we unayejiita askofu hyo ndo kazi aliyokutuma mwenyezi mungu ukawahubiri waumini wako unapoteza mda mwingi kuongea umbea kanisani badala ya kuhubiri neno la bwana lkn kwa taarifa yako yule ndo rais wa dsm na uko chini ya eneo lake la utawala kwahyo lolote lile anaweza kukufanyia na hakuna atakaye pinga #PIGA KAZI RC MAKONDA
Piga vita najua unapiga vita kwa viwango vya taifa na kimataifa.Mungu akuwezeshe daima ili atukuzwe milele na utukufu mbinguni na duniani.God bless you always.
Hamisi Vidugila : Ujinga unauona wewe usilete izo zero brains zako kwenye comment yangu, kuna sehemu yako apo juu pia wewe andika ya kwako mbona usiniletee ubashite mimi, msikiti wetu sote mbona unaongea kama vile msenge?
Nakumbuka ulisimama kutetea haki Mungu wa haki azidi kukutetea.Mungu wako anaishi alifanya kwa viwango vya juu kweli ilikuwa ni uharibifu mkubwa katika Uongozi na ni kupotoka.maneno yko yanaishi.kila nikikumbuka hii vita namwambiaga Mungu wewe upo na unaishi.
Rais wa Tanzania, JPM. *"Makonda Chapa kazi, mimi ndie ninaeamua, mimi sioneshwi njia ya kupita"* leo Saa 12:24pm. This case is closed, bora kumuongelea Arsene Wenger.
Even a fool, when he holdeth his peace, is counted wise: and he that shutteth his lips is esteemed a man of understanding. Mithali 17:28. HUU NI UJUMBE WA GWAJIMA ASOME GWAGIMA NI MPUMBAVU KULINGANA NA HILI "NENO"
Kwa kweli nimeamini neno la Mungu li hai naliendi bure. Kwa kweli hapo Makonda akaombe tu msamaha. Vinginevyo atapotea kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.
Gwajima kiboko.ngonga like Kama unaogopa kuthubutu kumchokoza gwajima
namshauri kaka yangu Mskonda mwache Askofu Gwajima achape injili watu waokolewe na Bwana Yesu. usimfuatilie
Mwenye umbwa kainuka na kujibu nadhani kipigo kinawapata na badoooooooo we eeeeee ktk Jina la YESU kristo wapigweeeeeeee
we unayejiita askofu hyo ndo kazi aliyokutuma mwenyezi mungu ukawahubiri waumini wako unapoteza mda mwingi kuongea umbea kanisani badala ya kuhubiri neno la bwana lkn kwa taarifa yako yule ndo rais wa dsm na uko chini ya eneo lake la utawala kwahyo lolote lile anaweza kukufanyia na hakuna atakaye pinga #PIGA KAZI RC MAKONDA
we nae vp toka hapo lazima makonda achemke hapooo
thomas mongel mh atawatumbua wote pamoja na ww
Inawezekana hata wanao shabikia maneno ya huyu jamaa hawajielewi na kwa sababu wamefumbwa macho hawawez kuona
Uzur hujaitwa kwenye account ya umbeya
Bishop Dr Joseph Gwajima tafadhali msamehe huyu bwana.
mkomeshe baba
+Jackline Mtui asemehe bashite
anawasha moto wakati hana kikosi cha zima moto
Jackline Mtui I am good my dear
Shyton Agen ...
mungu tunusuru na maugomvi ya hawa watu.mungu simama kati yao
Piga vita najua unapiga vita kwa viwango vya taifa na kimataifa.Mungu akuwezeshe daima ili atukuzwe milele na utukufu mbinguni na duniani.God bless you always.
Nakupenda gwajima.makonda chalii
Daaaaahh ww noma kaka God bless you....
makonda usisumbue wafanyabiashara
Walahi gwajima mimi nakukubaligi sana tangu 2014
Baada ya kituo kimoja kufungiwa naniamekuja hapa naomba like zenu
asante sana baaba, kiukweli Tanzania tunahitaji akina Gwajima 1000
mungu akiwa upande wetu ni nani alie juu yetu
ni nomaaaa
sanaaaaa
chuma hula
chuma chenzake
...huu #GWAJIMA SI WA KISPOT KISPORT
Usiliamshe dude... utaumia!!
gwajima umeokoa jahazi... Mungu akutie nguvu mtumishi wa bwana
Yaani Mimi namuomba mungu akuongoze huubiri neno la mungu na siyo kuchimba chimba watu uwe na sifa nzuri katika jina la yesu krst,,
Mhh aibu kwanashite
Mungu akutiyenguvu baba.
askofu gwajima msamehe bhana
Yaani Gwijima
hai kwa wadu wote you tube nawasalimu wote
Jamani makonda ukujua huyu gwajima hafai kuchokozwa..Huyu umuwezi kabisa..muombe tu msamaha..ongeeni kisukuma mambo yaisha..
Hiyo ndiyo kazi yako/ kufundisha elimu ya ufalme was Mungu
ni kweli kabisa lizima tuwe na bando
......................................... to be continue
Acha kazi ya kanisa kua mmbeya
Shikamoo gwajima.... Kweli nmeamin ww askofu wa kweli
Hakuna mtu anayeweza kumchafua mtumishi wa kweli wa MUNGU, halafu abakie salama
Tunataka viongozi wa dini ambao si waoga kama Askofu Gwajima,na ndio maana waumini wapenda haki wanakwenda kwa Gwajima
Nimekuelewa mkuu kunini umeigia kwenye siasa mungu akusaidie ufanikiwe mtumishi bwana
dah gwajima umetisha kwel kwel maana unaokoa jahaz kwel msema kwel nimpenz Wa mungu
Nihatari Sana huyu mtu usigombane nae kbs utadharirika mno
Aminaaaa
na kweli chuma hunoa chuma kweli.......shikamoo gwajima.....
Haya mambo ya kutoa kashifa sii vizuri bishop ww ni mtumishi wa Mungu na ndiyo maana uafungua mlango wa mdee kukukashifu
Hiyo LIVE nchi za ulaya subiri nishuke gwaji bwoy labda nchi za ulaya zitumiazo kiswahili 😋😋😋😋
umefanya wasabato ,waislam wote tusali siku ya jumapili pale ubungo
karibuni sana
hahah
makonda dar imemshinda kwa kua mkubwa anampenda amtafutie Kazi nyinginge
sio sahihi
Shyton Agen ,,,,mnaenda kuongeza mapato ya sadaka na ndo maana hatakikuacha issue ya makonda,,,hakuna kitu kibaya km kuwa mnafiki,,poleni sana
Mwenyezi Mungu akubariki Sana Askofu Gwajima.
aiseee Leo team bashite Leo hawana mapovu yamewakauka wadogo kama piritoni
Dah kwetu raha, msikiti huendeki kwa umbea huu, Njia zote zaelekea ubungo, Askofu tunyooshe Bashite. leo sote walokole
usingize msikiti ktk huuujingaaa
Hamisi Vidugila : Ujinga unauona wewe usilete izo zero brains zako kwenye comment yangu, kuna sehemu yako apo juu pia wewe andika ya kwako mbona usiniletee ubashite mimi, msikiti wetu sote mbona unaongea kama vile msenge?
Nakumbuka ulisimama kutetea haki Mungu wa haki azidi kukutetea.Mungu wako anaishi alifanya kwa viwango vya juu kweli ilikuwa ni uharibifu mkubwa katika Uongozi na ni kupotoka.maneno yko yanaishi.kila nikikumbuka hii vita namwambiaga Mungu wewe upo na unaishi.
NAMUONA MUNGU NDANI YA GWAJIMA
Amen.
Our MIGHT GOD,bless this Tanzanian election AMEN.
Gwajima anatumia neno vibaya siasa nawokovu vitu viwili tofauti kwakuwa ameamua kuviunganisha pamoja bas madhabahu nimoja.
Tumeyajua tusioyajua mhhh
WAKUACHE GWAJIMA , MIMI NAWASHAURI WAACHE HII NCHI WEWE NDO JICHO LETU
Noma Sana mbunge wangu wa kawe
Pole sana kw kukuchafulia jina
kweli gwajima duuuh respect kweli kboko
Watumbue kiroho baba😀😀😀😀
Duh huyu mzee anajua kafutatilia data za watu duh haya watumbue watumbue
Du amsha dude kept🎤🎤
Amina babaaaaaa!!!!!!!!!!
YESU ULIYENAE KOMANDOOOOO
Ubarikiwe sana
#53:21
Kwikwikwikwi
Nataka hii sound iwe muito wa Cm yangu..
Nimeipenda bure
MIMI NI MKRISTO RAFIKI WA WATU WOTE MPAKA WAISLAM
Unagombania ubunge ndio unasema unatetea waislamu wakati umehasema hatokubali muislamu kuenea Tz
bashite ,can you speak in E/language?
Shyton Agen He is not BASHITE
Rais wa Tanzania, JPM.
*"Makonda Chapa kazi, mimi ndie ninaeamua, mimi sioneshwi njia ya kupita"*
leo Saa 12:24pm.
This case is closed, bora kumuongelea Arsene Wenger.
The case was opened again in 2020 by WajumbE my friend and proved Gwajima to have taken down Makonda
wadau you tube imetulia nime ipenda
Even a fool, when he holdeth his peace, is counted wise: and he that shutteth his lips is esteemed a man of understanding.
Mithali 17:28. HUU NI UJUMBE WA GWAJIMA ASOME GWAGIMA NI MPUMBAVU KULINGANA NA HILI "NENO"
I understand from what have spoken,,, that's right.
hapo haliingia disco la wamasai angejua asingemtaja huyu jamaa
Kaenda kulogea mbali sanah uyuu
Nani anaangalia 2020
Usione simba amenyeshewa ukadhani paka
Nchi ya Tanzania ilipofikia kwasasa, yaani ni bora ukose Figo kuliko kukosa BANDO.
Prince Naahjum Alsina ww noma
prnc umeona eeeh Yan kama una smart unawez ukaumwa
Prince Naahjum Alsina ....hahahahahahaaaaa....
Prince Naahjum Alsina 😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha
nakupenda bure Askofu wangu
Dicho Da plaiza pia mm
Even me nakuloveee
mmmh Mzee waminyoshoooo
hakika mungu yuko nawe palipo na kweli mungu anajiinua
nakupenda bure we baba
Hahahaha nirahaa yani nirahaa baba nakupenda
Ndugu yangu usijisifu kwa kuwa na makanisa hiyo sio dini
Kwa kweli nimeamini neno la Mungu li hai naliendi bure. Kwa kweli hapo Makonda akaombe tu msamaha. Vinginevyo atapotea kabisa kwenye ulimwengu wa siasa.
Kinachompa kiburi ni ufarume zarimu
huuumna clouds wanapenda ubeya sasa umewakoleya
Je Kwa Mungu mkolive????
Hayo ni majungu siyo utumishi wa kiungu
@@@@shiiiiiii wwe
Unayumba gwajiboy tumerugwa tena!! Mbere ya mazebau hee kwali askofu atar
Mnaoshangilia wote mataila mnaoshangilia upumbavu
Tuache
Safi
Ameen
Wacha haya yatokee....Hii ni kama JICHOPEVU ya Kenya Ukombozi unakuja muda si mrefu.
usimchezee gwajima
Hivi kweli hatuna waandishi wa habari watakaoweza kufanya uchunguzi kama wa Mchungaji Gwajima? I am very disappointed with our journalists!!
Bishop be bressed to reveal what GOD commanded you to do
Haijalishi mtu anaanza wapi kumaliza muhimu
huyu ndie the general wa vita majeshi majeshi majeshi ya BWANA yakowapi majeshi yako ubungo majeshi ikiyachokoza majeshi utakwisha kabisa.
Hapo mch sijaelewa hayo nimahubiri ya kitabu gan kwenye biblia?
serikali za afrika aisee Apostle SULEMALI WALIMJARIBU KUMCHAFULIA HIVYOHIVYO LEO KWETU
kazi ipo gwajima si mtu wa kumchokza aisee
BW,akutendee kama mwana
Asalaam aleykum walimwingu
Gwajma umetisha
Ameeen
Wape wape baba
Seleman Junior hadi mwili wangu unasisimka tanzania yetu
unaliansha dude gan kumbuka yatachomwa makapi
MUNGU AKUTIE NGUVU
sisi tunataka vyeti sio mbwembwe
Nakupend ssna
Mtumishi msamehe tu
Daaaah! Zero mpaka ya kiswahili!!! Ngachoka🙃
NYOOSHAAAAA KILA KILICHOPINDA
Wacha movie iendelee
Majaabu. Hii ndiyo maana hapa Kenya tuna badilisha badilisha viongozi. CCM ina maliza Tanzania.