Mr. Makonda umri mdogo lakini akili kubwa.Makonda ana sifa zote za uongozi namuona akifika mbali zaidi miaka ijayo.Mungu akupe hekima zaidi ya uongozi uje kuiongoza Tanzania.
To be honesty Mr makonda wewe ni kiongozi imara Sana ,angekuwa kiongozi mwingine lazima angetumia hasira namna ya kujibu maswali MAZITO na yaliyojaa umahiri mkubwa kutoka kwa waulizaji big up Sana brother mungu akutunze upo vizuri na una kitu kikubwa kwa MASLAHI ya nchi hii good ,mwl chuma wa dodoma
nakupongeza sana kiongozi wangu kwa kuwa umeamua kusema ukweli mbele za watu, lakini pia niseme tu kwamba wewe i mwanaume na hauna unafiki na kingine nakuombea ili uendelee kuwa na nidhamu kwa wakubwa zako maana hata ukisemwa ubaya huwa hujibu hadi pale itakapobidi kujibu hususani nyakati kama hizi. hongera sana na nakutabiri kuwa kiongozi mkuba baadae
Makonda yuko imara pia anajielewa wengi wana mchafua kwasababu alichokua nacho wao hawana one love makonda uwaminifu ndio siraha kilakitu katia dukuduku lake kazi iyendeleeeeeeeeeeee ❤ Samia oyeee
Wow! Nimependa sana majibu uliyoyatoa kwa wadau wako, congole my future president 2030. Binafsi namshukuru sana Mama kwa kutuletea huyu mwamba kaskazini.
Mungu akubariki sana Mr Makonda naona umeletwa Arusha kwa ajili yangu nakushukuru sana kwa kutatua mgogoro wangu wa ardhi hadi nikapata haki yangu ubarikiwe sana
Makonda nakupenda na kukuamini. Unaifahamu kazi yako na unajiamini Comrade piga kazi na maswali yao naona mepesi mno kwako Makonda Wewe piga kazi na hao wanaokuuliza naona hawana Maswali Bali kujikanyaga tu. Makonda saafi sana
Hakika ee mungu kwa dua zangu naomba na nina imani unasikia huyu bwana cku moja aje kuwa raisi wetu cc watanzania ninaomba kwa niaba ya watanzania wenzangu
Nakupenda sana makonda mtumishi wa mungu...umetulia na mungu wako wanaanza kukufukunyua...niao ao walikua wanasema vby Leo wanajifanya wema......nakupenda baba makonda wangu...ujibu wewe...Wala ujiamini wewe...mungu wako wa mungu anawajibu Kwa uwezo wake....mungu nimwaminifu juu Yako...achana nao....nimewapenda sana watu wa arusha walivyo mzomea na kuguna mwandishi wa kike alio uliza swali la kukufitinisha na crouce...pambana na arusha Yako mungu anamuona nasi tuko nyuma Yako kimaombi...vijana ao awana walijuaro zaidi ya udaku
Makonda sio mwanasiasq, anapenda kuona hali za watu zinaimalika kiuchumi lakini usalama unakuwepo ,ila dunia ya sasa ya wapambanaji inaenda tofauti na mifumo anayotamani , uhuni ni mwingi .kwaio mpaka anaesema kweli au kufanya jambo lenye maslahi ya ukweli ukweli aonekane inakua kivumbi sana, yukwapi Magufuli ilihali miradi aliyoisimamia kama SGR, Bwawa la Nyerere na Ndege za ATCL na mengine mengi inawanufaisha wananchi wote ? Kiufupi Mungu atujalie uelewa Watanzania tunapo pata viongozi waadilifu
jembe la majembe pool Makonda hana uchu wa madaraka ukimpa hata kazi ya utendaji anapiga ukisema unamkomoa unajikomoaa wewe nampenda sana hana uchu wa madaraka Mungu mpe nguvu
Huyu jamaa kweli ni kiongozi...Mungu aendelee kumuinua katika vilele vya mafanikio..He is super Genius
Mr. Makonda umri mdogo lakini akili kubwa.Makonda ana sifa zote za uongozi namuona akifika mbali zaidi miaka ijayo.Mungu akupe hekima zaidi ya uongozi uje kuiongoza Tanzania.
Mh Makonda upo vizuri Sana. MUNGU amekuleta Duniani kuhudumia.
Big up. Tupo wengi tunaokuombea. Big up kiongozi wangu.💪💪💪
Asante Mkuu leo umenifundisha jambo kumbe chama ndicho.kinachosimamia Serikali
To be honesty Mr makonda wewe ni kiongozi imara Sana ,angekuwa kiongozi mwingine lazima angetumia hasira namna ya kujibu maswali MAZITO na yaliyojaa umahiri mkubwa kutoka kwa waulizaji big up Sana brother mungu akutunze upo vizuri na una kitu kikubwa kwa MASLAHI ya nchi hii good ,mwl chuma wa dodoma
nakupongeza sana kiongozi wangu kwa kuwa umeamua kusema ukweli mbele za watu, lakini pia niseme tu kwamba wewe i mwanaume na hauna unafiki na kingine nakuombea ili uendelee kuwa na nidhamu kwa wakubwa zako maana hata ukisemwa ubaya huwa hujibu hadi pale itakapobidi kujibu hususani nyakati kama hizi. hongera sana na nakutabiri kuwa kiongozi mkuba baadae
Baba Makonda Mungu akuongeze uwezo wa kuongozi na kukupa maisha marefu katika safari ya uongozi.una spirit ya uongozi wa haki.barikiwa sana🎉🎉
Mhe.Makonda,Uko Vizuri saaaana.Umeyajibu Maswali ya UCHOKONOZI Vizuri mno.
Labda wawe hawana AKILI tu Kuna Mtu hakukuelewa.MAUA YAKO 🌲🍁🍀🍁🥀💐🌹🌺❤️💕✔️
ana kipaji huyu jamaa, I real appreciate you
Makonda yuko imara pia anajielewa wengi wana mchafua kwasababu alichokua nacho wao hawana one love makonda uwaminifu ndio siraha kilakitu katia dukuduku lake kazi iyendeleeeeeeeeeeee ❤ Samia oyeee
Mungu mbariki huyu jamaa siku Moja awe Raisi wa Tanzania ana uzarendo wa kweli na watu wanampenda
Makonda your are a real reader. Mungu akuongezee
Wow! Nimependa sana majibu uliyoyatoa kwa wadau wako, congole my future president 2030. Binafsi namshukuru sana Mama kwa kutuletea huyu mwamba kaskazini.
Haki ya Mungu. Makonda unatumia fikra zako vizuri.ubarikiwe Sana kijana kiongizi. Na wengine muige basi
Upo vzr Makonda umewiva kisiasa
Mungu akupe maisha marefu Paul makonda
Wow i proud of you mhe.
Huyu jamaa anafundisha na Ana somesha🎉🎉
It is so proud brother Hon makonda
Big up Hon. Makonda.
Mungu akubariki sana Mr Makonda naona umeletwa Arusha kwa ajili yangu nakushukuru sana kwa kutatua mgogoro wangu wa ardhi hadi nikapata haki yangu ubarikiwe sana
Mtulivu na detailed kwenye majibu yako! Be strong Kiongozi!
WANDISHI WAHABARI HAMUAMI MAJIMNAYOPATA IRA MJUE NDOTO JEMA HUONEKA ASUBUHI
Makonda akili kubwa sana,anajibu kwa busara,hekima,na utulivu mkubwa huku akitabasamu na kuvutia nyoyo za wasikilizaji.
Makonda nakupenda na kukuamini. Unaifahamu kazi yako na unajiamini
Comrade piga kazi na maswali yao naona mepesi mno kwako
Makonda Wewe piga kazi na hao wanaokuuliza naona hawana Maswali Bali kujikanyaga tu. Makonda saafi sana
Huyu makonda nshallah atakua raisi wa tanzania Amin
Pamoja makonda❤
we ni mwamba kwelii🎉🎉🎉🎉
Hakika ee mungu kwa dua zangu naomba na nina imani unasikia huyu bwana cku moja aje kuwa raisi wetu cc watanzania ninaomba kwa niaba ya watanzania wenzangu
Nakupenda sana makonda mtumishi wa mungu...umetulia na mungu wako wanaanza kukufukunyua...niao ao walikua wanasema vby Leo wanajifanya wema......nakupenda baba makonda wangu...ujibu wewe...Wala ujiamini wewe...mungu wako wa mungu anawajibu Kwa uwezo wake....mungu nimwaminifu juu Yako...achana nao....nimewapenda sana watu wa arusha walivyo mzomea na kuguna mwandishi wa kike alio uliza swali la kukufitinisha na crouce...pambana na arusha Yako mungu anamuona nasi tuko nyuma Yako kimaombi...vijana ao awana walijuaro zaidi ya udaku
Ukikuta mtu anafanya ushirikina arusha ni mgeni😂😂
Daa kweli we kiboko yao
Mkuu Makondo hongera Sana unajua Sana kujieleza Sana hongera Sana natamani uwe juu zaidi
Ilo jibu la chama kusimamia serikali nimeipenda sana❤ japo uwa atuelewi
Makonda my brother wewe ni tunu ya taifa letu.Una akili sana na unafaa hats kuongoza nchi!Hekima uliyonayo ni kubwa kuliko kipimo
Penda Sana huyu jembe.❤❤
Makonda your Very Smart.
Makonda nakukubar sana mungu akubariki sote
Mhe,Makonda Mungu akubariki,maana majibu hayo siyo Yako ila Mungu anakufunulia,Isaya 41:10-13.
Logic answers
Safi sana kiongozi
Kichwa sana
Njikuta nalia tu kwamaneno yake yaliojaa hekima nabusara Mungu azidi kukuongoza
Me nasema ,,kama alivyomtabilia mama Samia namimi namtabilia make ukimsikiliza unaenjey hivi ndivo Tanaka viongoz wawe.
Makonda sio mwanasiasq, anapenda kuona hali za watu zinaimalika kiuchumi lakini usalama unakuwepo ,ila dunia ya sasa ya wapambanaji inaenda tofauti na mifumo anayotamani , uhuni ni mwingi .kwaio mpaka anaesema kweli au kufanya jambo lenye maslahi ya ukweli ukweli aonekane inakua kivumbi sana, yukwapi Magufuli ilihali miradi aliyoisimamia kama SGR, Bwawa la Nyerere na Ndege za ATCL na mengine mengi inawanufaisha wananchi wote ? Kiufupi Mungu atujalie uelewa Watanzania tunapo pata viongozi waadilifu
You're bright Makonda.
Nakubali mwanetu
Maombi yangu Kwa Mungu ni akulinde daima
Safi sana
Mungu yu nawe
😂😂😂😂 pale ulikua unamuhoji nani mwenezii au sio ??? Na leo mm ninan 😂😂😂 basiiiii
It was good conversation
Very smart leader
Kitu nakupongeza unajuwa nafasi yako ndio maana unajuwa kunyumbulika, kongole swahiba wangu
Makonda uko smart mnooo kilaza tu ndio hawezi kuelewa
Kwel
Kabisaaaaa
Makonda akili mingi mingi😅😅
Makonda hatetereki kiongozi anafaa kua hivi kujiamini na kutenda haki na unyenyekevu kwenye chama
Bonge ya hekima aiseee!
Safi sauti ya utawala
Hiyo inaitwa sauti yenye mamlaka ndani yake mkuu! Huyu jamaa kunamamlaka mungu alimuwekea ndani yake
Tuko nyuma yako mheshimiwa!wewe ni kiongozi sahihi!
Kwa maswali.alio.ulizwa kama niwakuu wamikoa wengine ingekua kichekesho mungu ampe hekima zaid na kua juuu zaid
MM NAOMBA MUNGU ARUDI TU HUKU KUMEPOA SANA , MAKONDA NDO ANAFAA KUWA MWENEZI LAKIN WENGINE HAO WAUJUMU TU WA WACHAMA WAPOLE MNO ,
Hivi KIKEKE Kwannn alitoka ulaya kwenye utangazaji au alirogwa au alichukuliwa nyota au nnn shida
That's is Paul Makonda ❤
Naomba mungu ni kutane na mzee Makonda au number yake please
Morogoro 😂😂 wizard sana
😂😂😂 UKO VZR MAKONDA
Naomba no ya makonda tukuombee
Makonda bhana.....majibu yapo mdomoni
You are smart and highly favoured Honourable
Nimeamini kweli mti wenye matunda hupigwa mawe
Hakuna kama makonda katika inchi hii
Nimekupenda bike makonda
Duh uyu jamaa so genius
Makonda nakukukubali sana maana maswali unayojibu unajibu kiufasaha sana sana,maana hawa wanauliza maswali ya mitego
Rais mtarajiwa
Raisi mtarajiwa
Makonda siku moja atakuwa president wa tanzania
kiukwer unatia moyo sana nagutogilwe sana japo nade ccm
Hiki ni kichwa
TAWILE MAKONDA 😂😂😂
Mhe makonda hazina ya Taifa
Makonda uko vizuri hakika ww ni kiongozi anae kataa hajitambui
SICHOKI KUKUSIKILIZA BRAZA
Masha.Allah Akili nyingi broo nice
Makonda yupo juu kiuwelewa mno kwa alie na muono wa mbali kajibu maswali yooote bika kupepesa
Makonga bonge la kiongoz
Tunaomba samia akulete mbeya uwe na nchimbi
Kina makonda km hawa naamini hatuzidi 60 nchi nzima. Ya kila watu 1m. Utatukuta tupo peke yetu.
Makonda wewe ni tunuuuu ya Taifa .Nabii atambuliki kwao
Safi
jembe la majembe pool Makonda hana uchu wa madaraka ukimpa hata kazi ya utendaji anapiga ukisema unamkomoa unajikomoaa wewe nampenda sana hana uchu wa madaraka Mungu mpe nguvu
BADO NAHITAJI ZAIDI KUMUONA KWENYE UONGOZI ILI NIMJUE ZAIDI
Kaangushwa na msikiliza kero mwenyewe
Makonda kunywa soda kubwa hapo kwa chuga naja lipa.wee ni zaidi ya jembe.
Makonda umejibu kwa busara
❤❤❤
Mbona Paulina Gekul Mmemwacha?
Mh.uko Vizuri nakupata
Mambo huyo
Huyu ni mwanasisa mwoongo, akijifanya mungu mungu, hata kwa akili fupi unaonekana mwongo.
Amekundanganya nn mzee
Haaayaaa sema ukweli wake tukusikie😁😀😁😁😁
Wapi kasema yeye ni mungu?
Acha unafiki.
Hilo ni tatizo lako. Ukweli unao husemi na wewe ndo unasema anajifanya mungu sasa afanye nini?