ASKOFU GWAJIMA AMLIPUA TENA MAKONDA AWAMU YA PILI LEO 12/03/2017

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มี.ค. 2017
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

ความคิดเห็น • 73

  • @nadinebahizi2240
    @nadinebahizi2240 3 ปีที่แล้ว

    Kweli Askofu umetufaa sana kwaajili y'a uhimarishaji wa imani yetu piya umetufunza kuwa mashujaa wa imani Mungu wetu akubariki daima. Ni mwinjilisti SHERIA BALOLA toka DRC

  • @romanarosemedard2551
    @romanarosemedard2551 8 หลายเดือนก่อน

    Acha maneno mshukuru sa Jpm kupata ubunge
    Kanisa linakusubiri ubungo acha kujifanya Mungu mtu
    Mwache Makondaaaaa

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 2 ปีที่แล้ว

    Baba mbaliki mchungaji wangu mpe nguvu atuvushe kwenye janga hili

  • @johnshadrack1481
    @johnshadrack1481 7 ปีที่แล้ว +3

    good Gwajima , asizingue simamia haki asee, nakukubali sana

  • @haphidhimongati5220
    @haphidhimongati5220 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana

  • @saiddimarley3352
    @saiddimarley3352 6 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna awezaye kuwatumikia ma Bwana wawili chagua upande moja ijulikane mana tumekuchoka

  • @moniquebankibigwira866
    @moniquebankibigwira866 2 ปีที่แล้ว

    Siyo vizuri bishop

  • @noelabsolom651
    @noelabsolom651 7 ปีที่แล้ว +9

    safi gwajima aoneshe vyeti

  • @johnshadrack1481
    @johnshadrack1481 7 ปีที่แล้ว

    Aimeeennn

  • @congoswahilitv6465
    @congoswahilitv6465 6 ปีที่แล้ว

    nakuja kukulipua na mimi nakuja Tanzania

  • @rashidkambi7419
    @rashidkambi7419 7 ปีที่แล้ว +2

    sasa hakuna ibada ni bashite tu jamani kazi tunayo

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 7 ปีที่แล้ว +1

    preach pastor Gwajiiii he is going to resign in Jesus name

  • @gabriel_tz2989
    @gabriel_tz2989 7 ปีที่แล้ว +1

    yeah atoe vyeti

  • @janewinne2614
    @janewinne2614 7 ปีที่แล้ว +1

    sema baba

  • @issaramadhaniathuman
    @issaramadhaniathuman 9 หลายเดือนก่อน

    Hii. Historian n kungun mno tumekoma

  • @janewinne2614
    @janewinne2614 7 ปีที่แล้ว +1

    ukweli usemwa

  • @deniskatunzi3514
    @deniskatunzi3514 7 ปีที่แล้ว

    hatari sana aisee

  • @congoswahilitv6465
    @congoswahilitv6465 6 ปีที่แล้ว

    gwajima nimekupali anauza madawa yakipanda anasema vizivyo heleweka akiona asikiliki anaongea visivyo heleweka gwajima hayo sio maubiri mungu anakuona kwaujinga wako wemzee mjinga sana 🇨🇩🇨🇩👍🇨🇩🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @johnshadrack1481
    @johnshadrack1481 7 ปีที่แล้ว

    aimeeennnnn

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 7 ปีที่แล้ว +3

    nampa pole bwana bwashite alikula maharage ya wapi huyo

  • @officialbabaivan
    @officialbabaivan 5 หลายเดือนก่อน

    Ile treni ikuwapigi

  • @leaherasto5686
    @leaherasto5686 3 ปีที่แล้ว

    Mbona mara tano

  • @rizzodrizzy1530
    @rizzodrizzy1530 7 ปีที่แล้ว

    Jembe

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    kama yesu alivyosema siitajisadaka natakarehema bac vyet vyamakonda kwakua vinarehema kwanyonge vitaish

  • @tonystephano1087
    @tonystephano1087 7 ปีที่แล้ว +1

    Kwe imekuwa sembe

  • @charleskihiyo3393
    @charleskihiyo3393 7 ปีที่แล้ว +2

    bashite toa vyeti

  • @waridaharidi8232
    @waridaharidi8232 7 ปีที่แล้ว +7

    single touch double

    • @grayson348
      @grayson348 7 ปีที่แล้ว +5

      Warida Haridi hahahahahaha double manifestation

    • @waridaharidi8232
      @waridaharidi8232 7 ปีที่แล้ว +5

      We acha si Wa mchezomchezo

    • @eunnyjanes1440
      @eunnyjanes1440 7 ปีที่แล้ว +2

      Warida Haridi
      manifestation heheheee,,,,,ufiche Jambo gani kwa Simba wa Yuda lo!!!!!

  • @pvkanyorota264
    @pvkanyorota264 8 หลายเดือนก่อน

    Tusingekujua kumbe ndivyo ulivyo umeacha kz ukafanya kz ulituhumiwa tu km wengine mbona unalipuka yote hayo unazidi kusafisha nyota ya Makonda na ww unachafua madhabahu yako na co ya Mungu.Pole.ungeiga mfano wa Eliona Kimaro Muulize Mungu kwa nini kakuletea hayo majaribu usipambane na Makonda unakosea sn ha ha ha haaaaaaa kakutikisa sana tumekukua hanna kitu hapo.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    mtizame vile uliamini ukitaja yvet makonda atafukuzwa biashara itapona kama walivyoamini babuzako mafarisayo kumpeleka mzinifu kwayesu

  • @ruthachieng7710
    @ruthachieng7710 7 ปีที่แล้ว +5

    macho ya bwana ni makali mwanadamu akimbie wapi ajifiche na USO Wa bwana

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 7 ปีที่แล้ว +1

    mmmh!

  • @jescahokororo6732
    @jescahokororo6732 7 ปีที่แล้ว +1

    kanisa ni mahali pa ibada cio mkutano wa kisiasa wahubilie watu wokovu wa kweli na Sio miipasho tafuta mkutano uongelee mipasho

    • @pamelahezron295
      @pamelahezron295 7 ปีที่แล้ว +1

      wee acha bashite afundishwe yaani bashite ni zaidi ya yesu??? jana nilikuepo kanisani kwa gwajima na tulijifunza neno la mungu lenye kichwa cha somo MUNGU pamoja na wanadamu.

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 7 ปีที่แล้ว +1

    kolomije@

    • @vishalmkopwaki2465
      @vishalmkopwaki2465 7 ปีที่แล้ว

      Unalolote wewe muuza madawa ya kulevya utapata shida ya kuongea unavyojua labda laisi atakusapoti akusapoti ng'o makonda piga kazi kwani tunajua ngwajima anatumwa na wauza madawa

  • @saiddimarley3352
    @saiddimarley3352 6 ปีที่แล้ว

    Muache makonda afanye kazi ya Mungu kwa kuwazuia watu kuuza madawa ya kulevya mana hata Mungu hapendi nawewe muhubilie shetani atakulipa sawa sawa na matendo yako lumi 6:23

    • @beatricekamele8632
      @beatricekamele8632 ปีที่แล้ว

      Wewe ni wakala wa kuzimu na huwezi kishindani na Mtumishi wa Mungu

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    ww navyeti vyako orijino endelea kufanya ushetan

  • @kilazahm3717
    @kilazahm3717 7 ปีที่แล้ว +2

    iz gwajima politician or pastor?

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว +4

    yaani unajua tokea zamani vyet vyamakonda ukavifanya kinga yako yamadawa yakulevya ulaaniwe mwisho wako uwe mbaya

  • @jescahokororo6732
    @jescahokororo6732 7 ปีที่แล้ว +2

    gwajima unamwamudu MUNGU wa aina Gani???? hvi y unakubali kutoa kisasiii je wewe mbasha au pengo akikufanyia ksasi utasikiaje???? unachafua kanisa acha kuwa na Kama mtu wa mataifa

    • @asteriamax36
      @asteriamax36 7 ปีที่แล้ว

      M

    • @ithanfaraoking2787
      @ithanfaraoking2787 6 ปีที่แล้ว

      Haisee umefufua kitu kizuti watu wasiandamane kuhusu rais waandamane kuhusu makonda

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 7 ปีที่แล้ว +1

    ahahaaaaaaaa bashite ukiwa mmbea uwe na kumbukumbu

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    usijibaraguze ww mnafiki unaunga unapiga kelele ili tukuogope ulaaniwe kwakuleta kesi yamtoto wadalasa lanne

  • @papafikiri
    @papafikiri 6 ปีที่แล้ว

    Falsafa yako ni kali mzee wewe

  • @yohanakihonza5787
    @yohanakihonza5787 6 ปีที่แล้ว

    Huna jipya wewe

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    ww gwajima bikoba yamafarisayo ndio ikutiayo kiburi kumbe makonda aliferi dalasa lanne mtu wadalasa lanne anamiaka mingap?

  • @lyndajohn1093
    @lyndajohn1093 6 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima kama kawaida yako unaendelea kuifanya vema kazi ya Shetani na wajinga wasio na akili wanaamini unasema maneno ya Mungu. Kama wewe ni Mtumishi wa Mungu, unafufua wafu, kwa nini hukujaribu hata kumfufua mama yako Mzazi? Mwizi tapeli Mkubwa wewe

    • @janerazalo394
      @janerazalo394 6 ปีที่แล้ว

      Lynda John apo kanisani au

    • @derekmbeikya5945
      @derekmbeikya5945 3 ปีที่แล้ว

      Gwajima Haeleweki ni upande gani make ye atakuaje askofu anaepiga kelele na kuongea watu kila cku? Atachomwa mara mbili ajiangalie,,yan jamaa sitakiga hata kumuona yan

  • @ruthachieng7710
    @ruthachieng7710 7 ปีที่แล้ว +3

    macho ya bwana ni makali mwanadamu akimbie wapi ajifiche na USO Wa bwana

    • @davidliundi9751
      @davidliundi9751 7 ปีที่แล้ว +1

      huyu Gwajima kavurugwa, sion kama kuna anachokiongea, ni mnafiki tu! asituletee hizo polojo zake, analiaibisha kanisa la Kristo, mambo gan anayaongea ndan ya kanisa!!!!!, ama kweli awa ndo manabii wa uwongo. Mungu afanye kaz yake juu ya mtu

    • @violetmahenge7183
      @violetmahenge7183 7 ปีที่แล้ว +1

      David Liundi yani anatuacha watu njia panda nimwana siasa au mchungaji.asamehe tu inamaana hayo ndiyo mahubili kila siku

    • @jovithbyarugaba1568
      @jovithbyarugaba1568 7 ปีที่แล้ว

      David Liundi kanisa lako liko Wapi nabii wa kweli!!! Kazi hii huwezi kuizuia!!