MWANZO MWISHO TAZAMA ILIVYO NDANI TRENI MCHONGOKO UFAHARI WAKE KWA DEREVA, VYOO, SITI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 163

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 หลายเดือนก่อน +37

    J.P.M alisema watanzania tunaweza na kweli tumeweza👏👏👏💪🇹🇿🇹🇿

  • @mirajiathumani8221
    @mirajiathumani8221 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mtetezi wa wanyonge mungu akupe pepo njema jpm baba

  • @MwakasegeShukuru
    @MwakasegeShukuru 2 หลายเดือนก่อน +13

    Hongera mama kwa kumalizia kazi,umeweza sn na tupo pamoja

  • @snadahfunnyvd2051
    @snadahfunnyvd2051 2 หลายเดือนก่อน +49

    Likes nyingi kama unamkubali MAGUFURI👍❤

  • @wilfredmaimu1958
    @wilfredmaimu1958 2 หลายเดือนก่อน +21

    Jpm nitakukumbuka daima MUNGU akupe fraha ya milele.

  • @paulinalala1693
    @paulinalala1693 2 หลายเดือนก่อน +2

    hongera Rais samia kwa kuendeleza kz alioiacha mwenzako
    Barikiwa MUNGU aendelee kukupa HEKIMA

  • @allyhajikidawa6163
    @allyhajikidawa6163 2 หลายเดือนก่อน +9

    mama umetisha sana mungu akubarik

  • @omaryabdallah9747
    @omaryabdallah9747 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tumsapoti mama kwa jitihada,pia tusimsahau Baba.Pamoja tunaweza

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 หลายเดือนก่อน +1

      Mama kafanya nn kwenye huo mrado na wewe! Mbona mnajitoa fahamu

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 2 หลายเดือนก่อน +9

    ABARIKIWE MWENDA ZAKE

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 2 หลายเดือนก่อน +21

    JPM alikuwa muona mbali

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 2 หลายเดือนก่อน +35

    Magufuli magufuli magufuli

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 หลายเดือนก่อน +5

      Samia Samia Samia

    • @RojasZebanga
      @RojasZebanga 2 หลายเดือนก่อน +4

      Magu

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 2 หลายเดือนก่อน +4

      Kwa kweli kabisa kwanza Tumshukuru Mungu lakini pia Maraisi wetu wawili alianzisha na Alie malizia huwezi kumuacha hata mmoja wote wamefanikisha

    • @saidantugwa7671
      @saidantugwa7671 2 หลายเดือนก่อน +1

      kuma we samia kafanya nni ssa unaleta mapenxi kwenye vitu vya serious itakuwa ww mpemba afu shoga​@@Abuu-gs1yi

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola 2 หลายเดือนก่อน +5

    Magu ni mtu na nusu

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 2 หลายเดือนก่อน +12

    JPM...huu ndio upendo wa Baba kwa wanawe

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sawa ila Magufuli hakuinunua hii,,,alianzisha mradi na Mama Samia anaendeleza so pongezi ni kwa wote

    • @alexjohn7361
      @alexjohn7361 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Abuu-gs1yihizi treni na mabehewa unazoziona viliagizwa mapema sana mwaka mmoja tu baada ya mradi kuanza.

    • @mohdkhamis2914
      @mohdkhamis2914 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@alexjohn7361unaongea kama ulihusika kutangaza tenda Watanzania kwaujuaji bwana

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@alexjohn7361😂😂😂 DUH WE ALEX MBONA MUONGO!! AWAMU HII HII YA MAMA SAMIA HATUA ZOTE TANGU WALIPOSAINI MKATABA NA WAKOREA WA KUUNDA HIZI TRENI KTK AWAMU HII WAMETUONESHA HAIKUWA KIPINDI CHA MAGU, WAKATI ZINAUNDWA NCHINI KOREA PIA WAMETUONESHA MPAKA ZILIPOFIKA BANDARINI PIA WAMETUONESHA, MAGUFULI ALIKUWA AMASHAKUFA ZAMANI TENA ALIIACHA RELI KUTOKA DAR MPAKA MORO ILIKUWA BADO HAIJAISHA MAMA AKAIMALIZIA NA KUENDELEA KUIJEJA. NDUGU UNATUDANGANYA ILHALI VIDEO ZOTE HIZO ZIPO HAPA HAPA TH-cam.

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 2 หลายเดือนก่อน

      hakuna lolotee lofaaa wew hiyoo yote nguvu ya mama tu hiyoo rohoo ya kibaguzii mpelekeee mnyarwanda kungunii mjingaa wewe😂😂😂

  • @HuseinMwakindole
    @HuseinMwakindole 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera mama yetu kwa kupambania nchi yetu maana mzee upewe sifa yako, 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiswahili mtangazaji,usiseme tumetumia saa tatu,sema tumetumia masaa matatu

  • @jamesthomas390jj
    @jamesthomas390jj 27 วันที่ผ่านมา

    Aaah kuna pisi moja imepita hapoo

  • @edithafrancis847
    @edithafrancis847 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maono haya ni ya Mzee Magu, Mama nae kamalizia maono ya kipenzi chetu, alale mahali pema peponi

  • @Abuu-gs1yi
    @Abuu-gs1yi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Pongezi sana kwa mh,rais Mama Samia S Hassan jitihada zako zinaonekana ingawa wengine wanafumba macho na kuziba masikio

    • @gregory6165
      @gregory6165 2 หลายเดือนก่อน

      sio wanafumba macho wanamjuwa muhusika harisi😂😂😂

  • @mkude
    @mkude 2 หลายเดือนก่อน +22

    HONGERA MAMA SAMIA SULUHU

  • @japhetchambanenje5483
    @japhetchambanenje5483 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama anaendelea kuupiga mwingi

  • @silverman6930
    @silverman6930 2 หลายเดือนก่อน +1

    Excellent why we pay Tax … safi sana I feel like I’m England.. its better than Uk though 😄😄😄

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 2 หลายเดือนก่อน +8

    Visokorokwinyo utawajua tuu, Mama piga kazi wenye wivu wajinyongeee

  • @daudimlawa5910
    @daudimlawa5910 2 หลายเดือนก่อน

    Juzi tu leo imebumia soga

  • @petymusa85
    @petymusa85 2 หลายเดือนก่อน

    Munauhakika huo mlango utafunga mpaka miaka saba ijayo

  • @christiancalvin2183
    @christiancalvin2183 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa maelekezo hayo hata mm naweza kuiendesha

  • @LelemaMtusi
    @LelemaMtusi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ashukuruwe magufuli alama zake hazitafutika kamwe

  • @anthonypatrice5247
    @anthonypatrice5247 2 หลายเดือนก่อน

    Kodi ya wananchi imetumiwa viziri tulimsema sana JPM, ila vyote alivyofanya vinadhihirisha kazi aliyofanya.RIP JPM

  • @HuseinMwakindole
    @HuseinMwakindole 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakuomba mama uendelee kutumia hiyo paisogorasi ya jpm

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 หลายเดือนก่อน

    WTZ kweli bado huko wenzetu wamesha toka tujitafute

  • @JaphetMachai-gv1xp
    @JaphetMachai-gv1xp 2 หลายเดือนก่อน

    Magufuli kazi zake zinaishi mpaka sasa

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 2 หลายเดือนก่อน

    Aya tunasbiri maajabu mengine kama haya ya mzee magu. Yeye alimaliza na tunaona

  • @BarakaJoshuaMichael
    @BarakaJoshuaMichael หลายเดือนก่อน

    Sawia

  • @eliasluchanganya1522
    @eliasluchanganya1522 2 หลายเดือนก่อน

    Mgufuli 🔥🔥🔥🔥

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 หลายเดือนก่อน

    MAGFULI

  • @AthumaniddIdd
    @AthumaniddIdd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo ya magufuli hayo hakika alikuwa na uchungu na nchi yake

  • @musamchaga7103
    @musamchaga7103 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wahudumu jaman❤❤❤

  • @piusemanuel5986
    @piusemanuel5986 2 หลายเดือนก่อน

    Dhambi za magufuli wapewe watanzania wote

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 หลายเดือนก่อน

    Magufuli was a bull. His visions are unmatched to date

  • @venocyber_tech
    @venocyber_tech หลายเดือนก่อน

    Badilisheni jina treni ya mchongoko ndo Nini acheni kujiaibisha tuonakane wabongo washamba

  • @ANTHONY.V.I.Ptanzania
    @ANTHONY.V.I.Ptanzania 2 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani ungefufuka angalau uone ndoto ulopgania kwa jashonadam.watu mwameanza kujishauwa kujifanya wao ndo wamefanya.ila baba tunakukumbuka kama ulivosema😢😢😢😢

    • @MwashumuNassoro
      @MwashumuNassoro 2 หลายเดือนก่อน +1

      Acheni roho mbaya wote wanastail pongezi wakristo ndio zenu

    • @ANTHONY.V.I.Ptanzania
      @ANTHONY.V.I.Ptanzania 2 หลายเดือนก่อน

      @MwashumuNassoro mbona unajiongeza broo,mara wakristo,hakuna alotajwa jina wala dini.balance shobobrooo

  • @SilverKivamba
    @SilverKivamba 2 หลายเดือนก่อน

    Nikweli mchongoko lakin sy kama ile ya magu. magu alisema ije ile kama ya china kwanz huoni hata sehemu ya maungio ya mabehewa

  • @elibaricksadock9562
    @elibaricksadock9562 2 หลายเดือนก่อน

    Vivaa magufuli

  • @xyz-v6d
    @xyz-v6d 2 หลายเดือนก่อน +18

    Watanzania tuipende nchi yetu.Hata kwenye majukwaa mengine tusiseme vibaya nchi.Hata tukichekwa hatujui hili wala lile,tusikate tamaa maana hatushindani na mtu.Tupende tu ya kwetu,hatuna nchi mbdala

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kweli kabsaa

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 2 หลายเดือนก่อน +3

      Sawa ila ccm tuitoe madarakani

    • @xyz-v6d
      @xyz-v6d 2 หลายเดือนก่อน

      😂Ndio ukapige kura sasa.Vijana wengi hasa wa kiume wanaongeaga points mtandaoni ila siku ya kupiga kura mstarini wamejaa kina mama wa makamo ​@@kuchimillionaire6683

    • @Jamesmwakisambwe
      @Jamesmwakisambwe 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sawa lakini kitu kimoja mimi sijaenda yale kama ya zamani magufuri akutaka hayo mm sijapenda kwa sababu imesababisha watu wanao tumia hilikuwa nagharama kubwa

    • @MubaKhamis
      @MubaKhamis 2 หลายเดือนก่อน

      Lkn hyo treni imetengenezwa na ccm unayotaka itolewe madarakani unatembea juu ya lami zilizoekwa na ccm huku ukiiponda ccm.bado unaumwa unakimbilia hospitali zilizojengwa na ccm nakama haitoshi kama huna mtoto basi ni wewe ulisoma shule zilizojengwa na ccm​@@kuchimillionaire6683

  • @arttilioemiliam2419
    @arttilioemiliam2419 2 หลายเดือนก่อน

    Mama anatatuketea na underground Tereni. KAZI iendelee

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 หลายเดือนก่อน

    KIUKWERI sasa iv tuna save pesa shilika la ndege wana kazi tu kichelewa kukata bei ina panda ata ivo masaa matatu machache sana dar to dodoma kwa palivo palefu mda fupi snaa

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jpm jpm

  • @adeodatuskakorozya9064
    @adeodatuskakorozya9064 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie waandishi mnaharibu Kiswahili, ni ‘saa tatu’ si ‘masaa matatu’

  • @kaunjejuma2023
    @kaunjejuma2023 2 หลายเดือนก่อน

    Wakenya tunaumia uku

  • @kelvinnkaka5008
    @kelvinnkaka5008 2 หลายเดือนก่อน +1

    He should also explain in English. Some people don't and stand Swahili at all and would love to know more about that good development that is taking place in Tanzania.
    Moreover, Tanzaania is one of the preferred Tourist destinations and obviously tourists would like to use that train than buses.

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 2 หลายเดือนก่อน +2

      Umealikwa??hawaki wenyewe😂

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 2 หลายเดือนก่อน

      Vimburu hawakoselani

    • @djmrema
      @djmrema หลายเดือนก่อน

      I don’t understand why he should explain in English, while in Tanzania not everyone understands Swahili.

    • @kelvinnkaka5008
      @kelvinnkaka5008 หลายเดือนก่อน

      @djmrema Alright, but 90% do understand Swahili, am sure you will agree with me. You know that language barrier can also be a barrier to good business??

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 หลายเดือนก่อน

      ,kwjili yawatazania English wich

  • @josephatodimary3633
    @josephatodimary3633 2 หลายเดือนก่อน

    Alikufa Kwaajili ya kupigania haya leo tunafurahia haya kwasababu yuko mtu ali sacrifice maisha yake Kwaajili ya watanzania

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 2 หลายเดือนก่อน

    J.P. M ❤🎉🎉🎉❤

  • @RobertMgore
    @RobertMgore 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jpm mwamba

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 2 หลายเดือนก่อน

      Yuko peponi sasaivi

  • @erickenock3198
    @erickenock3198 2 หลายเดือนก่อน

    Vina mudaa!!

  • @timamulituto
    @timamulituto 2 หลายเดือนก่อน +2

    Magufuli ampe pepo uko aliko bila yeye aya mambo tusingeyaona

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 หลายเดือนก่อน

      Hii hakuinunua Magufuli ni jitihada za uongozi ulioko madarakani chini Mama Samia

    • @lizzyford4622
      @lizzyford4622 2 หลายเดือนก่อน

      Jidanganye hivi vilikuepo kitambo ilibaki mradi tu ukamilike vianze kazi
      Kivyovyote JPM aliupiga mwingi kwaajili ya Tanzania ya leo​@@Abuu-gs1yi

  • @ElkanaLeha
    @ElkanaLeha 2 หลายเดือนก่อน

    Waoooh

  • @Adamadam-du5vx
    @Adamadam-du5vx 2 หลายเดือนก่อน +9

    Umasikini mbaya sana kwawenzetu Aya mambo yakusema Fulani kafanya iv izo nikodi zetu ndugu

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 2 หลายเดือนก่อน +8

      Kodi kweli ni za kwetu ila huyo wa kuzisimamia zifanye mambo haya ndo changamoto wengi wakipata chance wanachumia matumbo yao,ila magufuli ali thubutu.

    • @mkude
      @mkude 2 หลายเดือนก่อน +4

      Hongera MAMA SAMIA SULUHU

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 2 หลายเดือนก่อน +3

      Hongera serikali yetu kwa mafanikio haya

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani zamani ulikua hulipi kodi 😂😂

    • @irenewile
      @irenewile 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ujerumani yapo sana na tunaishi nao wanasema sana ,,acha akili ya kuganda

  • @PapiiGosugosu-f7z
    @PapiiGosugosu-f7z 2 หลายเดือนก่อน +4

    Magu alithubutu

  • @raajabchaka8682
    @raajabchaka8682 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ifike pahali Tumuache Mama apigee Kazii A lot have been talked about at street lakin Ingawaje Inishieta Ni mwangine lakin Huyu Mama anapiga Kazi Sio Pouwa.a. Five star Kwa Mama kokote Alipoo..❤

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 2 หลายเดือนก่อน

      Tumechoka nchi yetu kuuzwa

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 2 หลายเดือนก่อน

    Mama samia sasa wewe tengeneza kombora la masafa marefu ili ukimaliza muda wako uwe alama ya tz

  • @feresianlugera-it8vh
    @feresianlugera-it8vh 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kutka dodoma hadi dar kwa gari inayokimbia ni masaa mngapi?

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯

  • @liberatedpeople6054
    @liberatedpeople6054 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi naombeni namba ya muhudumu jamani daah

  • @innocentsheghembe
    @innocentsheghembe 2 หลายเดือนก่อน

    mnaelezea namna ya kuendesha wakiiiba je?

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 2 หลายเดือนก่อน

    Woi kumbe ni auto hata mm naendesha😂😂

    • @irenewile
      @irenewile 2 หลายเดือนก่อน

      Nenda kaendeshe

    • @shadrackkassale2968
      @shadrackkassale2968 2 หลายเดือนก่อน

      @irenewile kalete apa

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 2 หลายเดือนก่อน

    Train ya gholofa inaanza lini

  • @adinantv4701
    @adinantv4701 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi jina la trein mchongo halipo sawa kwa nini hawatafuti jina ambalo litakuwa na matki mzuri kwa Tanzania kama majina ya mbuga au vivutio vya utalii tukaitanga nchi hapo wakae chini wajitasimini kwenye jina

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hizi treni zote zina majina yake - Nyerere Express, Magufuli Express, Samia Express....... aina ya treni ni EMU lakini wananchi wanaziita mchongoko badala ya EMU sababu ya muonekano wake - Mchongoko ni AKA

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 2 หลายเดือนก่อน

    Magufuli wetu

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 2 หลายเดือนก่อน

    Ivi kikwete nae aliachaga kitu ivi eti?

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Ni class ipi inayo Screen kwenye kiti na mfuko wa kuweka vitu ? Na je ni class ipi ukiweka mabegi yanajifungia kama kwenye ndege na yanakuwa hayaonekani?

    • @Assu89Ma2ly-xt4np
      @Assu89Ma2ly-xt4np หลายเดือนก่อน

      Za aina hiyo bado hazijakuja zitaagizwa baadae,

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anaekubali magu yupo peponi anilike sasaivi

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 2 หลายเดือนก่อน

    Swali eti Kwa Nini kwenye Treni viti waga havina mikanda kama kwenye Basi

    • @Ramoko5040
      @Ramoko5040 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa sababu treni haifungi breki ghafla!!.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 หลายเดือนก่อน

      @josephatn5040 Mmmm kumbe sijalizika na hoja yako

    • @Ramoko5040
      @Ramoko5040 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@MashakaMagesa Wewe unadhani kwanini magari yana mikanda. Sababu ni kumzuia abiria asirushwe au kujigonga kwenye dashboard

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 หลายเดือนก่อน

      @josephatn5040 majua magari Yana mikanda Endapo ajari ikitokea itasaidia

    • @Ramoko5040
      @Ramoko5040 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@MashakaMagesa Probability ya ajali ya treni kutokea ni ndogo kuliko ya magari. Wewe mara ya mwisho kusikia ajali ya treni ya abiria duniani ni lini?. Hata kwa wenzetu ambako treni zinakwenda kwa kasi ya zaidi ya kilometa 300 kwa saa, ni nadra sana kusikia ajali, na kwenye treni zao hakuna mikanda!!. Kwa kifupi ni kwamba, usafiri wa reli ni mojawapo wa usafiri salama duniani.

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi mnajitambua kweli hizi ni treni za kawaida tu huku ughaibuni ni daladala zinapeleka raia Kila siku kazini hata hapo south Africa zimejaa kibao tu achana nahuku ulaya na America

    • @J4UPro
      @J4UPro 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani shida ipo wapi?

    • @AliciaKyai
      @AliciaKyai 2 หลายเดือนก่อน

      @J4UPro poleni sana ndo uelewa ulipofikia mwisho siwezi kuwalaumu

    • @salumshann7002
      @salumshann7002 2 หลายเดือนก่อน +1

      We hangaik na za huko kwenu ulaya

    • @AliciaKyai
      @AliciaKyai 2 หลายเดือนก่อน

      @salumshann7002 thinking capacity yenu imefikia hapo

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tunajivunia za kwetu we kaa huko ughaibuni fala wewe

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 หลายเดือนก่อน

    Choo kuita msalani si sahihi na sikiswahili sahihi ila kwakuwa ni mazoea basi ndio tunatumia

    • @Wastara001
      @Wastara001 2 หลายเดือนก่อน

      Sahihi ni vipi?

    • @Worldunite
      @Worldunite 2 หลายเดือนก่อน +1

      Maliwato

    • @mwalimumstaafu8529
      @mwalimumstaafu8529 2 หลายเดือนก่อน

      Tupe kiswahili sahihi

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni sahihi maana inaonesha ustaarabu

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Worldunitemaliwato ni sehemu ya kuogea yaani bafu

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 2 หลายเดือนก่อน

    Umesoma hadi una degree unakuwa konda wa treni

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 2 หลายเดือนก่อน

      Kusoma degree sio kwa ajili ya kuajiriwa ofisini. Ni kwa ajili ya kujikwamua kimaisha kwa kutumia maarifa uliyosome. Ukitoka Sokoine nunua au kodisha shamba ulime. Sio ukae kwenye viti wizara ya ardhi. Kwanza havitoshi.

    • @jrsaid4270
      @jrsaid4270 2 หลายเดือนก่อน

      @joycelinelyimo-fenske8745 Sawa nenda na wewe uwe konda

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 2 หลายเดือนก่อน

    Ata mie ayo masa matatu na nusu natoboa na gari waache mbambamba apo watumie masaa mawili tu

  • @AliphonceMartina-q1u
    @AliphonceMartina-q1u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tunamjua Magufuli tu hao wengine ni matapeli kama matapeli wengine 2

  • @HuseinMwakindole
    @HuseinMwakindole 2 หลายเดือนก่อน

    Lakini hapo watanzania tulivyo hata hiyo nayo tutaihujumu ili biashara ya mabasi iendeleee tanzania bwana ,

  • @gastonpeter4265
    @gastonpeter4265 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania walivyo waharibifu hivyo vyoo nakupeni miezi 3 tu vinakuwa takataka 😊

    • @shomarirajabu309
      @shomarirajabu309 2 หลายเดือนก่อน

      Hizi watapanda wenye uwezo tu! Ni shs.120000 mpaka shs.150000

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 2 หลายเดือนก่อน

      Yawezekana unavyohisi ni kweli... ila nakuuliza! Una ushauri ghani kwa watanzania ili vyoo visiharibike?

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola 2 หลายเดือนก่อน +1

    Magu ni mtu na nusu