SoShoFitness SE02 EP03: HIIT CARDIO ||FAT Burning Part 5 ||CHOMA MAFUTA KWA HARAKA, PUNGUZA MWILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • #SoShoFitness#hiitcardioworkout #fatburningworkoutathome #chomamafuta#punguzamwili#soshotv #jengaMsuli
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    SoShoFitness SE02 Episode02: HIIT CARDIO, FAT BURNING --- • SoShoFitness SE02 EP02...
    SoShoFitness SE02 Episode02: PUNGUZA MWILI, CHOMA MAFUTA --- • SoShoFitness SE02 EP02...
    SoShoFitness SE02 EPISODE01: TUMIA CONES, PUNGUZA MWILI --- • SoShoFitness SE02 EP01...
    SoShoFitness SE02 EPISODE01: TUMIA CONES, PUNGUZA MWILI --- • SoShoFitness SE02 EP01...
    --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    Leo tunawaletea sehemu ya tatu (Episode III) msimu wa pili (Season II) wa kipindi chako kizuri cha mazoezi (SoShoFitness), sawa na sehemu ya kumi na sita (Episode XVI) ya kipindi hiki tangu kianze kurushwa katika channel hii.
    Katika sehemu hii tutakuonesha muendelezo wa mazoezi ya kupunguza mwili na kuchoma mafuta kwa haraka ukiwa nyumbani bila kutumia kifaa chochote. Kwa ustadi mkubwa sana, mkufunzi wetu Mkubwa Hamidu, ametuonesha namna gani tunaweza kufanya zoezi hilo kila siku kwa lengo la kuchoma mafuta(FAT Burning) na hatimaye kupunguza mwili wote.
    Karibu sana.
    *Madhumuni ya kipindi cha ''SoShoFitness'' ni kujenga uelewa kwa jamii na kuifahamisha umuhimu wa mazoezi ya mwili katika maisha ya kila siku.
    *Ungana nasi ili uendelee kufaidika na mfululizo wa vipindi bora vya mazoezi kwa ajili ya kujenga afya ya mwili wako.
    *JOIN US FOR A SERIES OF BEST EPISODES ON BODY EXERCISES FOR YOUR GOOD HEALTH CARE.
    Please, Subscribe, Like, Share and keep Commenting.
    "SoShoFitness - Mazoezi kwa afya".
    ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    Producer: Khalis 2K
    Instructor/Trainer: Mkubwa Hamidu
    Contacts:
    facebook: Khalis Komba, Mkubwa Hamidu
    whatsaap: +255764165500, +255748742474
    instagram: soshotv1
    ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    #SoShoFitness#hiitcardioworkout#fatburningworkoutathome #chomamafuta#punguzamwili#soshotv

ความคิดเห็น • 1

  • @SoShoTV1
    @SoShoTV1  2 ปีที่แล้ว +1

    Hello BIG fans out there...! Another BIG Episode is out for you. Keep exercising, keep good health care, keep FITNESS. Love you all...!