Rose Muhando - Simba (Official Music Video) SMS SKIZA 7636520 TO 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2021
- Ujasiri tulionao wa kuimba simba ana unguruma kwa sababu ameshinda kifo na mauti anamiliki na kutawala dunia na vitu vyote.Video ya wimbo huu utakubariki sana,kumbuka kusubcribe kama bado haujafanya hivyo.#RoseMuhando#Simba#MusicVideo
Audio Producer : Amos Mungwana
Studio : Eck Production
Video Director : Ein -xer Maximum Vision
Management
+255717003077
Email;malkiarosemuhando@gmail.com - เพลง
Yes huyu ndio rose mhando ninaye mjua, Kama unakubaliana gonga like
I could like to join Rose mhando in singing
Yes
Amen.ubarikiw.namungu
Yes
@@jeanbosconsengiyumva2719 will Paul's
Wakenya naombeni likes kwa huyu Mtumishi wa Mungu, jamani anabariki mioyo Yetu, kabadilisha maisha ya wengi.
Woooooooow.... Awesome
We can do all things through christ who strengthens us, hallelujah 👏👏
@@jannyrose5367 sure
Nimekupea hiyo like ya Bombolulu Mombasa.
@@kitimwango9286 Asante
Mwape habari wale mbwa hi si bahati mbingu zimeniamini mungu amenidhibitisha wee!!!! Kali hii tutawinda anywhere God is real wapi likes kenyans tukienda❣️❤❤❤🥰🥰🥰🥰
"sitanyamaza hadi bwana ajitwalie utukufu"neno lenye nguvu sana dada yangu mungu azidi kukupa ufunuo.in christ we are super champions
Neno jiwe
Simba anangurumaa wapi likes za mama jamaniii💃💃💃💃💃🦁🦁🦁
This is the most blessed woman in all the world I love u mama rose God bless ua talent
Ni fire fire📻📻📻📻🎤🎻🎺📯📣
Simba mke kuwinda ni halisi yake....she has no limit, ananguruma popote and to make matter worse, ananguruma mbele ya mnyama yeyote...When God is on your side,who can be against you?Few shepherds and lots of lost sheeps,tanganza Injili na jioni mpelekee Baba wanawe,lazma tali akuvishe.When Devil think amekutoa timing,Mungu anakurecharge n kukurepair,to go back new n strong than you never been before.....God of Miracles and full of surprises .He loses no GAME.
Ama kweli vazi la kimasai halimkatai mtu yeyoteee. Vazi hili zuri mpaka basi tu
@@loveisasacrifice6549 I'm wondering kama Rose anasema anaweza kumchukua bwana yeyote ya mke yeyote, wakati wowote
Kenya leteni hizo like za rose muhando ajue tunampenda bure
Tuko hapa
We are here ,we love her so much 💕
Much love our Sister
Nice song
Kama umerudialudia kama mimi gonga like bonge song
SIMBA WAKIKE...Endelea kuwinda roho ya wasiomjua Mungu warejelee wuokovu mkuu.
Mungu kwanza kama umependa wimbo huu like
Gonga like twende sawa kama unamkubali Rose Mhando🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yes! yes ,dada go go!!!!
Hiki ni chombo cha mungu akika...may the good lord bless your ministry my sister
Wimbo mzr sana, nakuombea Mungu akulinde
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪💪
nimebari
kiwa
wimbo
Kweli wewe ni Simba jike, wenye wanaamini gongeni like
Tanzanians are blessed to have you Rose .....much love from Kenya we love you indeed kindly viewers if you agree with me gonga likes as we continue being blessed
Jamani,,,wamebarikiwa
❤️🇺🇲🇹🇿
Hata mm ni Simba wakike nimeingia mawidoni.be blessed rose muhando the best song
First rose 😅@@Liz-sc1sbgive him likes all wold please 🙏
Yaani watu wanatoa wapi nguvu ya kudislike wimbo powerful hivi??? Wenye wivu hao washindwe kabisa katika jina la yesu....fahari yetu ni Mungu...sisi simba tuko mawindoni...gonga like ya Mama Rose tukisonga mbele 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🔥🙏🙏
Wanao dislike huenda hawajui tofaut kati like na dislike mwenye akili timamu na anae lielewa ilo kamwe hawezi kufanya ivo
Nashangaa pia sana , yaani kuna dunia hii wa ajabu
Si n mabweha na mbwa, hujaskia imetajwa
Ndo Bweha hao
She is anointed for sure💪
She is the Queen. This is another level of her music. Piga like tukisonga
Niko kwa reply section
Nakupenda buree kwakweli ninapo sikiliza nyimbo ninaama moyo mwangu
@@joyce5282 €kmchna ko
Je vous regarde depuis le Sénégal 🇸🇳🇸🇳🇸🇳
Ni kweli mbegu la Mungu haifi kamwe, malikia wa gospel East Africa Mungu akuinue zaidi na zaidi, 🇰🇪🇰🇪twakupenda sana🙌🏽🙌🏽
Daa nyimbo nzuri simba tunao mpenda rose mhando like kidogo
NICE
Champion yayaaa
tunabalikiwa ujume muzito
Naomba Mungu vile I'm the fast MUNGU ANIINUE ATA MIMI NIPATE MAMA KAMA WEWE NIKO NA kipawa cha uwimbaji KENYA 🇰🇪 MOMBASA
🤣🤣💪
Anastazia mukabwa tunampenda Sana huku tz kwann asikuwe mamayako
Daaah Weng tunavipawa jmn
Fast and pray for God's blessing and guidance
YOU CAN KILL ALL THINGS BUT NOT ROSE MHANDO, SUCH WOMEN IS FROM GOD. she is now back🦁🦁🦁🦁
MOST TALENTED Gospel musicians.
Cha mwanadamu kitakufa tuu cha mungu lazma kione for sure Rose ni simba wapi likes za Simba jike jamani 💪💪love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🥰🥰
Nataka likes za #simba
"Kumcha Bwana ndio Jeuri yangu"🔥🔥. Wueeh! The Lioness herself 🥰🫂❤️. Mob Love Mom from Germany 🇩🇪🇰🇪
Hi
2024 April❤ endelea mama hebu Mungu aseme nawe kwaajili yetu,
ROSE you`re UNstoppable!! IsN`t GOD faithful? Simba lazima agurume, gonga like ya Mama Rose tukisonga mbele 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🔥🙏🙏
Asante mama barikiwa san
Watanzania tuliouelewa wimbo huu naomba likes zenu haaaapah ...... Mungu ni Mungu "Isaya 6:8"
Amina
Ameen!!!!
Huyo simba ni yupi maana sielewi
Simbaaaaaa endelea kuunguruma
Nibebe
Kulingana navile nimepitia kwa maisha juu ya watu nafikiri hii wimbo ina nifaa iwafikie ma hates😢😢😢😢😢maisha mengi rose
Rose mhando mungu kakupa kipaji. simba anangurumba upo mawindoni super champion lazima wataipenda
Natumai huu wimbo umembariki wengi mtazamaji
Piga like Kama wewe ni mmoja wao TRM kenya👍 twakusupport Sana mama
Naupenda sana wimbo huu
Rose muhanto achana naye wapi like zake
Tumerudiii Tunawika nyikanii .......Jezebel pokea habaree tunaungurumaaa
kumcha Bwana ndio jeuri yangu. kumjua Mungu ndio jeuri yangu.
Congratulations mama. Wapeni habari wale mbwa tumerudi tena!!! Jezebelli pokea habari simba lazima agurume.
Ameeeeen
Shkamo kasoro
Anauguruma simba
Wasa kasolo.....ngai nukwenda kuutwaa vaasa mbee wa vala ukuvikitye.....ithukiisye wasya wa Ngai undu ukuneena naku kwoondu wa ministry.....wasya wa Ngai ni wa vata thayuni wa mutangiiwa
Another legend 🤜🤜
Waambie Habari tumerudi Tena zamu yetu, mungu amethibithisha mama rose twakupenda tumpe like me nko 2 round kuwatch can't get enough of it 😘😘😘😘
Av never understood how mum rose does it,, she's one in a million,,,, infact she is unstoppable,,,may God continue showering His blessings unto thee mummy,,,hii Yako ni talent na c mchezo,,,Simba wetu🫂❤️pigeni like ya mum rose tukisonga🫂❤️hugs from Kenya mummy
Absolutely Ukweli mtupu dada Rose Muhando, mwenye masikio na asikie chenye Roho Wa Mungu anaambia kanisa.
Wow wow wapi likes za mom go go go our queen 👸
Hatari mam Queen of gospel Tanzania and east nzimaaa gonga like tuendee na simba
Good luck mamam
Uko vizuri roz
Ongers
Ogera Sana wape mbwa wabweke Sana Tena Sana safi
Kweli ni mbarikiwa wa Mugu
2024 nko hapa nipeeni likes za rose muhando
I have seen singers who got lost and also failed in their comebacks, lakini Rose Muhando ni kama she never got lost anywhere. THE SAME VIBE, THE SAME ENERGY, SWEET MUSIC, & EXPLOSIVE COMEBACK. haters wanakiona KIMBEMBE. Wapi likes za SIMBA wa Injili
Coz she is true to her ownself
Safi
Rais
Ndio
Rais ¥sap
Ukimkubali mungu akuongoze you can never be lost
Jamani nipeeni like hata tano sa simba please
Nimeludi kutoka Oman jaman 👌👌👌👌👌👌👌
Kwa kweli we simba ❤️❤️❤️❤️what's gospel music without u mum , nikiwa na hasira dawa ni nasikiza nyimbo zako nasahau kila koza 💕💕💕
How can you avoid her...she is unstoppable
Yessssss ❤️❤️❤️kumcha bwana ndo Jeuriiiiii💕💕💕💕💕💕💕💕💕
We thank Jesus for her!
Sure
Yeees our queen 👸 💖 ❤
simba akinguruma nani hutisha wapi likes za rose muhando
Hongela
Barikiwa mama akika simba anaungurumaa allellujah
Haki umerudi kwa nguvu kuuu, big up wajina nikikuona nafurahi kuitwa Rose
🙏🙏🌹
Simba jike ngurumaa Yesu simba wa yuda apate utukufu, wapi like za Yesu wetuu huuh, simba lololo simba anaungurumaaa
Wale tumekuja hapa after tiktok 💯👏
Roar until the last time,wamalwa Aaron from Kampala Uganda
Tazama nikiwa India. You're a blessing
Kama umesikia Simba Champion gonga like hapa twende pamoja
Hapo tu kwa: hii si bahati mbaya mbingu zimeniamini mungu amenithibitisha hapo tu mm hoiiiiiiiiiiii
What a blessing...let's continue taking pride in worshipping Him that saved us❤️❤️
Ngurum Dada maan wanadam sio kabisa
Rose ilov you sana Mimi n fan wako kutoka Kenya,am champion wako huku kenya
Ubarikiwe mtumishi keep up and God bless you my sister Rose mhando
Ameeen Mtumishi
Hallelujah
@@duncanmulu2450 ++
Mum never dissapoint keep going am still praying 4 you
Dada Rose big up me nkuaminia sn dadaaangu Yesu akutunze yani kwa ww watakuelewa tuu uko vzri big up
Video Quality 100%
Content 100%
Audio Quality 100%
Talent. 100%
Anointing. 100%
Umeona hiyo dance ya Rose... Every song with its dance
@@phellowmmbunitv6077 Yeah bro....She is super talented....every video song. Different theme, different location, dance etc
Yaani Kila kitu kipo shwari tu
@@gloriachep3642 Aiseee mambo Motooo
Yaaaaan n jaramba juu ya jaramba💥😂😂
Yupo vzr sana mama na mapambio
💃💃💃💃💃💃 awwwww haleluyaaaaaa simba jikeee am a champion 🏆
Simba anaguruma kweli,..
Amen, Glory to GOD.
Never let your dreams fade which you started chasing since you were born, you are unstoppable 🙏🙏🙏🙏
I love this woman from North Dakota USA
Ubarikiwe kwa kua umenibariki kupitia nyimbo zako.
Mungu azidi kumuinua mtumishi wake aisee wimbo umenibariki sana sana love you Rose Malkia ya Injili❤❤
Mama mungu akuinue kwa kazi nzuri unafanya, mm ninapo sikiza nyimbo zako hua nini amani ndani ya royo yangu. jameni wakenya tumpe mama wetu like za simba ananguruma hata km n tano 🙏🙏
The only woman who I can listen to her songs and be blessed.
From Kenya you know you're loved ❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen a,m blessed nilikuwa nimevujika moyo lkn nimerudi simba mke
Mimi nakupenda uko vizuri sauti ya Kimungu na mazoezi kwa Sana 🙋
Asante mama Mimi natoka Rwanda nakupenda sana
Wapi Likes Za Dancers Wa Simbaaa
🔥
@DuncanMulu won't you translate the song for me ??
@@obelianvaisilasaillah7509 SIMBA TRANSLATION
Chorus
Simba loloooolooo...Simba anaunguruma
Lion loloooolooo...The Lion is roaring
Simba Leleleeee...Simba anaunguruma
Lion leleleleeeee, The lion is roaring
Simba Wa kike anaunguruma Leo,
Simba anaunguruma
The lioness is roaring today, The Lion is roaring
Simba Nyikani anaunguruma wowoo, Simba anaunguruma.
The lion in the plain is roaring, the lion is roaring.
Simba porini anaunguruma, Simba anaunguruma.
The lion in the jungle is roaring, the lion is roaring.
Verse 1
Mwambieni Yule mbweha
Tell that fox,
Nimerudi kutoka jangwani,
I am back from the desert
Nimesimama tena kwenye zamu yangu
I have stood again on my duty.
Wapeni habari wale mbwa
Inform those dogs,
Hii si bahati mbaya
This is not by bad luck
Mbingu zimeniamini
The heavens have entrusted me
Mungu amenithibitisha
God has fulfilled me
Mpe salamu yezebeli,
Say hi to Jezebel
Nimerudi kutoka jangwani,
I am back from the desert,
Nimesimama tena kwenye zamu yangu
I have stood again on my duty.
Wapendi habari wale mbwa
Inform the dogs
Hii si bahati mbaya
This is not bad luck
Mbingu zimeniamini,
The heavens have entrusted me,
Mungu amenithibitisha
God has fulfilled me.
(Chorus)
Verse 2
Mimi simba Wa kike
I am a lioness
Kuwinda ni asili yangu
Hunting is my real task,
Nitawinda popote,
I will hunt anywhere
Nitaunguruma popote
I will roar anywhere
Mbele ya mnyama yeyote
In front of any animal
Kwenye pori lolote
In any Jungle
Katika nyakati zote
In all times
Sitaogopa chochote
I won't fear anything
Sitanyamaza hadi Mungu atakapojitwalia utukufu
I won't keep quite until when I glorify God
Jeuri yangu
My arrogance
Kumcha bwana ndio Jeuri yangu
My arrogance is Praising God
Ehe ,Kumcha bwana ndiyo fahari yangu
Ehe, My pride is in Praising God
Kumjua Mungu ndiyo jeuri yangu
Knowing God is my arrogance
Kumcha bwana ndiyo jeuri yangu
Praising God is my arrogance
Chorus +
Niko mawindoni, I am in a hunting mission
Maringo yangu mimi ni mungu wangu simba ehe
My boasting is in my God lion ehe
Verse 3
Simba Wa kike hodari
The lioness is brave
Katikati ya mawindo
Amidst the prey
Nitatenda kwa akili
I will act wisely
Kuyafumbua mafumbo
In disclosing the puzzles
Nitaunguruma alfajiri
I will roar in the morning
Jioni nilete mawindo
And bring prey in the evening
Sitanyamaza mpaka Mungu atakapojitwalia utukufu
I won't keep quite until I glorify God.
..............Chorus
I am a champion.....(Already in English)
Chorus
Simba anaunguruma= The lion Is Roaring
BY DUNCAN MULU.
@@duncanmulu2450 Thanks so much dear, I really appreciate.🤗 May God reward you for me.🙏
I love the way you translate big up bro
Ugandan tunakupenda sana dada wetu mungu akubriki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This is unstoppable mum you will always shine big up wapi likes za labapain(kenya)
Champions never be shaken as long you trust and believe in our Lord.Kenyan's in Saudi Arabia likes as we listen to this queen be blessed .
Amen 🙏
Restoration is happening throughout East Africa through this song. I never doubted you mama.
My names are JOHN CHUMA of USA !!!
WE LOVE YOU ROSE MUHANDO
Mama uko vzl nimesikiiya ushuuda wako ukiwa BURUNDI mungu amekuongezeya siku haswa
..When God restored Zion, His Glory appeared ...❤.. 🙏
Who listens to this song everyday like Three times let's gather here 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
HAHAHAA😂😂😂😂 MASHABIKI WA SIMBA TUJUANE KWANZA HAPA🦁🦁🦁
Haha watamwelewa tuuu huyo ndo rose nnayemjua big up
Amen 👏❤️
Sitanyamaza hadi Mungu atakapojitwalia utukufu
Ameen
We unazingua kwani mmeambiwa simba timu ya mpira?
Rose is Queen
How comes this song has not hit 100M views????🙄🙄🤔🤔🤔🤔
She Must Win Best Female Artist In Africa At Any Award Ceremony That She Enters.
Wimbo mzuuuuri....queen of gospel Tanzania
Sitanyamanza mupaka Mungu atakapo jitwalia utufu
Hello Raymond
Fought but not defeated The Queen is back with power much love from us 🇺🇸 ❤
Nitawinda popoteeee maana kumcha Bwana ndiyo jeuri yangu! Amen haleluya. Ubarikiwe mama
Old Rose Muhando is back🔥🔥🔥what a song am blessed....
Siendi mahali nikukose😂😂😂
I tell u
Simba wakike ni hatari, Wali mnyoa samson waki dhani atakufa alifufuka tena nywele zilimea tena, rose yuko tena.
@@elizabetheliza5879 Ouru I'll iiiui pi up on Po p oi 8 my pom I'l ni or ol
Io Ii
True ngurumaaaa tena zaidi
Malkia wa Afrika mashariki, afrika na dunia kwa jumla. Ni simba wa kike hakika🥰🥰likes zinatoka Kenya
"Kumucha bwana ndio jeuri" wimbo uko juu mama yangu.nipe like zangu #am champion /SIMBA
Ikuje naigoja sana
Waiting
TANZANIA imebarikiwa vipaji na Bado MUNGU anaendelea kutubariki
Mungu akukumbuke Dada kwa nyimbo nzuri nasipenda nyimbo zako
Cha YESU CHRISTO hakiishangi yalisemwa oooh oooh SASA ndio huyo mama tangaza injili
Safiiiiiii xana mwanakwetu
Creativity✔, mavazi, ✔scenery,✔ wimbo✔, instrumental, you are a champion for the glory of the Almighty God. Keep it Jesus all the way.
I love it❤️❤️😍
True Amen
Hadn't noticed the lion at the background until now. Wow👌
instrumental beats are wow
Kabisa
Ambieni huyo mbwea
Nimesimama kwenye zamu yangu...hallelujah
Nabarikiwa Sana ninaposikiliza huu wimbo✋✋✋✋✋🖐️🖐️🎁🎶🎵🎵🎵🎵🎶🎶🎶🎶
actually I'm achampion my mam alishi kunitabiria tangu nikiwa mdogo kuwa mimi ni Rose mhando ju nilikuwa napenda sana kuimba nyimbo zako nakudance kama wewe,, lakini sasa naona unabii huo ukitimia barikiwa sana mama wakimataifa
Mbingu zimetuamini,
I love ❤️😍 the song.barikiwa sana Mama rose... you're my best Gospel artist.through your songs may the lost souls be saved in Jesus name amen
Kama ww ni winner 2024 gonga like hapana
Hakika Simba ananguruma yuko mawindoni barikiwa sana Mungu awe nawe wale mbwa wapewe habari