PEMBA YAJIVUNIA MNARA WENYE HISTORIA PANA DUNIANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
𝙉𝙞𝙘𝙚 𝙗𝙚𝙖𝙪𝙩𝙞𝙛𝙪𝙡 𝙡𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣
Pemba ni yetu
Mashaallah nimekumix sana nyumban
Daah..kwa kweli mimefarajika sana kuiona Pemba yetu Alhamdulillah..Ngezi vuma wimbi mjarani
Jirani na wapi
@@azizaaziza7996 Mombasa
Mashaallah shukran kwa kutupa historia ya mnara wa kigomasha❤
Mnarani inanikumbusha mbali palikuwa na kambi ya jeshi nakumbuka
maashallah nitakuja uko
Masha'Allah
huyu mwenye alfatah nakumbuka alikua shekh uyu au sie
Kiberiti hadi kitoke Uingereza....😢😢😢
Kwanini tunafikilia mnara mfupi ndio bora wakati mnara mrefu ndio bora zaidi
Kweli kabisa
Pazuri
People's need Money not Else ??.
Shekh rashid wale wadogo zako wko wpi nnakuona ww tu na shekh suleiman
kupanda ruhsa kwa watembezi
Unaruhisiwa ila sio bure unalipia
Msitu wangezi,vumawimbi kigomasha tembeleeni sehemu hizo kwapemba ili uone mandhari nzuri na fukwe zakuvutia pemba