ALIYECHOMA PICHA YA RAIS SAMIA ATEKWA, AYO TV YAKUTANA NA BABA YAKE “KAMA WAMEMUUA WANIPE HATA MWILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 671

  • @YonaLaizer-nt4pc
    @YonaLaizer-nt4pc 2 หลายเดือนก่อน +6

    Pole sana baba Huwa wanapotea maisha mwachie MUNGU huenda akarudi ila kiujumla basi fanyeni sala ya mwisho kwake mwashie mungu

  • @AbdallaSaidkaombwe
    @AbdallaSaidkaombwe 2 หลายเดือนก่อน +53

    Kinachoishikilia Amani ya Tanzania paka sasa ni uoga wa wananchi siku wananchi wakichoshwa na haya mambo amani tutaiskia tu kama mataifa mengine wanavyosikia

    • @ottomaxnkulabavuma8707
      @ottomaxnkulabavuma8707 2 หลายเดือนก่อน +9

      sio uoga bro tanzania hatuna njaa ikifikia kila mtu ananjaa ndo utaiona GEN 0

    • @maishacenter-eastafricatv3976
      @maishacenter-eastafricatv3976 2 หลายเดือนก่อน +2

      Na vile mnavyotudharau warundi kuwa sisi ni wakimbizi, sipati picha mtanzania kuwa mkimbizi

    • @biberpriyer330
      @biberpriyer330 2 หลายเดือนก่อน +3

      We jitokeze utusaidie sisi waoga 😅😅

    • @AbdallaSaidkaombwe
      @AbdallaSaidkaombwe 2 หลายเดือนก่อน

      @@biberpriyer330 hata nikijitokez mimi sitobadilish kitu sababu watu wengi ni waoga na ndio maana wakijitokez watu wachache Tu wenye Moy wa kujitoa hakuna anaetokeza kuwaunga mkono hakuna namna tuendelee kutazama yanayotokea tuone hatma yake

    • @peterdeus6093
      @peterdeus6093 หลายเดือนก่อน

      ​@@biberpriyer330wapumbavu kama wew ndo wanaturudisha nyuma

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 2 หลายเดือนก่อน +84

    Kwa mawazo yangu inaweza kua washammaliza na kumtupilia mbali mungu atusaidie

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 หลายเดือนก่อน +49

    Najaribu tu kufikiri huyu dogo ambaye mimi nilimuona tu kama mvuta bangi au mtu asiye na akili zilizotimia, anakuwaje tishio kiasi cha kutekwa na wasiojulikana? Nawaza tu!!

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน +5

      Huko wsnalipa kisasi juu ya picha

    • @Keyjop
      @Keyjop 2 หลายเดือนก่อน +3

      Yaani ..🙌

    • @Richforever66
      @Richforever66 2 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂😂😅😅😅

  • @AminaRamadhan-mg9lj
    @AminaRamadhan-mg9lj หลายเดือนก่อน +2

    Polee sanaa.. baba anguu😢😢😢😢😢😢😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน +17

    Alllah atujaalie.mwishomwema hizi ni dalili za kiyama. Haipingiki Tz matukiomengi kutekwa kuuwawa hatunaraha Raiya. Mungu tusamee nautusaidiekimbilioletu ni ww yarabi

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 2 หลายเดือนก่อน +52

    Mh naogopa kusema chochote,Kwan hata ukisema unaweza kutekwa😂😂😂

    • @Aminimalewa
      @Aminimalewa 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kakusema tu hivyo tayari upo matatani Bora ungenyamaza😂😂

    • @MerryRenatus-ck4lz
      @MerryRenatus-ck4lz 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂​@@Aminimalewa

    • @MerryRenatus-ck4lz
      @MerryRenatus-ck4lz 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@Aminimalewamtihan

    • @JfourHumbi
      @JfourHumbi 2 หลายเดือนก่อน +4

      Uoga niujinga watawaliza wote huku mnaagalia paza sauti acha woga 😮

    • @yasintatemba2202
      @yasintatemba2202 2 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

  • @johnchatanda6759
    @johnchatanda6759 2 หลายเดือนก่อน +30

    Daah so sad but mzee Yuko strong Sana mpaka kujibu na kutoa maelekezo yaliyonyooka kama hivi

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 2 หลายเดือนก่อน +1

      Anaweza kujieleza...Kuna mradi nilikuwa nafanya nao huko kwao walimpenda wakampeleka China miaka iyo.

    • @EsnathJohnMasulube
      @EsnathJohnMasulube 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@gracekenan4665heeee kumbe yuko vzr jmn eeh!!

  • @Lolandmwantona
    @Lolandmwantona หลายเดือนก่อน +3

    Inauma sanaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu atalipa kisasi kwa wote walio fanya hivyo

    • @fridamwenda5728
      @fridamwenda5728 20 วันที่ผ่านมา

      HIVI WEWE UNAFIKIRIA ALICHOKIFANYA HUYO KIJANA NI KIZURI? HUYO ALITAKIWA AFUNGWE KIFUNGO CHA MAISHA, HUENDA KATUMWA KUFANYA HIVYO KIUKWELI HUYU KIJANA SIKUPENDEZWA NA ALICHOKIFANYA. NA WALIOMCHANGIA PESA WAMEFANYA MAKOSA MAKUBWA WANGEMUACHA HUKO JELA AJIFUNZE TENA KIFUNGO KIKUBWA

    • @Lolandmwantona
      @Lolandmwantona 20 วันที่ผ่านมา

      @@fridamwenda5728 watch out ✈️🙌🙌🙌

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 2 หลายเดือนก่อน +33

    WOW 😳 mzee amefanana na Mike Tyson kichizi yani 😱

    • @EmmanuelMajele-ny2hk
      @EmmanuelMajele-ny2hk 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe ulikuwa ujui Mike Tyson nimjomba Ake mtoto wa Dada Ake ndugu kabisa anakaa mbeya mbalizi😂

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli

    • @Dulla_kite
      @Dulla_kite 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@EmmanuelMajele-ny2hk Hahaha kabisa kabisa

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa miketyson

    • @asumaathuman6094
      @asumaathuman6094 2 หลายเดือนก่อน +2

      Namm nilijua mike tyaon jmni duhh😮

  • @starjay3052
    @starjay3052 หลายเดือนก่อน +4

    tanzania 🇹🇿 sio nchi ya kuishi ila basi tu 🇹🇿💔

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 2 หลายเดือนก่อน +25

    Pole sana mzee kqa yote in sha allah mungu aramrudisha salama

    • @kale_maga
      @kale_maga 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 หลายเดือนก่อน +1

      Pole baba kupotezewa mwanao

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 หลายเดือนก่อน +48

    Hao lengo lao ni kutaja nani anamtuma kufanya hivyo km walivyomfanyia Sativa sasa kitendo cha kumuacha salama hapo tuombe Mungu maana Sativa walitaka wamuue ila Mungu hakutaka sasa huyu Tuombe Mungu jaman Serikali inahusika wasipinge bwana

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 หลายเดือนก่อน +21

    Hivi mama Samia chukulia kuwa ni mwanao Abdul ungefanyaje si wamwachie tuu mtt wa watu mzazi anaumia sana Bora mungemfunga ikajulikana Yuko gerezani siyo vinzuri hivo mungu anawenza kutuadhibu kwajili ya mambo tunayofanya wanadamu yanayomchukinza mungu

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 2 หลายเดือนก่อน +4

      Eti mama Samia huyu ndiyo dikiteta mkubwa

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 หลายเดือนก่อน +2

      hpana jmni Nchi yetu imeshikiliwa na watu ambao wanauwezo wakumuendesha wanavotaka na Mama hanaga usemi. Wakiona Rais anapingwa kama hivi anachukuliwa hatua mwenye hatia. Mama hana mamlaka ya kupinga. Mie nakwambia kabisa. Haya..

    • @MARIA-lw7kd
      @MARIA-lw7kd 2 หลายเดือนก่อน +1

      Matako yako wewe

  • @fabianbenardngatunga2713
    @fabianbenardngatunga2713 หลายเดือนก่อน +3

    Pole mzee

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu atusaidie

  • @RoseAmilet
    @RoseAmilet 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani kumbe alichora yeye duuuu angejua asingechora 😢😢😢

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah amfanyie wepesi Inshallah

  • @tabithalimo2399
    @tabithalimo2399 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dah 😢 so sadness

  • @NellyMadeni
    @NellyMadeni 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yupo Mungu anaona picha yote, pole kwa wanaojigeuza miungu watu

  • @sakuranitillya6088
    @sakuranitillya6088 2 หลายเดือนก่อน +28

    Rais Samia hebu ongea na watu wako hao wanaotekwa na ni watoto kama alivyo Abdul wako kua na hurma mama

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kweli kabisa vinasikitisha huyu mama angalie hayo mambo ni hatari .

    • @aproxaprox
      @aproxaprox 2 หลายเดือนก่อน +3

      Hii mihemko yenu na chuki zenu ndio inawadhuru,
      sasa wewe kama kweli unajua kuongea na kumtaja raisi unavyotaka, basi mtukane halaf ujirikodi halaf itume hiyo video,
      Ndio utajua kwa nini bajaji hua hazinaga plate number ya mbele!

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 2 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@aproxaproxhuna akili

    • @aproxaprox
      @aproxaprox 2 หลายเดือนก่อน

      @@nurumwita9034 wewe mwenye akili nyingi fanya kama alivyofanya huyo mwenye akili mwenzio unaemtetea, nenda kachome picha ya Mhe Raisi halafu jirikodi tukuone na wewe

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 หลายเดือนก่อน

      @@aproxaprox 🤔🫵🏾Nina mashaka ndio hawa watekaji Na kumbuka Duniani Tunapita Na kumbuka nawe yatakukuta wewe au ndugu Zako hata uwe chawa wa humu ndani mtashikwa tu mnajaribu kuharibu jina la Rais kwa kuleta mchezo wa kuteka watu tutawapata tu🫵🏾✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️.😏

  • @HomecookingMamaG
    @HomecookingMamaG 2 หลายเดือนก่อน +30

    Eti utasikia limtu linasema Tanzania ni nchi ya amani amani ipi hiyo watu wanafanyiwa vimbekwa tu ukiongea unauliwa

    • @biberpriyer330
      @biberpriyer330 2 หลายเดือนก่อน +1

      Unaongea tu hiv mtu akija kukudhalilisha hapo utamwambia Asante????

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@biberpriyer330Hapana unamteka na kumpoteza kama ilivyo ada au sio

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy หลายเดือนก่อน +1

      Mbona wewe hujafanyiwa vimbwela? Hakuna mtu anayepotea bila sababu.
      We ropoka tu

  • @aishawhite1107
    @aishawhite1107 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu awatunze wazazi wetu 😢

  • @JackSanga-n6r
    @JackSanga-n6r หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mzee chekibali kwa yote unayo pitia

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 2 หลายเดือนก่อน +23

    Wawache io mchezo pia yeye ni binadamu anastahili kuishi

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 2 หลายเดือนก่อน +21

    Mama anajua hii inshu ya watu kutekwa tekwa Ila kimya cz wanaotekwa sio viombe na sio watu ambao wana familia zao.... Mnaaumiza familia nyingi sana za watu kwa vyeo venu.... Je wako akitekwa itakuwaje????. acheni kutekana tekana

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mama anasema ni drama watu wanajiteka wenyewe
      Tupambane na Hali zetu

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน

      Subuhanallah. Kwelindiyoanasemahivyo?mama ​@@SaraJinalangu

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@SaraJinalangu kumbe ?

    • @djmackmovies.
      @djmackmovies. 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@SaraJinalangu hizo ni propaganda za kujificha

    • @EmmanuelSamweli-fk3nv
      @EmmanuelSamweli-fk3nv 2 หลายเดือนก่อน

      We ropoka tu utatatekwa na wewe😂😂😂

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 2 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu jamaa mchoraji mzuri sana

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 หลายเดือนก่อน

    Hasbunallahu wanemal wakeel

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 2 หลายเดือนก่อน +17

    Siku na saa ya kila mtu kupata HAKI yake na UJIRA wake ukaribu , mwenye kudhulumu na azidi , na mwenye kujitakasa ajitakase maana WAKATI umekwisha.

    • @luciasteven3314
      @luciasteven3314 2 หลายเดือนก่อน

      Yan skuiz had nasismka nikikutana n hizi comment 😂😂nikishituka tu usingzini nawaza palapanda inaweza lia muda wwte😢😢😢sichek kama mazur nacheka ila naogopa

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wazazi kijana kafa kishujaa hatasahaulika na haki itabakia kuwa haki na waliofanya hivyo hawataishi milele

  • @peterjr8073
    @peterjr8073 2 หลายเดือนก่อน +29

    Kwani watekaji uwa wanatumwa na nani au wanajitumaa😂😂😂😂

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 หลายเดือนก่อน +3

      navigogo wa kisiasa

    • @peterjr8073
      @peterjr8073 2 หลายเดือนก่อน

      @@aishaalbalushaishabalush8291 duuuuh atari sasa kama kakosea si sheria zipo angefungwa tu

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 2 หลายเดือนก่อน

      Tundu lisu😂 ​@@aishaalbalushaishabalush8291

    • @JfourHumbi
      @JfourHumbi 2 หลายเดือนก่อน

      @@peterjr8073 waliomteka huyo dogo nilile kundi lilompinga tundu lisu risasi bado hajakamatwa mpaka reo wanaitwa watu wasiojulikana nahajulikani wanatokea nchi gani

    • @WitnessMshana
      @WitnessMshana 2 หลายเดือนก่อน +1

      unacheka nini sasa 😢😢😢😢????

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 หลายเดือนก่อน +9

    Yaani kwa haya yanayo endelea jamani mtu unaweza kuwaza vitu vingi sana na ivi uchaguzi unakaribya na matukio ndo yanazidi kutokea kila siku 😢Na mama bado yupo kimia na Muda ukifika atasimama kuomba kura kwa haohao wazazi walio tekewa wa toto wao inatiya huruma kwakwelii😢

  • @ZuhuraHamadi-py4cu
    @ZuhuraHamadi-py4cu หลายเดือนก่อน

    Eee mungu mtie nguvu baba huyu

  • @vannymokoca358
    @vannymokoca358 2 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo ni mama samia kamuteka uyo amurudishe

  • @MakaayLukumay
    @MakaayLukumay หลายเดือนก่อน

    Pole ,tutamwomba Mungu apatikane

  • @WilleLonard
    @WilleLonard 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kila kitu kina mwisho hapa duniani tunapita TU mwenye hukum ni mungu TU.

  • @NasraNasra-l9q
    @NasraNasra-l9q 2 หลายเดือนก่อน +3

    Watanzani kama mlivo mchangia faini na kuachiwa huru, basi tuungane kumuomba MUNGU juu ya walio mteka awaadhibu mpaka wajulikane Dunian kote na ikibidi watembee wakiyataja majina yote ya walio wateka, naamin MUNGU anaona jinsi gani mioyo inauma kwa kukosa Amani.🙏

  • @AnnastaziaAnthony-v7g
    @AnnastaziaAnthony-v7g หลายเดือนก่อน

    Mh watu wasio Julikana kila siku mungu atusaidie

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi si comment mwanasheria wangu yupo nje ya Tanzania 🇹🇿

    • @georgekapinga6926
      @georgekapinga6926 2 หลายเดือนก่อน

      Hata angeluwepo huwezi toboa we pita kama mm

  • @KissaMwaibila-xp7io
    @KissaMwaibila-xp7io 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awape uvumilivu baba

  • @neemakoka599
    @neemakoka599 หลายเดือนก่อน

    Tanzania nchi ya amani
    Mungu tusaidie

  • @DaudiMakesen-f3y
    @DaudiMakesen-f3y หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe tz siyo kwamba kuna uhuru nikwamba sisi ni waoga

  • @SHINELOVETV
    @SHINELOVETV 2 หลายเดือนก่อน +23

    Sijui kama hatarudi maana akirudi lazima atoe Siri na aseme mahali alipokwepo na awataje waliyo mteka ...ifike hatua haya mambo yafike kikomo ...tunaipa sifa mbaya inchi yetu kwa matukio kama haya na pia aileti picha nzuri ndani ya taifa letu

    • @sakuranitillya6088
      @sakuranitillya6088 2 หลายเดือนก่อน +3

      Watanzania ni mizoga acha tutekwe tuuwawe ili tuamkeni

    • @jaclinejosiah3555
      @jaclinejosiah3555 2 หลายเดือนก่อน +3

      Wanawez kuhakikisha wanammaliza
      Maana wengi waliotekwa kupinga seriksli wanaonekana wakirud
      Kama yupo hai MuNGU atunze uhai wake

    • @NakkuAnderson
      @NakkuAnderson 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ila serekali inashika Sana roho za watanzania na haachiwi wanampiga risasi wanamuacha kwenye pori aliwe Kama yule mwanaharakati kumbe hawajampiga kichwani mungu huyuuu

    • @justerissaya9165
      @justerissaya9165 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli ata mi naona Kurd ningum ila angepewa baba ake ata km kafa auone mwanae man co poa

    • @NakkuAnderson
      @NakkuAnderson 2 หลายเดือนก่อน

      Wanauza harudi yule mwanaharakati ni mungu tu

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ayo mbona unachelewa kutoa taarifa ? hao wasiojulikana ifike wakati serikali ituweke wazi.

    • @reginas1832
      @reginas1832 2 หลายเดือนก่อน

      Serikali ndiyo inahusika

  • @PauloKenneth-lx5pv
    @PauloKenneth-lx5pv 2 หลายเดือนก่อน +6

    So sad 😢😢 pole sana Mzee chaula kwa haya unayoyapitia,mungu azidi kukutia nguvu wakati huu ambapo jeshi la police linafanya kazi yake.

  • @NazmaJuma
    @NazmaJuma 2 หลายเดือนก่อน

    M.mungu atamsaidia ataonekana🎉🎉

  • @fahamimiraji2338
    @fahamimiraji2338 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mzee wangu

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah inauma sana kiukwel maana mie sioni kosa hapo kwakweli hiyo pic ya rais ni pic kama zingine tu maana ni binaadam kama wengine kabisaa labda kama kuna jambo jingine nyuma ya pazia😢😢😢
    Pole baba naelewa maumivu yako Allah akupe subra kumpoteza mwanao ni kitu kigum ni Bora mtu afe uzike kuliko mtu kupotea miaka na miaka unakaa kusubir tu 😢😢💔

  • @kalvinmichael9848
    @kalvinmichael9848 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngolove akhotange mjomba😢😢

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 2 หลายเดือนก่อน

    Hizi tabia zimezidi Tanzania,nawaonya watawala acheni kujisahau mamlaka mliyonayo mmepewa na Mungu,hakika siku yaja kwamaovu yenu . Acheni kuuwa watanzania, inauma sana , Mungu hapendezwi na kipimo cha ghadhabu kikijaa mtaelewa hasira ya Mungu inavyofanana . Jifunzeni kwa waliokuwa wababe (mnawafahamu) lakini leo wako wapi walikufa vibaya km wanyama.

  • @fatumamohamed9614
    @fatumamohamed9614 2 หลายเดือนก่อน

    Mmh jamani mimi upande wangu siamini kama ametekwa,ila naomba nimwombe popote alipo mungu amlinde na amrudishe sarama akiwa mzima🙏🙏

  • @HassinaAlharthi
    @HassinaAlharthi 2 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah lahaula walakuwata ila billah

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee kajibu kuepuka shida Tanzania ya Leo mbona huko Zanzibar hawatekwi

  • @Fredricknyarobongo-g8p
    @Fredricknyarobongo-g8p หลายเดือนก่อน

    shida yetu watanzania kila mtu anajiangalia mwenyewe kwa hii akili yangu mm na aya yanayo tokea vijana wote tungejitokeza kukemea haya maovu

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 หลายเดือนก่อน

    Nyengine ninjama watu kufanya Yao,,siasa nimchezo mchafu ,muacheni kijana ,napia muacheni Samia kumpa lawama ,Mungu awaadhirishe Hawa watu

  • @freddywizzyTz255
    @freddywizzyTz255 หลายเดือนก่อน

    So sad Sanaa kama mzazi😭😭

  • @MusaNgao
    @MusaNgao 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni huruma, pole kwa wazazi na wote waloguswa. Tujitahidi kuishi vizuri na hizi teknolojia lakini kubwa zaidi tusisahau maadili mema katika maisha yetu ya kila siku. Chanzo cha yote haya ni kumomonyoka kwa maadili ya huyu kijana mwenzangu, dunia ni pana sana ila mimi na wewe ni sehemu ya chembe ndogo sana ya dunia hivo hatuwezi ishinda dunia tuishi kwa stara kwa maadili mema.

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kumbe picha ni kitu kikubwa sana

  • @prince001tv5
    @prince001tv5 หลายเดือนก่อน +1

    Majirani wetu wanateseka... Yaani hamna demokarasia iko wapi picha pia kitu Cha kuteka mtu.. MUNGU awasaidie, Tz na UG.. sisi Kenya wamtukana Rais na hakuna shida

  • @GwakisaMwasemele
    @GwakisaMwasemele 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mama mhurumieni huyu mzee, anaeongea fact

  • @AnethNkuba
    @AnethNkuba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Lakini Pia:
    HAKUNA WATU WASIOJULIKANA, LABDA KAMA WAMETOKEA KTK SAYARI NYINGINE!!!

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢Dah 😢😢pole sana daddy 😢

  • @katotoriznath6233
    @katotoriznath6233 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah huyo kacho picha tu na kapatikana fastaa na kutekwa juuu😭😭 ila kwetu vilio vinazid kutawala kwa kupotelewa kwa watoto wetu na wahusika hawapatikan bado😭😭😭😭

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 หลายเดือนก่อน

    Hebu kw wale tusioelewa hii hali tuombe dua ,Mungu alete jibu sahihi niakina nani Hawa, watekaji TANZANIA ???

  • @Zena-vv5sf
    @Zena-vv5sf 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mimi na swali aliyeiiba mabilioni ya hela na aliyechoma picha nani wa kutekwa kama ameshinda kesi mnamwandama ya nini

  • @Anitha-h4v
    @Anitha-h4v หลายเดือนก่อน

    Kuchoma 2 picha kakamatwa ila wa2 wanauwa kila sk wa2 wanabakwa na ha2oni kinachoendelea cjui tunaenda wap jaman Tanzania mungu tulinde sisi na familia ze2

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm หลายเดือนก่อน

    Mzeevelimu shida. Hajui sheria za nchi. Tuelimishane tujue sheria.

  • @bahatishabani1392
    @bahatishabani1392 2 หลายเดือนก่อน

    Dah😢

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana baba

  • @Mammy-eq7ef
    @Mammy-eq7ef 2 หลายเดือนก่อน

    Kwn kuchomwa picha ndio nn sana huyo samia sio mungu alaa hii sio haki kabisa yan bt... mungu yupo tu😢😢

  • @machimc-uu4oq
    @machimc-uu4oq 2 หลายเดือนก่อน +2

    Atamm simpendi mama samia

  • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
    @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 2 หลายเดือนก่อน

    Yani vitu vingine vinaumiza sana 😭😭😭😭 uyu mzee mungu amtangulie

  • @halimakuju6076
    @halimakuju6076 2 หลายเดือนก่อน

    Ukimuona huyu baba anaongea kama hana maumivu ila anaumia sana huyu mzazi tena sana mungu ajalie hilialipe anavyowexa allaha

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela หลายเดือนก่อน

    POLE SANA MZEE TUENDELEE NA MAOMBI MUNGU ATATOA MAJIBU TATIZO NI LILELILE NA WATEKAJI NI WALEWALE

  • @NakkuAnderson
    @NakkuAnderson 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hii serekali mungu atawalaani kwakuchukua roho za watanzania

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 หลายเดือนก่อน

    Maisha kama haya nanii ataipenda Ccm

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 หลายเดือนก่อน

    Aiseee Hawa watu kwanini msijipange wa Tanzania wanakuja mnawapiga na kuwachoma moto tu

  • @aiyaavibes7610
    @aiyaavibes7610 2 หลายเดือนก่อน

    Extremely sad... Tanzania sijui tunaenda wapi....pure evil

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hili halikwepeki ni serikali ya mama tu amrudishe kijana wa watu tusikwepe

  • @freddywizzyTz255
    @freddywizzyTz255 หลายเดือนก่อน

    Mzee mengine anayoyaongea hayuko huru anaogopa😢😢

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mtazamo wangu Mimi vyama vya upinzani vinaweza vikawa vimemchukua ili kupata Kiki ijulikane serekari ya Samia itafamika mungu amlinde awe salama

  • @Hussein_Mustafa_Parmar
    @Hussein_Mustafa_Parmar หลายเดือนก่อน

    Huyu anaetoa taarifa ya habari Ayo Tv anajiingiza hatarini kuongea kuhusu Serikali ya Tanzania inavyoteka watu wanaowapinga na kuwaua kisiri na anajitokeza mtandaoni labda angekuwa nchi nyengine kama watanzania waliokimbia kuenda Kenya, UK na nchi za ulaya na hata kule baadhi wanatafutwa na intelijensia ya Tanzania na wanauwawa na labda wanaolindwa na serikali zengine au wanajificha kule au wanakuwa hawaongei chochote mpaka wasahaulike

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi mtu aki poteya ndo basi kupata ni mthihani Kwakweli lkn mungu atamleta

  • @Richforever66
    @Richforever66 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwanini mungu hawauwi halaka watu waovu ??

  • @JohnNjavike
    @JohnNjavike 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupamoja nae.

  • @starjay3052
    @starjay3052 หลายเดือนก่อน +1

    mzee ivi usingizi unapata kweli dah

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mzee wawatu jamaaan😭😭😭 kafika mbali 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tanzania inaende wap

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee wawatu😭😭😭hiyo nchi jiongeze tuu. Ogopa chatu anayekubembeleza😭😭😭

  • @Felix-lo1cx
    @Felix-lo1cx หลายเดือนก่อน

    Daaaaa niatar

  • @Keyjop
    @Keyjop 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh...jmn hata kama wangemfunga tuu hiyo miaka kumi ila kumchukua mateka duh...hii sii sawa yule nikijana mdogo arafu na ujinha tu wa ujana angechapwa mboko kifinyo kidogo wangemuacha hai tu kumpoteza duu! Kujifanya wame msamehe mala kapotea tena ni huzuni .....😢

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa mzazi wa like nampa pole mamake na azidi kumuomba Mungu juu ya hili

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz 2 หลายเดือนก่อน

    Hii story iko seriously sana. Picha inaanza hapa, huyu kijana kwanza ni msanii, ana kipaji cha uchoraji. Just imagine alichora picha ya mama then akaichoma, akakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya dola, hukumu ikatoka, Akasaidiwa na watu akarudi uraiani, maisha yakaendelea baada ya siku kadhaa kupita akiendelea na maisha yake akatekwa na kupelekwa kusiko julikana.... What's next???
    Kama umenote maelezo ya mzee. Yeye hakuwa na shida mtoto wake kuhukumiwa miaka 2 maana angetoka jela akiwa na miaka 28 na angejifunza.
    Mmmmmh haya mambo mazito. Mungu asaidie huko aliko.😢

  • @rosemarykipesha4242
    @rosemarykipesha4242 หลายเดือนก่อน

    Mwanampumbavu anasumbua wazazi. Ktk maisha hata ukihic unayo haki ni bora kutumia busara yani fikiri kabla ya kutenda.

  • @kale_maga
    @kale_maga 2 หลายเดือนก่อน

    Daah

  • @noorrajpar3928
    @noorrajpar3928 หลายเดือนก่อน

    Kipindi cha Magu hii kitu ilikuwa hayapo jamani hao watu ni waselikari wanatumwa na serikali 😢😢😢😢

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole

  • @tidyclevertz
    @tidyclevertz หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana kwani kashapatikana au bado?

  • @irenejackson8852
    @irenejackson8852 หลายเดือนก่อน

    Hiv hajaonekan tu?

  • @Gdjn974
    @Gdjn974 2 หลายเดือนก่อน

    Mama anasema nn kwamba taarifa haijamfikia mbna kimya sasa