno, shukran kwa mungu.

  • @happyngungur8868
    @happyngungur8868 4 ปีที่แล้ว +4

    Can't get enough of this song jmn... Masanja live for his Glory

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 ปีที่แล้ว +1

      Happy Ngungur Thank u Happy

    • @johnwar8408
      @johnwar8408 2 ปีที่แล้ว

      What good deed have got into this song which can't even jinger my brain....where are from? MAGU..so it must be good for foolish as like you are..Jocking God..He is not foolish God would get you as well your ph***cken Masanja

    • @isakaboy9305
      @isakaboy9305 2 ปีที่แล้ว

      Nainjoi sana kuzi tama nyimbo zamasanja

    • @deusoden3128
      @deusoden3128 ปีที่แล้ว

      @@Feelfreechurch Habari. Huu wimbo nakumbuka upo original yake. Hukiachana na hii video. Je naweza kuupata?

  • @calskim4173
    @calskim4173 4 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣uyu mzee Matayo anavyocheza buana 🤣

  • @hopesalutary6882
    @hopesalutary6882 4 ปีที่แล้ว +1

    Yeees nmependa huu wimbo kuliko ulizowah kutoa sifa na utukufu zimrudie aliye juu Bwana Yesu

  • @rahabumwakajoka6721
    @rahabumwakajoka6721 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mno Mtumishi wa Mungu

  • @wakali_wa_masauti1884
    @wakali_wa_masauti1884 4 ปีที่แล้ว +7

    Kama unacheki hii vide na inakufurahisha 😀😀

  • @patricknamangoa3478
    @patricknamangoa3478 4 ปีที่แล้ว +3

    What a nice song!

  • @ShuhudiaMahuvi
    @ShuhudiaMahuvi 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kea kipawa ulicho pewa na mungu kitumi sawasawa

  • @asiatirukaizire3067
    @asiatirukaizire3067 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing mwanawane nimeipenda

  • @ommymsomi4362
    @ommymsomi4362 4 ปีที่แล้ว +4

    The king himself

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 ปีที่แล้ว +4

    powerful.

  • @geralddavid4582
    @geralddavid4582 3 ปีที่แล้ว

    kwel kabisa ndgu zangu tutulie kwa yesu 🙏🙏 amina

  • @davidjuliusngausony1822
    @davidjuliusngausony1822 4 ปีที่แล้ว

    Timu Masanja twende kazi ssa.. Nyimbo imetulia sana nã burudani juu

  • @jimmydaniel2468
    @jimmydaniel2468 4 ปีที่แล้ว +3

    nice song

  • @silyviapaul2676
    @silyviapaul2676 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen!

  • @kigomamc1179
    @kigomamc1179 3 ปีที่แล้ว +1

    nyimbo zur kiatu sasa masanja jaman😅

  • @erickgulayi2089
    @erickgulayi2089 4 ปีที่แล้ว

    Iko njema sana hii na hii Paska ya leo hakika Masanja kazi nzuri, Barikiwa sana

  • @faidaalimasi2017
    @faidaalimasi2017 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen merci beaucoup

  • @immah_deo19
    @immah_deo19 4 ปีที่แล้ว +3

    Comment ya 700 imetoma Kwangu

  • @ombenikileoofficial5680
    @ombenikileoofficial5680 4 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu tulia kwayesu haha baba hongera Sanaa kwakazi nzuri

  • @ilagosawaila5133
    @ilagosawaila5133 4 ปีที่แล้ว

    Bro ngoma kali sana mungu akubariki zaidi

  • @officialf8404
    @officialf8404 4 ปีที่แล้ว +4

    Asa we unaedislike unamaan gan???😭😭

  • @sitefanomwizarubi1408
    @sitefanomwizarubi1408 4 ปีที่แล้ว +3

    leo umetisha

  • @wivinavedasto5109
    @wivinavedasto5109 4 ปีที่แล้ว

    Amina.....Kwa Yesu rahaa saana asa ukitulia kwake Kuna furaha tele

  • @meshackemilio491
    @meshackemilio491 4 ปีที่แล้ว +1

    Emmanuel masanja Mungu Akubariki
    kwa huduma yako nzuri unayoifanya kwa kuhubiri Neno la Mungu kwa kuimba. kazi nzuri wimbo mzuri be BLESSED WITH JESUS CHRIST. AMEN

  • @drrphaeltz1
    @drrphaeltz1 4 ปีที่แล้ว +3

    I need support from you broo

  • @Best_wolframmusichub
    @Best_wolframmusichub 4 ปีที่แล้ว +1

    Baraka tele na amani moyon kwakupitia hii nyimbo

  • @sifajonse3463
    @sifajonse3463 17 วันที่ผ่านมา

    I will never get tired of listening 🎶 of this song really blessing me 🙌🙌🙏🙏🙏 much love pastor all yhe way from Australia 🇦🇺 ❤❤❤

  • @King_David2.
    @King_David2. 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli wakusifiwa ni Yesu pekee wakuinuliwa ni jina Yesu pekee ardhi na mbingu inapuse hakuna kingine