THE CLASSIC MASANJA PART 2 EP 2 :KUFELI HADI KUANZA UPYA/KUBEBA TOFALI/ZE COMEDY KWA MARA YA KWANZA/

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2024
  • Mastory ya Masanja ni mengi na hayaishi ,jambo zuri ni kua yanafunza sana ,sehemu ya pili ya maongezi yetu na Masanja katika kipindi hiki cha pili kinachohusu maisha yake kinaendelea kutupa namna alivyoweza kupenya mpaka kupata mafanikio ya kufanya kazi na kampuni kubwa ya IPP kupitia EATV kwa mara ya kwanza

ความคิดเห็น • 112

  • @selemanimsangi7805
    @selemanimsangi7805 6 หลายเดือนก่อน +17

    Masanja atoe kitabu historia yake iko very motivated.

  • @jworld1480
    @jworld1480 5 หลายเดือนก่อน +2

    masanaja he is good story teller hatari

  • @kelvinkilale
    @kelvinkilale 6 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu Sasa ndo anakupa maana halisu ya the classic, anakuelezea vitu vya ndaaaani

  • @sangomacmc3558
    @sangomacmc3558 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ndio the CLASSIC💯🔥🔥

  • @Eng2460
    @Eng2460 6 หลายเดือนก่อน +16

    this interview ipigwe hata masaa sita🙌🙌

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 6 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani sisahau mfanyakazi wetu alivyokua hakosi the comedy anahakikisha hakwepi intro ya masanja kwa bekitatu

  • @Ebendentalclinic
    @Ebendentalclinic 2 วันที่ผ่านมา

    daaah masanja nimekubali,daah haya maisha

  • @erickmbilinyi2056
    @erickmbilinyi2056 6 หลายเดือนก่อน +7

    Daaaah huyu jamaa interview yake imekuwa bora sana yaan najikuta natamani iendelee tu

  • @erickmbilinyi2056
    @erickmbilinyi2056 6 หลายเดือนก่อน +6

    Yaaan jamaa ni best kwenye simulizi ya maisha yake ina inspire sanaaa aisee

  • @husseinmbunji8847
    @husseinmbunji8847 6 หลายเดือนก่อน +11

    the best life interview ever

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hii part 2 inabidi iwe na episode 10000000000000000

  • @voisaclassic1866
    @voisaclassic1866 6 หลายเดือนก่อน +4

    Masanja story yake inatufundisha kutokukata tamaa na kuamini kile unachokifanya

  • @whitestarstudio3939
    @whitestarstudio3939 6 หลายเดือนก่อน +5

    Tunamsubiri pt 3
    hakuna kukata tamaa
    tusikate tamaa

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 6 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaaa anajua sana arud tn

  • @user-yi5hx3uu4o
    @user-yi5hx3uu4o 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dah! Huyu jamaa inabidi arudi tenaaa... Story teller mzuri sana

  • @boniphace1
    @boniphace1 6 หลายเดือนก่อน +7

    No Retreat, No Surrender

  • @user-qm8do1cr7u
    @user-qm8do1cr7u 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kuvi combo yenu na Masanja irudiwe 🎉

  • @user-lr8vm9yd4l
    @user-lr8vm9yd4l 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ebana tunamtaka tena na tena Mr masanja

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 6 หลายเดือนก่อน +6

    Watu wanatoka mbali ukishafanikiwa unaambiwa freemason

  • @braysonminja
    @braysonminja 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 6 หลายเดือนก่อน +6

    Jamaa hachoshi kwa mbwembwe zake

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 6 หลายเดือนก่อน +7

    Tunamuomba arudi

  • @immabahatiimmabahati2373
    @immabahatiimmabahati2373 6 หลายเดือนก่อน +3

    Masanja yuko na story za maisha freshi mno

  • @enjoysoccer1
    @enjoysoccer1 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani masanja atafutwe aendelee. najifunza vingi sana

  • @coolestmani8737
    @coolestmani8737 6 หลายเดือนก่อน +3

    Broo Jabi kwa niaba y wana #theclassic Msanja arudi tena studio 🙏

  • @joh_001
    @joh_001 5 หลายเดือนก่อน +2

    afu akinunua ndinga zake akazionesha wanasema anashow off

  • @nasrikileo7291
    @nasrikileo7291 6 หลายเดือนก่อน +6

    Nimemaliza episode 1, hii 2 nadhani ikiisha haitatosha, kuna haja ya part 3

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  6 หลายเดือนก่อน +3

      Hahah sawa sawa atakuja tena

  • @kevo_da_clever
    @kevo_da_clever 6 หลายเดือนก่อน +19

    Sijawahi kukosa interview ya masanja,,,,na ukitaka kuelewa historia yake tafuta interview yake na William tuva uanze hapo afu uje kuendelea na hizi episode

    • @barakaekuro
      @barakaekuro 6 หลายเดือนก่อน +1

      Iko wapi tupia link apa?

    • @erickmbilinyi2056
      @erickmbilinyi2056 6 หลายเดือนก่อน

      Tuwekee link mkuu 🔗🔗🔗🖇️🖇️

    • @kelvinmkuye6927
      @kelvinmkuye6927 6 หลายเดือนก่อน

      Weka link kaka

    • @joem2i
      @joem2i 6 หลายเดือนก่อน

      @@kelvinmkuye6927 th-cam.com/video/_KtPupdGAMs/w-d-xo.html

    • @joem2i
      @joem2i 6 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/_KtPupdGAMs/w-d-xo.html

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa inspiration hiii! Nakuja dar! Ntaanzia popote hakuna kukata tamaa wala kukatishwa tamaaa

  • @JamesJoseph-vd7ep
    @JamesJoseph-vd7ep 6 หลายเดือนก่อน +1

    Oa naaomba naomba masanja arudi ana ujube mzuri sana sana sana nimejifunza kitu kikubwa mno kumbe sitakata tamaaa nashukuru sana sana hivi ndo vitu vya kuangalia sasa

  • @CheerfulFish-pq8qs
    @CheerfulFish-pq8qs 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masanja anafunza anavunja mbavu pia. Nataka kujua alikutana vipi na mpoki pamoja na joti na kundi kwaujumla la the comedy

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kukata tamaa ni dhambi Ndugu zangu tuendelee kupambana

  • @amoskagika8884
    @amoskagika8884 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka Jabir, aiseee Masanja aje tena

  • @ernestkibano
    @ernestkibano 5 หลายเดือนก่อน +1

    km hujadharauliwa huwezi toboa piah Dhahabu hupitia kwa moto

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 6 หลายเดือนก่อน +3

    Masanja safi sana

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 6 หลายเดือนก่อน +3

    Masanja mleteni tena jamani,, aje na wa wakuvanga...
    Au aje wa kuvanga nae jamani tumsikie

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa hachokeshi kabisaa😂 huyo Isaya alienda wapi

  • @arnoldamos7613
    @arnoldamos7613 6 หลายเดือนก่อน +1

    waiting for part3.. Best interview of this year so far

  • @mariethamollel3564
    @mariethamollel3564 5 หลายเดือนก่อน

    STORRYTELLER....WHAT A TALE

  • @yondutv3253
    @yondutv3253 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ayseee next week mje naye tena

  • @ngido255
    @ngido255 6 หลายเดือนก่อน +1

    Extra😂😂dah maisha aya mpk najihisi bado cjaptia magumu kabsa

  • @lugisjohn
    @lugisjohn 5 หลายเดือนก่อน

    Very best interview ever

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaaa. Arudiii. Tena.

  • @b25_photos19
    @b25_photos19 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii Kali sana

  • @MrKanuya
    @MrKanuya 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli "kukata tamma ni dhambi"

  • @mkizerhbc
    @mkizerhbc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah very interesting

  • @ArqamSwaleh
    @ArqamSwaleh 6 หลายเดือนก่อน

    Masanja kudos🎉🎉🎉🎉

  • @kelvinmkuye6927
    @kelvinmkuye6927 6 หลายเดือนก่อน +1

    Part3...best interview

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 6 หลายเดือนก่อน

    Big up Bro Jabir Salehe and Best interview 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 6 หลายเดือนก่อน +1

    Inspiration👍

  • @sabitjuma1960
    @sabitjuma1960 6 หลายเดือนก่อน +3

    bonge la kipindii kak

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masanja ni nomaaaa

  • @amajattoys9309
    @amajattoys9309 6 หลายเดือนก่อน +2

    Part 3 please

  • @simonjohn45
    @simonjohn45 6 หลายเดือนก่อน +1

    Very Interested

  • @user-ps8cz1sf3k
    @user-ps8cz1sf3k 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maana halisi ya kutokukata tamaa

  • @startonengineering7343
    @startonengineering7343 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mpka natamani kipindi kisiishe, AMAZING
    Nimejifunza sana lakini kubwa kufikia malengo au kupata hera sio kazi ndogo kunataka kujipa sana moyo wewe mwenyewe binafsi...
    Kwa vikundi na kazi nzuri zote alizofanys na alizopita huyu jamaa lakini kila muda nilikuwa nashtuka kusikia sina nauli,sina simu,natembea kwa mguu but kila nkifanya show watu wanafurahiii😢
    Kumbe kuna watu mtaani tunawaona wako busy sana lakini in real life hawapati hera na hawana kabisa hera😮
    ELIMU sio jambo la kulipotezea,mhimu kuwa nayo❤

    • @rademm8924
      @rademm8924 3 หลายเดือนก่อน

      Zamani simu zilikuwa aghali ndugu

  • @godkigoda9620
    @godkigoda9620 6 หลายเดือนก่อน +1

    masanja atatuvunja mbavu .jabiri

  • @MrMasterMathew
    @MrMasterMathew 6 หลายเดือนก่อน

    Masanja hongera uje tena

  • @user-yb3bd1bo4r
    @user-yb3bd1bo4r 4 หลายเดือนก่อน

    Dah story zake zinafunzo ndani yake

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bado hatujamalizana na masanja...
    Alikutanaaje na akina mpoki na joti na mzeee wa chura na wakaaanza the comedy

  • @makamekombo8278
    @makamekombo8278 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwewe nimeelewa kizenji safi

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  6 หลายเดือนก่อน

      Hahah safi 😄👍🏾

  • @erickmbilinyi2056
    @erickmbilinyi2056 6 หลายเดือนก่อน +2

    Aje tena huyu bwana aiseee

  • @lilyappiesamkie9097
    @lilyappiesamkie9097 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani iendelee

  • @raphaelmheta
    @raphaelmheta 6 หลายเดือนก่อน +1

    THE CLASSIC 🔥🔥🔥🔥📌😀😀

  • @officielyamndile3634
    @officielyamndile3634 6 หลายเดือนก่อน +2

    Arudi haraka sana 😅😅

  • @amanimakovya2228
    @amanimakovya2228 6 หลายเดือนก่อน +2

    Inabidi irudiwe tena after kwa mara ya tatu aje mjengoni

  • @jescaredson4691
    @jescaredson4691 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani anakuja lini amalizie

  • @clauddanford5864
    @clauddanford5864 6 หลายเดือนก่อน

    This guy ver talented

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani masanja unatufundisha kweli

  • @nasrikileo7291
    @nasrikileo7291 6 หลายเดือนก่อน +4

    Qudos kuvii

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  6 หลายเดือนก่อน +1

      🙌🏾One love

    • @johnmwandu2116
      @johnmwandu2116 6 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@KuviFactskaka tunamuomba tena huyu meambaaa

  • @nelsonliwenga1784
    @nelsonliwenga1784 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio masanja

  • @hossalemanuel1968
    @hossalemanuel1968 6 หลายเดือนก่อน +2

    Very interested and inspiration

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 5 หลายเดือนก่อน

    USHUUDA MKUBWA SANAA

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 6 หลายเดือนก่อน +1

    Soggy Doggy keshakuja hapo mjengoni? Anastahili kuhojiwa

  • @sharifuajibu2854
    @sharifuajibu2854 6 หลายเดือนก่อน

    Aje tena

  • @immamwangasi2934
    @immamwangasi2934 5 หลายเดือนก่อน

    Maana ya classic sasa ndo hii

  • @edwardasumwisye3010
    @edwardasumwisye3010 4 หลายเดือนก่อน

    Ila Tatu😂😂

  • @sarleem12mo23
    @sarleem12mo23 5 หลายเดือนก่อน

    Plz masanja arudii tenaaq 😅😅

  • @richardmaxwell3991
    @richardmaxwell3991 6 หลายเดือนก่อน +1

    next week arudi

  • @zakatumbuka8856
    @zakatumbuka8856 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hatujamalizana nae huyu masanja arudi Tena na tena

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 5 หลายเดือนก่อน

    Isaya mwakilasa" tumemiliki siiiiimu"😂😂😂😂

  • @famorsn9834
    @famorsn9834 6 หลายเดือนก่อน +2

    ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mleten tena aendeleze

  • @sharifuajibu2854
    @sharifuajibu2854 6 หลายเดือนก่อน

    Hakikishenii anakuja aje tena

  • @wilbaldshayo1222
    @wilbaldshayo1222 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tatu😂😂

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 5 หลายเดือนก่อน

    Masanja Arudi bhana 😁😁😁😁

  • @johnmathew9994
    @johnmathew9994 4 หลายเดือนก่อน

    Masanja umesahau episode 1 ulipanda rav4 ya a/c 10:27 ila sio mbaya story ina funzo

  • @b25_photos19
    @b25_photos19 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tunasubiri nyingine

  • @zainabomar7236
    @zainabomar7236 4 หลายเดือนก่อน

    masanja unatumaliziq bando😅

  • @cilbuly2026
    @cilbuly2026 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuuh hio sio ya kukosa aseeeh Masanja anajua kusimulia aseeh

  • @davidkamando9630
    @davidkamando9630 6 หลายเดือนก่อน

    Ep 3 lini? Mbona inachukua muda, afu JAMAA yupo hapohapo mjengoni....

  • @ernestkibano
    @ernestkibano 5 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu kina dhama zake tumia fursa hii ya uzuri wako kupenya

  • @barakaekuro
    @barakaekuro 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂

  • @mathiaselias5447
    @mathiaselias5447 6 หลายเดือนก่อน

    😁😁😁😁

  • @makintosh6095
    @makintosh6095 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @mwesachristopher2785
    @mwesachristopher2785 6 หลายเดือนก่อน

    😅😅

    • @roseyona9524
      @roseyona9524 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi nimejifunza mno jamani naona kama kutakuwa na CD za kushuhuda wake huu tuuziwe

  • @gadyjohn3815
    @gadyjohn3815 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kuvi facts unyama mwingi sanaa big up,...ila hamjamtendea haki mi namwita king of bongo flava, haiwezekani had leo hamjamleta sir Nature hapo

  • @user-sb3vt1yh9s
    @user-sb3vt1yh9s 6 หลายเดือนก่อน +3

    Arudi tena kwakweli anafurahisha na anafundisha