VIONGOZI WOTE WAKUU WA NCHI WAHAMIA USAFIRI WA TRENI YA KISASA NA KUACHA USAFIRI WA NDEGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 16 วันที่ผ่านมา +5

    Hongera sana jpm haya tungeskia nchizajilani jpm ungekuwepo mpaka Leo mh tungetamba sana yani

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 16 วันที่ผ่านมา +2

    Asanteni tunaomba mfike mwanza kigoma moshi tanga as soon as possible we really need it 😊

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 14 วันที่ผ่านมา

    Mbunge wetu Hai amenisisimua sana kudai SGR Dar Moshi Hadi Arusha maua kwako UTALII Kilimanjaro peak of Africa

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 15 วันที่ผ่านมา

    Kama ulayaaaaa, Safi sana Mama Samia safi sana Tanzania

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 12 วันที่ผ่านมา

    Dunia ya kwanza hawapo tena kwenye hii inshu wao wanawaza kuhamia mwezini cc rely😢😢😢😢

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 9 วันที่ผ่านมา

    tunaomba SGR TAZARA wateja tupo kwa wingi

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 14 วันที่ผ่านมา +1

    Je na wale viongozi wanoatoka mkoa wa RUVUMA waendaje

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 11 วันที่ผ่านมา

    Tanzania tuko nyuma kwa kila kitu isipokuwa uchawa. Mtangazaji anasema tumsikilize mzee Pinda lakini hakuna sauti na amerusha bila kujua sijua alikurupuka au ni ujinga na uzembe tu. Ni aibu. Tumekuwa mabingwa na mafundi wa mipasho na majungu na uchawa wakati wenzetu wanasonga mbele.

  • @DeusdeditMorgan
    @DeusdeditMorgan 9 วันที่ผ่านมา

    Hima hima TRC na ufike jiji la mwanza usafiri huu wa SGR

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 16 วันที่ผ่านมา +1

    Umechemka

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 14 วันที่ผ่านมา

    Si unaona wameshaanza kuweka maji mdiridirishani badala ya mezani. Huyo ndo Mtanzania. Miezi Michael tuu kila kitu kitakuwa kimeharibika na kunyifolewa.😢

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 8 วันที่ผ่านมา

    SGR ni nzuri lkn serikali muwe macho sana kulinda miundo mbinu, malizeni kwenda mwanza tuachane na ndege.

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re 16 วันที่ผ่านมา

    Treni ya SGR bunge la Tanzania tungeni sheria kali kabisa kwa watu wanaohujumu hiyo treni yaani iwe kwamba mtu akihujumu adhabu yake iwe ni ya mauaji ili asisalimike na wale waliomtuma wajue kwamba moto umewaka. Lakini kama tutachekeana hivihvi tutaona lakini hatari ni kubwa mno.

  • @issamuhammedi
    @issamuhammedi 13 วันที่ผ่านมา

    Ila msieke sura za tren nyengine

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kiongozi mkubwa kuliko wote duniani ni Mungu pekee hawa wengine ni binadamu tu kama wewe

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 15 วันที่ผ่านมา

    Wewe huoni kuwa ATCL yauawa na neema hii ya TRC? Kila masika na mbu wake 😢

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 16 วันที่ผ่านมา

    Viongozi waliostaafu kama mizengo wanaona aibu kutumia miradi iliyotengenezwa na magufuli
    Wakati wao wapo madarakani kazi safari za nje tu

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 16 วันที่ผ่านมา +1

      Tena kibaka mzee 😂😂😂

  • @PineTree-n9y
    @PineTree-n9y 15 วันที่ผ่านมา

    Lakini hizo tren ni za kasikazini tu mbona kusini hawatekelezi mtwara to mbamba bay