Hakuna kusifia kwani snalipwa pesa defu haya ya kusifia ndio wanasababisha kuharibu KAZI nchi za wenzitu wanasema amefanya nyanayostahili hizi za blabla sio Kazi hao wachina wanafanya KAZI hawana maneno maneno
Siyo kama Waturuki, Dr-Morogoro mpaka sasa kila siku tunaambiwa mara asilimia 90 mara 98 mara 96 sasa tunashindwa kelewa ni nini maana yake ama ndiyo fuzzy maths?
Kazi nzuri katika kipande hiki kina chonachojengwa na Wachina lakini kwa kipande no 3 na no4 vinavyojengwa na Waturuki kazi siyo nzuri kabisa na Serikali inabidi ifuatilie kwa karibu sana.
Mapungufu ya JPM sijui alikuwa na beef gani na Wachina! Angewapa mradi huu mzima Wachina, kwanza gharama ingekuwa ndogo, ubora maradufu na ungeifungulia Tanzania kuwa preferred state kwa China. Hata bwawa la Nyerere. Wachina wamewapita Wazungu mbali sana katika uhandisi. Taabu ya elimu ya Tanzania haitoi upeo wa dunia, maana hilo linataka kujua lugha.
Can't wait to travel with electric train from Dar to mwanza
Why ?😂 it seems you will not be alive by next year 😂
@Bertin... I am eager to get there too! Thanks for your channel which help us tonget up dates...!
Pamoja!😂
SAF SANA N KWEL MAPUNGUFU HAYAKOS ILA MNAJITAHID GOD BLESS
Hongereni sana kwa kazi nzuri
mchina arembagi kazi kaka
Hii nikubwa sana
Hakuna kusifia kwani snalipwa pesa defu haya ya kusifia ndio wanasababisha kuharibu KAZI nchi za wenzitu wanasema amefanya nyanayostahili hizi za blabla sio Kazi hao wachina wanafanya KAZI hawana maneno maneno
Siyo kama Waturuki, Dr-Morogoro mpaka sasa kila siku tunaambiwa mara asilimia 90 mara 98 mara 96 sasa tunashindwa kelewa ni nini maana yake ama ndiyo fuzzy maths?
Wangepewa mradi mzima hawa jamaa, maana Waturuki imebakia ni bla bla tuu. Dar-Moro imekuwa ni kizungumkuti!
Noti mushkila
Lot3...😂😢
Sait kwangu kabisa hapo
Safi sana Mzee Martin, hongera sana sana mkuuu
Kazi nzuri katika kipande hiki kina chonachojengwa na Wachina lakini kwa kipande no 3 na no4 vinavyojengwa na Waturuki kazi siyo nzuri kabisa na Serikali inabidi ifuatilie kwa karibu sana.
Lot 3&4 maokoto ya kulipa shida
Mnachuki na waturuki... tunajua sababu
Mturuki kampuni yake mwenyewe inashindwa kujiendesha baada ya mmiliki kuaga Dunia(Kuna mgogoro)Ila serikali inatoa fedha kama inavyofanya kwa CCECC
Na habari njema ni kuwa hicho kipande Cha 4 kipo mbioni kupewa mchina
KAZI iendelee
Hawa Wachina wako fasta sana aisee
Tunahitaji ifike DRC
Hiii reli inaisha lini mazee
Miradi mikubwa hiyo huwa aishi mapema kwa sababu kila siku inaanza tena
Fanyeni halaka mshaanza kunikela
Mapungufu ya JPM sijui alikuwa na beef gani na Wachina! Angewapa mradi huu mzima Wachina, kwanza gharama ingekuwa ndogo, ubora maradufu na ungeifungulia Tanzania kuwa preferred state kwa China. Hata bwawa la Nyerere. Wachina wamewapita Wazungu mbali sana katika uhandisi. Taabu ya elimu ya Tanzania haitoi upeo wa dunia, maana hilo linataka kujua lugha.
Wachina wamejenga reli SGR ya Kenya, hali ni tete. Reli fupi, ya diesel halafu pesa kunwa kuliko ya kwetu ya umeme
Hiyo treni miakia 4 Sasa kipande Cha Moro dar teyari mbona hatu pandi
Sehemu ni fupi mpaka pakamilike Dodoma 😂
Wachina wako fasta kuliko hao waturuki
Hao waturuki kutoka moro kwenda makutopora wamejenga haraka kuliko kutoka dar kwenda moro
Ni kweli kule Moro ni milima kuchonga miamba kazi ilikuwa kubwa@@elinamilyatuu7337
Huyu mkandarasi ana uwezo apewe reli yote
Ameshamwaga wino tabora kigoma
Watz wasomi wajifunze kupitia mradi huu
Tuwache kuzungumza bila vitendo.... Hii reli bado haibebi abiria...kujeni kenya muone reli ya kisasa
Ili itusaidie Nini? Nyinyi bakini na reli yenu na sisi hii ndy yetu
Reli yenu ya diesel au! Pereka ushubwada wako huko
Hatuna cha kujifunza kwenye hiyo treni yenu ya zilipendwa😂
Sasa si bado ipo kwenye ujenzi, wanaanzaje kubeba abiria?
Nyie na hiyo SGR au Gari moshi halafu kumbuka urefu wa hii SGR ya Tz ni ndefu mara tano ya hicho kimstari chenu kisichotumia umeme weeee Kenge Mkenya
MBONA ISAKA HAIPITI TENA RELI HII YA SGR????? WACHINA WAMEKATAA KUPITIA ISAKA KWA AJILI MKUNJO WA NJIA YA ISAKA.
Kwa hyo wanapita wap