- 776
- 386 517
BADO KUNA USHINDI TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 23 ก.ย. 2013
Channel ya BADO KUNAUSHINDI TV, ni channel ya Kikristo inayohubiri injili, kufundisha mafundisho na kutoa shuhuda za kweli za matendo ya Mungu, Channel hii inamilikiwa na kanisa la TALITHA CUMI lililopo Dodoma jijini - Tanzania.
Kanisa la Talitha Cumi linaongozwa kwa misingi ya BIBLIA, kwa kuitii na kuifuata kama kiongozi cha kazi zote za kiroho na kimwili. Channel hii itarusha mahubiri, maombi na maombezi, mafundisho, na shuhuda za kuelimisha na kuinua imani, pamoja na kuleta mada zenye kuhitaji ufafanuzi. Pia kutakuwa na maswali, na mahojiano maalumu yenye lengo la kujenga na kuelimisha kiimani.
Tunakaribisha watu wote kusikiliza, kushauri, kiustaarabu na kwa staha.
UNAWEZA KUTUWEZESHA KWA KUTUMA SADAKA YAKO KWA Mawasiliano piga +255(0)629 920 640 au +255(0)718 600 557.

NGUVU YA KUJUA WEWE NI NANI NA REV.DANIEL KITUA
BADO KUNA USHINDI TV NI TV YA MTANDAONI INAYOJIHUSISHA NA MAMBO YENYE KUJENGA NA KUINUA IMANI YA KIKRISTO KUHUSU MUNGU WA KWELI YEHOVA. INARUSHA SEMINA, MIKUTANO YA INJILI, SHUHUDA ZENYE KUJENGA NA SIMULIZI MBALIMBALI ZA MAISHA YA MASHUJAA WA IMANI.
UNGANA NASI KWA KU-SUBSCRIBE, KU-SHARE NA ILI KUBORESHA HUDUMA HII UNAWEZA KUCHANGIA AU KUTUMA SADAKA YAKO. KWA NAMBA +255 718 600 557, + 255 629 920 640. PIA NAMBA HIZI UNAWEZA KUZITUMIA KWA MAWASILIANO. JINA LITAKALO TOKEA UKITUMA SADAKA YAKO NI DANIEL ANTHONY KITUA. UBARIKIWE

มุมมอง: 207
วีดีโอ
LIVE: NABII ESTHER MASANJA AKITOA SIRI ZA KUMILIKI NA KUTAWALA KATIKA NCHI
มุมมอง 71214 วันที่ผ่านมา
LIVE: NABII ESTHER MASANJA AKITOA SIRI ZA KUMILIKI NA KUTAWALA KATIKA NCHI
NABII ESTHER AKIONGOZA MAOMBI YA KUUTEKA MWEZI WA 12 UKAWE MWEZI WA BARAKA NA KUZAA TUMAITI JIPYA
มุมมอง 58121 วันที่ผ่านมา
NABII ESTHER AKIONGOZA MAOMBI YA KUUTEKA MWEZI WA 12 UKAWE MWEZI WA BARAKA NA KUZAA TUMAITI JIPYA
Part1 NABII ESTHER MASANJA AKIELEZEA NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KULETA ROHO YA UASI NDANI YA KANISA
มุมมอง 1.2K21 วันที่ผ่านมา
Part1 NABII ESTHER MASANJA AKIELEZEA NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KULETA ROHO YA UASI NDANI YA KANISA
NABII ESTHER MASANJA AKITOA UFAFANUZI KWA UCHUNGU JUU YA SAFARI YA KUELEKEA TAIFA LA NCHI KENYA
มุมมอง 1.1K21 วันที่ผ่านมา
NABII ESTHER MASANJA AKITOA UFAFANUZI KWA UCHUNGU JUU YA SAFARI YA KUELEKEA TAIFA LA NCHI KENYA
NAIROBI -KENYA KWA YESU SASA NI ZAMU YAKO KUKOMBOLEWA NA YESU KUPITIA NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 266หลายเดือนก่อน
NAIROBI -KENYA KWA YESU SASA NI ZAMU YAKO KUKOMBOLEWA NA YESU KUPITIA NABII ESTHER MASANJA
NIZAMU YA NAIROBI -KENYA KUKOMBOLEWA NA YESU KUPITIA NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 487หลายเดือนก่อน
NIZAMU YA NAIROBI -KENYA KUKOMBOLEWA NA YESU KUPITIA NABII ESTHER MASANJA
USHUHUDA KUPITIA MAOMBI YALIYO FANYIKA MAHENGE -MOROGORO NA NABII .ESTHER MASANJA
มุมมอง 704หลายเดือนก่อน
USHUHUDA KUPITIA MAOMBI YALIYO FANYIKA MAHENGE -MOROGORO NA NABII .ESTHER MASANJA
NABII ESTHER MASANJA AKITOA UFAFANUZI JUU YA SEMINA YA NENO LA MUNGU TAR 28-1/12/2024 NAIROBI KENYA
มุมมอง 523หลายเดือนก่อน
NABII ESTHER MASANJA AKITOA UFAFANUZI JUU YA SEMINA YA NENO LA MUNGU TAR 28-1/12/2024 NAIROBI KENYA
#live :Day4 _SABABU ZINAZO ZUIA MUNGU KUJIBU MAOMBI YAKO _NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
#live :Day4 _SABABU ZINAZO ZUIA MUNGU KUJIBU MAOMBI YAKO _NABII ESTHER MASANJA
#live :Day3 Jioni_ MATOKEO YA HATMA YAKO ILIYO IBIWA NA SHETANI NA NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 655หลายเดือนก่อน
#live :Day3 Jioni_ MATOKEO YA HATMA YAKO ILIYO IBIWA NA SHETANI NA NABII ESTHER MASANJA
#live :Day 3 _NABII ESTHER MASANJA AKIJIBU MASWALI KUHUSU WANAWAKE KUJIPAMBA INAVYO MCHUKIZA MUNGU
มุมมอง 3.5Kหลายเดือนก่อน
#live :Day 3 _NABII ESTHER MASANJA AKIJIBU MASWALI KUHUSU WANAWAKE KUJIPAMBA INAVYO MCHUKIZA MUNGU
#live:Day2 Jioni _CHANZO CHA ANGUKO LA KANISA NI UREMBO NDANI YA KANISA NA NABII ESTHER
มุมมอง 4.5Kหลายเดือนก่อน
#live:Day2 Jioni _CHANZO CHA ANGUKO LA KANISA NI UREMBO NDANI YA KANISA NA NABII ESTHER
#live :Day2 jioni_VUNJA MAAGANO ULIYOTAMKIWA JUU YA UZAO WAKO NA NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 1.5Kหลายเดือนก่อน
#live :Day2 jioni_VUNJA MAAGANO ULIYOTAMKIWA JUU YA UZAO WAKO NA NABII ESTHER MASANJA
Live:Day1_MIFUMO YA ASILI INAVYO ONDOA UTUKUFU WA MUNGU KATIKA KANISA NA NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
Live:Day1_MIFUMO YA ASILI INAVYO ONDOA UTUKUFU WA MUNGU KATIKA KANISA NA NABII ESTHER MASANJA
NABII ESHER MASANJA ATOKWA MACHOZI BAADA YA KUONA MAZINGIRA MAGUMU YA KANISA MOROGORO -TANZANIA
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
NABII ESHER MASANJA ATOKWA MACHOZI BAADA YA KUONA MAZINGIRA MAGUMU YA KANISA MOROGORO -TANZANIA
# MUNGU NDIYE ALIEANZISHA UTAMADUNI! BY REV. KITUA DANIEL.
มุมมอง 149หลายเดือนก่อน
# MUNGU NDIYE ALIEANZISHA UTAMADUNI! BY REV. KITUA DANIEL.
AGIZO LA MUNGU JUU YA SERIKALI YA TANZANIA _ NIMEONA BENDERA YA TANZANIA .....NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 36Kหลายเดือนก่อน
AGIZO LA MUNGU JUU YA SERIKALI YA TANZANIA _ NIMEONA BENDERA YA TANZANIA .....NABII ESTHER MASANJA
# live: MUNGU AKIWA MCHUNGAJI WAKO HAKUNA LA KUKUTISHA. By Rev. Danieli Kitua
มุมมอง 218หลายเดือนก่อน
# live: MUNGU AKIWA MCHUNGAJI WAKO HAKUNA LA KUKUTISHA. By Rev. Danieli Kitua
KAMPENI YA INJILI VIJIJINI SASA NI ZAMU YA MAHENGE- MOROGORO. TAR 7 - 10/11/2024 MAHENGE ZAMU YENU
มุมมอง 391หลายเดือนก่อน
KAMPENI YA INJILI VIJIJINI SASA NI ZAMU YA MAHENGE- MOROGORO. TAR 7 - 10/11/2024 MAHENGE ZAMU YENU
WIMBO: DUMISHA AMANI KATIKA TAIFA LA TANZANIA
มุมมอง 5102 หลายเดือนก่อน
WIMBO: DUMISHA AMANI KATIKA TAIFA LA TANZANIA
AGIZO LA MUNGU JUU YA WATUMISHI WANAOPELEKA INJILI VIJIJINI NA NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 9012 หลายเดือนก่อน
AGIZO LA MUNGU JUU YA WATUMISHI WANAOPELEKA INJILI VIJIJINI NA NABII ESTHER MASANJA
INUA MACHO YAKO JUU UITAZAME PICHA YA MAISHA YAKO
มุมมอง 2082 หลายเดือนก่อน
INUA MACHO YAKO JUU UITAZAME PICHA YA MAISHA YAKO
TAARIFA YA KAMPENI YA INJILI VIJIJINI KATIKA KIJIJI CHA MALONGWE KUANZA LEO NA NABII ESYHER MASANJA
มุมมอง 2662 หลายเดือนก่อน
TAARIFA YA KAMPENI YA INJILI VIJIJINI KATIKA KIJIJI CHA MALONGWE KUANZA LEO NA NABII ESYHER MASANJA
ZIJUE MADHABAU ZINAZOLETA BARAKA NA MADHABAU ZA LAANA na -NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 1.4K2 หลายเดือนก่อน
ZIJUE MADHABAU ZINAZOLETA BARAKA NA MADHABAU ZA LAANA na -NABII ESTHER MASANJA
CHANZO CHA MIUJIZA YA UONGO WANAYO IKIMBILIA WATU WENGI MAKANISANI NA NABII ESTHER MASANJA
มุมมอง 8K2 หลายเดือนก่อน
CHANZO CHA MIUJIZA YA UONGO WANAYO IKIMBILIA WATU WENGI MAKANISANI NA NABII ESTHER MASANJA
LIJUE PEPO LINALO HARIBU MIMBA ZA WANAWAKE WENGI |USHUHUDA WA REV.PESA MBILI
มุมมอง 4282 หลายเดือนก่อน
LIJUE PEPO LINALO HARIBU MIMBA ZA WANAWAKE WENGI |USHUHUDA WA REV.PESA MBILI
NABII ESTHER MASANJA KUZINDUA AWAMU YA PILI YA KAMPENI INJILI VIJIJINI KATIKA WILAYA YA UYUI
มุมมอง 4642 หลายเดือนก่อน
NABII ESTHER MASANJA KUZINDUA AWAMU YA PILI YA KAMPENI INJILI VIJIJINI KATIKA WILAYA YA UYUI
SHUHUDA ZA MATENDO MAKUU YA MUNGU KUPITA KAMPENI INJILI VIJIJINI
มุมมอง 3912 หลายเดือนก่อน
SHUHUDA ZA MATENDO MAKUU YA MUNGU KUPITA KAMPENI INJILI VIJIJINI
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥moto glory
Mungu Atukuzwe milele
Glory To God.
Ameen amen
Amen
Amen amen
Nilitaka kujua wewe ndiye yes.alikuokoa msikitini bujumbura?
Amina Amina
Ameen
Amina
Amina
Amina mungu akubariki kwa kujitoa kwa ajili yetu ili tupate mwanga na tuenende katika roho amina
Hallelujah hallelujah hallelujah. Asante sana Kwa mafundisho muhimu kwetu sote mchungaji.
Amina Asante sana mtumishi wa mungu .
Amen 🙏🙏🙏 baba ubarikiwe sana kwa somo hili nmebarikiwa sana sana
Ameen
Amina asante
Asante YESU kiristo kwa kunitoa kwenye uisilamu na sasa nimeokoka nampenda YESU, ukiristo ni raha jamani asa ukiokoka.
Kweli wokovu nikuomba sana roho Mtakatifu kukuongoza ila ukiangalia watu utaishia kusema mbona hata fulan tena mke wa mchungaj au kiongoz kanisan anafanya hivi dah Yesu nisaidie niyajue mapenzi yako na kuyatenda
Kuhusu mambo ya Mungu siwez kupinga natamani sana kuishi mapenzi yake mara nyingi nmekuwa nikihisi hasira nikiona mtu alikuwa mweusi ila baada ya muda ni mweupe km mzungu nikawa sielew hasira ya nn sa naomba kujua ni kwann Mungu anataka tufunike vichwa vyetu tuwapo mbele zake???
😂😂 huyu mtumishi anahadithia vzr sana huchoki kumsikiliza. Shukrani sana kwa ushuhuda mzuri❤
Tatizo la wakristo wanapenda mambo ya ushuhuda wa uongo weshazowea kwenye Imani yao kila siku wanaoteshwa na Mungu mara yesu kaniotesha ili mtu apate pesa kwa kupitia ukristo
Ubarikiwe
Huyu ni msanii kupita kiasi ukristo bila uongo hauendi
Mama mahuniri yako nikweli
Yehova utusaidiye
Mafundosho hayo Nikweli, Ahksante mama Kwa mafundosho hayo.
Bwana yesu christo Akuongezee nguvu Nakuendelea kuwaombea watoto wabwana, Amina
wushind itivi
Sio kweli mtumishi sahihi anaomba kuzuia na sio kutia WATU hofu muhubiri injili mengine uongoo
Amen Amen !!
Amina
Amina
Bwana YESU KRISTO asifiwe sana watoto wa MUNGU? Naomba namba ya Mtumishi wa MUNGU Esta Masanja tafadhari nisaidie. Asante na MUNGU atubariki
+255 763 099 367 esther masanja
+255 763 099 367 esther masanja
Asante sana
Ubarikiwe Mtumishi😊
Amen
Barikiwa mtumishi wa bwana ujumbe umenifikiya Na Umetufikiya ni kweli.
Ujumbe wako wanivitia mwinjiliste wa Mungu wetu Mkuu Yesu christo wa Nazareth aliye hai
Nimeshukuru kwa ujumbe
Mwinjilisti mapendo Tumekushukuru saana kwakutimiza mzunguko wa USHUDA Hizi zenye picha 6 kwa wakristo, zinazotakiwa kila m'moja wetu aji ulize yupo wapi, Nani yupo ktk nyakati Gani kwa mukristo.
Ameen
Amen
Wakristo ndiyo maana tunapigwa sana na matapeli kama hawa. Unamuamini vipi MTU kama huyu ambaye lengo lake ni kutuibia. Mbona wengi wanakuja na mbinu hizi. Waislam nao wanamuogopa mungu wao hawawezi kufanya vitendo vya aina hiyo. Kama no kwrli Mimi nimekaa na waislam kwa miaka zaidi ya thelathini na tano. Nimejifunza imani yao. Hawana hayo mambo. Wakristo tuwe makini tunafeli wapi. Kama mkristo nashauri wakristo tuwe watafiti. Wengi wetu ni mashabiki tu wa imani. Mimi siko hivyo. MTU anaibuka ghafla na kusema katokewa na yesu tunakubali tu.
Ni story sio kweli. Hivi kwa nini pesa zinatupeleka vibaya.
Kwanini sio kweli????😮 kwa hiyo amekaa chini kudaganya watu?
Amina sana mtumshi wamungu
Kweli kabisa hapo kwa kutenda ndio shida Eee Mungu tusaidie
Amen 🙏🙏
Amen Amen
Tunaweza kupata number ya mtumishi
Ameen mwezi Mungu naomboa nafsi yangu ikombolrwr kwa jina la Yesu