SoShoFitness SE02 EP13: MIXED PUSH-UP ||NAMNA NZURI YA KUPIGA PUSH-UP MCHANGANYIKO ||JENGA MSULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Thank you for watching this episode, please remember to subscribe the channel, share the video to others and let us know your fitness experience in the comment section below.
    #jengaMsuli#usijengeTumbo
    #SoShoFitness#mazoeziyaPUSHUP#jengaMisuli#kupigaPUSHUPmchanganyiko#workoutathome#SoShoTV
    --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    WhatsApp Group Link: --- chat.whatsapp.....
    SoShoFitness SE02 EPISODE 12: KUMNYOOSHA MTU VIUNGO --- • SoShoFitness SE02 EP12...
    SoShoFitness SE02 EPISODE 11: PARTNERSHIP WORKOUT #PARTNERS --- • SoShoFitness SE02 EP11...
    SoShoFitness SE02 EPISODE 11: MAZOEZI YA USHIRIKIANO, #NoCONES --- • SoShoFitness SE02 EP11...
    --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    Habari wana mazoezi na watazamaji wa channel ya ShoShoTV, leo tunawaletea sehemu ya kumi na tatu (Episode XIII) ya msimu wa pili (Season II) wa kipindi chako kizuri cha mazoezi (SoShoFitness) sawa na sehemu ya ishirini na sita (Episode 26) tangu kuanzishwa kwake.
    Katika kipindi cha leo tutakuonesha namna nzuri ya kupiga Push-up ili kujenga misuli vuzri na kuweka mwili wake wote sawa sawa.
    Tutafanya zoezi hili kwa pamoja kwa njia nyepesi kabisa tukiwa nyumbani bila hata kwenda Gym au kutumia kifaa chochote.
    Kwa ustadi mkubwa sana, mkufunzi wetu Mkubwa Hamidu atatuonesha jinsi ya kufanya zoezi hili, fuatana naye.
    Karibu sana.
    *Madhumuni ya kipindi cha ''SoShoFitness'' ni kujenga uelewa kwa jamii ikiwa ni pamoja na kuifahamisha umuhimu wa mazoezi ya mwili katika maisha ya kila siku.
    *Ungana nasi ili uendelee kufaidika na mfululizo wa vipindi bora vya mazoezi kwa ajili ya kujenga afya ya mwili wako.
    *JOIN US FOR A SERIES OF BEST EPISODES ON BODY EXERCISES FOR YOUR GOOD HEALTH CARE.
    Please, Subscribe, Like, Share and keep Commenting.
    "SoShoFitness - Mazoezi kwa afya".
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    Producer: Khalis 2K
    Instructor/Trainer: Mkubwa Hamidu
    Contacts:
    facebook: Khalis Komba, Mkubwa Hamidu
    whatsaap: +255764165500, +255787003600
    instagram: soshotv1
    What'sApp Group Link: chat.whatsapp.....
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    #SoShoFitness#mazoeziyaPUSHUP#jengaMisuli#usijengeTumbo#kupigaPUSHUPmchanganyiko#workoutathome#SoShoTV

ความคิดเห็น • 1

  • @SoShoTV1
    @SoShoTV1  ปีที่แล้ว +1

    Just A Little Bit: This is how we do the so called mixed PUSH-UP, guys. Follow to borrow, love you all.
    #jengaMsuli#usijengeTumbo