WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAIBUKA NA MAPYA, WATAJA CHANZO MGOMO, TAMKO JIPYA LINAKUJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @RamadhaniMadanga-ne7jk
    @RamadhaniMadanga-ne7jk 4 หลายเดือนก่อน +25

    Tatizo nchi yetu kila siku Kodi inaongezeka lkn maendeleo hakuna haioni njia mbadala wakuwainua wananchi kiuchumi kila siku nikurimbikiza Kodi kila siku Kodi bila kujua biashara ningumu Sana wananchi wanapata tabu Sana kwenye biashara zao lkn wao mara Kodi mara tozo yaani

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 4 หลายเดือนก่อน

      👍

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 4 หลายเดือนก่อน

      Huwezi kuacha kuongeza kodi kama hutumii vizuri raslimali.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน

      Samia shoudl came back to the drawing board. Mambo hayako vizuri kwa wananchi wake. inabidi aache vote anavofanya ili awawajibishe viongozi wake..maana anachongoza sio kitu chochote bali ni watu. na ndo hao waliomuweka mama

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 4 หลายเดือนก่อน +11

    Haya ni madhara yatokanayo na bunge kupitisha sheria kiutashi na siyo kitaalamu, wabunge wengi elimu ni ndogo, kutunga sheria za kodi inahitaji taaluma ya kiuchumi, lkn wabunge wengi ni walewale wa ndiyo ndiyo ndiyo hawafikiri kwamba hiyo ndiyo yao inakuja kusababisha madhara kama haya kwaiyo ingawa tra wanastahiki kulaumiwa lkn wabunge ndio wanapaswa kulaumiwa zaidi kwa sababu wabunge wanapitisha sheria bila kuwa na elimu ya uchumi tra wanafuata hizo sheria kwenye majukumu yao, ccm inajaza watu ndani ya bunge kisiasa, na hawazingatii elimu sasa haya ndiyo matunda mabovu yaliyopandwa na ccm

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wacha kazi iyendelee c mlisema mama safiii hapo badoo sanaaa kilamtu alekwaulefuwa kambayake

  • @kakabeka2515
    @kakabeka2515 4 หลายเดือนก่อน +2

    ..mwenyezi mungu atujaalie mambo yawe mazur inshallah

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 4 หลายเดือนก่อน

    Wazee Tunahitaji Chama kipya Cha siasa ambacho kitaweza kutawala Hata 2040 hamna namna hivi vyama vitatufikisha mahali sio CCM Wala CHADEMA

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 4 หลายเดือนก่อน

    Si kweli kwamba CCM inampa kichwa Tundu Lisu,kwani malalamiko ni mengi shida nyingi,wenye mamlaka wanajifanya viziwi kama waziri mkuu anatoa maagizo hayatekrlrzwi bado watu wanakalia viti. na kulindana.Wanamuumiza mama.

  • @davidpeter8099
    @davidpeter8099 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kila kitu mama mama ninyi hamna mama zenu

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 4 หลายเดือนก่อน

      vikao vikao vikao toka mwaka jana matatizo yote yanafahamika miaka nenda miaka rudi..kinachotakiwa hapo ni mgomo tu ndio silaha pekee ya kulazimisha madai yenu kufanyiwa kazi kazi..vikao ni mtego wa kuwapotezea muda..

    • @PhilipoMwita-wc1ku
      @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน

      Ahhhhhhh

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 4 หลายเดือนก่อน

    Fix hizo hao tra ni wapigaji nani asiye asiye juwa nchi hii imeoza viongozi wote sasa awaminiki atuna imani nao

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hamna jambo.Kenya hoyeee.

  • @WilliamNyanginywa
    @WilliamNyanginywa 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wamechoka mitaji imepotea watu wananyang'anywa pesa watu wanabambikizwa kodi kiujumla tanzania haijawa salama kibiashara tuombe mama aingilie kati maisha ni magumu mno

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 4 หลายเดือนก่อน

    CCM wameamua kumpa kchwa Tundu lisu aonekane nabii wa kwel cku zle kafanya mkutano kariakoo kawambia mnaamin kwel Samia atatekereza hayo makubariano kama sio kujipanga jins yakuwanyamazisha Kwa nguvu nyngne

  • @mukhtarnasser6837
    @mukhtarnasser6837 4 หลายเดือนก่อน

    We Tz people are jobless but very very tajiri , TRA FOR AS OF Efd receipt , fine 15 millions , Parking not paid or late paid Fine 3 lakhs , and many others as if every Tz have money plant and has free Money hanging , just going and harvesting ,

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 4 หลายเดือนก่อน

    Tra nikuwatembezea mapanga selikali ndio wataelewa hamuna majibu swala ni sela ya biashara siyo vikao wanini hao

  • @starjay3052
    @starjay3052 4 หลายเดือนก่อน +3

    bongo sio nchi ya kuishi

    • @broganbig6651
      @broganbig6651 4 หลายเดือนก่อน +1

      Katafute nchi ya kuishi

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 4 หลายเดือนก่อน

    Hamna Medea wanafki kama hii ya Millard

  • @joycejoel1633
    @joycejoel1633 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi waziri Mkuu ni mdogo kuliko waziri wa fedha?mbona kila alicho kisema wakati ule hakuna kilichofuatwa Wala kutekelezeka?au ni uleule mtindo wa wana siasa? Furaha usoni chuki moyoni?

  • @ashuramushumbusi9196
    @ashuramushumbusi9196 4 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba na mikosni maana hali si nzuri

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน

    Mama anatanga tanga
    Hana uchungu na nchi koz yeye ni mzanzibar
    Nikumbusheni awamu ya magufuli kama biashara zilifungwa kariakoo

    • @broganbig6651
      @broganbig6651 4 หลายเดือนก่อน

      Tatizo hilo kwani huwezi kusema bila kuutaja uzanzibari wa mama

    • @PhilipoMwita-wc1ku
      @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน

      Nimzanzibar hata ukatae...yeye mwenyewe Kuna hotuba zake hua anasema kwamba yeye nimzanzibar
      Kwahivyo sio tusi jamani

  • @AlfaSaa-j4h
    @AlfaSaa-j4h 4 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo ni mengi sana hata Latra kodi zao nyingi na za hovyo .
    Kama vipiniwe kama kenya

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mgomo ulitarajiwa kwa mujibu wa kiongozi?

  • @IddiHasani-vq4rd
    @IddiHasani-vq4rd 4 หลายเดือนก่อน

    Waangalie mfumo wa Mzee bb awamu yatano mfumo wa kku Sanya Kodi wasi tumie mabavu kwenye kku Sanya Kodi wata umiza watu weng

  • @HenryCastuli-jz3cx
    @HenryCastuli-jz3cx 4 หลายเดือนก่อน

    Tatizo ya hii nchiyetu kilakukicha niafadhaliya jana uongozi ukishakiwa wa hovyo ndy hivo tunatakiwa tujipange mwakani

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hili swala limemshinda waziri mkuu je waziri wa fedha na wa biashara wataliweza ? Kwanza mwenyekiti wa wafanyabishara ni mwanaccm hivyo atatengua huo mgomo

  • @adilarashid5145
    @adilarashid5145 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yooo likes km zote wa kwanza

  • @habibumallanga
    @habibumallanga 4 หลายเดือนก่อน

    Nimekaa pale

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 4 หลายเดือนก่อน

    Tanzania nchi yetuu dah

  • @funnymoments5393
    @funnymoments5393 4 หลายเดือนก่อน

    Wanasiasa na viongozi wa nchi nyingi za Africa ni wabinafsi sana...

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 4 หลายเดือนก่อน

    VIKAO VIKAO VIKAO HADI LINI KUJADILI NINI?? MATATIZO YANAFAHAMIKA MIAKA NENDA RUDI..VIKAO NDIO MTEGO WA SERIKALI KUWAPOTEZEA MUDA SILAHA PEKEE NI MGOMO NA USIMALIZIKE BILA MATATIZO KUMALIZWA KWANZA..BILA HIVYO MUMEKWISHA

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 4 หลายเดือนก่อน

    Ni wakati sasa wa mabadiliko

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน

    Hali ningumu sana unafungua lkn hauuzi

  • @salumnassor3857
    @salumnassor3857 4 หลายเดือนก่อน

    Failure secnd time nchembaaa ajiuzulu tu

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 4 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaah huu mtihani huwezi pata ufumbuzi TRA inafata sheria zimepitishwa bungeni hapo ni mpaka wazifute hizo sheria acheni siasa kwahili

    • @akidajulius1581
      @akidajulius1581 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli kabisa hapo nisawa, na kujaza maji ktk pipa lillilo toboka, haliwezi kujaa mpaka ulizibe,

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 4 หลายเดือนก่อน

    Waziri wa fedha kwakweli 😢

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 4 หลายเดือนก่อน +1

    Fungeni maduka....

  • @kwayugeneral2192
    @kwayugeneral2192 4 หลายเดือนก่อน +1

    NA HII KUFUNGA AKAUNTI NDO TATIZO LINGINE KUBWA KULIKO MAANA MTU UNA KARMA KAKO BENKI UNATAKA KWENDA LABDA KUTOA HELA KULIPA ADA, MATIBABU N. K MARA KESHIA ANAKWAAMBIA AKAUTI YAKO IMEFUNGWA NA TRA DA! JAMANI INAUMIZA SANA YAANI NI ZAIDI YA UBABE, SASA MTU ANA KABALANSI KAKE KA KUJIKIMU ALAFU WEE UNAKACHUKUA BILA HATA TAARIFA YEYE ANASEMA NGOJA NIKIMBILIE BENKI NIKACHUKUE KAHELA NIMLIPIE MTOTO AENDE SHULE AU NIMLIPIE MGONJWA AU NIKANUNUE CHAKULA MARA UNAAMBIE TRA WAMESHAZICHUKUWA NA UKIENDA KWAO NDO HIVYO TENA MAJIBU YAO YANAKUWA YAVITISHO ZAIDI, MHESHIMIWA MAMA NAOMBA ANGALIA HILI TUNANYANYASIKA SANA WABABE NDO WAMEKUWA WENGI ZAIDI KWA SASA

    • @Nedjadist
      @Nedjadist 4 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo maana nimefunga akaunti zote. Hawa watu wataka turudi nyuma.

  • @RamadhaniMadanga-ne7jk
    @RamadhaniMadanga-ne7jk 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani kiukweli biashara huku mtaani ningumu sana nchi yetu ilibidi itoe msaada kwa wanachi wake sio kurundikiza makodi na matozo kila siku mfano mtu analipia leseni ya biashara mtu huyohuyo analipia TRA mtu huyohuyo anapoenda kufunga mzigo wake unalipiwa kodi huyohyo tena analipia sevislev huyohuyo tena analipia kodi ya nyumba na matozo kibao sasa nchi yetu itainukaje kiuchumi

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 4 หลายเดือนก่อน

      Kodi zenywe hatuon hata zinapoishia wanakula na familia zao kwenye umeme wanakata mpk elfu mbili kila mwezi huku kwenye miamala ndio makato hayaeleweki achen punguzen kodi mtatuuwa unakaa sehem ya biashara hakuna mauzo kumbe kuna watu hawalipi kodi hawana hata lesen ndo wanauza uko mtaan

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 4 หลายเดือนก่อน

    Ameshindwa waziri mkuu je ataweza waziri wa fedha?

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 4 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace john pombe

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 4 หลายเดือนก่อน

    Maagizo ya Waziri mkuu hayana Nguvu kumbe

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 4 หลายเดือนก่อน +3

    Gomeni mpate haki zenu lasivyo Mtataperiwa na CCM Kila Siku huyo anae ongea ni Mjumbe wa CCM sijui Mulitumia Kigezo Gani Kumchagua

  • @MwanahamisiHashim
    @MwanahamisiHashim 4 หลายเดือนก่อน

    Ccm imefika mwosho

  • @shilohgideon_wisdom
    @shilohgideon_wisdom 4 หลายเดือนก่อน

    Wakati izo vikosi kazi, usumbufu unarejea taratibu kiongozi alikuwa haoni hadi wafanya biashara wana anza harakati za kuweka mgomo? Sio kwamba angechukua hatua mapema wasingefika hapa walipofika, naomba elimu.

  • @AllenMwafilombe
    @AllenMwafilombe 4 หลายเดือนก่อน

    Nchi haijari ngo'mbe iwakamuao maziwa

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 4 หลายเดือนก่อน

    Gomeni haya ma ccm hayawezi kutatua changamoto za wananchi waliisha kalili kuwa watanzania hawawezi migomo watambue kuwa zama zimebadilika

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 4 หลายเดือนก่อน

    Ili nalo ni fisadi la CCM

  • @AsanteNsamba
    @AsanteNsamba 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂