Asalam alykum,ahsante sana sheikh wetu tunashuru sana sisi vizazi kwenye asili ya Pemba kujuwa asili na ukongwe wa nchi yetu ya Pemba, asili yetu ni dini ya kiislam tuu pekee na sio ukafiri wa kikiristo
ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU I LOVE PEMBA PEOPLE THEY ARE TOO KIND MY ALLAH BLESSED THEM AMEEN SUMA AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@suleimanrashid3918 Ok Wanasema ukweli haupingiki. Zanzibar nin hi ndgo lkn Ina historia kubwa sema hio historia ipo kwenye vifuwa na midomo na Dunia kwassa inaamini maandishi lkn ndyo mambo yanadhihiri Kama hvo. Wanasema ukweli haupingiki.
Wallah nna uchungu na Zanzibar, maana Zanzibar ni nchi ya Kiislam.
Allah ihifadhi Zanzibar wa watu Wake.
Mungu avituze visiwa vyetu 🙏
Ameen
Asalam alykum,ahsante sana sheikh wetu tunashuru sana sisi vizazi kwenye asili ya Pemba kujuwa asili na ukongwe wa nchi yetu ya Pemba, asili yetu ni dini ya kiislam tuu pekee na sio ukafiri wa kikiristo
Waandishi wa historia ya Uislam hii ndio nafasi ya kufanya utafiti zaidi juu ya kuingia kwa Uislam Pwani ya Africa Mashariki
Mashaallah sheikh murubain nakuelew muda tokea nyumban ALLAH akupe afya njema
Home boy saf Sanaa Kwan taarifaa shehe Wang wa nyumban wingwii❤❤
Very inresting Archiology findings. The government should look at these important historian of our Islands
Imsim, huo muda wa kufanya utafiti wa aina hii ni ngumu maana mawazo ni namna gani ya kuchota mali ya umma.
Serikali wenyewe inavunja hayo mahistoria ya Zanzibar mbwa haw
Shukran Baarakallahu fiiqu
Ni utafiti Mzuri wa kihistoria
Interesting study to be published
Halaf waseme waarabu (waislam) wamekuja juzi Zanzibar wakafanya utumwa Allah atazifi kuonesha ukweli
Hii inaonesha wazi waislam ndio waanzilishi na watawala wa mwanzo visiwa vya znz kuishi katk visiwa hivo
Hata ule Msikiti Wa Kilwa Kisiwani Nguzo Arubaini Ulijengwa na Masahaba au Matabiina wakiwemo watoto wa Sayyidna Athman Bin Afaan (RA).
Karibu bkwetu full stor
@@najmaulaya8819 kwenu wap EEE???
رضي الله عنك شيخنا
Nenda na tumbatu
ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU I LOVE PEMBA PEOPLE THEY ARE TOO KIND MY ALLAH BLESSED THEM AMEEN SUMA AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwa utafiti wangu, zama hizo ni zama za Mataabiina baada ya Maswahaba. Na Swahaba wa Mwishu kufa ni Abuu Tufayli Amir bin Waathilah (R.A) mwaka 100 H.
Mashallah
Maashallah
Historia ya Zanzibar inazidi kutuumiza Wazanzibar
Walosema vasco da gama ndo mgunduzo wa Znz waje waone
رضي الله عن اجدادنا
Aslam a likum warahmatullah 5:55 5:59
Aslam a likum warahmatullah
Ustadhi khamis tunataka kujuwa zaid kusu historia Ii kwaiyo napendekeza kutafutwe watu wa afya Ili tujuwe ukweli zaidi
Muarubaini
Sheikh hao itakua ni wale watu waliokuja na nabii Suleiman enzi hizo na ndio maana kihistoria kisiwa cha misali alifika nabii Suleiman.
Hhhhh we Tena umefika mbali
Lkn historia Ya zanzibar wtu wanaificha sjui wanahofia Nn Hao
Lkn historia Ya zanzibar wtu wanaificha sjui wanahofia Nn Hao
@@Muhammad-el9iz wanacho kigicha wanaadam mjngu hukifichua ndio inaanza kufichuliwa hio sasa
@@suleimanrashid3918 Ok Wanasema ukweli haupingiki. Zanzibar nin hi ndgo lkn Ina historia kubwa sema hio historia ipo kwenye vifuwa na midomo na Dunia kwassa inaamini maandishi lkn ndyo mambo yanadhihiri Kama hvo. Wanasema ukweli haupingiki.
Duuh
Tumetoka pazuri ila tumepelekwa pabaya tenasana kilamtu analijua hilo, na dini ipo mudamrefu zaidi ya hiyo miaka700
Mashallah