Sio waarusha tu waliokua wkiulizia makonda yuko wapi?nitanzania nzima kulikua na taharuki. Kwanini tujiulize tupate majibu. Mungu ibariki tanzania mungu ibariki afrika.Allah Awalinde wasimamiyao haki na wale waxalendo wa nchi hii na mbariki rais wetu mama samia na wasaidiz wake allah awasimamie wafanye kazi kwa uuadilifu mkubwa na kutujali sisi wanao tupngoza insha Allah
Mungu ni mwema kila wakat mungu amemrudisha makonda tunamshukuru mungu kwa kutujibu maombi yetu mungu tulikuomba yakuwa wewe unajua aliko makonda na sasa umemrudisha sifa na utukufu tunakurudishia
Miyo ya watanzania hasa wa arusha imepona .kweli anapendwa makonda bwana.mungu naomba umlinde,umtunze,umpiganie,umshindie na husuda ma yule mwovu shetani na mawakala wake
Rc Makonda Mungu wetu anasema KESHENI DAIMA MKIOMBA. HONGERA MUNGU NI MKUU KWSKO. NA ENDELEA KUZAMA ZAIDI. ADUI SHETANI HUZUNGUKA-ZUNGUKA KAMA SIMBA ANGURUMAE.....! KAA CHONJO BABA!
Hakika Makonda nadhani umeona jinsi watanzania tunavyo kupenda na yote haya yanasababishwa na utendaji wako wa kazi na kua karibu na watanzania wa aina zote, Mimi binafsi niliumia Sana Baada ya kutokukuona kwa muda mrefu Ila Hakuna Kama Mungu napia hata mke wa nyumbani anaweza kuribuniwa Ila Mungu Kwanza
Ulikuwa mkuu wa mkoa Dar watu wengi waliozulumiwa haki zao waliokua kwako haukuwaangusha Mpaka Wafanyakazi wa Uda waliokuwa wamezulumiwa mishahara yao na mwekezaji aliekuwepo uliwapigania wakalipwa NSSF na Mishahara yao yote bado mtu mmoja mmoja he Mungu Skype Nini kwanini asikulinde kiasi Cha kuwashangaza maadui zako? Usilipize Ubaya kwa Ubaya uliotendewa Waombee kwa Mungu ili waishi Miaka mingi na wapate kuona mafanikio yako unayopatiwa na Bwana
Makonda oyee.tumetulia sasa.ole wenu mumuue hamtakula hizo bata zenu kwa raha.makonda jihadhari na kuandaliwa vyakula na vinywaji .karibu mheshimiwa achana navyo beba chakula kutoka nyumbani
Makonda ujichunge sana ndugu yetu Unamaadui wengi sana.Hata soda ya mtu usinywe.Kula chakula cha mke wako tuðð
Ajichungeje kwa mfano
Wooowooo... Welcome back.. Mh. Makonda tulikumiss sana kwa kweli
god bless you and protect you from your enemy my father,,,,,,,the last god bless you and give you the needs of your heart
Allah sbt akulinde Mr.Makonda
Aleluya aleluya Mungu akulinde akuzingile malaika akupiganie Malaika akuponye
Makonda âĪ
Mungu akuepushe na maadui
Amina
Mungu ni mwema asante mungu kwa kumrudisha makonda
Sio waarusha tu waliokua wkiulizia makonda yuko wapi?nitanzania nzima kulikua na taharuki. Kwanini tujiulize tupate majibu. Mungu ibariki tanzania mungu ibariki afrika.Allah Awalinde wasimamiyao haki na wale waxalendo wa nchi hii na mbariki rais wetu mama samia na wasaidiz wake allah awasimamie wafanye kazi kwa uuadilifu mkubwa na kutujali sisi wanao tupngoza insha Allah
Welcome back kiongozi wetu, tunakukubali sana, Mungu akutunze.
King back homeâĪ
Wsropokaji sasa tuambieni mlipatawa abari sumu maana kuropoka mnapenda sana
Waropokaji, habari
Baba karibu tena Mungu aendelee kukutunza usiwaamini watu kula nyumbani kwako
Mungu ni mwema kila wakat mungu amemrudisha makonda tunamshukuru mungu kwa kutujibu maombi yetu mungu tulikuomba yakuwa wewe unajua aliko makonda na sasa umemrudisha sifa na utukufu tunakurudishia
Tunakupenda rc makonda
Hongera sana jembe kurud ukiwa salama
Mungu ni mungu amejibu maombi yetu Paul makonda kuwa hai yesu akuzingire kwa moto na kwa nguvu ya mungu, muamini mungu tu ndiyo rafiki yako makonda.
Damu ya Yesu imfunike makonda
Ahsante Mungu umejibu maombi yetu hatimeye Mtetezi wetu amerejeaðð
Miyo ya watanzania hasa wa arusha imepona
.kweli anapendwa makonda bwana.mungu naomba umlinde,umtunze,umpiganie,umshindie na husuda ma yule mwovu shetani na mawakala wake
Rc Makonda Mungu wetu anasema KESHENI DAIMA MKIOMBA. HONGERA MUNGU NI MKUU KWSKO. NA ENDELEA KUZAMA ZAIDI. ADUI SHETANI HUZUNGUKA-ZUNGUKA KAMA SIMBA ANGURUMAE.....! KAA CHONJO BABA!
Unakubarika
Hakika Makonda nadhani umeona jinsi watanzania tunavyo kupenda na yote haya yanasababishwa na utendaji wako wa kazi na kua karibu na watanzania wa aina zote, Mimi binafsi niliumia Sana Baada ya kutokukuona kwa muda mrefu Ila Hakuna Kama Mungu napia hata mke wa nyumbani anaweza kuribuniwa Ila Mungu Kwanza
Ulikuwa mkuu wa mkoa Dar watu wengi waliozulumiwa haki zao waliokua kwako haukuwaangusha Mpaka Wafanyakazi wa Uda waliokuwa wamezulumiwa mishahara yao na mwekezaji aliekuwepo uliwapigania wakalipwa NSSF na Mishahara yao yote bado mtu mmoja mmoja he Mungu Skype Nini kwanini asikulinde kiasi Cha kuwashangaza maadui zako? Usilipize Ubaya kwa Ubaya uliotendewa Waombee kwa Mungu ili waishi Miaka mingi na wapate kuona mafanikio yako unayopatiwa na Bwana
Karibu tena mwanamapinduzi. Tumefurahi umerudi.swala la ulikuwa wapi halina sababu mradi umerufi chapa kazi.
Mchapakazi kazi iendeleee
Kweli jembe umepoa sana mungu akutie nguvu peke yako hutaweza
Makonda unafaa kuwa rais kabisa
Na waliompa sumu ndo hao hao wanaotaka kujua eti makonda alikua wapi yanawahusu Nini sasa
I miss you poul makonda so much âĪâĪâĪâĪ
Kweli we ni Ebeneza
Loho yangu imetulia Sasa mungu akulinde saaana kaka 6:19
Makonda mimi nakulilia uwe rais naamini nchi itaenda sawa
Waooooo
Mbona uwanja mbaya hivyo
Kama mimi mbona nilikua sili jamani japana uko myoni mwetu
Naona km poa makonda
tuachieni makonda wetu, wengine bado tunaendelea Na Ibada ya Sala Kwa ajili yake
âĪâĪâĪ
Kifo cha mtu hupangwa na Mwenyezi Mungu huwezikufa mpaka Tarehe ifike
Mbona hajasema sasa alikuwa wapi!!!
Bora mkae kimya kuliko kuunganisha picha za zamani
Hivi hii ya zamani etti???? Duuu naanza kuvunjika moyo
Kwa kwel nimefrahi, mung wetu ni mwema
sio tu watanzania bali afrika nzima,mm nimu congo ila nampenda zaidi mh-makonda makonda ndie mwamba tumebaki naye afrika!
Binti aliyebakwa
Panaanza kuchangamkaaa chuma hiki
Mhh nimeanza kutoamini hiii ya zamani mbinguni hamuendi nyie kwa uongo huuu!!!!
E ni bora hata amerudi, awe makini sasa maaana hata kama una imani kali lakini tahadhali ni muhimu
Tulikums San baba
Mchungaji unashangaza ma rc wengi huenda likizo kimya na kurdish kimya.kinywa cha mchungaji huyu kinanitua mascara.likizo sio tangazo la mnada
Kaa chonjo sana na misekeretali na wapishi wapishi ndio wanaomaliza wakuu.
Makonda komboa taifa bc
Ila amekuwa mpole siyo yule tuliyemzoea ð ð
Hii n y zaman,
Si mueleze ndege hiyo inatua Kisongo kutokea wapi? Eg Nairobi,Dar au Mwanza??????
Ubusemen ukweli mbona tudanganywa
Ila uongo mnauweza
Nikwe jamani
Makonda oyee.tumetulia sasa.ole wenu mumuue hamtakula hizo bata zenu kwa raha.makonda jihadhari na kuandaliwa vyakula na vinywaji .karibu mheshimiwa achana navyo beba chakula kutoka nyumbani
Wapuuzi sana
Hamna habari nyingine? Mbona waongo hivi
Afadhal kama kwel umerejea makonda
Hayo ya kuwa wapi hatiuyataki tena likibwa karudi hatujanyang'anywa,na umbea tuache tufanye kazi Kwa bidii
Yaani nyie jamani hii pc mbona yazamani!!!!!
Sikutarajia kabisa kama chombo kama hiki cha habari kinaweza rusha taarifa za uongo kabisaa
Inamana sio kweli haja onekana
Uongo upi sasa hapo ?? Fafanua
kumbe tumeokotwa nikajua mheshimiwa karudi kweli daa kweli waandishi wengine makanjanjaaa
@@teddyhenry2579 yupoo
Mungu akuepushe na maadui