Shukran ezden kiukweli mwaka Jana niliangalia video zako zilibadilisha kabisa mtazamo wa maisha yangu na bado naendelea kujifunza nimekuwa wa tofauti kupitia video zako na za Joel nanauka ahsante Sana Kaka ezden mungu akupe maisha marefu I wish siku moja kukuona shukran....
Umetisha broo wewe ni mtu na nusu,nina kiu ya mafanikio kaka ila nimekuwa mtu wa kufeli sana japo sijawahi kata tamaa mara nitapeliwe,mara hasara nipe neno moja kaka au nishauri nisome kitabu gani

Videos zako huwa zinani inspire sana sijutii mda na MBs zangu😎
Umetisha broo wewe ni mtu na nusu,nina kiu ya mafanikio kaka ila nimekuwa mtu wa kufeli sana japo sijawahi kata tamaa mara nitapeliwe,mara hasara nipe neno moja kaka au nishauri nisome kitabu gani
Thankyuuu so much my brother 💟
Maelekezo 🙏
Serious,
Sure
Amen
Mm nimwanafunzi wako nkukubar kinoma
Shukran na karibu sana
Kwa mara ya Kwanza nimekuelewa
Wow! That's amazing... Karibu sana
❤❤❤ thanks
Mimi huwa sina rafiki na nikimpata basi atuendani
Sita weź kulia shida zangu mbele zao
Jambo la msingi sana hilo
🎉🎉🎉🎉🎉
Kuacha kuongea sana unapokuwa na mtu mwenye mafanikio pia kuona wewe unajua mambo mengi na kuomba msaada kila leo.