USHUHUDA: NILIMWOONA MDADA AKICHUNWA NGOZI | NYWELE BANDIA |KUCHA BANDIA | NABII ESTHER MASANJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • BADO KUNA USHINDI TV NI TV YA MTANDAONI INAYOJIHUSISHA NA MAMBO YENYE KUJENGA NA KUINUA IMANI YA KIKRISTO KUHUSU MUNGU WA KWELI YEHOVA. INARUSHA SEMINA, MIKUTANO YA INJILI, SHUHUDA ZENYE KUJENGA NA SIMULIZI MBALIMBALI ZA MAISHA YA MASHUJAA WA IMANI.
    UNGANA NASI KWA KU-SUBSCRIBE, KU-SHARE NA ILI KUBORESHA HUDUMA HII UNAWEZA KUCHANGIA AU KUTUMA SADAKA YAKO. KWA NAMBA +255 718 600 557, + 255 629 920 640. PIA NAMBA HIZI UNAWEZA KUZITUMIA KWA MAWASILIANO. JINA LITAKALO TOKEA UKITUMA SADAKA YAKO NI DANIEL ANTHONY KITUA. UBARIKIWE

ความคิดเห็น • 140

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 3 หลายเดือนก่อน +14

    Nina asilimia kubwa Sana kwa mafundisho Kama haya wengi hawapendi kuyasikiliza na ndo maana hata moment zinakuwa chache maana mama kabina panapo wakuna wengi hudhani ni mafundisho ya kujitungia hapana..roho wa Mungu anawafunulia watumishi lakin tunawadhihaki..mama ubalikiwe mama umewakuna panapo washa hallelujaaaaaa❤❤❤

    • @rweyemamueustace4254
      @rweyemamueustace4254 หลายเดือนก่อน

      Bwana utusaidie kwenye kanisa kwetu tutanuna sana kwa mahubiri haya

    • @DORAMKONY
      @DORAMKONY 23 วันที่ผ่านมา

      Ni kwelij,watumishi wengi mbona wako hivyo

  • @LuckyBahati-pv8mf
    @LuckyBahati-pv8mf วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu hayo yote situmii nashukuru na uumbaji wako🙌🙌🙌🙏

  • @JaclineGoglas
    @JaclineGoglas 6 วันที่ผ่านมา

    Hongera mama kwa ujumbe uliopewa na mungu uko vizur na mungu akulinde daimaa

  • @user-nb4sp7hl4y
    @user-nb4sp7hl4y 11 วันที่ผ่านมา

    Ujumbe mzuri,mungu akubariki

  • @EuniceKinuma-pw4vx
    @EuniceKinuma-pw4vx 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akubariki mtumishi

  • @VictoriaNgombe-kw7fl
    @VictoriaNgombe-kw7fl 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tulioko rohoni unatuokoa sana na kuzimu🎉

  • @elishadeulitv2711
    @elishadeulitv2711 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mi nakuamini sana mama ester wewe ni nabii wa kweli jumbe zako hazifichiki zipo WAZI MUNGU azidi sana kukufunulia ili watu tupone

  • @DEBORAHMASANJA-yz3go
    @DEBORAHMASANJA-yz3go 4 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Mama una tusaidia tupone na jehanamu

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu nisaidie

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umetoa ushuhuda huu vizuri sana mtumishi wa Mungu Esther. Ubarikiwe sana. Nampenda Yesu sana.

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mama ahsante sana mama barikiwa sana kwa mafundisho mazuri

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yes, ni roho kamili. Wanawake wengi hawajiamini, wanamtukana Mungu kwa kudharau uumbaji Wake. Absolutely. Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu Esta. Ashukuriwe Mungu sana.

  • @احمدالشمري-ق8خ1ف
    @احمدالشمري-ق8خ1ف 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen nakupenda sana mamangu kwa mafundisho yako mungu akubariki

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 3 หลายเดือนก่อน +2

    HALLELUYA. YESU NI MZURI SANA JAMANI. ANATUPENDA SANA WANADAMU, HATAKI TUANGAMIE. HEEEEEEE. NAPIGA KELELE SAAAANA KWA JINSI USHUHUDA ULIVYO POWERFUL.

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa .Mungu na akubaliki kwa ushuhuda mzuri

  • @user-gc8vb3gv8c
    @user-gc8vb3gv8c หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @Anifanusura
    @Anifanusura 3 หลายเดือนก่อน +10

    Ni kweli mimi nimepitia njia hiyo lakini nilitokewa na Mungu kakweli nikapata neema ya wokovu nikaacha mpaka Leo nipo katika kweli.

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 3 หลายเดือนก่อน +1

    HALLELUYA HALLELUYA HALLELUYA.
    UBARIKIWE SANA MTUMWA WA YESU KRISTO ESTA.
    HAKIKA KWENYE WOKOVU KUNA NGAZI ZA KUKUA KIROHO. MUNGU ATUSAIDIE TUSIANGUKE NA KUMUACHA YESU.
    USHUHUDA WA NGUVU SANA.

  • @LylianeBaumaLyly
    @LylianeBaumaLyly 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisaidiye ubarikiwe sanaaa mutumishi wa Mungu

  • @devothanestory4880
    @devothanestory4880 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Dada ubarikiwe. Naomba no yako Dada.

    • @lydiakivuyo-b3l
      @lydiakivuyo-b3l หลายเดือนก่อน

      hakika na kweli yote be blessed

  • @victoriarichard8761
    @victoriarichard8761 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana ester wa Yesu. Nashukuru sana kwa ujumbe 🙏🏽

  • @kahindobashanga1443
    @kahindobashanga1443 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubaruki sana mama yetu na Mungu aendelee kukutumia zaidi.

  • @LamaBrigitte
    @LamaBrigitte 24 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe Mujakazi Wa Mungu..
    Hiyo ni kweli ,kweli.
    Amante

  • @stevenngoy5096
    @stevenngoy5096 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi ku kutumiya zaidi na zaidi yaani viwango badala ya viwango, Ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu.

  • @VictoriaNgombe-kw7fl
    @VictoriaNgombe-kw7fl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeni nakupenda sana❤

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama kunamtumishi wa kisabato alikuwa ana yshubiri hayo sema watu walimdharau ila mi nilipoona kaletwa mwanamke mwenye mapepo alikuwa amejiremba sana mtumishi akasema mnjoeni hizo njele kwangua kucha akatolewa urembo wote baada ya hapo msoepo yaksmtoka tokea hapo mi nanyoa nywele zangu cpaki urem o wowote nilimuogopa sana mungu barikiwa sana mama yangu nakupenda sana

    • @NdeshimuniSwai
      @NdeshimuniSwai 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu aliye hai

    • @MARYNAGUJustin
      @MARYNAGUJustin 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@NdeshimuniSwai ameni

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hallelujah. Napenda huo ujumbe wa kuambiwa na Yesu kufunika kichwa ukiwa mbele zake kwenye maombi, kuhutubu. Mungu Atusaidie tupone. Nampenda sana Yesu. Napenda sana niingie mbinguni. Mimi sio wa dunia na Jehanumm. Mungu Nisaidie.

  • @user-mf3ke4wk8k
    @user-mf3ke4wk8k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kwa kukubari kutuletea ujumbe tupone

  • @user-yw5wk1dv1c
    @user-yw5wk1dv1c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulinde Ili tupate maarifa Asante

  • @rosemary3816
    @rosemary3816 หลายเดือนก่อน

    Amena Asante mama kwa ujumbe mzuri

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amina Amina mtumishi

  • @FaithBeauty-te4dq
    @FaithBeauty-te4dq 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mama Sina la kusema ila MUNGU tu akulinde na vita yoyote maana unafichua Siri nzito sana ambavyo imekuwa ngumu kwa kanisa la leo

  • @JosephinaLeonard
    @JosephinaLeonard 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu naona kabisaaa unakusudi na Mimi, naomba usiniache peke yangu.

  • @user-qc5bp6iu2b
    @user-qc5bp6iu2b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akufunukie zaidi wa kupona watapona

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa ujumbe

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina amina, nakuskiza tokea Kenya 🙏.

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 24 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi nimebarikiwa sana na SoMo hili

  • @RistaMwambete
    @RistaMwambete 3 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nabii ..naomba maombi kwa familiar yangu wanangu wana matatizo ..mgonjwa hawana kazi ..maisha yameharibika..mkenya mimi....shukuran kwa ujumbe .jina la bwana litukuzwe

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 3 หลายเดือนก่อน +3

    Amina wewe ni nabii wamataifa yote Mungu akutie nguvu ili uyaendee mataifa wasikie ushuhuda huu

  • @kesiawailes1223
    @kesiawailes1223 3 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU akubariki mama

  • @user-lg4zp8do7u
    @user-lg4zp8do7u 4 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani mama nikama wanihubiria mm mungu anirehemu aniokoe😢😢

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน +2

      pole saana Kata Nguvu ya mwovu nyuma yako ili usonge mbele

    • @MaryOmbay-nx4ci
      @MaryOmbay-nx4ci หลายเดือนก่อน

      Nina wigi langu huko ndani silivai tena

  • @emmanuelwasike2720
    @emmanuelwasike2720 2 หลายเดือนก่อน +1

    noted

  • @SelevisterMarck
    @SelevisterMarck 4 หลายเดือนก่อน

    Amina... Mungu atusaidie sanaa...

  • @nicolasoduor7695
    @nicolasoduor7695 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mama shupavu wa Mungu,nakupenda sana kwa masomo ya Siri za mbinguni.Masomo Yako imenibariki sana.Mungu aliye hai na anaetamalaki mbinguni na duniani Yesu kristo,abariki sana kipawa chako.Amina🙏

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mama. Sasa sielewi. Nipake maftagani jamani. Loho mtakatifu. Aniongoze

    • @rosemarymwanitega7926
      @rosemarymwanitega7926 3 หลายเดือนก่อน

      Tumia mafuta ya nazi tena Kama unajua kuyatengeneza tengeneza mwenyew

  • @faithmarcho-yf3sb
    @faithmarcho-yf3sb 3 หลายเดือนก่อน +1

    MAY GOD FORGIVE US😢😢AND BE BLESSED MAMA

  • @kilazaQueen
    @kilazaQueen 3 หลายเดือนก่อน +1

    Merci maman ester
    Mungu akulinde amen 1:14:38

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli kabisaa Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe zaidi nazaidi

  • @deogratiusphunga7783
    @deogratiusphunga7783 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ninabarikiwa na ninakuwlewa vema san mtumishi

  • @kahindobashanga1443
    @kahindobashanga1443 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atukubuke wanawake na atusamehe.

  • @DEBORAHMASANJA-yz3go
    @DEBORAHMASANJA-yz3go 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sema mtumumishi wa Mungu

  • @samwelielikana
    @samwelielikana 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @mayranehemia9469
    @mayranehemia9469 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aturehemu.

  • @ButemeCatherine
    @ButemeCatherine หลายเดือนก่อน

    Asante mtumish 😮😮

  • @user-zt1jk9yy2x
    @user-zt1jk9yy2x หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mama Esther

  • @silviaamos-pl5lk
    @silviaamos-pl5lk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mtumishi kwakutufuria neno lake tujue zaidi mungu akulinde

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 4 หลายเดือนก่อน

    Amina amina

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa Mama Estere

  • @GossesMwambene-eg8lo
    @GossesMwambene-eg8lo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze na akupe Maisha marefu

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 28 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @AmaniRamathani-ti7fh
    @AmaniRamathani-ti7fh หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @MaryOmbay-nx4ci
    @MaryOmbay-nx4ci หลายเดือนก่อน

    Nimempenda sana huyu mama ukweli mtupu

  • @محمد46-ش6ك
    @محمد46-ش6ك 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @drmaryjohnmponda3484
    @drmaryjohnmponda3484 4 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA

  • @antiaelizeus-jn5rx
    @antiaelizeus-jn5rx 3 หลายเดือนก่อน +1

    🙌🙌🙌🙌🙌

  • @MargarethMapunda-tf6tc
    @MargarethMapunda-tf6tc 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Kwa ujumbe huu unapatikana wapi?

  • @esthercharo695
    @esthercharo695 3 หลายเดือนก่อน +1

    Àmen

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 2 หลายเดือนก่อน

    Namba za mama naomba

  • @ibrahimukikwilili4368
    @ibrahimukikwilili4368 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika nimekubali wewe ni mtumishi wa Mungu unafundisha vitu vya rohoni kweli kweli Mungu wa lbrahim lsaka na Yakobo akupe umande wa mbingu na manono ya nchi na mavuno ya nchi viwe juu yako na uzao wako

  • @faridamndeme2751
    @faridamndeme2751 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni nakuelewa .... MUNGU anisaidie niwe sawa sawa na mapenzi yake...

  • @امزكرياالجابري-ه7ق
    @امزكرياالجابري-ه7ق 2 หลายเดือนก่อน +2

    Me najichubua jaman kila siku naota nashuka kweny mlima kumb najipolomosha mwenyew me naacha

  • @elizaberthleonard4362
    @elizaberthleonard4362 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe mkubwa sana huu, watu wa Mungu tumsikilize mtumishi Na nabii ESTHER EMANUEL MASANJA maana hakika amenibadilisha.

  • @user-lg4zp8do7u
    @user-lg4zp8do7u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli mama injili hii sijawai kuisikia. Tuambie tupone😢😢😢

    • @vanessalibes7374
      @vanessalibes7374 3 หลายเดือนก่อน

      Kakobe ameyafundisha sana haya ila tulikuwa hatumuelewi

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm ndo nimeanZa kukusikiliza mama ..hakika umenigusa Sana maana mafundisho Kama haya kwa sasa hayapo.wahubiri wengi hawasemi kwa uwazi wanatetea zambi lakin ww umekuwa muwazi na umenifungua Sana ubalikiwe mno

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 หลายเดือนก่อน +1

    Yangu nikaeka chemical ,ilibidi ninyoe sikuwa na amani hata kidogo ,vipuli nikajaribu kuvaa wapi,sijihisi mimi ,nikarusha kwenye taka.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 4 หลายเดือนก่อน

    Mama nakupenda na unajua stak kupepesa macho nasemahv;; HAKIKA WW UMEKUTANA NA YESUKRISTO HAKIKA uuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @GekoBueb
    @GekoBueb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeshukuru mchungaji Kwa kuonya nitaacha mimi nauniombe iyo roho itoke

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo dada mzuri alafu mwongo. Kumwona Kristo sio wakati huu labda wakati wa parapanda.

  • @rerisamba
    @rerisamba หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mama wa mahimahiyu wakati wa mafuriko ya mwezi wa 4 aljipata kuzimu lakini Yesu akamsaidia na Yesu alimuuliza nini hiki kiko kichwani akambie sipendi akaanza kulia kweli Mungu akamuhurumia akarudi naalipo rudi alikua uchi lakini hakujiona uchi alikua anasema nipeni makasi nipeni makasi

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa Mungu 🙏🤝🤝 naomba unisaidie number yako mamaangu

  • @SelevisterMarck
    @SelevisterMarck 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenye sikio asikie hizi Ni nyakati za mwisho...

  • @evalyneayo-xo3lp
    @evalyneayo-xo3lp 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dada esta tuambie wanawake tupake mafuta gani

    • @rosemarymwanitega7926
      @rosemarymwanitega7926 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tumia ya nazi tena kama unajua kuyatengeneza tengeneza mwenyew

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 2 หลายเดือนก่อน

      Tumia mafuta yasiyobadirisha rangi ya ngozi yako.

  • @victoramnonivictoramnoni1241
    @victoramnonivictoramnoni1241 หลายเดือนก่อน +1

    Mama kanisa liko wapi

  • @deogratiusphunga7783
    @deogratiusphunga7783 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna makanisa yakiroho ukihubili mambo haya utashangaa utakavyopingwa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน +1

    Je na hiyo mewani je?.

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 2 หลายเดือนก่อน

    Mama aendeley kukutumia ili tujuwe none lake

  • @BeatriceRobi-j5q
    @BeatriceRobi-j5q หลายเดือนก่อน +1

    Mapambo na mavazi yatawafaya wasiingie binguni

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama naomba unisaidie namba zako

  • @vannyk-jz7tf
    @vannyk-jz7tf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dhehebu gani uyuuu

  • @user-qh9gw2vr6k
    @user-qh9gw2vr6k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwetu sisi waislam hukumu ya M/Mungu ameshaitoa kabisa anaeunganisha nywele moto unamhusu anaeunganisha kucha,kujichubua kunyoa nyusi basi hao wote hukumu Yao Tayari zamani imeshatolewa

    • @adeladaudi2047
      @adeladaudi2047 18 วันที่ผ่านมา

      😭😭😭😭😭 Ee Mungu wa wote wenye mwili wasaidie watu wako wape macho ya rohoni😭😭😭

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mfano mtu ana maradhi ya ngozi aende hosipitalini na kupewa dawa ajipake je nayo ni aje??

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 2 หลายเดือนก่อน

      Hayo ni maradhi hapo inatumika kama dawa na akipona Si ndio basi hataendelea kuitumia.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kungu inanywewa haipakwi mchungaji.

    • @mariahyera3737
      @mariahyera3737 2 หลายเดือนก่อน

      Upo wa kupaka. Nilitumia sana kabla sijaokoka.

    • @ac...262
      @ac...262 หลายเดือนก่อน

      Kuna wanja wakungu

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 10 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @christinethabu5069
    @christinethabu5069 4 หลายเดือนก่อน +1

    Punyeto nini

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 4 หลายเดือนก่อน

      Mwanaume kujichua yaani kujichezea uume wako mpk ukamwaga manii na haswa wanawake mnapenda

    • @MabelKaaya-hl2je
      @MabelKaaya-hl2je 3 หลายเดือนก่อน

      Masterbation. Kujichua sehemu za Siri. Ndio maana ya punyeto.

  • @getrudamussa5699
    @getrudamussa5699 2 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani mtumishi ester,naomba unijibu swali hili,je kuweka meno ya bandia ni zambi

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio ni dhambi unamkosoa Mungu na kumwambia kuna meno mengine hakuyaumba na kuyapa rangi nzuri ndio maana unaamua kuweka ya bandia dada Mungu hataki kitu chochote artificial kwenye sehemu yoyote ya mwili wako.

  • @FlorenceKhaoma
    @FlorenceKhaoma 3 หลายเดือนก่อน +1

    Je kusuka nywele zako mwenyewe ni makosa

    • @rosemarymwanitega7926
      @rosemarymwanitega7926 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ndiyo hutakiwi kusuka kabisa zitunze tu vzr kwa usafi basi

    • @kabwefrancine99
      @kabwefrancine99 2 หลายเดือนก่อน

      mungu wangu nime hacha ku kutia nywele bandia nika sema nita suka kwa mikono bila kuchanganya bandia kumbe nayo kosa😭

    • @AgenuinelyforgivensinnerinChri
      @AgenuinelyforgivensinnerinChri 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@kabwefrancine99Soma 1Timotheo 2:9
      1Petro 3:3-6

  • @badokunaushindiTv
    @badokunaushindiTv  4 หลายเดือนก่อน +1

    BADO KUNA USHINDI TV NI TV YA MTANDAONI INAYOJIHUSISHA NA MAMBO YENYE KUJENGA NA KUINUA IMANI YA KIKRISTO KUHUSU MUNGU WA KWELI YEHOVA. INARUSHA SEMINA, MIKUTANO YA INJILI, SHUHUDA ZENYE KUJENGA NA SIMULIZI MBALIMBALI ZA MAISHA YA MASHUJAA WA IMANI.
    UNGANA NASI KWA KU-SUBSCRIBE, KU-SHARE NA ILI KUBORESHA HUDUMA HII UNAWEZA KUCHANGIA AU KUTUMA SADAKA YAKO. KWA NAMBA +255 718 600 557, + 255 629 920 640. PIA NAMBA HIZI UNAWEZA KUZITUMIA KWA MAWASILIANO. JINA LITAKALO TOKEA UKITUMA SADAKA YAKO NI DANIEL ANTHONY KITUA. UBARIKIWE

  • @EdwinJaphet
    @EdwinJaphet 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sadaka za nini sasa ndugu, yaani unachukua content za watu wengine alafu unaweka namba yako utumiwe sadaka. Kama nia yako ingekuwa ni kufikisha ujumbe na mahubiri tu watu waokoke ingekuwa Sawa ila kuweka namba yako utumiwe pesa ni Utapeli! 😡

  • @elizabethsembe1677
    @elizabethsembe1677 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mafuta karibia yote yameandikwa crim sijui tuna fanyaje