SIFA KWA YESU KRISTO. HALLELUYA. MCHUNGAJI MUNGU ANAKUTUMIA KUSHUSHA MAARIFA YA KUTUTENGENEZA MAISHA YETU KANISA ILI TUPONE TUMPENDEZE MUNGU. MUNGU ATUSAIDIE WAMAMA TUPONE NA TUWASAIDIE MABINTI KUPENDA WAUME ZAO KWA MFANO WA MITHALI 31:10-31. BWANA ATUREHEMU.
Watching from SINGIDA...
Halleluya Halleluya Halleluya
HONGERA SANA KWA MATENDO MAKUU ALIYOTENDA MUNGU KWA FAMILIA, KANISA NA JAMII. SIFA NA UTUKUFU WOTE TUNAMPA BWANA YESU KRISTO MPONYAJI MKUU.
SIFA KWA YESU KRISTO. HALLELUYA.
MCHUNGAJI MUNGU ANAKUTUMIA KUSHUSHA MAARIFA YA KUTUTENGENEZA MAISHA YETU KANISA ILI TUPONE TUMPENDEZE MUNGU. MUNGU ATUSAIDIE WAMAMA TUPONE NA TUWASAIDIE MABINTI KUPENDA WAUME ZAO KWA MFANO WA MITHALI 31:10-31. BWANA ATUREHEMU.
NAFURAHI JINSI UNAVYOTUFUNDA WAKINA MAMA. ASANTE SANA KWA MAARIFA
YES! PENDO LA MUNGU.
ASANTE SANA KWA FUNDISHO KUHUSU AINA ZA UPENDO.