KWA NINI BAADHI YA WATU HUFANIKIWA NA WENGINE HAWAFANIKIWI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 128

  • @LuciePaul-bk5fr
    @LuciePaul-bk5fr หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kukutumia Pr Leo Nimejifunza kitu kipya namshkuru Mungu kwa hili

  • @DIANAMAGEMBE-dy9um
    @DIANAMAGEMBE-dy9um 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor, Ahsante sana kwa masomo unaendelea kutoa yananisaidia sana katika maisha yangu, ni mengi nilikuwa sijui lakini Leo Mungu amejifunua kupitia wewe, kiukwel nabarikiwa sana muda mwingi natamani kusikiliza mahubiri yako. Jina la Bwana litunzwe milele zote Amina.

  • @beatricesabi2371
    @beatricesabi2371 2 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwwa paster you are a blessing to this generation

  • @ferdinandlutate8979
    @ferdinandlutate8979 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe, mtumishi. Haya ni mafunzo ktk maisha ya kondoo wa Mungu ya leo hii. Nimeyatuma kwa vijana wetu na makundi nilimo na ninayoyapenda sana. Tumebarikiwa waumini tutakaokusikiliza na kujitahidi kutenda unavyoshauri..kujiuliza maswali au kuwa tunduizi (critical thinkers) tupitapo ktk mikhtadha anuwai kimaisha. Kuamka na kutenda malengo yetu ya kujiendeleza , badala ya kupanga hewani na kuishi kwa kutumaini. Wahenga waliasa kwamba kesho haiji...ila LEO ndiyo tunayoiishi.

  • @azaransari7307
    @azaransari7307 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza kitu kipya leo kwa swala la kufunga maono. Asante kwa ufunuo huu mkubwa Glory to God. Salamu kutoka Germany.

  • @dottolucas4504
    @dottolucas4504 ปีที่แล้ว +1

    Pr Mungu akuzidishie uelewa wa vitu vingi

  • @juharazanzi997
    @juharazanzi997 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina mchungaj hakika umenifungua macho kuona mbali.
    Ubarikiwe sanaa

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +3

    God bless 🙏 you Man of God 🙏🙏🙏 bless

  • @fredyomarimnkeni2427
    @fredyomarimnkeni2427 2 ปีที่แล้ว +5

    Amina,umenibariki sana Pastor. Zidi Kubarikiwa Mtumishi!

  • @christinaandrealunyilija8420
    @christinaandrealunyilija8420 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina pastor nawapata vizuri sana nikiwa mwanza magu

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 2 ปีที่แล้ว +3

    Ameeeeen pastor

  • @avelinageorge9449
    @avelinageorge9449 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina pastor unagusa maisha yangu kwa.mafundisho yalo

  • @vicentndiholeye1067
    @vicentndiholeye1067 ปีที่แล้ว +2

    pasita nashukulu sana kwakunielimiasha mungu akubaliki sana sana

  • @dianambwambo9991
    @dianambwambo9991 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa,mtumishi,munguakubariki

  • @user-ud3zw9pu3e
    @user-ud3zw9pu3e 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe maisha marefu pasta mafundisho Yakoyamenibariki mno nimejufunza Kwa yesu niraha tu

  • @eugenianaftali2706
    @eugenianaftali2706 2 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa mchungaji nauende mbali tunakusoma vizuri hapa Serena hotel karibu serengeti

  • @Alina-sl6hj
    @Alina-sl6hj 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor ubarikiwe sana,umenifundisha mmbo ya muhimu sana katika maisha yng ss nakwenda kufanikiwa Amen

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina Amen mtumishi wa Mungu somo zuri sana

  • @juliusmidodo195
    @juliusmidodo195 2 ปีที่แล้ว +3

    You are a true messenger of God. We are blessed to have u in this generation. (From Kenya)

  • @charitebass3857
    @charitebass3857 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen wewe ni Pastor mwalimu ten mkombozi wa Vijana Africa...but vijana wakristo tuwe makini🙏

  • @hboy1526
    @hboy1526 2 ปีที่แล้ว +3

    Amin my pasteur

  • @YohanaLazaro-rj7cp
    @YohanaLazaro-rj7cp ปีที่แล้ว +1

    Yes nakubali san

  • @teddyndaki5137
    @teddyndaki5137 2 ปีที่แล้ว +2

    Thank you sooooooo much Pastor Leo nimepats kitu kikubwa sana cha kubadili maisha yangu,Mungu anisaidie kutimiza haya,na nina yafunika kwa damu ya Yesu

  • @amnamax8676
    @amnamax8676 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina,hii niyakwangu pastor,barikiwa sana

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 ปีที่แล้ว +1

    Ameen pasteur ubarikiwe sana 🙏🙏

  • @wasengaswillah8607
    @wasengaswillah8607 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina pastor, maana kufanya kazi bila malengo ni sawa na kuendesha gari bila kufuata mwelekeo hivyo safari huishia njiani.

  • @user-ls2ez2qc1y
    @user-ls2ez2qc1y 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor Mungu akulinde kwa njia zote🙏🙏

  • @user-qo8hl1ki6o
    @user-qo8hl1ki6o 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana MUNGU aku akubariki

  • @mesh7315
    @mesh7315 2 ปีที่แล้ว +5

    Pastor leo umenielimisha kweli kweli just know that you inspire so many of us and our life changes alot.
    May you be blessed even more Glory be to God

  • @RoseIbrahim-rr1xo
    @RoseIbrahim-rr1xo 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @zabronemmanuel-eo1om
    @zabronemmanuel-eo1om 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa mahubili yako pr mbaga

  • @HuldaMadulu
    @HuldaMadulu 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana umegusa maisha yangu umenisaidia mambo mengi sikuyaelewa kabisa

  • @manrasiel8054
    @manrasiel8054 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Pastor umenijaza fikra mpya kwenye ubongo wangu.🙏

  • @margrethkaserikali1458
    @margrethkaserikali1458 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Pastor 😌🙏

  • @sebastianlucian5916
    @sebastianlucian5916 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen nashukuru mungu kwasababu kila siku naingiza ktu kipya

  • @mariammussa7654
    @mariammussa7654 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wako akutuzee

  • @user-wj8cm1uo5b
    @user-wj8cm1uo5b 6 หลายเดือนก่อน

    Amine 🙏

  • @amaningoye-co6et
    @amaningoye-co6et 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen,nimebarikiwa masomo yako Pastor

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 2 ปีที่แล้ว +1

    ameeen God bless you

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah nakupenda bure Mlefi,tusaidie cc vijana wengi tunavaa vizr lakini hatuna hela na inatufanya wakati mwingine tunafanya mambo yasiyo mpwndeza Mungu hususani wadada kuwa na mahusiono ya kingino na wasiyo mcha Mungu wakati mwingine kuolewa kabisa na kumuacha Mungu asante kwa elimu hii

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu somo hili ni nzuri sana kuna mengi nimejifuza

  • @jimmalosha2049
    @jimmalosha2049 2 ปีที่แล้ว +2

    Very powerful message

  • @ismailkatanga6611
    @ismailkatanga6611 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo lako mwalimu 🙏🙏🙏🙏

  • @theopisterbulamu9497
    @theopisterbulamu9497 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishicwa Mungu, unaakili sana Mungu Akusimamie

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana pasta

  • @corazonokinyo6324
    @corazonokinyo6324 2 ปีที่แล้ว +2

    Usiseme nita ,Sema nina

  • @esthermboje8959
    @esthermboje8959 2 ปีที่แล้ว

    Amina mungu aendelee kukubariki nimejifuza vitu vipya kabisa ambavyo nilikuwa sivijui

  • @shimwekagwiza1099
    @shimwekagwiza1099 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina pastor, MUNGU akutunze kwa ajili yetu 🙏🙏

  • @bensonjohn5400
    @bensonjohn5400 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante,, Barikiwa Pastor

  • @andjelanikandolo6046
    @andjelanikandolo6046 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa kazi hiyo nzuri

  • @fridayuda9577
    @fridayuda9577 2 ปีที่แล้ว +1

    BABA WEWE MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUTUPA CHAKULA CHA ROHO NA MWILI, UMENIFUNGUA UFAHAM WANGU NA MILANGO YANGU YA FAHAM IPOKEE ELIM HII NA IKAZAE WATOTO NA VITUKUU Aamina 🙏🙏

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 2 ปีที่แล้ว +3

    #MSHAHARA NI MADAWA YA KULEVYA UNAYOPEWA NA MWAJILI WAKO ILI KUKUSAHALISHA NDOTO ZAKO # hii hii hii hii inanitesa nimeona nifunguke tu MUNGU INGILIA KATI.

  • @rehemaburton2962
    @rehemaburton2962 2 ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe sana endelea kutubariki

  • @sikuzanibusanya7352
    @sikuzanibusanya7352 2 ปีที่แล้ว

    Amina Amina ubarikiwe

  • @Pendomabula
    @Pendomabula 2 ปีที่แล้ว

    Amina Pr.

  • @Chemredio
    @Chemredio 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @hamismashauri4956
    @hamismashauri4956 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana pastor

  • @cesarmilumbu6463
    @cesarmilumbu6463 2 ปีที่แล้ว

    Vrmt nivizuri sana mungu atubariki kwa mitazamo wetu amen

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba kaka yangu mutumishi Wa mungu a salamaleykum wewe umenisaidia maisha yangu yote mpka kuingia mbinguni île somo umetufichulia siri ya maandiko somolako umesema unabii kwa dunia nzima wa 2022 nimekufata kutoka Oman wewe ni yoane wetu kwa kizazi hiki sauti ya mutu aliae jangwani yowane wetu wewe umetusaidia ku tengeneza imani kwa ku subiri mu nyama n'a unyakuo wa bwana wetu yesu kristo wewe n'a tamani sikumoja tukutane mbinguni tucheke tu furahi pamoja wewe n'a sisi wa sikiliza ji wako kwani mimi n'a tamani unyakuo naokopa moto wa millele 🙏🙏🙏🙏

  • @hbdina
    @hbdina ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Asante sana Mchungaji wa Mungu Baba Jehovah kwa jina la Yesu Kristu Amen🙏🙏🙏🔥🔥🔥❤️❤️❤️

    • @user-fg9zg8yi8q
      @user-fg9zg8yi8q ปีที่แล้ว

      😮😮😅😅😮😅

    • @user-fg9zg8yi8q
      @user-fg9zg8yi8q ปีที่แล้ว

      😮😅😊😅😅😮😢😢😢😅😅😅😅😅😅😮😅😊😅😢🎉🎉🎉

    • @user-fg9zg8yi8q
      @user-fg9zg8yi8q ปีที่แล้ว

      38:52

  • @erickmuema2393
    @erickmuema2393 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa pastor

  • @abelmwilapwa1111
    @abelmwilapwa1111 2 ปีที่แล้ว

    Uko tofauti sana mchungaji natamn kama ungekaa na wachungaji wapate semina kwan naona km ndio msingi mkubwa wa kuinua wengi kiuchumi

  • @robartmwangomalecharnel7860
    @robartmwangomalecharnel7860 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mch mafundisho yako yananibariki sana

  • @josephlwago5950
    @josephlwago5950 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana, najifunza jambo la muhimu sana

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwaa SANA mtumishii

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen , nice nd powerful message I ave learned alot let us do according to it in God's Grace 🙏 , God 🙏 bless u pastor

  • @farajmanuar3589
    @farajmanuar3589 2 ปีที่แล้ว

    Amen..

  • @mkorinthotz7449
    @mkorinthotz7449 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @humphreylukoyeopwapo4777
    @humphreylukoyeopwapo4777 2 ปีที่แล้ว

    Blessed

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 2 ปีที่แล้ว

    Nice talk 👌

  • @amonpeter3378
    @amonpeter3378 2 ปีที่แล้ว

    Amen,

  • @giftmoses396
    @giftmoses396 2 ปีที่แล้ว +3

    Ninapomsikiliza Pr. Mbaga ninamuona mtu mmoja anaitwa Dr. Myles Munroe. Ikiwa mtu ataweza amtafute huyoo jamaa youtube nenda ukasearch Munroe Global

    • @johnmnason983
      @johnmnason983 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabsa. Yani wanafanana vitu vingi..!!

  • @crealmarwa
    @crealmarwa 2 ปีที่แล้ว +2

    Kupenda fedha ni vibaya Lakin kuwa na kipato ni vizuri hahaha 😂😂😂

  • @esterdaniel5177
    @esterdaniel5177 2 ปีที่แล้ว

    God bless v

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 ปีที่แล้ว

    Sahihi kabisaa mkuu watu tumeangamia kwa kukosa maalifa

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana kwenye maono ya vitu kupitia somo hili nimejua jinsi ya kuvifuungia vitu vyangu.

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว

    Amina… ni yangu hiyo

  • @lizabigirimana5004
    @lizabigirimana5004 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Pasta lakini ninaswali umesema mukristu nivizuri kufanya kazi nikweli lakini nyinyi tena mapasta munatufunza eti kuna wito tafauti . Kunawale wameitwa kuudumia tuu washirika yaani yeye ni kanisani tuu akisha anakula sadaka na moja ya kumi ...nawengine nimapasta lakini wanaweza tumuka kazi zingine ... ssasa iyo unaisema eko nini?????? Naitaji kujuwa kweli asante

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว +2

      Kila mtu afanye kazi

    • @BlackBoyOfficials23
      @BlackBoyOfficials23 2 ปีที่แล้ว +3

      @@MahubiriPrMmbaga KUFANYA KAZI TU HAKUMFANYI MTU KUFANIKIWA TU BALI AWE NA ELIMU YA FEDHA,NA KAMA UKIWAFUNDISHA WATU KUFANYA KAZI TU BILA KUWA NA FINANCIL EDUCATION UTAFANYA WATU WAFANYE KAZI HADI UZEENI NA HAWATAACHA URITHI KWA WATOTO

  • @BlackBoyOfficials23
    @BlackBoyOfficials23 2 ปีที่แล้ว +1

    Kinachowafanya wengine wafanikiwe wengine wasifanikiwe ni elimu walizonazo kuhusu mafanikio na pesa na baadhi ya wahubiri wamefanya most wasifanikiwe

  • @tajimtera2518
    @tajimtera2518 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana

  • @ishatvonline.213
    @ishatvonline.213 9 หลายเดือนก่อน

    🙏🏼🙏🏼

  • @victaeliud948
    @victaeliud948 2 ปีที่แล้ว

    barikiwa

  • @alfredadogo712
    @alfredadogo712 ปีที่แล้ว

    Habari

  • @user-cf5eh2hr4b
    @user-cf5eh2hr4b 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli pastor naomba unisaidie tu coz ninapoomba najipata nalala😢 naomba unisaidie tu

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  10 หลายเดือนก่อน

      Mungu akutendee muujiza

    • @user-cf5eh2hr4b
      @user-cf5eh2hr4b 10 หลายเดือนก่อน

      @@MahubiriPrMmbaga amen coz nipo gulf na ambaye ameniajiri anakuja Hadi anasali kwa mlango ya room yangu Sasa nikimaliza tu kazi hivi ety naingia kwenye room yangu nikijaribu kuomba tu ninalala na hii ni mara ya pili bossy wangu kufanya hivyo

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว

    Mungu asikuache akushike mukono akufunulie n'a mwengine tupone

  • @avelinageorge9449
    @avelinageorge9449 2 ปีที่แล้ว

    Mch.natamani kubadilika

  • @user-qw1wp7vc5i
    @user-qw1wp7vc5i 11 หลายเดือนก่อน

    Pr. Kama mimi maono tangu sikujuakufunika na imepigwa Sana konokono ndoto ya kurudi sule primary mkono kuganda nifanyeaja nisaidie

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameina mchungaji

  • @jonisiambifile7150
    @jonisiambifile7150 2 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836
    @theheraldbroadcastingnetwo4836 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa Sana
    Ninafuatilia

  • @rizikimakupe
    @rizikimakupe ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu asifiwe na itwa Riziki niko Saudia mbona niki jaribu namba yako haikubali ama nivile nikombali

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 8 หลายเดือนก่อน

    yaani mnakuwa mapastor ili kufundisha somo la uchumi?.

  • @DeboraMchunga
    @DeboraMchunga 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mchungaj tunazidi kunemeka San kwa hayo mahubir yako

  • @elienew3788
    @elienew3788 ปีที่แล้ว

    Mungu anisaidie na mimi ili nibadilishe fikra

  • @azizyannelly5199
    @azizyannelly5199 2 ปีที่แล้ว +2

    Ata serikali yetu nayo iwe makini kuhusu hizi chanjo wanazopewa watoto wadogo mimi nahisi nazo zinaweza kua na ujanja ujanja wa kudumaza akili za Waafrika..🙏🙏

  • @bostonogoti1460
    @bostonogoti1460 2 ปีที่แล้ว

    Ukitumia tablet ama lab top sasa sii washiriki wako watatumia simu kuwa simu, na bibilia itakuwa wapi????

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 ปีที่แล้ว

    KWELI kabisa KTK kumtafuta MWENZI wa MAISHA sikulijua hili

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 ปีที่แล้ว

    Nimecheka kwa vijana hapo umewapiga na kitu kizito kichwani ni kweli kabisa

  • @onesmoelias8509
    @onesmoelias8509 2 ปีที่แล้ว +1

    Nalisubil Sana hubili hilo